NYIMBO ZA KUABUDU/SWAHILI WORSHIP SONG WITH LYRICS NONSTOP 2023

  Рет қаралды 1,970,323

DrN DJ Master

DrN DJ Master

Күн бұрын

Пікірлер: 968
@DrN.DJ_Master
@DrN.DJ_Master 2 жыл бұрын
Sikiliza nyimbo mpya za 2024 kupitia link hii pia usisahau kusubscribe and kulike ili kuweza kupata nyimbo zote LINK kzbin.info/www/bejne/bGe4eH1nm6qKaJIsi=kjFZkvU7VrsTFLvi
@benjaminowange2869
@benjaminowange2869 2 жыл бұрын
IAM blessed
@lpurangislealmusia1790
@lpurangislealmusia1790 2 жыл бұрын
@Gospel lyrics Int. ⁷⁷
@lpurangislealmusia1790
@lpurangislealmusia1790 2 жыл бұрын
@Gospel lyrics Int. ⁷
@stephkimwesh9600
@stephkimwesh9600 Жыл бұрын
Shalom it's touching souls
@immaculatechriss472
@immaculatechriss472 Жыл бұрын
Xfad
@jassysk9961
@jassysk9961 Жыл бұрын
Ee Yesu naomba umbariki kila mmoja alie kuwa au atakae kuwa hapa,Amen.
@justusaganyilatvonline1417
@justusaganyilatvonline1417 9 ай бұрын
Ameen
@RacheOwen
@RacheOwen 5 ай бұрын
Ameen
@winnermoshiro
@winnermoshiro 3 ай бұрын
Amen
@winnifridangahyoma9127
@winnifridangahyoma9127 3 ай бұрын
Amen
@theresaisanda7227
@theresaisanda7227 2 ай бұрын
Amen 🙏
@AidanMtalemwa-jb5cn
@AidanMtalemwa-jb5cn 9 ай бұрын
Nabarikiwa sana Amen 🙏🙏
@JACKCHILAS
@JACKCHILAS 9 ай бұрын
Sema na sema na moyo wangu yesu
@richardavelini5567
@richardavelini5567 9 ай бұрын
this gospel mix always made me go deep in Gods presence 🥰
@DrN.DJ_Master
@DrN.DJ_Master 8 ай бұрын
Karibu kusikiliza nyimbo zingine kwenye channel yetu , Zipo zingine nzuri zaidi na Mungu akubariki ❤️ 😍
@gloirealimasi9198
@gloirealimasi9198 Жыл бұрын
Kama nyimbo hizi zinatuweza karibu na Mungu Muumba, waliyo ziimba Mungu awatendee mema.
@DrN.DJ_Master
@DrN.DJ_Master Жыл бұрын
listen and download through various Digital platforms through the link below Boomplay; www.boomplay.com/share/artist/70917624?srModel=byWH&srList=ANDROID Spotify; open.spotify.com/artist/7CKHJr2FF9vn69VYcMf00p?si=BWxUtRGYSSiG9Ct8aEY8yg& Apple Music; music.apple.com/tz/artist/swahili-heaven-worship/1690080319
@adammjomba5814
@adammjomba5814 Жыл бұрын
Hakika nimebarikiwa sana nanyimbo zenu fanyeni matendo mazuri kamanyimbo zanu. Barikiwa sana
@RubanguraMichel
@RubanguraMichel Жыл бұрын
Umunsi umwe tuzahurira mwijuru abamwizeye Bose baturutse mumpande enye zisi, Kandi tuzamenyana ntituzongera gutandukana, Amen
@AnnaNzuttu
@AnnaNzuttu 9 ай бұрын
Ni kulii nchutt y'anje k'and vyose vyatufashe vyizoturetse kulii
@tumpedaudi6681
@tumpedaudi6681 9 ай бұрын
AMEN 🙏
@mulungiester8675
@mulungiester8675 6 ай бұрын
Amen, Imana Ihimbazwe
@andjelaniilombe-go5kj
@andjelaniilombe-go5kj Жыл бұрын
Nainuwa macho yangu juu
@AnthonyRingoma
@AnthonyRingoma Жыл бұрын
Nimependa sana hizo gospel,hakika mungu awabariki hawa waimbaji
@DrN.DJ_Master
@DrN.DJ_Master Жыл бұрын
Amen
@ayubunnko4177
@ayubunnko4177 10 ай бұрын
Ambao tumetendewa kupitiwa nyimbo hizi 2024 like hapa
@aminaisuja6081
@aminaisuja6081 9 ай бұрын
Amen😢
@TAJIRICALVIN
@TAJIRICALVIN 8 ай бұрын
Amina
@DrN.DJ_Master
@DrN.DJ_Master 8 ай бұрын
Karibu kusikiliza nyimbo zingine kwenye channel yetu , Zipo zingine nzuri zaidi na Mungu akubariki ❤️ 😍 💖
@philipowmngonja
@philipowmngonja Жыл бұрын
Nyimbo nzuri sanaaaaa zintianguvu.
