WATU WA SOTIK WAFURAHIA DAWAH MASHINANI

  Рет қаралды 13,587

Straight Path Dawah

Straight Path Dawah

Күн бұрын

Tafadhali subscribe kwenye channel yetu ya STRAIGHT PATH DAWAH ili uendelee kunufaika kupitia video zetu. Ukiwa na maoni au mapendekezo au maswali usisite kuwasiliana nasi kupitia nambari za simu zilizoko kwenye screen yako. ‪@StraightPathDawah‬ tunafikisha ujumbe wa Uislamu hadi mashinani.

Пікірлер: 56
@alyumar4657
@alyumar4657 11 ай бұрын
Mungu akulipe kheri na akutengenezee mambo yako sheikh wangu Ramadhan Allah anijaalie siku 1nikuone live.
@Jingajinga64
@Jingajinga64 11 ай бұрын
Allahumma yassir wala tu'assir. Barakallah fikum 🤲
@ALIHASSAN-np6rv
@ALIHASSAN-np6rv 11 ай бұрын
May Allah SWT reward u
@minhajsahal4467
@minhajsahal4467 11 ай бұрын
Alhamdulillah Rabil Aalamin ❤❤❤
@mutomubaya
@mutomubaya 11 ай бұрын
Wakristo wanaelewa amri ya kwanza ni kuamini kwamba Mwenyezi Mungu ni mmoja pekee. Kwa hivyo, ni vyema wajulishwe kwamba hiyo ndiyo hatua ya kwanza ya kuwa Muislamu.
@mutomubaya
@mutomubaya 11 ай бұрын
Kuhusu mizozo ya ki Dini kuna mzozo wa mashariki ya kati uliioanzishwa miaka ya zamani na kuna siasa mbaya ya uporaji na uuaji na Umoja wa Mataifa wanasema nchi ni ya Wapalestina na baadhi ya Wa Marekani na baadhi ya Wayahudi wanadai nchi ni yao. Kwa wenye Ucha Mungu haifai kujiunga na waporaji kwa kuwa mtu atalazimika kuwa muongo nk.
@mugishadjuma6617
@mugishadjuma6617 11 ай бұрын
Alihamdulillah notification hainipiti sheikh Allah akulipe kila la kheri❤
@AaBb-kp7io
@AaBb-kp7io 9 ай бұрын
Masha Allah mwenyezi mungu akuongoze ktk kheri mwenyezi mungu hakufanyie wepesi kwakila penye zito
@mutomubaya
@mutomubaya 11 ай бұрын
Dini ya Uislamu sio ngumu. Ukimuamini Allah ujue atakusaidia kuelewa mambo kwa wepesi na atakusaidia uweze kutekeleza maamrisho yake na kujiepusha na makatazo na atakubariiki na kukujaalia uongofu na kila jema.
@twaine40
@twaine40 11 ай бұрын
Hakika Dini ya Mwenyeezi Mungu ni nyepesi Kwa atakae Iona rahisi Allah atamfanyia wepesi zaidi na atakaeiona ngumu basi itamshinda." Allah atufanyie wepesi kwayo ili tukapate kufaulu
@ShamsaSheikh
@ShamsaSheikh 11 ай бұрын
Mashaallah shukran
@zohramariga6678
@zohramariga6678 11 ай бұрын
Asalamu alekumu mashala kazinzuri Allah
@fatimahrashid2356
@fatimahrashid2356 11 ай бұрын
Hustadhi ramadhani huyo anakusumbuwa hataki kujibu ila ss tusha elewa hata yeye asha elewa ALLAH akuhifadhi na hasadi navijicho vyawatu Ameen yarabb ameen
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 11 ай бұрын
Maashaallah tabarakallah shehewetu
@UMMYYFATMA
@UMMYYFATMA 11 ай бұрын
MASHA ALLAH..TABARAKALLAH ❣️ ❣️. 🙏🤲🤲
@Nora-v1m3p
@Nora-v1m3p 9 ай бұрын
Allah akulipe la kheir dunian n akhera sheik wetu
