NJOZI YA ADHANA UKILALA UKAOTA UNATOA ADHANA AU UNASIKIA ADHANA. HII NDIO TAFSIRI - SHEIKH KHAMIS S.

  Рет қаралды 28,265

MASJID MTORO ONLINE TV

MASJID MTORO ONLINE TV

Күн бұрын

Пікірлер: 72
@zakiaali79
@zakiaali79 2 жыл бұрын
Shekh mie ni mwanamke na nmeota naadhin na ndgu zang wanasifia na kushangazwa na saut ang manaake n nni tafadhali🙏🙏
@savagetz.1447
@savagetz.1447 2 жыл бұрын
🤣🤣
@NoorynMuddy
@NoorynMuddy 7 ай бұрын
Jitaidi kuingia katika pwent vidio ndefu mpk inachosha
@abdulqaderalmarzooqi3614
@abdulqaderalmarzooqi3614 4 жыл бұрын
Mashaallah Allah akupe maisha marefu
@nyumbayatibanadua737
@nyumbayatibanadua737 4 жыл бұрын
Amin yaaraby
@abuumkota5505
@abuumkota5505 4 жыл бұрын
Allah atujaarie kheri na mwisho mwema wallahu ya'alam
@salimswaleh8120
@salimswaleh8120 4 жыл бұрын
Maelezo mazur mashaallah
@maryammct3967
@maryammct3967 4 жыл бұрын
Amin yarab twakuomba wajawako
@mahmudumsuya3831
@mahmudumsuya3831 Жыл бұрын
MASHAALLAH
@AmourMharami
@AmourMharami 3 ай бұрын
Mashallah mim usiku wa jana kuamkia Leo nimetoa nimetoa adhana msikitin Kwa sauti mzuri na watu wakaja kwa wingi sana na kutaka kuona ni nani aanayetoa adhana na hatimaye swafu zilijaa nilivomaliza kuadhini nikashtuka
@mariabahebe4411
@mariabahebe4411 2 жыл бұрын
Nafurah xana
@kaimaaboobacker6226
@kaimaaboobacker6226 10 ай бұрын
MashaAllah thanks
@balotelingalundangalunda1338
@balotelingalundangalunda1338 4 жыл бұрын
JAZAKALLAHU KHAIRA ya sheikh. sheikh nmeota et namuona mtoto mchanga anajifungua yani anazaa kiukwel nmeshangaa sana naomba unisaidie sheikh
@twaibumikidadi7377
@twaibumikidadi7377 4 жыл бұрын
Baloteli Ngalunda Ngalunda hahaha nmecheka sanaa
@mwanaishahussein2635
@mwanaishahussein2635 4 жыл бұрын
Skukran sheikh, insha Allah nitazichunguza na kuzifutilizia huenda nitapata nazuri kumaisha🤲🤲🇰🇪
@nyumbayatibanadua737
@nyumbayatibanadua737 4 жыл бұрын
Shukran
@vdhjhdhdhhhd9332
@vdhjhdhdhhhd9332 4 жыл бұрын
Mashallah..asantee kwa ufahamu
@nasmanasma572
@nasmanasma572 6 ай бұрын
Mashallah shehe mm uwa naota sana nikiwa naswali au nasoma Quani inamanisha nn shehe
@bbb6nnn561
@bbb6nnn561 3 жыл бұрын
Mimi nimeota adhana inasomwa nikasema mashaallah hii adhana msomaji mashaallah anasauti mzur bc na niliota majuz na jana maharibi bc ikaadhiniwa adhana kweli kweli nikasema vile vile mashaallah saut yake iko vizur na wala hio sio ndoto nikweli kabisa jee inamana gan
