Njia rahisi ya kusuka yeboyebo

  Рет қаралды 105,550

FAITH BEAUTY CLASSES 💄

FAITH BEAUTY CLASSES 💄

Күн бұрын

Пікірлер: 166
@alphoncinanehemiah6659
@alphoncinanehemiah6659 3 жыл бұрын
Wewe Ni mwalim kabisa. Yaan unafundisha vizuri paka mtu anaelewa jaman. Asante Sana kwa SoMo nimeelewa🙏🙏
@magekenny3165
@magekenny3165 4 жыл бұрын
Kaz nzur ,unafundisha ,vituo had vituo .Mungu akubrk
@Faithbeautyclasses
@Faithbeautyclasses 4 жыл бұрын
Ameen mpenzi , asante sana
@LeanKihombo-x3b
@LeanKihombo-x3b Жыл бұрын
Upo vizuri dada yangu 🎉🎉🎉
@abeatech1793
@abeatech1793 2 жыл бұрын
Ubarikiwe sana mamy ....nmejua kusuka kupitia video i be blessed
@hanamuson891
@hanamuson891 27 күн бұрын
Mashallah mwalimu mzuri hatua moja moja.
@johnludovick2736
@johnludovick2736 2 жыл бұрын
Asante sana mwl yan wewe in zaidi ya mwl kwangu jmn nimejifunza kwa siku moja kwako tu Leo nimejaribu nimeweza yani unafundisha vizuri sana mungu akubariki sana
@beatusdaniel
@beatusdaniel 2 ай бұрын
Asanteeee San sister nataman siku moja na mm nijue kusuk kam ww adi nimeelew jamn
@salomealex3044
@salomealex3044 4 жыл бұрын
Asante sana dada mungu akubariki sana video inaelezea vizuri unafundisha vizur sana wewe ni mwalim mzuri sana uwe na moyo huo huo mungu atakuinua zaidi asante sana nimejifunza kitu nakupenda sana tunaomba utufundishe zaidi na zaidi barikiwa sana
@Faithbeautyclasses
@Faithbeautyclasses 4 жыл бұрын
Ahsante sana mpenzi, Mungu aendelee kutuweka pamoja nitazidi kuwaletea vitu vingine tofauti.
@annalufinyo7967
@annalufinyo7967 4 жыл бұрын
Mmmh wachache sana wenye moyo kama wewe nakuomba uniambie upo wapi ? Natamani unifundishe zaid
@Faithbeautyclasses
@Faithbeautyclasses 4 жыл бұрын
@@annalufinyo7967 asante sana mpenzi Wangu , napatika dar tegeta Azania.
@adolfmalewo3472
@adolfmalewo3472 4 жыл бұрын
Asante madam naomba utuwekee jinsi ya kusuka nywele ya Uzi ile inakua kama afro king asante ubarikiwe
@Faithbeautyclasses
@Faithbeautyclasses 4 жыл бұрын
Ahsante mpenzi kwa kufuatilia video zetu tunalifanyia kazi ombi endelea kufuatilia channel zetu video itakuja soon
@neemamanyandamwanamitindo5043
@neemamanyandamwanamitindo5043 2 жыл бұрын
jaman na leta ushuhuda nime juwa kusuka yebo ad raha jaman 😘😘😘😘 asante sana mamy wangu
@SalmaMasoud-hl1ny
