NURU IMEFIKA KADEL, WAKRISTO WAANZA KUJIUNGA NA UISLAMU.

  Рет қаралды 4,811

Straight Path Dawah

Straight Path Dawah

Күн бұрын

Tafadhali subscribe kwenye channel yetu ya STRAIGHT PATH DAWAH ili uendelee kunufaika kupitia video zetu na pia usisahau kuchangia katika dawah na uendeshaji wa vipindi vyetu kupitia MPESA +254722600533 au TILL NO. 558297 (STRAIGHT PATH ASSOCIATION)

Пікірлер: 34
@Noorein-ws8wk
@Noorein-ws8wk 2 ай бұрын
Maa Shaa Allah Min miizaan hasanaatikum❤
@HisMajesty64
@HisMajesty64 2 ай бұрын
Aamin ya Rabb
@rosemaina4500
@rosemaina4500 2 ай бұрын
May Allah bless your good deeds in this life and the hereafter. Ameen.
@hamisikassimmwatamu7949
@hamisikassimmwatamu7949 2 ай бұрын
Waleikum salaam warhama tulahi wabarakatuh, MashAllah MashAllah
@fatmaali6780
@fatmaali6780 2 ай бұрын
MashaAllah ustadh Ramadan Kwa kazi nzuri ya kulingania dini Allah akupe kheir nyingi duniani na akhera,natamani Kila siku kiwe kipo
@zainabkhamis107
@zainabkhamis107 2 ай бұрын
Mashallah Mashallah mungu akujazi kila la kheir sheikh
@mwanajaa-v5x
@mwanajaa-v5x 2 ай бұрын
Masha Allah kila siku watu wazidi kujiunga na uislam, tunawakaribisha na Insha Allah MUNGU atawaongoza
@Nora-v1m3p
@Nora-v1m3p 2 ай бұрын
Ma sha Allah kakangu Allah akufishe ukiwa muislam kamili
@مريمنيجيريا-د5ل
@مريمنيجيريا-د5ل 2 ай бұрын
Allah akbar mashallah tabarakallah ❤❤❤❤mungu awajalie maisha marefu mashekhe wetu nawapenda kwa ajili ya Allah❤❤❤
@SinaHafidhi
@SinaHafidhi 2 ай бұрын
ALLAH awafanyie wepesi Kwenye kazi yadawa
@ggv866
@ggv866 2 ай бұрын
Waleykum salaam waramadhulahi wabarakatuh Ustadhi Ramadan
@omargargaar5611
@omargargaar5611 2 ай бұрын
MashaAllah MashaAllah MashaAllah TabarakAllah Takbiri Allahu Akbari Allah awahifadhi wte mlio jumuika Allah awahifadhi walio silimu❤❤❤
@swidiqrajab4519
@swidiqrajab4519 2 ай бұрын
Mashaa Allah Nuurul Islam
@MohamedMeja
@MohamedMeja 2 ай бұрын
Mashaallah
@nas9031
@nas9031 2 ай бұрын
MashaAllah ❤
@sallysally6622
@sallysally6622 2 ай бұрын
ManshAllah tabarak Rahman ❤
@AdamShumbu
@AdamShumbu 2 ай бұрын
From Zanzibar Allah awape subra na awalipe malipo mema Aamina
@shamimnorah9156
@shamimnorah9156 2 ай бұрын
Masha Allah 🥰🥰
@AishaTabi-e2z
@AishaTabi-e2z 2 ай бұрын
Mashalla 😍❤❤❤
@FatmaKombo-s2o
@FatmaKombo-s2o 2 ай бұрын
Asalamu aleikum kaka nimepa dada yetu no yako alongiya kwenye uslamu lakini anatwka usaidizi kwao alokotoka ili ukaufamishe uslamu zaidi in Sha allah
@StraightPathDawah
@StraightPathDawah 2 ай бұрын
insha'Allah
@kassimabdilatif1802
@kassimabdilatif1802 2 ай бұрын