@kilimilekilimile6446
@kilimilekilimile6446 2 жыл бұрын
Maa Sha Allah
@ahmedsaeid3314
@ahmedsaeid3314 4 жыл бұрын
Allah Atufanyie wepesi InshaAllah
@nyumbayatibanadua737
@nyumbayatibanadua737 4 жыл бұрын
Amin yaaraby
@swaumumakunga2469
@swaumumakunga2469 2 жыл бұрын
Masha Allah
@ZainabZainab-tv9ir
@ZainabZainab-tv9ir 4 жыл бұрын
Mashaallah shukran
@nyumbayatibanadua737
@nyumbayatibanadua737 4 жыл бұрын
Ahsante
@shabaniramadhani657
@shabaniramadhani657 4 жыл бұрын
Sheikh tupo pamoja sanaaaa
@mwalamidihimbwa6459
@mwalamidihimbwa6459 Ай бұрын
Huwa maranyingi sana mi naota naazini na Muda Kama muda waswala unakalibia cjatoka usingizini naota naazini ama naswalisha
@khadijatirionaire2510
@khadijatirionaire2510 4 жыл бұрын
Shukrani shek
@jakirrizwan8325
@jakirrizwan8325 4 жыл бұрын
Shukurani shek
@mariammuscat4300
@mariammuscat4300 3 жыл бұрын
Mashallllah
@husseinkitingi8186
@husseinkitingi8186 Жыл бұрын
Mi nimeota naadhini kwa sauti nzuri na yakuvutia na kila mmoja akaifurahia ila sikuimalizia
@nepomucenenyandwi5233
@nepomucenenyandwi5233 4 жыл бұрын
Allahuma amini
@joharrashid2762
@joharrashid2762 Жыл бұрын
Assalam aleykum mm nimeota mzazi mwenzangu ananipeleka mafichoni akabadilika kuwa paka nikaogopa kisha nikashangaa natoa adhana nayule paka kukimbia nakuogopa ila sikufika mwisho nikaamka
@haza2074
@haza2074 10 ай бұрын
Salama Aleyku shekher kuna mtu ana Ota adhana inatolewa mala 2 sio muislam
@salmamwamende7455
@salmamwamende7455 4 жыл бұрын
Asalam aleykum sheikh Mimi hua naota maneno ya Quran yameandikwa angani na pia zamani nilikua naona maneno ya Quran yanaandokwa pindi radi inapo mulika
@saidahamisi6404
@saidahamisi6404 4 жыл бұрын
MashaAllah
@sebbymwajuma3853
@sebbymwajuma3853 4 жыл бұрын
Asalaam Aleikum mm nishawahi kuota maiti wa kike katoka kwenye jeneza na akaadhini tena Kwa sauti nzuri maashallah jee maanake nn
@asiaissa976
@asiaissa976 4 жыл бұрын
Amiin
@swalehmwalim244
@swalehmwalim244 3 жыл бұрын
Barakallah fiika lakini VIP kuota unaiskiya adhana inatolewa maskioni mwako tenayote mawili
@mzeemwamguno9367
@mzeemwamguno9367 4 жыл бұрын
شكرا جزيلا
@rahmahabibu1432
@rahmahabibu1432 Жыл бұрын
Mimi nimeota namuadhinia mtoto aliezaliwa kisa hapana mwanaume
@rayyanomar3813
@rayyanomar3813 6 ай бұрын
Shekhe zote umeroa za aliye toa AZANA jee aliyeota amesikia azana inamaana gani??