@SalmaMasoud-hl1ny Жыл бұрын
Yaan dada Asante sana umenipa elimu nzuri ya kusuka yebo barikiwa sana
@asthernanjala3328
@asthernanjala3328 3 жыл бұрын
Asante kwa kazi nzuri umejitolea kutufundisha ,aki ninaelewa kabisa mungu akusidishie
@lilymwaj5269
@lilymwaj5269 3 жыл бұрын
Wewe pekee ndo nmekuelewaa .....thankyuuuu darling
@Faithbeautyclasses
@Faithbeautyclasses 3 жыл бұрын
Thanx much lov
@doricekabuka5161
@doricekabuka5161 4 жыл бұрын
Dadda Asante unaeleweka sanaa yaani Mungu akubarikii na akuzidishie katika kazi zako za mikono Ameen
@Faithbeautyclasses
@Faithbeautyclasses 4 жыл бұрын
Ahsante sana nashukuru mpenzi
@happymkinga9751
@happymkinga9751 2 жыл бұрын
Had rah unaelewa hadi unaelewa tena❤️❤️❤️❤️❤️❤️
@MilnahKareem
@MilnahKareem 5 ай бұрын
Ongera sna mma unajuwa kutuelewesha viziwi
@joynesstalks7068
@joynesstalks7068 4 жыл бұрын
Asante sana aunt unafundisha vizuri nimependa sanaa..unaelekeza vizuri mno hata yule mgumu kuelewa anaelewa😘😘
@mallyamaria5259
@mallyamaria5259 4 жыл бұрын
Ahsante kwa kufundisha vizuri ,hii video inaelezea vizuri sanaa. Ubarikiwe
@Faithbeautyclasses
@Faithbeautyclasses 4 жыл бұрын
Ahsante mpenzi kwa kunitia moyo ,nashukuru sana
@teychriss3248
@teychriss3248 4 жыл бұрын
Yaani mtu usipoelewa kwa maffunzo haya! Tafuta huduma ya maombi!
@claudiaclemence5121
@claudiaclemence5121 3 жыл бұрын
Kabisa yaan
@LeanKihombo-x3b
@LeanKihombo-x3b Жыл бұрын
Dada nime kukubari sana❤❤Nime kupenda bure 😂
@Faithbeautyclasses
@Faithbeautyclasses Жыл бұрын
Ahsanteee mpenzi karibu
@paulinasenzoya7520
@paulinasenzoya7520 Жыл бұрын
Unafundisha vizuri hadi raha hongera sana
@salafinajelemia5528
@salafinajelemia5528 Жыл бұрын
Asante mwaya nimekuelewa sana ubalikiwe.
@user-maisarahdjuma
@user-maisarahdjuma Жыл бұрын
Unafundisha vizuri kipenzi mungu akibariki
@zakiaismail8150
@zakiaismail8150 Жыл бұрын
Asantesana kwamafunzo yako mazuri mpenz
@juditharon6164
@juditharon6164 4 жыл бұрын
Nemependa unafudisha vinzur Sana 😘💓
@shamymudly9997
@shamymudly9997 4 жыл бұрын
nipenda sana aise unavyofundisha
@zuhenaomar2087
@zuhenaomar2087 4 жыл бұрын
Asante Dada nko Kenya ila najifunza toka kwako.vyema
@Faithbeautyclasses
@Faithbeautyclasses 4 жыл бұрын
Ahsante sana mpenzi... Endelea kufuatilia tutaleta video nyingine nyingi.
