Chanzo cha UGOMVI wako na KASSIM MAFUTA ni nini? | Sheikh Salim Barahiyan

  Рет қаралды 88,349

IHSAAN TV

IHSAAN TV

2 жыл бұрын

Пікірлер: 380
@zedon2047
@zedon2047 2 жыл бұрын
Wallah Sheikh Salim umeongea vizuri mno na umetuwekea wazi haya Majambo..!! Hakika endelea na Da’wah.. Allah akuhifadhi Sheikh wetu
@sadambakari2579
@sadambakari2579 27 күн бұрын
Ndio mjue sasa kuwa uwahabi nifitna katika umma Kwahiyo elimu imekuja nanyi wengine wote waliopita hawajui dini mtihani huu Allah atunusuru nakina Barahiyan tufate wema waliotangulia
@salehabri6957
@salehabri6957 2 жыл бұрын
Shek mafuta KAZI ya kusafisha iendelee👍sms zinafika mahala pake.
@zedon2047
@zedon2047 2 жыл бұрын
Jitu Ongo kama Mafuta asafisha nini zaidi ya Kuharibu.. jielewe ewe kijana
@bwagizoselemani8434
@bwagizoselemani8434 2 жыл бұрын
Nikweli kasimu mafuta anaubish wa kidigo anakibri sana kila shekhe kwake hafai anamsema mpka kishki na hawezi fikia jitihada za shekhe kishki
@salehabri6957
@salehabri6957 2 жыл бұрын
@@bwagizoselemani8434 ujahili umekuzidi
@hafidhsalum9149
@hafidhsalum9149 2 жыл бұрын
@@bwagizoselemani8434 jitihada gani amefanya kishki tuelezee kidogo
@eng.saalim8646
@eng.saalim8646 2 жыл бұрын
@@bwagizoselemani8434 hahahaha. Hebu acha kuchekesha watu
@nadirmahfoudh1812
@nadirmahfoudh1812 2 жыл бұрын
Namuomba Allah aziunganishe nyoyo zenu kama ziiivyokuwa hapo awali.
@LumolaSteven
@LumolaSteven Жыл бұрын
Hiyo haiwezekani kwasababu hiyo ni nature fitna ndio huenda hivyo. Hata huyo Mafuta atakuja kupingwa na yeye na kuendelea mpaka kiama wanafunzi wa wanafunzi wenu fitna huwa inaendelea
@salimakida95
@salimakida95 3 ай бұрын
Haziwezi kwa sababu Nia zao zote ni tofauti,maslah mbele iwe mali au uongozi
@salimabdallah5176
@salimabdallah5176 8 ай бұрын
DHIKRI FIKFI SHUKRI SUBRI..
@user-hk6ls3yw9q
@user-hk6ls3yw9q 9 ай бұрын
Allah akuhifadhi.
@user-nf6uk6kj6r
@user-nf6uk6kj6r Жыл бұрын
جزاك اللهُ‎
@AbdulkhadirMaulid
@AbdulkhadirMaulid 3 ай бұрын
ALLAH akuhifadhi shekhe ila mioyo ilopigwa mihuri ya kiza na ALLAH haiwezi kupenya haki
@abuuirfan9523
@abuuirfan9523 2 жыл бұрын
Tumekuelewa Mwalimu wetu Allah akuhifadhi
@abdulhamidkassim7019
@abdulhamidkassim7019 2 жыл бұрын
masha allah
@aishachande2224
@aishachande2224 2 жыл бұрын
Mimi natamani ifike siku mupatane Allah aliwafikishe ilo
@Abuu-bakarHamzaAlawi-re6xq
@Abuu-bakarHamzaAlawi-re6xq 11 ай бұрын
Nashauri kama nyote ni Masheikh wa Da'awa ya Kisalafy basi muondoe tofauti zenu. Macho yetu waislam yako juu yenu
@muniratalal9273
@muniratalal9273 Жыл бұрын
Allah atuoneshe haqi tuifwate na baatil tuepuke
@kigu3
@kigu3 Жыл бұрын
Mashaallah
@HasanatKhamis
@HasanatKhamis 3 ай бұрын
Allah atujaalie tuwe ni wenye kufuata Qur'an na Sunna. Na atujaalie waislam woote tuwe kitu kimoja kwa kufuata nyayo za mtume صلى الله عليه وسلم. Na nyie masheikh pia Allah azidi kuwapa tawfiiq ili muweze kuondoa tofauti zenu na muweze kushikamana pamoja ktk Kamba ya Allah تبارك وتعالى ili Uislam uzidi kupata nguvu na kusonga mbele.
@fadhilikizayi4182
@fadhilikizayi4182 2 жыл бұрын
Nguzo kuu za mahizb ni tatu 1.Uongo 2.Hadaa 3.Talbiis (Kuchanganya haki na baatil)
@costantinomnyanga8037
@costantinomnyanga8037 2 жыл бұрын
Umeongea ukweli hawa mahizbi ni waongo na wenye kuchanganya haki na batili
@halidilikuse9742
@halidilikuse9742 2 жыл бұрын
Una ushahidi gani kwa hilo usemaloo
@rajabumbendenga5480
@rajabumbendenga5480 2 жыл бұрын
@@halidilikuse9742 UONGO namba 1 kusema kwake kuwa Sheikh Muqbil Rahmahullah alikuwa na ugomvi nao answar sunna wa Sudan
@halidilikuse9742
@halidilikuse9742 2 жыл бұрын
Sahihi kwel kabisa nilisoma kwa nguzo za mawahabi
@zedon2047
@zedon2047 2 жыл бұрын
@@rajabumbendenga5480 Tukuletee ushawidi ewe kijana Mjinga usiyefanya Tafiti??