Dini ya uislamu Ni ya Mwenyezimungu sio ya mtu. Dini Ni Imani ya katika roho vile ulivyoamini kufuata. Kama umeamini Uislamu ndio dini hakuna mtu aweza kukutoa ama kukuingiza katika Imani hiyo isipokuwa wewe mwenyewe.
@FatmaKombo-s2o
@FatmaKombo-s2o 2 ай бұрын
W w huyo dada amepewa ardh na wazazi wake ambao siwaslamu kwa hivo kaka fanya Kila Hali uwasikiane nae in Sha allah
@fahimabeid6953
@fahimabeid6953 2 ай бұрын
Masha Allah
@SmilingDreamCatcher-ui6fo
@SmilingDreamCatcher-ui6fo 2 ай бұрын
Maashallah
@AishaTabi-e2z
@AishaTabi-e2z 2 ай бұрын
Atuski kijaluo 😊
@rosemaina4500
@rosemaina4500 2 ай бұрын
Asalam Aleikum WARAHMATULLAHI Wabarkatu. While editing ungeweka translation for those parts with mother tongue. I'm sure it's a bit more work but InshaAllah atakujalia.
@brightzone.
@brightzone. 2 ай бұрын
Definition enyewe imekaa hovyo - sio kila anayejinyenyekeza ni muislamu. Kuna watu wanajinyenyekeza kwa masanamu - Je hao ni waislamu? Au mtu kachonga kinyago na anakinyenyekea - Je huyo ni muislamu? Sio kila anayejinyenyekeza ni muislamu. Kuna sisi Wakristo - Tunajinyenyekeza Kwa Mungu (YHWH) - basing on your Definition na sisi ni waislamu?
@abduljumaa4376
@abduljumaa4376 24 күн бұрын
Tanzania tupo pamoja
@kassimabdilatif1802
@kassimabdilatif1802 2 ай бұрын
Hassan means 'Good'.
@fardoshnassor7847
@fardoshnassor7847 2 ай бұрын
@FatmaKombo-s2o
@FatmaKombo-s2o 2 ай бұрын
W w hio adhi ili ajenge mskiti
@Zainab-f9w5x
@Zainab-f9w5x 2 ай бұрын
Ma sha Allah
@batulialmass8914
@batulialmass8914 2 ай бұрын
Masha Allah
HITILAFU ZA WAKRISTO JUU YA UUNGU WA YESU
1:01:01
Straight Path Dawah
Рет қаралды 7 М.
UTAPELI KWA JINA LA SADAKA
44:08
Straight Path Dawah
Рет қаралды 9 М.
Thank you 😅
00:15
Nadir Show
Рет қаралды 46 МЛН
Minecraft: Who made MINGLE the best? 🤔 #Shorts
00:34
Twi Shorts
Рет қаралды 46 МЛН
Banana vs Sword on a Conveyor Belt
01:00
Mini Katana
Рет қаралды 77 МЛН
MAENDELEO YA MUKURWE-INI MOSQUE & ISLAMIC CENTRE
23:33
Straight Path Dawah
Рет қаралды 2,5 М.
WATU WA SOTIK WAFURAHIA DAWAH MASHINANI
1:14:45
Straight Path Dawah
Рет қаралды 14 М.
WANA KIJIJI WENGI WAFURAHIA UJENZI WA MSIKITI KWAO
30:52
Straight Path Dawah
Рет қаралды 3,6 М.
DAWAH YAGUZA MLIMA || DAWAH AT THE GOD'S POWER MOUNTAIN
51:21
Straight Path Dawah
Рет қаралды 3,2 М.
Ajabu hii jamaa adai hana dini lakini mungu wake anaishi msituni kimeumana leo
1:21:03
BIBLIA YAFUNDISHA MSIKITI NI NYUMBA YA MWENYEZI MUNGU
1:17:09
Straight Path Dawah
Рет қаралды 16 М.
STEVE NA NDARO WALIVO VURUGA NDOA UTACHEKA
16:04
Ndaro Tz
Рет қаралды 1,1 МЛН
Thank you 😅
00:15
Nadir Show
Рет қаралды 46 МЛН