@esteribrahim5328
@esteribrahim5328 2 жыл бұрын
Unafundisha vizuri sana
@carolinamrema7290
@carolinamrema7290 3 жыл бұрын
unafundisha vizuri Sana maana mpaka naelewa mungu akubariki Sana mama uendelee kutujuza zaidi
@beatusdaniel
@beatusdaniel Жыл бұрын
Asanteeee San nimeweza kutoka na kitu baad ya kuangalia channel yako ila bado me sijajua namna ya kuunganisha raster
@gracewairimu800
@gracewairimu800 Жыл бұрын
Kwa maeleze haya hadi kipofu atakuelewa tu asante sana dada ubarikiwe hadi ushangae
@franksaid7165
@franksaid7165 4 жыл бұрын
Unafundisha vizuri dada safiiiiii
@Faithbeautyclasses
@Faithbeautyclasses 4 жыл бұрын
Ahsante sana
@erastotesha1758
@erastotesha1758 2 жыл бұрын
Asante mungu akubariki
@jescajoseph394
@jescajoseph394 3 жыл бұрын
Upon goog in you are class
@hellensolomon8342
@hellensolomon8342 4 жыл бұрын
Asanteeee Dada Mungu akubariki uendelee kutufundisha
@najmarodgers9837
@najmarodgers9837 Жыл бұрын
Umemzid mtu ivi unafundisha vizuri sanaaaaaa nimependa
@agnespeter8383
@agnespeter8383 4 жыл бұрын
Unajua kufundisha kwa kweli 🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾nimeelewa kwenye nywele yakwanza tu
@Faithbeautyclasses
@Faithbeautyclasses 4 жыл бұрын
Ahsante mpenzi barikiwa sana
@ashasalum1647
@ashasalum1647 2 жыл бұрын
Asante dear
@doricehariet4388
@doricehariet4388 Жыл бұрын
Unafunza vizuri Sana nakuelewa vyema
@AniciaMatendo
@AniciaMatendo 2 ай бұрын
aunt upo sehemu gani tafadhali nahitaji kuja kujifunza
@maryvomo4217
@maryvomo4217 3 жыл бұрын
Hongera kwa kufundisha vizuri nitajaribu kwani napenda kusuka
@gracedanford7332
@gracedanford7332 4 жыл бұрын
Darasa lako zuri upo wap mumy
@mercyamunga8734
@mercyamunga8734 4 жыл бұрын
Asante sana dada ,nimejifunza kwa kweli mungu akubariki
@marthaosward2996
@marthaosward2996 4 жыл бұрын
Asante kwa mafunzo usefundisha vzr
@chidimachee5497
@chidimachee5497 4 жыл бұрын
Nyc
@zakiaismail8150
@zakiaismail8150 Жыл бұрын
Asante Sana dada angu kwasomo rako zur
@jestinagiyupa8326
@jestinagiyupa8326 3 жыл бұрын
Mamy mbon mm nashindwa kuchong mbele tu kwingine inakaa vzr
@immaculathangonyani5839
@immaculathangonyani5839 4 жыл бұрын
Nimekuelewaaa😘😘sema shedi ndo nakoseaga
@patrickkashindi3850
@patrickkashindi3850 3 жыл бұрын
Asante mwalimu
@fatmamwera6645
@fatmamwera6645 2 жыл бұрын
Yaani natamani sana kujua kusuka yebo sanasana
@EstherTriphon
@EstherTriphon 4 ай бұрын
Asante kwa somo
@ValentinaDeo-y2d
@ValentinaDeo-y2d 2 ай бұрын
Jmniiiii meee nikisukaaa nywelee zna bakiii juuuuu napiaaa upandeee wakuxhotoo unanixumbuaaa madamu
@mariamanda318
@mariamanda318 4 жыл бұрын
Nimekuelewa ahsante
@mwaminemanuel849
@mwaminemanuel849 4 жыл бұрын
San
@pkpk6817
@pkpk6817 3 жыл бұрын
Mwalimu muzuro san.nitajifunza.paka.niakikishe nimejuwa
@gwiransolo9447
@gwiransolo9447 4 жыл бұрын
Asante sana Mungu akubarik san
@Faithbeautyclasses
@Faithbeautyclasses 4 жыл бұрын
Ameen
@zaudiakajeze8375
@zaudiakajeze8375 4 жыл бұрын
Asantee ubarikiwe
@happynzigilwa8729
@happynzigilwa8729 3 жыл бұрын
Naomba namba dad
@Faithbeautyclasses
@Faithbeautyclasses 3 жыл бұрын
0673 232339
@lolenvitus8467
@lolenvitus8467 Жыл бұрын
Barikiwa Sana 🙏
@jestinagiyupa8326
@jestinagiyupa8326 4 жыл бұрын
Nzr dear ngoj nijaribu
@LilianMdegela
@LilianMdegela Жыл бұрын
Yani mpk nakutamn mpenz na ninavyopenda kusuka yani unanipa moto balaa
@mwakakhamis9823
@mwakakhamis9823 4 жыл бұрын
Nakumbushia2 kwa wale waumini wa kiislamu kuunganisha nywele ni dhambi. Imeharamisha na unaalaniwa na Allah SW.