@alswahabein-99alkhazain91
@alswahabein-99alkhazain91 2 жыл бұрын
Mashaa Allah sheikh ata uku 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 wanatu sumbua sana
@tztanzania2262
@tztanzania2262 2 жыл бұрын
Daaah painfull
@abdallahabeid4138
@abdallahabeid4138 2 жыл бұрын
Badala ya kuunga umma, tunajisifia ukubwa wa makundi na wingi wa misikiti. Tunatukuza mifarakano baina ya waislamu, makundi 72 aliyoyatabiri Mtume ndio haya.
@abdallahjuma4397
@abdallahjuma4397 2 жыл бұрын
Allah ajalie Yaishe haya nikikusikiliza ww naona kuna ukimsikiliza Abulfadhil poa naona kitu Mmekhitilafiana kwaajili ya Da awa wekeni nguvu kubwa katika kitafta Sulhu na si kuendelea kuyakuza.. Allah ni muweza wa kila kitu atalimaliza hili In Shaa Allaah watu wa Sunna wote watakuwa kitu kimoja Bi idhn Lilah
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 2 жыл бұрын
WALIGOMBANISHA WATU NA SASA ZAMU YAO😂. WAMEPIGWA HALBADIRI NA NAZI YA NJIA PANDA ZA SUFI😂😂😂. WANACHEZEA SUFI HAWAWAJUI. SUFI HAJIBU KWA MDOMO, ANASHITAKIA ALLAH SW TUU KWA KAFARA MOJA TU. MTUME SAW AMESEMA KUWA WAISLAMU IKIFIKA SIKU 3 HAWAJASEMESHANA BASI ATAEKUFA NI MOTONI. SASA HAWA NA MTUME WAO WA NAJDI KAZI WANAYO. mashekhe na dalili za motoni mnaziona. SASA WANAITANA MASUFI. WEE BABU BARAHIANI USHIKE ADABU YAKO MAANA MAFUTA HATUMTAMBUI KATIKA WATU WETU WA KISUFI NA UTUAMBIE KANYWA IJAZA WAPI???. WEWE MZEE HUYO MAFUTA NI MUWAHABI MWENZIO ATA UKIMKATAA NI BURE TUUU. SUFI HAKUNA WATU WAPUMBAVU KAMA HAO KWAIO USIMPE CHEO UKAMUITA SUFI, MAANA KUROPOKWA UPUUZI NDIO UPUMBAVU WENU.
@abdallahjuma4397
@abdallahjuma4397 2 жыл бұрын
@@hilalkhalfan1452 muongope Allaah akisamehe ya akhy
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 2 жыл бұрын
@@abdallahjuma4397 HUO NDIO UKWELI. NA HIKO KIMAFUTA KAMA PICHA KAKATAA JEE SIMU KWANINI ANATUMIA NA ANATIZAMA PICHA ZA WATU WENGINE? 😂. AU KHARAMU NI PICHA YAKE TUU LAKINI YEYE KUTIZAMA PICHA ZA WENZAKE VIPI?. NA HUYU BARAHIANI KAVUNJA MAKABURI JEE NDIO ILIVYOKUWA TABIA YA MTUME SAW?. MAANA KAVUNJA KABURI LA MTU KISHA ANASINGIZIA KAVUNJA MIZIMU😂😂😂. MAWAHABI KWELI NI WEHU WAMEWEHUKA. MIZIMU IPO UKO KINYAMKERA AENDE AKAKATE MAPORI MAANA MIZIMU HUKAA MAPANGONI AU MAPORINI KWENYE MITI MKUBWA NA UKIENDA UNAO ANA LIVE NA MAJINI NA AENDE HUYO BARAHIANI KAMA CHUPI HAJAISHIKA MKONONI😂😂😂. ATI KAENDA KUVUNJA KABURI MASKINI NDIO ANAONA KAVUNJA MZIMU 🤣🤣🤣. MWEHU KUMBE HUYUU😳
@sheikhwalidalhadtv2950
@sheikhwalidalhadtv2950 Жыл бұрын
Nyota mnasumbuliwa na I walaau na ubaraau na msipozitengeneza nafsi zenu mtaendelea kupata tabu na kupingana kila kukicha
@hafidhsalum9149
@hafidhsalum9149 2 жыл бұрын
Na milioni 200 pia uzitolee ufafanuzi apo
@user-mt4rw1bu2f
@user-mt4rw1bu2f 3 ай бұрын
Sahihi Akhuy milion 200 pia azitolee maelekezo
@mrangi4454
@mrangi4454 2 жыл бұрын
Asalaam Aleykum sheikh hii ni Ramadan na unaposema kitu nivizuru uwe na ushahidi uoneshe
@ramaally9250
@ramaally9250 2 жыл бұрын
shekh qasim unamsimulia lakini kumbe anaakili kweli kweli na anaonesha kumbe anaelimu kubwaa
@shkjumaa8339
@shkjumaa8339 2 жыл бұрын
acha tahasubi katika dini
@binaamour318
@binaamour318 2 жыл бұрын
Kw kipimo kipi ulichopima
@cheapunderage8228
@cheapunderage8228 11 ай бұрын
Akili na elimu ni vitu tofauti
@osmanabuu7989
@osmanabuu7989 2 жыл бұрын
Allah akuweke sheikh Salim!!