@AminaOman-j7e
@AminaOman-j7e Жыл бұрын
Shehe nimepata nipo chooni najisaidia haja ndogo alafu pembeni yangu kunakinyesi kikubwa kipo pembeni ya shimo.wakati napeleka macho nje ya choo Hiko Yani Kwa nje nikaona kama Kuna ndege katika limit sijui mgomba Ile wapo kama watatu au wawili hao ndege ila ndege awo nikiwangalia miguu naona kama ndizi ambazo zimeiva Yani mfano wa miguu Yao ni ndizi Yani naona kama ndizi za kuiva
@fatmasaiderick1935
@fatmasaiderick1935 4 жыл бұрын
A/alekum shekh ,m nimeota napita sehem nikaskia adhana nikawaona wanawake wawili wametulia vile vile baada ya kuskia adhana bac namm nika piga magoti nikanyanyua mikono juu namuomba mungu shida zangu,lakin upane mwingine kunamwanamke ananiambia maneno haya ujajistir unamuombaje mungu wakati mm nimevaa gauni ndefi adi chin ya kaushi na nimejitanda kanga vizur tu nn maana yake
@khamisfarouk9493
@khamisfarouk9493 2 жыл бұрын
Jiangalie matendo yk
@AminaOman-j7e
@AminaOman-j7e Жыл бұрын
Shehe pia nimeota nikiwa nimeshika sahani ndani ya sahani hiyo Kuna maembe nikawa nawapa watu wawili yayo maembe Tena ya kuiva alafu embe bichi nikabaki nalo .baada ya apo nikasikia hazana inahaziniwa nikawambia wale watu Mimi nasikia hazana naenda kuswali nikaondoka Nini maana yake
@zammaulidi7507
@zammaulidi7507 3 жыл бұрын
Nimesikia Azana Ila nipo barabarani mskiti nauona ule pale Ila kuna vijana nje lakini wnaqmya zogo wao hawaskilizi kisha imimi nikaenda tia udhu ila Kwa anaume sasa nikaeekezwa nend kule kw wanawake Ila sijasali yaaja mambo mengine tena
@avalonking1655
@avalonking1655 2 жыл бұрын
Mm nakushauri sh kuna ulazima gani kila unapo anza kipindi wewe lazma uanze na doto za na bii yusuf au na bii ibrahim mm naona hiyo haina ulaxima wewe nenda kwenye main poit ambayo umeiandaa unakua una take time unafanya prosses iwe kubwa
@mjaweathman6519
@mjaweathman6519 6 ай бұрын
Warefusha saana enda kwenye point tunatumia bundles 😮😮😮
@masudimlage4616
@masudimlage4616 2 жыл бұрын
Ukiota ndoto unatoa achana upo ndani ya gari maana yake Nini?
@munnahasha9324
@munnahasha9324 3 жыл бұрын
Je kama umelala naukasikia adhana manayake
@awaahassan936
@awaahassan936 2 жыл бұрын
Mimi niliota mara tatu hii ndoto
@happyhamza9916
@happyhamza9916 2 жыл бұрын
Shekhe mi niliota sehem natoa Adhana afu ambao nawadhinia walitaka kunishika shingoni lakin walitaka kushika cheni lakin kwenye kidani kina maneno ya Qurani Ile wanataka kunishika gafla nikazaa kudhini afu sauti ya adhana inawachoma masikioni Ila namka kweli nasikia Adhana.hii nini Maan yake
@naominapendwa141
@naominapendwa141 2 жыл бұрын
Nimesikia azana usingizini ghafla nikanza kusafisha duka maana kulikuwa na karatasi nyingi Sana ndan ya dukan nikawa naziokota Nini maana yake
@greatiq7835
@greatiq7835 3 жыл бұрын
Salaam, Sheikh! Je, kuota nimesikia Adhana ikiadhiniwa kwa sauti iliyo nivutia mno. Kiasi nilivyo amka nikawa naitamani kusikia tena ile Adhana. Maana yake nini? Tafadhwal, Sheikh!
@WhosnerSemboko
@WhosnerSemboko 2 жыл бұрын
Mm nimeota Leo watoto wa3 wanatoa Adhana wamekaa barabarani maana yake nn?
@mvanobilali8502
@mvanobilali8502 3 жыл бұрын
A w w mwalimu kuota niko kwenye tundu la msalani kisha na sikia adhana ina tokea mtundu la msalani ina maanisha nini?