@pienicolaus2952
@pienicolaus2952 4 жыл бұрын
Hongera kwa kaz nzur ,jaman nipo mwanza nakupataje?
@Faithbeautyclasses
@Faithbeautyclasses 4 жыл бұрын
Ashsantee, sisi tupo dar....0673 232339
@RoseMbwawa
@RoseMbwawa 5 ай бұрын
Ahsant mwalimu naelekea kuelewa kidg
@ValentinaDeo-y2d
@ValentinaDeo-y2d 2 ай бұрын
Jmniiiii meee nikisukaaa nywelee zna bakiii juuuuu napiaaa upandeee wakuxhotoo unanixumbuaaa madamu 2:18 2:21
@julianaongoya796
@julianaongoya796 4 жыл бұрын
Asanti sana naeza taka kuona yeboyebo ya katikati ya kichwa asanti
@marymicky2692
@marymicky2692 3 жыл бұрын
Madam kwahiy ukiona last nying unaach kuchukua unaendeleza Tu kusuka
@yohanemagai7885
@yohanemagai7885 4 жыл бұрын
Yaaani we dada umenifurahisha maana nilikuwa najua kidogo sasa nimejua kabisa
@Faithbeautyclasses
@Faithbeautyclasses 4 жыл бұрын
Ahsante sana mpenzi , nami nimefurahi, hayo ndiyo malengo yetu
@yohanemagai7885
@yohanemagai7885 4 жыл бұрын
Dah sio siri nimependa sana mafunzo yako, maana hata kama hutaki kuelewa utaelewa tu
@amonimlele6175
@amonimlele6175 3 жыл бұрын
Ajifunza jaman lakin mmmmm
@anitawisiman3505
@anitawisiman3505 2 жыл бұрын
Ukishitwa kurewa kwa ufundishaj huu jamn
@claudiaclemence5121
@claudiaclemence5121 3 жыл бұрын
Unafundisha vizuri hadi napenda,,
@hawasaidi297
@hawasaidi297 4 жыл бұрын
Mi napenda kujifuza njiatatu
@Faithbeautyclasses
@Faithbeautyclasses 4 жыл бұрын
Fuatilia video zetu somo la njia tatu limeshapita
@josephsagate6312
@josephsagate6312 3 жыл бұрын
Naomba kujua kwa upande wa kushoto unasukaje me nkisuka hazishkan
@lilianmachahha7709
@lilianmachahha7709 3 жыл бұрын
Daras lako zur sna
@Faithbeautyclasses
@Faithbeautyclasses 3 жыл бұрын
Ahsante mpenzi
@veronicamsigwa5991
@veronicamsigwa5991 2 жыл бұрын
Waoooo madam uko vzur mtu anaelewa
@SianaMoye
@SianaMoye 11 ай бұрын
@anithalolpoop8634
@anithalolpoop8634 3 жыл бұрын
Kiukwel dada unakipaji
@Faithbeautyclasses
@Faithbeautyclasses 3 жыл бұрын
Ahsante mpenziii
@rosemgonja5008
@rosemgonja5008 4 жыл бұрын
Ubarikiwe mnooo
@damianawanza7943
@damianawanza7943 4 жыл бұрын
Mwalimu mzuri Sana.