@salumrashidabdullashmely2558
@salumrashidabdullashmely2558 4 ай бұрын
Amuweke nini
@ramadhanswalehe8643
@ramadhanswalehe8643 Жыл бұрын
Allah akufanyie wepes shekh barhiyan
@aboubakarynassor2508
@aboubakarynassor2508 2 жыл бұрын
Sheikh asalaam alaikum Nauliza eti naskia uliwahi kusoma na mzee chilo
@abdallahkambangwa7215
@abdallahkambangwa7215 2 жыл бұрын
MashaAllah
@ShabaniYusuph-ii1ru
@ShabaniYusuph-ii1ru 3 ай бұрын
Yaani mizozo inayo endelea ndio napata picha kua hata uwe na elimu vipi lakini mpaka Allah akupe hekma na Busala na uwe na moyo wa kusubiri bila hivyo hata kama umesoma na ukiwa huna subira ndio ikitokea kukwazana tu kila mtu anaangalia mazwaifu ya mwenzie na kuanza kuyatangaza sijui utapata faida gani.
@abuuyusra6139
@abuuyusra6139 2 жыл бұрын
Mzee uliulizwa maswali kumi na shekh Abul faadhl Qasim mafuta حفظه الله Fanya mpango wakuyajibu mamb yakae Waz me najuwa hauto wez basi jitahid ujibu ata Moja
@Yu-jr9uf
@Yu-jr9uf 2 жыл бұрын
Acha fitna na ushabiki kwenye dini!! Sasa kama tayar unajua hawez kuyajibu unakejeli ajibu nini sasa
@hamisrajab5340
@hamisrajab5340 2 жыл бұрын
Uisilam nikuweka bayana Sasa kwanini asijibu kwahiyo unatetea ujinga
@abuuyusra6139
@abuuyusra6139 2 жыл бұрын
Inamuwajibikia kutaraajai ktk Yale alio kosea jambo alijaisha Kwa kunyamaza kwake umetumia mzani gan mpaka ukaniona mshabik ktk dini lazima abainish ili mamb yakae saw
@emanuelkimalo4966
@emanuelkimalo4966 2 жыл бұрын
@@Yu-jr9uf wewe ndiiyo unafitina nakingine aseme Ml 200 alitapeli saudia iko wapi
@zedon2047
@zedon2047 2 жыл бұрын
Tutoleee Upuuzi hapa.. mambo yakielimu hatutaki Ujinga
@hamadselfabdalla8344
@hamadselfabdalla8344 2 жыл бұрын
Kundi la masalafi au kama mnavyojivuwa gamba mawahabi maanswari masalafi . mpasuko kwenu kitaifa na kimataifa ni tarajio .. Mnatumikia ajenda za kuwafitisha na kuwaf waislamu kwa kujuwa . HAKIKA ALLAH HAWAONGOZI WATU MADHALIM.
@eddieeddie2755
@eddieeddie2755 2 жыл бұрын
Maulidi kwisha alhamdulillah, uzushi ndani ya dini.
@Kijokatv
@Kijokatv 2 жыл бұрын
Changamoto hamtuungi ktk magroup ya sunna nandio mana tuna wa sikiliza sana kina mafuta tuungeni ili tupate hizi darasa
@mussamsuya8595
@mussamsuya8595 2 жыл бұрын
Wew kweli bado kumbe
@CalvinVenance
@CalvinVenance 3 ай бұрын
Tatizo mane muogope mungu
@darajanida
@darajanida 2 ай бұрын
mtajuwana nyote nimawahab
@mohammedmussa7378
@mohammedmussa7378 2 жыл бұрын
tatizo la watu wa zama hizi zetu kutoheshimiana , kuto fata maneno ya allah subhana wataala na mtume wake swalah allahu alayhiwasalam , kuona elimu za wenzao silolote wala sichochote wao na hii inaleta raka baina ya waislam na tumekatazwa kufarakana
@saadahmed7459
@saadahmed7459 2 жыл бұрын
Uyu mzee amejaa Hadaa,Talbis na urongoo
@muhammadhassanmsaky375
@muhammadhassanmsaky375 2 жыл бұрын
Muulize milioni 200 hikowap?
@jumanasoro8903
@jumanasoro8903 2 жыл бұрын
Kaa kimya wewe
@shaban6644
@shaban6644 2 жыл бұрын
16:25 point to note
@mrangi4454
@mrangi4454 2 жыл бұрын
Kama kweli ni wailamu wazuri sio kukashifiana munge kaa chini mumalize tafauti zenu
@ummahmed3354
@ummahmed3354 11 ай бұрын
kweli kabisa
@khalfansharji-ez7pg
@khalfansharji-ez7pg Жыл бұрын
Miwahabi itamalizana oh oh oh kumbe Hela!!! Dini pembeni Hela Hela mshajulikana!!!