@selemanilucas2312
@selemanilucas2312 Жыл бұрын
Amina nabalikiwa Sana nanyimbo izi🙏🙏🙏na mungu awabaliki sanah..
@VeronicaJoshua-p7t
@VeronicaJoshua-p7t Жыл бұрын
Mungu awabariki sana nyimbo nzur sana
@DrN.DJ_Master
@DrN.DJ_Master 8 ай бұрын
Karibu kusikiliza nyimbo zingine kwenye channel yetu , Zipo zingine nzuri zaidi na Mungu akubariki ❤️ 😍
@AlfayoEliahu
@AlfayoEliahu 3 ай бұрын
Unaweza Bwana asante kwa wimbo mzuri sana una uwepo mkubwa wa Mungu
@DrN.DJ_Master
@DrN.DJ_Master 3 ай бұрын
@@AlfayoEliahu amen 🙏
@SinorinanikodemuAmma-zi1jz
@SinorinanikodemuAmma-zi1jz 5 ай бұрын
Munguu fanya kitu leo kwenyee maisha yanguu
@esther.r.kulundumuruto1019
@esther.r.kulundumuruto1019 Жыл бұрын
Mungu ni Mungu. Nakupenda Sana. Everyday am Alive I will Continually Bless the LORD 🙏
@DrN.DJ_Master
@DrN.DJ_Master 8 ай бұрын
Karibu kusikiliza nyimbo zingine kwenye channel yetu , Zipo zingine nzuri zaidi na Mungu akubariki ❤️ 😍
@serahwangari9487
@serahwangari9487 9 ай бұрын
Deep worship be blessed for ur good doing
@japhetmasai9954
@japhetmasai9954 Жыл бұрын
Nmebarikiwa sana na hizi nyimbo za kuabudu mbarikiwe zaiidi amen and 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏
@paullissu719
@paullissu719 Ай бұрын
Finehass sameel hassan.... Nyimbo tukufu sana nabarikiwa nae mungu akubariki sana Mtumishi wa mung 🎉🎉🎉❤❤ Amen
@DrN.DJ_Master
@DrN.DJ_Master Ай бұрын
Amen
@cathyuwimbabazi5125
@cathyuwimbabazi5125 8 ай бұрын
Amen Hallelujah 🙌🙌🙌 Amen Bwana Yesu anawezaaa Yote,God bless abandantly ❤❤❤
@DrN.DJ_Master
@DrN.DJ_Master 8 ай бұрын
Karibu kusikiliza nyimbo zingine kwenye channel yetu , Zipo zingine nzuri zaidi na Mungu akubariki ❤️ 😍 💖
@flaviacharles1348
@flaviacharles1348 6 ай бұрын
Great worship songs! Asante sana na barikiwa sana. And Glory be to Jesus always.