@Faithbeautyclasses
@Faithbeautyclasses 4 жыл бұрын
Ahsante mpenzi
@zeisharajab3704
@zeisharajab3704 4 жыл бұрын
Kazi nzur dada ila camera iaoneshi vizur
@yakubhassan3221
@yakubhassan3221 4 жыл бұрын
upo sehemu gan
@Faithbeautyclasses
@Faithbeautyclasses 4 жыл бұрын
Tegeta Azania
@hawasesala8182
@hawasesala8182 4 жыл бұрын
Nimekuelewa sana
@magrethmwaisoba9156
@magrethmwaisoba9156 3 жыл бұрын
Dada axant nimeielew vizuri
@doricekabuka5161
@doricekabuka5161 4 жыл бұрын
Piah nilikua naomba utume video ya jinsi ya kusuka zile twende kilioni za rasta huku kwetu wanaita mwanandani
@Faithbeautyclasses
@Faithbeautyclasses 4 жыл бұрын
Usijali mpenzi endelea kutufuatilia nitaiweka video hivi karibuni.
@vailethlweja711
@vailethlweja711 4 жыл бұрын
Asante kwa somo Dada, Mimi nataman kujua kusika nywele yaani ndo najalibu jalibu una kama una group la whtsap kwajili ya mafunzo naomba uniunge 0655808897
@rachelsilas2303
@rachelsilas2303 3 жыл бұрын
Unajua kufundisha
@amneshi
@amneshi Жыл бұрын
Nitajaribu
@dashuusaalim1943
@dashuusaalim1943 4 жыл бұрын
Vdio jmn haiko saf mbn
@sumaiyahamadi7716
@sumaiyahamadi7716 2 жыл бұрын
Nahitaji kujifunza kusuka inakuwaje ira kwenye simu
@esterbeauty568
@esterbeauty568 4 жыл бұрын
Dada naomba uweke na jinsi ya kusuka vipipi
@Faithbeautyclasses
@Faithbeautyclasses 4 жыл бұрын
Sawa mpenzi tutalifanyia kazi
@leahtuji8398
@leahtuji8398 3 жыл бұрын
Yaan kwa mafunzo yako naamin ipo ck ntakuwa msus mzur sana
@anthoniasylivester6042
@anthoniasylivester6042 4 жыл бұрын
Aisee Dada unafaa kuwa mwalimu unajuaa kufundishaa ,kama kunagroup la whatsap niungee,,,,afu mim napata shida kwenye kupasua nywele ,,inapindaa etii
@adielneema9657
@adielneema9657 4 жыл бұрын
Dada unafunzavizurisana natamani niwepo iliunifundishavizuri.
@Faithbeautyclasses
@Faithbeautyclasses 4 жыл бұрын
Ahsante mpenzi, karibu sana
@adielneema9657
@adielneema9657 4 жыл бұрын
@@Faithbeautyclasses Thanks my sister natamani iweivyo dada ilamisiishi african nikonjeya African ilanaku ahidinitazidi kuwaonyesha wengine video zakoiliwazidi ku subscribe thank you so much kwakunijibu dada nakutakia jioni njama.
@Faithbeautyclasses
@Faithbeautyclasses 4 жыл бұрын
@@adielneema9657 Thankx much , nimekupenda sana, wachache wenye moyo kama wako,...Mungu akubariki
@elizabethmeshack1036
@elizabethmeshack1036 4 жыл бұрын
Nakuelewa sana dada umenifanya nimejua kusuka yebo fasta
@ZuhairaSheihe
@ZuhairaSheihe Жыл бұрын
Asante kwa mafundisho mazuli kiukwel unajua kufundisha mpak mtu akaelew uwo ndo ufundishaji MW/MUNGU akupaliki
@hawamsusa6844
@hawamsusa6844 3 жыл бұрын
Asante
@aminarashidy574
@aminarashidy574 4 жыл бұрын
Unafundisha vivuli unapatikana wap
@maryvomo4217
@maryvomo4217 3 жыл бұрын
Tusaidie jinsi ya kusuka mbenjuo
@minahjomby5412
@minahjomby5412 2 жыл бұрын
Dada unapatikana wp weka namba ya cm bs
@jestinagiyupa8326
@jestinagiyupa8326 4 жыл бұрын
Asant mamy najifunz
@vailethlweja711
@vailethlweja711 4 жыл бұрын
Asante kwa somo Dada, kama una group la whatsap naomba uniunge kwajili ya mafunzo zaidi, yaani nataman mnoooo kujua kusuka
@vailethlweja711
@vailethlweja711 4 жыл бұрын
Namba 0655808897
@petronilamassae7257
@petronilamassae7257 4 жыл бұрын
@@vailethlweja711 ubarikiwe dada
@marymakena8731
@marymakena8731 4 жыл бұрын
Pia mimi ni wekeni kwa group 0729869998 niko kenya
@levananyami8433
@levananyami8433 3 жыл бұрын
Asante xana my dear
@hellenkimario1878
@hellenkimario1878 4 жыл бұрын
Dada je unasuka kama unavyosuka mbinjuo?