@راجيعواجي
@راجيعواجي 3 жыл бұрын
mimi naiota kila mara lakin simimi ninae adhin ni mtu mwengine na hua ikiadhin niwakati wa kswali
@راجيعواجي
@راجيعواجي 3 жыл бұрын
kutokwa na akili vpi
@راجيعواجي
@راجيعواجي 3 жыл бұрын
khamisi download masjid mtoro ina mafunzo ya islam
@brendahnamitati6818
@brendahnamitati6818 4 жыл бұрын
You ought know that half of your followers are not Muslims. Kindly limit your preaching in Arabic. Thank You for sharing
@shamisfahiye9628
@shamisfahiye9628 3 жыл бұрын
Lol , I don't think you understand that he need to quote where he's dreams interpretation meanings coming from. ..and where the references coming from.. ..
@nepomucenenyandwi5233
@nepomucenenyandwi5233 4 жыл бұрын
Tuko sambamba ya shekhe tunakusikia kwamakini haujakosea
@ummunajma9450
@ummunajma9450 4 жыл бұрын
Assalam alykm shekh wangu, naomba kuuliza tafadhali hivi jozi mtu anayoota mda gani ndio inakuwa ya ukweli, mara saa nyingine hulala asubihi jua likitoka mpaka saa nne na kuota. Je ndoto ya mda huo inaweza kuwa ina maana pia?
@twaibumikidadi7377
@twaibumikidadi7377 4 жыл бұрын
Mwanakombo Chakwe wanasema wasomi n masaa ya kıza kinene saa 1/2/3 yaani saa saba/nane na tisa Allah ya3alamu
@sakinamohamedy7506
@sakinamohamedy7506 4 жыл бұрын
Mm niliota tunaswali taraweh lkn wanaume wapo nyuma ya wanawk. Lkn ktk swala ile watu hawasomi nyiradi bas mm nikaanzisha uradi mmj kisha tukasimama ili tuanze kuswali ghafla nikaona waganga wakienyeji wamesimama nyumbn kwetu wanamwaga damu
@twaibumikidadi7377
@twaibumikidadi7377 4 жыл бұрын
Sakina Mohamedy nacheka sana sakina imam hakuna hivyo mpaka akaswalisha tu daaa!!
@abdallahdumwe9420
@abdallahdumwe9420 4 жыл бұрын
Maashalah
@balotelingalundangalunda1338
@balotelingalundangalunda1338 4 жыл бұрын
JAZAKALLAHU KHAIRA ya sheikh. sheikh nmeota et namuona mtoto mchanga anajifungua yani anazaa kiukwel nmeshangaa sana naomba unisaidie sheikh
@nyumbayatibanadua737
@nyumbayatibanadua737 4 жыл бұрын
Njoo WhatsApp +255758678552
@mishiabdallah1128
@mishiabdallah1128 4 жыл бұрын
Asalam Aleykum sheikh mm naota kutapika sana usingizini nn maana yake
Человек паук уже не тот
00:32
Miracle
Рет қаралды 2,6 МЛН
Cool Parenting Gadget Against Mosquitos! 🦟👶 #gen
00:21
TheSoul Music Family
Рет қаралды 33 МЛН
UFC 308 : Уиттакер VS Чимаев
01:54
Setanta Sports UFC
Рет қаралды 849 М.
Сюрприз для Златы на день рождения
00:10
Victoria Portfolio
Рет қаралды 2,8 МЛН
JINA MOJA LA ALLAH AMBALO UKIMUOMBA KWA JINA HILO DUA YAKO HAIRUDI UTAJIBIWA
18:37
Alhamis ndio siku Bora ya Kusafiri - Sheikh Othman Maalim
38:57
UKIOTA NDOTO INAYOHUSIANA NA NYOTA | HII NDIO MAANA YAKE | SHEIKH KHAMIS SULEYMAN
30:17
Человек паук уже не тот
00:32
Miracle
Рет қаралды 2,6 МЛН