@godfreycharles2731
@godfreycharles2731 6 ай бұрын
Asante Yesu. Nakupenda yesu. Asante kwa baraka za maisha Yangu. Unafanya mambo makubwa. Amen
@iamedoco7193
@iamedoco7193 9 ай бұрын
God is great have mercy on us
@JACKCHILAS
@JACKCHILAS 9 ай бұрын
Aminaa sema na mimi baba
@nanciewakesho3730
@nanciewakesho3730 Жыл бұрын
Kweli Mungu aweza kufanya mambo makubwa zaidi ya yale tuombayo.....be blessed for this song am blessed more❤
@DrN.DJ_Master
@DrN.DJ_Master 8 ай бұрын
Karibu kusikiliza nyimbo zingine kwenye channel yetu , Zipo zingine nzuri zaidi na Mungu akubariki ❤️ 😍
@InesZakayo
@InesZakayo 10 ай бұрын
Yan nyimbo zote nzurii sana
@DrN.DJ_Master
@DrN.DJ_Master 8 ай бұрын
Karibu kusikiliza nyimbo zingine kwenye channel yetu , Zipo zingine nzuri zaidi na Mungu akubariki ❤️ 😍
@simfukwejacobsimfukwe3432
@simfukwejacobsimfukwe3432 8 ай бұрын
Amen! Indeed yesu anaweza
@DrN.DJ_Master
@DrN.DJ_Master 8 ай бұрын
Karibu kusikiliza nyimbo zingine kwenye channel yetu , Zipo zingine nzuri zaidi na Mungu akubariki ❤️ 😍 💖
@AdhiamboElizabeth-r6c
@AdhiamboElizabeth-r6c Жыл бұрын
Hallelluyah, amen amen Mungu anaweza fanya mambo makuu kuliko tuombayo.He is above everything.
@mariammake5298
@mariammake5298 2 жыл бұрын
Hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah 🙏🙏 utukufu kwake yesu kiristo Amen 🙏
@DrN.DJ_Master
@DrN.DJ_Master 2 жыл бұрын
Amen 🙏
@piusmtimili8457
@piusmtimili8457 Жыл бұрын
Ninabarikiwa sana na nyimbo hizi.kuimba kwenu kuendane na matendo yenu yaliyo mazuri.MUNGU awabariki sana.
@DrN.DJ_Master
@DrN.DJ_Master Жыл бұрын
Amen 🙏
@ArleneSarakwa
@ArleneSarakwa Жыл бұрын
​@@DrN.DJ_Masterare❤❤❤❤❤❤
@ArleneSarakwa
@ArleneSarakwa Жыл бұрын
@ArleneSarakwa
@ArleneSarakwa Жыл бұрын
@SharifSaid-mo2el
@SharifSaid-mo2el 3 күн бұрын
Emungu nibariki kupitia nyimbo izi akika wewe nimwe yenguvu akuna wakupinga ukisema umesema naukitenda rinatimia milele daima amina
@DrN.DJ_Master
@DrN.DJ_Master 2 күн бұрын
Amen 🙏 🙏 🙏
@munsakazaali721
@munsakazaali721 Жыл бұрын
Am Zambian and though I do not understand Swahili, properly , I love this song " Wewe nimungu wetu ". This song drives me in a worshiping mood. I have became addicted to this song. May the Almighty God grant me all my heart desires this year 2024. 🙏
@peterachuka8565
@peterachuka8565 Жыл бұрын
Amen
@ziro-creativity
@ziro-creativity 11 ай бұрын
@munsakazaali721 God will Give you what you deserve and not what you desire
@eutropiakalutu8617
@eutropiakalutu8617 2 ай бұрын
Me too. Be blessed
@PaulinaMlelwa-pv9fw
@PaulinaMlelwa-pv9fw Жыл бұрын
Amina sana ,hakika mungu wetu atupenda sote,tusichoke kumwabudu yeye
@ERASMUSRUBUNGA
@ERASMUSRUBUNGA 7 ай бұрын
ameen, Mungu akatende katika maisha yangu na maisha ya watu wote wenye shida mbalimbali,😭😭😭😭
@rachealnjeri6636
@rachealnjeri6636 Ай бұрын
Such a deep worship God bless you 🙏🙏
@DrN.DJ_Master
@DrN.DJ_Master Ай бұрын
Amen 🙏
@AnnMutua-bd9jk
@AnnMutua-bd9jk 9 ай бұрын
Bwana ni mwaminifu anaweza kufanya mambo makubwa Amina
@josesantos2603
@josesantos2603 5 ай бұрын
Asante! Muziki mzuri!! Ninatoka Brazil!