@selemanijafari9225
@selemanijafari9225 9 ай бұрын
Mimi toka nijue picha haramu sipingi na sijazurka chochot
@hamzayusuf2999
@hamzayusuf2999 2 жыл бұрын
nikweli mowlidi ni dini mungu amesema nyenye mawahabi ni makafiri
@mahmoudmohamed-vt8wg
@mahmoudmohamed-vt8wg 2 жыл бұрын
kheeee we vp tena asee
@allyjaffar7072
@allyjaffar7072 6 ай бұрын
Narudia tena hizi ni POROJO...jizee hili Allaah alirehemu
@user-mi3cs9lc6y
@user-mi3cs9lc6y 6 ай бұрын
Mimi no mtu was madufu ila hukutakiwa kusema jizee.
@allyjaffar7072
@allyjaffar7072 6 ай бұрын
@@user-mi3cs9lc6y Bali nilitakiw kusem vipi kinyume na jizee
@sultanbakary4292
@sultanbakary4292 5 ай бұрын
Unatumia matako kufikria tumia akili Yako kenge ww
@mohamedali7544
@mohamedali7544 Жыл бұрын
Tumuogope Mungu tendeee mbele dini baadae
@abdulwahababdulkadir9965
@abdulwahababdulkadir9965 2 жыл бұрын
Salafy sio wabaya mm huwapenda zaidi pale wanapoingia peponi kabla ya kufa,na dini ni ya kwao tu ukienda kinyume na mitazamo yao ww ni kafiri sema bado kuvaa msalaba tu,Allah anatutazama tunavyoyakoroga halafu atupe tathmini ya matendo yetu,turudi ktk njia sahihi nayo ni kuheshimiana na kufuata muongozo sahihi wa qur an na sunna
@jabirmwalimu2104
@jabirmwalimu2104 2 жыл бұрын
mjinga
@bilalhamisisalim1469
@bilalhamisisalim1469 Жыл бұрын
دع الكذب!
@nassorsaleh2127
@nassorsaleh2127 Жыл бұрын
ufaham wako mdogo kwenye dini
@majidiabdi424
@majidiabdi424 3 ай бұрын
Eti sio WABAYA Wakati Kila asie jiita SALAFI wanamuiita ( HIZIBI ) au kuitana Majina MABAYA si katika UBAYA ? Usiwatakase Wanachama CHA kisalafi - wanawatusi sana Wasio kua wao Na Wana wadharau vile vile - Wakati Allah Mwenye Dini yake hakututaka Tue MASALAFI wala MTUME wake Hakuutangaza USALAFI - Na Hakuna Mlango kati ya Milango ( 8 ) ya JANNAH wa MASAFI.
@majidiabdi424
@majidiabdi424 3 ай бұрын
​@@nassorsaleh2127Mtume WETU ( S.A.W ) alitukataza DHARAU - lakini kwakua Mwatangaza USALAFI Badala ya UISILAMU madhambi kibao ya KUWATUSI WAISILAAM na KUA DHARAU - wakati Hakuna Mlango kati ya Milango ( 8 ) ya JANNAH kua Mlango huu Ni wa kila Alie jiita SALAFI
@user-vg3bf5vi1y
@user-vg3bf5vi1y 2 жыл бұрын
As-lam a'aleykum 👋 Shekhe tafadhari chuo kipo wapi naitaji kusoma Dini pia 🙏
@osmanabuu7989
@osmanabuu7989 2 жыл бұрын
Njoo Tanga Ansaar Muslim Youth centre. Tuta kupeleka Mahad Al Imamu Shafiy!!
@user-vg3bf5vi1y
@user-vg3bf5vi1y 2 жыл бұрын
@@osmanabuu7989 Shukran mie Niko tabora hapa wilaya ya nzega
@abdujalilukilahama1209
@abdujalilukilahama1209 2 жыл бұрын
@@osmanabuu7989 Assalaam alaykum warahmatullah wabarakatuh vp Hali shekh Osman
@Abuuabdillah259
@Abuuabdillah259 2 жыл бұрын
Nenda pongwe
@user-vg3bf5vi1y
@user-vg3bf5vi1y 2 жыл бұрын
@@Abuuabdillah259 as-lam a'aleykum 👋 Shekhe nivuzur ninge pata ma wasiliano kwani mie katika mji huwo Ni mgeni kabisa 🙏
@MohamedMgwami-nw6bl
@MohamedMgwami-nw6bl 9 ай бұрын
Mawahabi ni sumu mbaya kwa waislamu,sasa ndio kila mmoja wetu awatambue hawa watu,watu hawa hawana kheir nasi,
@rashidwesonga7475
@rashidwesonga7475 11 ай бұрын
Hao mafuta wanaleta fitna msikitini lakini hawatafaulu kwa uwezo wa Allah
@mkanash3144
@mkanash3144 2 жыл бұрын
Binafsi bado sijaridhika na hatua yenu ya kunyoosheana vidole wenyewe kwa wenyewe
@salumjabir813
@salumjabir813 2 жыл бұрын
Raha jamani....mnovokurofshana wenyewe kwa wenyewe...RAHA MNO.
