Mwalimu Nashida Nilipiga Window Ingali Ikiwa Computer ina Particion 3 Namaliza Kupiga Window Nakuta Particion Imekua Moja Nikajikuta Nimepoteza Vitu vyangu Vingi Sana Vya Muhimu Msaada Je Naweza Kuvirudisha Vitu Hivyo Nimejaribu kila Data Recovery Nimekwama
@nk-computertraining2 ай бұрын
Tazama somo la kuficha disk kwanza.
@qualitymediaproduction2 ай бұрын
@ Saw mkuu
@qualitymediaproduction2 ай бұрын
@@nk-computertraining Mwalimu Nimeangalia Hard disk Haijajificha imekua Moja Tuu Boss
@AGU_CAPITAL2 ай бұрын
Bro na tatizo la pc kula bando au kujiupdate mara kwa mara
@nk-computertraining2 ай бұрын
Fungua setting nenda kwenye update zima Update.
@AridiGama-y6y2 ай бұрын
mwalimu nashida yakujiunga na coz ya ufundi computer naomba mawasiliano yko