@Faithbeautyclasses
@Faithbeautyclasses 4 жыл бұрын
Mwanzo kidogo inakuwa tofauti na mbinjuo Ila huko mbele inavyoendelea unasuka Kama mbinjui
@hellenkimario1878
@hellenkimario1878 4 жыл бұрын
@@Faithbeautyclasses a.sante mamy
@marymakena8731
@marymakena8731 4 жыл бұрын
Hivyo ndivyo mimi husuka lakini hua imeregea sijui nakosea wapi.. Pia inakataa kunyooka hivi.. Natamani kufunzwa siri ya kushika nywele I jikaze vizuri.
@Faithbeautyclasses
@Faithbeautyclasses 4 жыл бұрын
Hapo shida itakuwa ni kwenye ubanaji wa rasta na kwenye kupachika rasta.
@jestinagiyupa8326
@jestinagiyupa8326 3 жыл бұрын
unavoxuk mara tano unabeba na nywele zingine
@Faithbeautyclasses
@Faithbeautyclasses 3 жыл бұрын
Ndiyo mpenzi , unakuwa unachukua na Nywele nyingine kidogo kidogo
@jestinagiyupa8326
@jestinagiyupa8326 3 жыл бұрын
asante mamy
@veronicamaganga6176
@veronicamaganga6176 4 жыл бұрын
Asantee
@nurusultan2517
@nurusultan2517 4 жыл бұрын
Uko vizur
Jinsi ya kusuka yebo fasta ya njia 3
7:57
FAITH BEAUTY CLASSES 💄
Рет қаралды 26 М.
РОДИТЕЛИ НА ШКОЛЬНОМ ПРАЗДНИКЕ
01:00
SIDELNIKOVVV
Рет қаралды 3,4 МЛН
iPhone or Chocolate??
00:16
Hungry FAM
Рет қаралды 50 МЛН
Which One Is The Best - From Small To Giant #katebrush #shorts
00:17
JIFUNZE KUWEKA DAWA YA DARK & LOVELY KWA NJIA RAHISI KABISA.
22:36
FAITH BEAUTY CLASSES 💄
Рет қаралды 379
How To: Cornrow Your Own Hair | For Beginners
12:25
Adia Sharel
Рет қаралды 49 М.
Big chop after 30 years of relaxing her hair | transitioning to natural
16:17
Elite Hair Care USA™️
Рет қаралды 7 МЛН
She NEVER thought she could achieve this style, with so much hair loss.
17:04
TheHairGuru Carla
Рет қаралды 3,7 МЛН
How to Cornrow for Beginners, Step-by-Step | Part 1 of Braiding Series
25:23
JIFUNZE KUSUKA YEBO FASTA YA NJIA TATU ( MWANANDANI) KWA NJIA RAHISI KABISA
15:11
FAITH BEAUTY CLASSES 💄
Рет қаралды 869
ETHIOPIAN LINES 4in1 lines|| FISH BONES ||TIGRAY LINES |@JOYCEARTS-p2p
13:00
Jinsi ya kusuka mnyoosho
9:29
Mamdogo Training
Рет қаралды 37 М.