@mohamedhamismagoraonlinetv459
@mohamedhamismagoraonlinetv459 Жыл бұрын
Raha sana Wallahi Mawahhabi wanavyotofautiana.
@khadijabakari461
@khadijabakari461 Жыл бұрын
Eti shekhe chombo ulichoweka nyama yangulue unakitwahalishaje?
@karamaabeid9697
@karamaabeid9697 2 жыл бұрын
Mmmh hebu tusubiri ramadhani ipite tutajua ni ya kweli hayo uliozungumza maana kwa uongo pia hujambo
@wazirihamisi6484
@wazirihamisi6484 2 жыл бұрын
Allah amuongoze huyu mzee ktk haki kwasababu ni muongo sana tena sana wallahi yani ana chuki sana na sheikh QAASIM
@zedon2047
@zedon2047 2 жыл бұрын
Wewe hutaki kuongozwa??! Au ushaongoka wewe.. Hakika ujadida ni Maradhi
@ameerzulfiquar2111
@ameerzulfiquar2111 2 жыл бұрын
@@zedon2047 na mbona mnatoa ilm kwa masalafi? Sheikh fawzan? Sheikh al albani rahimullah? Na sheikh wengi wengi tu,nyinyi ma ikhwani mnatabu sana, faham muhim sana omba dua sana kupata ilm ya manufa
@skozamsai2654
@skozamsai2654 2 жыл бұрын
Ni kwa sababu wewe ni mfuasi wa sheikh kassim ndio maana umesema haya. Kuwa mfuasi wa Allah , acha kuwa mfuasi wa shekhe. Kitakachokutetea siku ya kiama na kaburini ni qur an na mtume muhammad tu na sio shekhe. Amka ndg qur an inatosha acha kutafuta kingine wakati qur an hujaimaliza kuisoma na kuilewa
@wazirihamisi6484
@wazirihamisi6484 2 жыл бұрын
@@skozamsai2654 UKITAKA KUJUA KUA ANACHUKI NAE SIKILIZA MANENO YAKE ANA UHAKIKA GANI GANI KAMA SHEIKH QAASIM ALIKUA AKIWATUPIA MAWE KAMA SIO CHUKI
@abuyunusmohamed6961
@abuyunusmohamed6961 2 жыл бұрын
Huyu kassim mafuta kila sheikh anagombana naye.Allah anamtosha
@halidilikuse9742
@halidilikuse9742 2 жыл бұрын
Sio kweli wew ni muongoo
@emanuelkimalo4966
@emanuelkimalo4966 2 жыл бұрын
Hivyo kama si mdogo wakuwaza watu wakikufuru wote nawe utawafuata kuwaridhisha au utafuata watu Acha ujinga wakuwaza
@lovepipy4811
@lovepipy4811 2 жыл бұрын
Kaa usome kiazi wewe Huna unalojua...
@attyambaraka3756
@attyambaraka3756 2 жыл бұрын
Barahiyani jibu maswali uliyoulizwa.... Milioni 200 umezipeleka wapi
@zedon2047
@zedon2047 2 жыл бұрын
Tutolee Mipasho hapa
@abuunuumaan6590
@abuunuumaan6590 2 жыл бұрын
Wacha Elimu iongoze, Sheykh Qaasim aliyemwinua ni Allaah sivinginevyo. Pana Elimu kubwa pale Pongwe. Tuitafute Elimu ndugu zangu, tuache kupoteza mda na uchochezi. Watu wanastafidi wanapanuka kifikra kila kukicha, Wallaah anaewasema vibaya masheykh wa Pongwe Bado Allaah hajamuinua au hawafaham wala hajawadiriki anasikia sikia tu. Pale ni Dammaj ya Tanzania, Wallaah, Elimu kubwa ipo pale. Namuomba Allaah atuoneshe Haqq.
@abuuqatada9791
@abuuqatada9791 2 жыл бұрын
Chanzo hasa ni baada ya wew kuihalifu Haki tena uctafute chochoro
@zedon2047
@zedon2047 2 жыл бұрын
Wewe waongea hivyo kama nani???
@zedon2047
@zedon2047 2 жыл бұрын
Na ni Haki gani hiyo ambayo imekhalifiwa ambayo mwanzo ilikua inafuatwa??
@abuuqatada9791
@abuuqatada9791 2 жыл бұрын
@@zedon2047 na wew umeniuliza ni Kam nan
@zedon2047
@zedon2047 2 жыл бұрын
@@abuuqatada9791 Lazma uulizwe kwasababu umeingilia mambo ambayo hayakuhusu..! Hapo pameongelewa chanzo cha Ugomgi baina ya Mafuta na Sheikh Barahiyan.. sasa wewe waongea hivyo kama nani!!? Wewe wahusika vipi kwenye Ugomvi huo??
@abuuqatada9791
@abuuqatada9791 2 жыл бұрын
@@zedon2047 mhmmm yanayomuhusu ni Nani ikiwa humu yalimoekwa ni public media ?