@DrN.DJ_Master
@DrN.DJ_Master 5 ай бұрын
@@josesantos2603 amen 🙏
@JabarDavidy-if5jn
@JabarDavidy-if5jn Жыл бұрын
Nyimbo hii inanibaliki sana jamani ninapo isikia nafalijika sana pia mungu awabaliki sana kwanyimbo nzuri 🙏🙏🙏🙏🙏
@KaweKidscouture
@KaweKidscouture 10 ай бұрын
Ameeeeeeen nabarikiwa sana Mungu akubariki mtu wa Mungu
@AidanMtalemwa-jb5cn
@AidanMtalemwa-jb5cn 9 ай бұрын
Anastahili kuabudiwa siku zote Amen. 🙏🙏🙏
@DrN.DJ_Master
@DrN.DJ_Master 8 ай бұрын
Karibu kusikiliza nyimbo zingine kwenye channel yetu , Zipo zingine nzuri zaidi na Mungu akubariki ❤️ 😍
@RabiaRashidi-y6d
@RabiaRashidi-y6d Ай бұрын
Ameen 🙏🙏 nimebarikiwa na huu wimboo ❤
@DrN.DJ_Master
@DrN.DJ_Master Ай бұрын
Amen
@muchitibaron6291
@muchitibaron6291 Жыл бұрын
Very nice worship songs that makes me to stand strong in whenever i see
@DrN.DJ_Master
@DrN.DJ_Master 8 ай бұрын
Karibu kusikiliza nyimbo zingine kwenye channel yetu , Zipo zingine nzuri zaidi na Mungu akubariki ❤️ 😍
@neisphormabula7286
@neisphormabula7286 2 ай бұрын
Jesus oooh haleluya come in my hearth come along my belongings come in my family amen
@janiffernduku2183
@janiffernduku2183 Жыл бұрын
Asanteni Sana Kwa Hizo NYIMBO🙏🏾🙏🏾.... Mungu Wenu Na Asiwafungukie🙏🏾🙏🏾
@DrN.DJ_Master
@DrN.DJ_Master Жыл бұрын
listen and download through various Digital platforms through the link below Boomplay; www.boomplay.com/share/artist/70917624?srModel=byWH&srList=ANDROID Spotify; open.spotify.com/artist/7CKHJr2FF9vn69VYcMf00p?si=BWxUtRGYSSiG9Ct8aEY8yg& Apple Music; music.apple.com/tz/artist/swahili-heaven-worship/1690080319
@JanethJoseph17
@JanethJoseph17 3 ай бұрын
Hakika mungu anaweza
@DrN.DJ_Master
@DrN.DJ_Master 3 ай бұрын
Amen 🙏
@KulwaStephen
@KulwaStephen Жыл бұрын
Kwel mungu sema na moyo wangu nipate kukupenda na kumutumikia ipasavyo, barikiwa watumishi ,nawapenda🎉🎉❤
@DrN.DJ_Master
@DrN.DJ_Master Жыл бұрын
AMEN 🙏
@hamisimganga3328
@hamisimganga3328 Жыл бұрын
Nyimbo nzuri
@DrN.DJ_Master
@DrN.DJ_Master 8 ай бұрын
Karibu kusikiliza nyimbo zingine kwenye channel yetu , Zipo zingine nzuri zaidi na Mungu akubariki ❤️ 😍
@Pascaline-z2d
@Pascaline-z2d 5 ай бұрын
Amen mubarikiwe sana mungu abongezeye mafuta
@gilbertkatembo2253
@gilbertkatembo2253 4 ай бұрын
