No video

NUKTA 24 ZA MTU UKIOTA MLANGO | NAMAANA ZAKE | SHEIKH KHAMIS SULEYMAN

  Рет қаралды 17,067

MASJID MTORO ONLINE TV

MASJID MTORO ONLINE TV

Күн бұрын

NUKTA 24 ZA MTU UKIOTA MLANGO | NAMAANA ZAKE | SHEIKH KHAMIS SULEYMAN
#MasjidMtoroTv #UlimwenguWanjozi #Nyumba_Yatiba_Nadua

Пікірлер: 24
@mariamathuman2639
@mariamathuman2639 4 жыл бұрын
Asante kambae ulikua kwa mawazo yngu coz usiku wa jana ndio nimeota ivyo....ALLAH akubariki..
@jabiroyeoyee5096
@jabiroyeoyee5096 4 жыл бұрын
Asc sheikh shukran kwa kutufunza maneno njema
@user-kl6rg4gw5g
@user-kl6rg4gw5g Ай бұрын
Shekhe me naota nafungua mlango ila nje nakuta kitu cha kutisha naludi ndan haraka nakuufunga ila nshindwa kwasabu yule mtu anaonekana kuusukuma kwa nje na ananishinda nguvu maana anausukuma kwa nguvu me nae nausukuma kwa nda nikiwa na wasi wasi sana ila inanitokea sana nisaidie shekhe
@jasminali5921
@jasminali5921 4 жыл бұрын
Ahsantum shekh naomba tafsiri ya hii ndoto inshaa alllah
@khadijatirionaire2510
@khadijatirionaire2510 4 жыл бұрын
Allah akulipe shekh
@bebisheni4380
@bebisheni4380 4 жыл бұрын
Asante
@khalidhemed5617
@khalidhemed5617 3 жыл бұрын
Shekh unanifurahisha saaanaaa maashaAllah
@ruthnyaboke8143
@ruthnyaboke8143 Жыл бұрын
Na ukiota unafunga mlango kisha inafunguka inamanisha
@sizampole8068
@sizampole8068 3 жыл бұрын
na vipi ukiwa unaota watu wazamani au marafiki wa siku nyingi hii inamaana gani?
@graceassenga2867
@graceassenga2867 2 жыл бұрын
Pole shehe niota nilikua nachota maji ndani ya choo lakn yalikuua yanatok machafu
@graceassenga2867
@graceassenga2867 2 жыл бұрын
Samahani shehe Mimi niliota nikitoka kurud nakuta mlango. Wangu upo wax nanilifunga
@user-zp7ft2ik5k
@user-zp7ft2ik5k 7 ай бұрын
Shkh nimeota nko madrasa na mashekh wakubwa kutoka kufungua mlango watoke unasumbua nkawa nasaidia vp maana
@judiecornel5733
@judiecornel5733 3 жыл бұрын
Habari mimi nimeota nakojoa Karib na mlango alf nje kuna Watu wengi lakin wanaendelea na mambo yao hii maana yake nn alf mlango usio na mbao yaan ni jengo tu linaashiria hapa mlango lkn mlango ule wa mbao haujawekwa bado
@jasminali5921
@jasminali5921 4 жыл бұрын
Shekh Kuna ndoto inajirudia Mara kwa Mara nikishasali swalat dhuhur nikilala naota ndota natetemeka mwili mzima shekh nni maana yake .... Tafadhali mashkur
@nataliamemes5093
@nataliamemes5093 3 жыл бұрын
Unamajini
@emmanuelamtonga6641
@emmanuelamtonga6641 2 жыл бұрын
Jamanii
@florencemakanda7946
@florencemakanda7946 Жыл бұрын
Usithadhi kwema? Nini maana ukiona mlango unaanguka Kisha unangangana kuutengeneza
@matanovipingo4112
@matanovipingo4112 2 жыл бұрын
ukiota umejenga nyumba inne tatu umeshamaliza kujenga ya inne bado haijaisha vizuri bado tu madirisha Nini manaake
@magrethkimungu9043
@magrethkimungu9043 Жыл бұрын
Mim nimeota nafungua mlango sijui maana yake
@user-zp7ft2ik5k
@user-zp7ft2ik5k 7 ай бұрын
Shkh ukiota uko madrasa kuna mashkh wakubwa wakawa wanafungua mlango ukawa unasumbua nkawa nasaidiana nao vp maana yake
@najmabozz2998
@najmabozz2998 3 жыл бұрын
Asallm allkmy shekh,nimeota milango nyumba inamilango mingo lkn ,niomba kwenda hajando ule mlango wa choo unakufuli, bac akatokea mwenzangu akavunja ile kufulu na kunikabidhi to kifuri iliyo vunjwa, nn maana yk
@khadijamgambo6874
@khadijamgambo6874 3 жыл бұрын
Umefunguliwa ww ktk maisha haya ya Duniani
@simonseth8816
@simonseth8816 2 жыл бұрын
Ukiota ndoto unacheza mpira wa miguu maana yake nini
UKIMUOTA PAKA USINGIZINI | HIZI NDIO TAFSIRI ZAKE | SHEIKH KHAMIS SULEYMAN
16:40
MASJID MTORO ONLINE TV
Рет қаралды 28 М.
AINA 10 YA NDOTO ZA UTAJIRI WAKO NA USIHADITHIE MTU. Tiba Zakissuna tv
21:34
나랑 아빠가 아이스크림 먹을 때
00:15
진영민yeongmin
Рет қаралды 4,5 МЛН
女孩妒忌小丑女? #小丑#shorts
00:34
好人小丑
Рет қаралды 86 МЛН
JE UNA FAHAMU  MAANA YA NAMBA ZA KWENYE NYUMBA NA  MAGARI?
10:05
Ustadh Khatib Omar
Рет қаралды 1,1 М.
HIZI NDIO DALILI ZA MTU | MWENYE MAJINI | SHEIKH SHARIF MAJINI
29:11
MASJID MTORO ONLINE TV
Рет қаралды 55 М.
WITO/KUITWA KATIKA NDOTO NA MAANA ZAKE PR/SHEIKH: JAFARI MTAVASSY (R.A)
30:36