@mohammedmussa7378
@mohammedmussa7378 2 жыл бұрын
hapo sawa imeeleza vizuri juu ya swala la answari kua si madh-heb
@abuuammar4924
@abuuammar4924 2 жыл бұрын
Kumbe aliijua sunnah akiwa kisauni mombasa,mbna unatwambie aliijua sunnah kupitia nyinyi?...alaf najua shekh Qaasim alitoka pongwe na akaenda tamta makao makuu kusoma wala hakuungana na nyinyi ila baada ya kutoka mombasa ambapo huko ndo aliifaham sunnah
@mussaissa6796
@mussaissa6796 2 жыл бұрын
UWAHABI NI DINI MPYA BILA SHAKA NA MTUME WAO NI HUYO HUYO MUHAMMAD ABDUL WAHABI WALA HAWANA TOFAUTI NA WAKIRISTO KUJIFANYA NI WAFUASI WA NABII ISSA
@Kijokatv
@Kijokatv 2 жыл бұрын
Wewe ni Mbwa Achakufuru
@wazirihamisi6484
@wazirihamisi6484 2 жыл бұрын
Ujinga ni mzigo
@saidimusa9660
@saidimusa9660 2 жыл бұрын
Mche Allah
@hajjiramso1937
@hajjiramso1937 4 ай бұрын
Shekh wang wa mahad
@saulomsangi5237
@saulomsangi5237 2 жыл бұрын
assalamualaikum ningeomba muwaweke meza moja alafu muweke mada au hilo swali mbele yao
@mohdaliothman174
@mohdaliothman174 2 жыл бұрын
Ni sahihi, ila kuna maelezo kutoka kwa sheikh Kassim kuwa alitaka mjadala na huyu mzee kuhusu tuhuma hizi lkn sheikh SALIM alikataa, cjui kuna nn hapa Ni vzr wawakutanishe meza moja tujue ukweli
@alihamisi1631
@alihamisi1631 2 жыл бұрын
Itakua nzuri sana
@wazirihamisi6484
@wazirihamisi6484 2 жыл бұрын
Huyu muongo ndio maana ataki
@abuunuumaan6590
@abuunuumaan6590 2 жыл бұрын
Wacha Elimu iongoze, Sheykh Qaasim aliyemwinua ni Allaah sivinginevyo. Pana Elimu kubwa pale Pongwe. Tuitafute Elimu ndugu zangu, tuache kupoteza mda na uchochezi. Watu wanastafidi wanapanuka kifikra kila kukicha, Wallaah anaewasema vibaya masheykh wa Pongwe Bado Allaah hajamuinua au hawafaham wala hajawadiriki anasikia sikia tu. Pale ni Dammaj ya Tanzania, Wallaah, Elimu kubwa ipo pale. Namuomba Allaah atuoneshe Haqq.
@mohamedabdul2045
@mohamedabdul2045 4 ай бұрын
Muulize million 200 za msikiti wa moshi zipo wapi na alimpa nani?Maana anadai alimpa abuu Na,anadai aliweka bank.Malaka ya barahiyan
@abuuthauran9933
@abuuthauran9933 2 жыл бұрын
Hujavunja kitu babu, dawa ya salafy inachanja mbuga, mahzibi nyinyi kazi yenu ni maslahi 2. Mbona huyasemi hayo babu.
@zedon2047
@zedon2047 2 жыл бұрын
Hatutaki Mipasho hapa..
@stn4873
@stn4873 2 жыл бұрын
Mzee Nimekuelewa.
@user-wy7om5ln7l
@user-wy7om5ln7l 10 ай бұрын
kumbe khitilafu unakiri kua zipo hata kwa wanazuoni inakuwaje muwatukane maibadhi nakuwaita makafiri kwa kukhitilifiana tu hamuoni kua munakosea?
@shamsuddin4582
@shamsuddin4582 4 ай бұрын
Khilafu zipi sasa ndugu
@user-wy7om5ln7l
@user-wy7om5ln7l 10 ай бұрын
kwaiyo kabla ya ww barahiyan kuanza daawaa hapa tz uislam ulikua haupo?
@swaleheurassa4535
@swaleheurassa4535 3 ай бұрын
Kwanini mlitaka Riba? Kama kweli mnamuogopa Allah..
@lovepipy4811
@lovepipy4811 2 жыл бұрын
ACHENI MHEMUKO VIJANA SHEKH WENU ANAPOTOSHA UMMA..... HUYU BARAHIYANI NI HISBI LABDA ABADILIKE..
@zedon2047
@zedon2047 2 жыл бұрын
Toka na Upuuzi wako hapa.. Hatutaki Porojo wala Mipasho hapa.. hizi ni sehemu za kielimu
@auroxenterprises8003
@auroxenterprises8003 4 ай бұрын
Milioni 200 mulize shekhe wako upo wapi
@hutiswalehe2444
@hutiswalehe2444 Жыл бұрын
Mawahabi mawahabi mawahabi mnataka nn ktk huu umma wa kiislamu...rudini ktk usufi muone namna uislam ulivyo mzuri....sio kufaraqana na kuugawa umma wa kiislam
@sahirmwanyuki7091
@sahirmwanyuki7091 Жыл бұрын
Sheikh muongo mie Kassim nimesoma nae na nimekuwa nae mtaa mmoja Kassim katika ukuwaji wake akuwa mtu wa kuweza kufanya hayo anayozungumza amtafute sababu nyingine
@pavillioncry5241
@pavillioncry5241 8 ай бұрын
We mjinga sana kwani yy nani Toka apa h Jahil mjinga ww
@Kombo2989
@Kombo2989 6 ай бұрын
ukitaka kujua kuwa Mafuta ni shida kwanza hapendi kuksolewa wala kushauriwa. tafuta post za mafuta hasa anazokashif wezake kama coment zinaruhusiwa. sasa kama mafuta ni mkweli si aache watu wacomet
@massoudhaji8963
@massoudhaji8963 4 ай бұрын
Tushakufahamu
@auroxenterprises8003
@auroxenterprises8003 4 ай бұрын
Wale mbodigadi aiyo weka unna mtuju mafuta wewe Kwa kiburi
@yahayasalum2943
@yahayasalum2943 2 жыл бұрын
othman sheikh wa visa tuuuu
@mohamedhamismagoraonlinetv459
@mohamedhamismagoraonlinetv459 Жыл бұрын
Kwahiyo kauli ya M'Mungu kuwa visa vina mazingatio uniapinga. una akili kuliko Mungu sasa eeeh? umekuwa eeh?