@jumamsembe1213
@jumamsembe1213 11 ай бұрын
Mashallah ..❤
@abdulJambe
@abdulJambe 11 ай бұрын
Aa shekh Allah atakufanyia wepesi uendelee na kazi yk ya dawa kila la kheri insha allah.
@salimiddi7583
@salimiddi7583 11 ай бұрын
Sheikh pogezi kwako
@alinuribrahim4216
@alinuribrahim4216 11 ай бұрын
MashaAllah shiekh
@hassansharif9216
@hassansharif9216 11 ай бұрын
Masha Allah
@zakiaanwar677
@zakiaanwar677 11 ай бұрын
MashaAllah😊😊
@sharifahabsi5004
@sharifahabsi5004 11 ай бұрын
Mashaallah ❤
@fardoshnassor7847
@fardoshnassor7847 11 ай бұрын
Mashalla Allah ❤❤❤
@Smart_jarm
@Smart_jarm 11 ай бұрын
Dah,ukristo ni mzigo
@sharifahabsi5004
@sharifahabsi5004 11 ай бұрын
Mashaallah 🎉
@SaidMgeni
@SaidMgeni 11 ай бұрын
In shaa Allah awazidishie umri na Afya muzidi kueneza dini
@adanabdi5249
@adanabdi5249 11 ай бұрын
Sawa kabisa.
@mosaidi2633
@mosaidi2633 10 ай бұрын
Watching dis in 🇹🇿
@alinurharun8468
@alinurharun8468 10 ай бұрын
May Allah swt guide you and be blessed
@HamoudTawaqal
@HamoudTawaqal 10 ай бұрын
Mashallah
@mwanaidiissa10
@mwanaidiissa10 11 ай бұрын
Huyo bro ni mpuuzi anapoteza muda tu
@seifissa9705
@seifissa9705 11 ай бұрын
Shekhe ALLAH akuongoze kuna kitu najiuliza kama mapadri wachungaji wanaona sana kazi unayofanya kama ni uongo na wao wangefanya kazi kama yako lakini hawawezi
@SalmanMughal-lq5lt
@SalmanMughal-lq5lt 2 ай бұрын
WapokimyaKwanzaHawaangalii.nawanao.angalia.ni.kondoo.wao.wakiwaaadithia.wanasema.hao.mapepo..naingekuwa..syo.haki.wangesema.lakini.kimya.wanajuaniukweli.wameaibika
@hanifahkhamiss8485
@hanifahkhamiss8485 11 ай бұрын
Allah kulipe kheir ❤❤
@yia73
@yia73 11 ай бұрын
Sheikh ramadhan looking awesome with Islamic kanzu. Green and white looks like medina colours ❤
@shabamuhidin634
@shabamuhidin634 11 ай бұрын
These African christians have been braiwashed to the core,nchi ya kiislam ikipigana vita wanasema ni Waislam,nchi ya kikristo wakiingia kwa vita kama Ukraine wamenyamazia hawasemi Wakristo...ndo mana ni rahisi kudanganya hawa watu na wakaamini kila kitu
@HassanKipyego-cs5ff
@HassanKipyego-cs5ff 11 ай бұрын
Wakorindo wa bili
@myunaniniahmad6463
@myunaniniahmad6463 11 ай бұрын
Asalaamu aleykum, shekhe watu kama hawa wanamaliza tu bando ni vichefu.
@Sal.0
@Sal.0 11 ай бұрын
Ai, huyu KipKoech ako na VERSION yake ya biblia, ya KICHWA chake! Hii Ndio shida ya Hawa WaKristo'. HUWA wanaji TUNGIA Maneno Yao baada yaku TWIST verses za BiBLIA ya WaZungu! Huyu Kip K ana onekana ni PASTOR, Kwa maana, Ame PINGA verses nyingi za biblos, kama WaChungaji Wengine! Well done Team Kuria and local USTADS!
@mangeraalbert7982
@mangeraalbert7982 11 ай бұрын
Huyu jamaa ni psttor, anajikula akiri.
@Jingajinga64
@Jingajinga64 11 ай бұрын