Nyimbo za tupatiya faraja,mimi ni Gilbert nikiwa DRC goma
@RabiaRashidi-y6d
@RabiaRashidi-y6d 26 күн бұрын
Tumaini langu ni kwako mungu wangu....mimi nimebarikiwa 🙏🙏
@DrN.DJ_Master
@DrN.DJ_Master 26 күн бұрын
@@RabiaRashidi-y6d amen
@martinmsendo9591
@martinmsendo9591 9 ай бұрын
Unaweza kutenda mambo makubwa zaidi ya matarajio yangu. Amina
@fayzfayz1807
@fayzfayz1807 Жыл бұрын
Hallelujah glory be to God 🙏🙏🙏 naskia kubarikiwa sana 🙌🙌❤️❤️
@SalamuElene
@SalamuElene 3 ай бұрын
Aksanti kwanyimbo eh yesu cristu unijaliye guvu ya rho mtakatifu
@SarahLukusa-ls5gf
@SarahLukusa-ls5gf Жыл бұрын
Mungu Aendelee kujitwalia utukufu katikati Yetu. Ameen 🙏🙏🤲
@Faines-qj1nt
@Faines-qj1nt 7 ай бұрын
Asantee kwa nyimbo nzur nimebarikiwaa sanaa ameeen and ameeen god is good all the time ❤
@DrN.DJ_Master
@DrN.DJ_Master 7 ай бұрын
@@Faines-qj1nt Karibu kusikiliza nyimbo zingine kwenye channel yetu , Zipo zingine nzuri zaidi na Mungu akubariki ❤️ 😍 💖
@FrncMukwinka
@FrncMukwinka Жыл бұрын
Amen. Tenda kwa nci yetu Bwana .
@reubenismail385
@reubenismail385 Жыл бұрын
Matendo yana sound sana kuliko kuimba tu!mambo muimbaya tafsirini pia kwa matendo hakika mtabarikiwa sana
@sauud2some471
@sauud2some471 Жыл бұрын
Amen mungu awabariki Sana 🙏🙏🙌🙌🙌🙌
@DrN.DJ_Master
@DrN.DJ_Master 8 ай бұрын
Karibu kusikiliza nyimbo zingine kwenye channel yetu , Zipo zingine nzuri zaidi na Mungu akubariki ❤️ 😍
@jeannotkatsongo8743
@jeannotkatsongo8743 Жыл бұрын
Nina mubariki Mungu kwa ajili ya nazi hii. Mungu wangu awabariki zaidi na zaidi.
@magdalinejuma2028
@magdalinejuma2028 Жыл бұрын
Kwa kusikiliz tu hizi nyimb nabarikiw sana ❤❤❤😊
@DrN.DJ_Master
@DrN.DJ_Master Жыл бұрын
Another mix is coming tomorrow
@robertkimani2420
@robertkimani2420 Жыл бұрын
Dear brathren be blessed and those who are listening may u see Jesus working wonders in ur lives amen
@rachealnjeri6636
@rachealnjeri6636 Жыл бұрын
Amen amen 🙏🙏
@LilianAwino-ei1px
@LilianAwino-ei1px 7 ай бұрын
The songs are amazing, zinapoza moyo kweli!
@DrN.DJ_Master
@DrN.DJ_Master 7 ай бұрын
Karibu kusikiliza nyimbo zingine kwenye channel yetu , Zipo zingine nzuri zaidi na Mungu akubariki ❤️ 😍 💖
@FeristaFerista
@FeristaFerista Жыл бұрын
Mungu awabariki sana❤❤❤❤
@estherlameck6491
@estherlameck6491 9 ай бұрын
Amen.Ame.Amen.