@muuhjunior3139
@muuhjunior3139 Жыл бұрын
Nimefatilia huu mgogoro kwa mda mlefu hapa sasa naanza kupata mwanga
@salehaljadidi8206
@salehaljadidi8206 4 ай бұрын
Mwambie huyu Biriyani arudi kwao Yemen aache kuishi Tanzania kuchonganisha watu na kuiba pesa za mawahabi wa Saudia
@jumasakatai5115
@jumasakatai5115 2 жыл бұрын
Asalam alyekum shekh salim bariyan bado swali ulyoulizwa ninzuri ugovi wako na shek kasim mafuta ni dini au nimasilahi.kwasababu unatoa maelezo tu au tatizo ni picha ndio ugovi bado hujajibu swali.ugovi wako na kasim nini jibu
@goodlegacytv5068
@goodlegacytv5068 Жыл бұрын
Acha jazba sikiliza kwa makini
@cheapunderage8228
@cheapunderage8228 11 ай бұрын
Mbn yupo sahihi akhy,Myb ujamuelewa ktk maelezo yk
@jumakitato4248
@jumakitato4248 2 жыл бұрын
يرحمكم الله 😭😭
@jumanasoro8903
@jumanasoro8903 2 жыл бұрын
Hichi kimafuta tumbo tu lamsumbua na kutaka umaarufu kwa kumchafua mwenzie na kumvunjia heshima na wala hakuna kingine
@mussamsuya8595
@mussamsuya8595 2 жыл бұрын
Kalale
@jumanasoro8903
@jumanasoro8903 2 жыл бұрын
Peleka uchizi wako, nyinyi ndio wale masalafi wavuta bangi wenye kuwatusi watu
@BIGBOSS-hl3bu
@BIGBOSS-hl3bu 2 жыл бұрын
Kuna WATU ukiwajibu ,ktk Maisha na kuruhusu malumbano nao unashusha utu na heshima yako shekh,na huyo NI MTU anapenda kupewa cheo na uongozi,achana nae shekh atakupotezea muda .
@wazirihamisi6484
@wazirihamisi6484 2 жыл бұрын
Kwanza uko mbali na dini angalia picha uliyo weka ktk profile yako ni dalili kua huna ufahamu ktk dini yako
@bigbossmanbossman6946
@bigbossmanbossman6946 2 жыл бұрын
Sheikh mimi binafsi naona maulid nimazuri hatakama ni uzushi
@abuunuumaan6590
@abuunuumaan6590 2 жыл бұрын
Hahaaa, Allaah atuongoze.
@abuuabdillahsalafimhapa3839
@abuuabdillahsalafimhapa3839 2 жыл бұрын
twaijuwa da´awatussalafiyyah haya maneno yako yana kanganya
@jumaajunior7914
@jumaajunior7914 4 ай бұрын
Tatizo matumbo masheghe
@abdulkarimabdallah9536
@abdulkarimabdallah9536 Жыл бұрын
Hakuna picha yahalali zote niharam hakuna kitu kama hicho
@salumrashidabdullashmely2558
@salumrashidabdullashmely2558 4 ай бұрын
Mnagombea 200m zilizotoka kwa mayahudi.
@mwambashiiddi9295
@mwambashiiddi9295 6 ай бұрын
Mgogoro haukuanza kuhusu picha Chanzo ni ibn siinaa Na ww wasema imesemekana katubu na hakuna ubainifu kuhusu hilo . Ibn siina ni shiyaa qurmutwiiy. Halaf jambo lingine ww wawatukana baadhi ya wanawachuoni Halaf wawakumbatia mashekh waliopinda mpka sasaaa . Mambo yapicha sio chanzo cha mgogoroo
@mbaarakmuhammad671
@mbaarakmuhammad671 Жыл бұрын
Nyie nyote vichwa hamna kila mtu million 200 ziko wap suala la din mbele maslahi baadae
@salehaljadidi8206
@salehaljadidi8206 4 ай бұрын
Ugomvi wao ni kugombana mabasha kuwafira. Wote wawili Wasenge
@saidibahai3756
@saidibahai3756 3 ай бұрын
Mche mola wako mbona maneno hayana afyaa jitaidi kuhifadhi ulimi na heshima za wenzio
@salehaljadidi8206
@salehaljadidi8206 3 ай бұрын
@@saidibahai3756 Usimtetee mwizi aliyetoroka kwao Yemen.
