Hii Supu ya mawe Waislam watainywa tuu, Ndacha ni Mwalimu mkweli , Mungu ambariki na kumlinda❤❤❤❤
@mohamdmohamd484215 күн бұрын
Daniel .. Hivi hata kutumia Akili ..pia huna. Vioja WaKristo yaani huyo Mungu wa WaKristo ameongea na Mitume wa WaKristo hata ..yule Yesu aliyemwambia (Bible Verse) Nenda SHETANI Wewe huwezi ya Mungu bali ya Kishetani.. Mungu wa WaKristo huyo anaongea na Binadamu Shetani.. Tumia Akili sio kupelekwa Ovyo Ovyo.
@DavidMwangi-fd2wi19 күн бұрын
Barikiwa sana mwalimu ndacha
@Furahinikatkabwana20 күн бұрын
Amina mwalim wetu,tunajifunza mengi kutoka kwako,tunazid kuwa strong