Jisalimishe tukusilimishe upate kusilimika na moto wa Jahannam. Habari ndio hiyo.
@fatumamwalimu5765
@fatumamwalimu5765 11 ай бұрын
Huyu nae umempa mda mwingi na sijamuelewi, bibilia yenyewe inamchanganya na nimbishi
@MwamvuaHamis
@MwamvuaHamis 10 ай бұрын
Allah akulipe kila lahel🤣🌌
@adijamohamed7118
@adijamohamed7118 8 ай бұрын
Shek Ramada ukuje homabey
@badmanno.1650
@badmanno.1650 11 ай бұрын
Huyo jamaa amepoteza mda na hataki kuelewa.
@phineasmutethia1349
@phineasmutethia1349 11 ай бұрын
Hello,I have been following your DAWA.Just tell me the position of Islam on Slaves and slavery?Why sex with slaves? If God failed to protect his Torah, Psalms and Injili from human interference Is that God power Questionable?How will he protect Quran? What the position of Islam on black race? If God want to be anything today,a tree,a lion,a human being. Is he God limiting that he can't be? This is logic reasoning he can..Why do you argue that God can't convert himself into human and visit these earth?
@BabuuSharia
@BabuuSharia 11 ай бұрын
Kwa mwenyez mungu hakuna kubalika wala kivuli cha kugeuka geuka
@phineasmutethia1349
@phineasmutethia1349 11 ай бұрын
@@BabuuSharia Hivyo God is limited to some powers.
@suleimankassim7523
@suleimankassim7523 11 ай бұрын
Huyo kafiri anakupotezea muda nenda kwa wengine
@ALIHASSAN-np6rv
@ALIHASSAN-np6rv 11 ай бұрын
Brh usiseme ivo anajifunza
@StraightPathDawah
@StraightPathDawah 11 ай бұрын
Tuko Kwa ajili ya wote, Allah awaongoze
@aburaasmedia3682
@aburaasmedia3682 11 ай бұрын
May Allah SWT reward u
@zakiaanwar677
@zakiaanwar677 11 ай бұрын
MashaAllah😊😊
@azizashiundu5778
@azizashiundu5778 11 ай бұрын
Mashallah ❤
ASKOFU WA DINI YA MOWAR ROHO AAHIDI KUSILIMU.
33:34
Straight Path Dawah
Рет қаралды 2,1 М.
BIBLIA YAFUNDISHA MSIKITI NI NYUMBA YA MWENYEZI MUNGU
1:17:09
Straight Path Dawah
Рет қаралды 15 М.
He bought this so I can drive too🥹😭 #tiktok #elsarca
00:22
Elsa Arca
Рет қаралды 56 МЛН
Or is Harriet Quinn good? #cosplay#joker #Harriet Quinn
00:20
佐助与鸣人
Рет қаралды 55 МЛН
DAWAH NDANI YA KITUO CHA POLISI
1:00:21
Straight Path Dawah
Рет қаралды 23 М.
KUTANA NA MASWALI MANZURI KUTOKA KWA WANAWAKE KATIKA DA-WAA MITAANI GITHURAI 45 KIAMBU COUNTY PART 2
33:07
YUSUF DA-WAA KENYA 0728830597,0736253243Whassapp
Рет қаралды 19 М.
WAKRISTO WALEVI WATAMANI KUSILIMU ILI WANUSURIKE
52:21
Straight Path Dawah
Рет қаралды 20 М.
MCHEZAJI WA LITUNGU AIKIMBIA BIBLIA KAKAMEGA
1:54:51
Straight Path Dawah
Рет қаралды 15 М.
Kutana na Malenga mdogo wa Mombasa
4:25
DW Kiswahili
Рет қаралды 101 М.
JOTO LA MAANDIKO LAPANDA HUKU WAKRISTO WAKIHOJI KUHUSU WANAWAKE WA PEPONI
1:00:59
He bought this so I can drive too🥹😭 #tiktok #elsarca
00:22
Elsa Arca
Рет қаралды 56 МЛН