@leonardmbonea4117
@leonardmbonea4117 2 жыл бұрын
eti hali wote ni answar sunna makhurafi kwao kila mtu ni answar sunna
@aminaosman3315
@aminaosman3315 8 ай бұрын
,lambda mwalimu wakufundisha.zulma hiyo ndio fani yake
@slimshariff1096
@slimshariff1096 Жыл бұрын
Mafuta NA baraiyan hakuna zaidi ya ugomvi wenu zaidi ya maslah . mines has a mbar atoms NA bado
@alkharoussalim539
@alkharoussalim539 3 ай бұрын
😂😂Nyote Mnangombania Mali Na Ulwa
@SameerMdumbemalongo
@SameerMdumbemalongo Жыл бұрын
Hizbi barahiani na mazezeta...yake...jibu hojaaa ewe hizbi
@saidjoka1282
@saidjoka1282 2 жыл бұрын
ULITUKANA MASHEKH HUNA ADABU SASA NA WEWE WACHA UTUKANWE WEWE MUHUNI TU
@ashasaleh2719
@ashasaleh2719 2 жыл бұрын
Kwanin redio unguja haipati kani
@nassirmohd2851
@nassirmohd2851 Жыл бұрын
Afsaddtum wallaaahi na hilo liko waz hilo
@mzeerajab9154
@mzeerajab9154 2 жыл бұрын
Hawa masheikh wanoitwa "wabidaa" hawafanyi sunna katika ibada zao na sunna wanazikataa?Naona majina mabaya tu wanayopewa waislamu ili kuendeleza mgawano,kama huyu sheikh alivyitwa wa bidaa,hizbi,ni hivyohivyo kwa mashaikh wengine.Maadui wa uislamu wanachekelea.Ndio nguvu yao inapokua.
@rashidihemed5487
@rashidihemed5487 2 жыл бұрын
Tufahamishe ni Sunna gani hatuifanyi mbona hujui hata kujieleza
@mzeerajab9154
@mzeerajab9154 2 жыл бұрын
@@rashidihemed5487 usikurupuke sheikh.soma vizuri uelewe ndipo ujibu,na jibu lako liwevla maana.
@rashidihemed5487
@rashidihemed5487 2 жыл бұрын
@@mzeerajab9154 sema ulichokusudia ili tueleweshane
@user-zz9bj1wh5i
@user-zz9bj1wh5i 2 ай бұрын
Uhongo
@khamissalum9285
@khamissalum9285 Жыл бұрын
Hawa wamekuja kutugawa kwelikweli
@mrtezura9753
@mrtezura9753 2 жыл бұрын
Kasima alitaka umaarufu na fedha na kashazipata ndomana kasim hmumsikii
@ramahamisi7282
@ramahamisi7282 2 жыл бұрын
Maneno mazuri shekh.ila kuna tatizo lenu wote.Unaitakidi nn juu ya sheikh muqbil ..sheikh muhammad Amanil jaamy .Sheikh Rabii .hawa ni wanachuoni wa bidaa je wamianzisha hio jadidah ..na hivyo ndivyo wanavyawafahamu wanachuoni wakubwa ? Waliishi hawa zama za Sh ibn baaz sh ibn uthymeen ..sh.Albaany ..waliwazingatia ni kina nani?
@abuuammar4924
@abuuammar4924 2 жыл бұрын
Maa shaa Allah
@samirhumud7408
@samirhumud7408 2 жыл бұрын
Wewe sheikh soma sherikh ya arubauna nnawaw ya sheikh Uthaimin hadith ya 28
@sulaymaanayoub8656
@sulaymaanayoub8656 2 жыл бұрын
@@samirhumud7408 KWENYE SHARHU UNAYO ITAJA HAINA UHUSIANO NA JAMBO LILO ULIZWA
Самый Молодой Актёр Без Оскара 😂
00:13
Глеб Рандалайнен
Рет қаралды 11 МЛН
A teacher captured the cutest moment at the nursery #shorts
00:33
Fabiosa Stories
Рет қаралды 31 МЛН
Beautiful gymnastics 😍☺️
00:15
Lexa_Merin
Рет қаралды 15 МЛН
HISTORIA YA SHEIKH MSLEM HADI KUINGIA GEREZANI
31:38
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 85 М.
Je! Sheikh Kishki ni Salafy? | Sheikh Salim Barahiyan
7:56
IHSAAN TV
Рет қаралды 31 М.
ULIZA UJIBIWE 2024 NI 1
46:13
Izudin Alwy Ahmed
Рет қаралды 11 М.
JEE! WASIOKUA IBADHI WOTE NI MOTONI? JAWABU KUHUSU FATWA ZA WANAVYUONI WETU ALLAH AWAREHEMU.
41:53
050 NYUMBA YANGU NDIO PEPO YANGU YA DUNIANI | OTHMAN MAALIM
2:02:46
HABARI MOTO MOTO TV
Рет қаралды 75 М.
RAADD KWA MUDILU WA ANSWAR SUNNAH SALIMU BARAHIYANI |Sheikh Qasim Mafuta
41:32
Самый Молодой Актёр Без Оскара 😂
00:13
Глеб Рандалайнен
Рет қаралды 11 МЛН