Tena mwalimu kama ninataka kutumia mtu Windows naweza kutumia kupitia hapo?
@nk-computertraining2 жыл бұрын
Yeah unaweza ila badala ya ku upload file la GB 4 kasoro kidogo kwanini usimtumie link ya mtandaoni, maana windo zipo nyingi tu za ku download.
@keytwoTZ2 жыл бұрын
unyama sanaaa
@bahatiluck86402 жыл бұрын
Dah! Shukrani Sasa kupitia chaneli hii nimeanza kuona mwangaza kidogo nina takribani miaka kama mi 5 hivi natumia laptop yangu ila hainiingizii chochote ingali nilii inunua ili niweze kujiajili lakini sija fanikiwa kwa kukosa uwelewa wake na maalifa yake ilia kupitia chaneli naoma kuna matumaini ya kufikia lengo langu kama nikifanikiwa kupata mwalimu wa kunisaidia kusoma KOPYUTA Ahsante pia kwa video zenu za mafunzo mnazo zirusha katika Chaneli hii binafsi zimenifungua ubongo kwa asilimia % fulani. Nashukuru sana
@nk-computertraining2 жыл бұрын
Asante sana, unaweza kuangalia mawasiliano yetu chini ya video ili kujiunga na madarasa yetu ya computer nje ya KZbin.
@bahatiluck86402 жыл бұрын
Sawa lakini ada ni kiasi gani?
@nk-computertraining2 жыл бұрын
@@bahatiluck8640 ada ni kutokana na kozi unayoitaka ada zote zimeorodheshwa.
@bahatiluck86402 жыл бұрын
Nataka kozi ya mambo ya software na ufundi ila Tatizo course za mwanzo sija zisoma (Basics) inawezekana?
@muhsinmuhsein44842 жыл бұрын
Safi sanaaa kiongozi
@nk-computertraining2 жыл бұрын
Asante sana Mr. Muhsin.
@Msulenomatech2 жыл бұрын
Nk be more than a professional. Ahsnt San teacher now naelekea kuwa zaidi ya professional kupitia hii Chanel. Naomba uandae video kuhusiana na kutengeneza program yoyote.
@nk-computertraining2 жыл бұрын
Asante sana ndugu, na hivi karibuni tutaelekea huko kwenye maprogram
@twaibuvarishtuvarishtu22202 жыл бұрын
Shukran sana mwalim Ila naomba mtuandalie Somo la izi no ambazo zinawaka kwenye CPU mfano kama dell ukiwasha Kuna namba Zina Waka 1 mpaka 4 Bado wengi atujui maan yake
@nk-computertraining2 жыл бұрын
Sawa tumekupata
@marcksonmleka49082 жыл бұрын
Pia utatupa na somo mwl kazi ya google photo kwenye cm maana mm hilo file huwa silielewi
@nk-computertraining2 жыл бұрын
Sawa tutaliandaa hilo
@ahmedmiraji8772 ай бұрын
Mie sio mpenzi wa windows hu mwaka wa kumi natumia linux distros