@davidkimathi2305
@davidkimathi2305 Жыл бұрын
Very very much blessing
@StellaPhilipo-yk5fu
@StellaPhilipo-yk5fu 2 ай бұрын
Wewe ni Mungu wetu unayeweza
@self.car3._.glowi3
@self.car3._.glowi3 7 ай бұрын
Mungu anaweza zaidi ya tuombavyo.Baraka tele
@DrN.DJ_Master
@DrN.DJ_Master 7 ай бұрын
@@self.car3._.glowi3 Amen 🙏
@emmynkurlu1005
@emmynkurlu1005 Ай бұрын
Nimebarikiwa sana😊
@LucianaGeorge-n9j
@LucianaGeorge-n9j Жыл бұрын
Amen nimebalikiwa sana
@JacksonSinga
@JacksonSinga 9 ай бұрын
Nafarijika san kila nikisikia nyimb hiz nahis moyo wang kua na aman kubwa sana namshkr Mungu sana kwa kuguswq
@DrN.DJ_Master
@DrN.DJ_Master 8 ай бұрын
Karibu kusikiliza nyimbo zingine kwenye channel yetu , Zipo zingine nzuri zaidi na Mungu akubariki ❤️ 😍
@lonardebabez233
@lonardebabez233 4 ай бұрын
Mungu usiniache naomba unitendee miujiza Amen
@andjelaniilombe-go5kj
@andjelaniilombe-go5kj Жыл бұрын
Mungu wetu ni wewe tu unayeweza
@petergicharu2480
@petergicharu2480 Жыл бұрын
Noma xana ilove this ❤❤❤❤❤❤
@peterchege768
@peterchege768 Жыл бұрын
Roho inahisi vizuri ninapozidi kusikiza. Amen 🙏
@LebonNtaboba-t2m
@LebonNtaboba-t2m Ай бұрын
Mungu awabariki piya
@DrN.DJ_Master
@DrN.DJ_Master Ай бұрын
@@LebonNtaboba-t2m amen
@EsterbernardoVumo-kn2xv
@EsterbernardoVumo-kn2xv Жыл бұрын
Kweli Mungu Unsweza.
@BaininwaMauwa
@BaininwaMauwa 5 күн бұрын
Eeeee MUNGU WANGU gusa.moyo wangu baba 🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲
@lucretiadamas8702
@lucretiadamas8702 Жыл бұрын
Usingizi umekata Unaweza unaweza unaweza Bwana 🙏
@JacklineNkundimana
@JacklineNkundimana 11 ай бұрын
Mngu awabalikie wa imbaji nawatakiya kuimba pamonga nawa takatifu mbinguni
@AmosimwandondwaMwasamala
@AmosimwandondwaMwasamala Жыл бұрын
Safi hakika Mungu hutenda
@andjelaniilombe-go5kj
@andjelaniilombe-go5kj Жыл бұрын
Niguse Baba , ukinigusa nitakuja salama
@JULIASNDIEGE
@JULIASNDIEGE 11 ай бұрын
So intresting keep it up dear
@DrN.DJ_Master
@DrN.DJ_Master 11 ай бұрын
Amen 🙏
@kikiteri7486
@kikiteri7486 2 жыл бұрын
I am blessed with this worship songs.Blessings to you
@praisetunes
@praisetunes Жыл бұрын
Amen. Blessings
@ReginaNdunguru
@ReginaNdunguru Жыл бұрын
Mungu awabariki muombe ktk roho na kweli
@AGNESMAVUSI
@AGNESMAVUSI 7 ай бұрын
Very powerful worship and touching the heart
@DrN.DJ_Master
@DrN.DJ_Master 7 ай бұрын
Karibu kusikiliza nyimbo zingine kwenye channel yetu , Zipo zingine nzuri zaidi na Mungu akubariki ❤️ 😍 💖
@nahishakiyeaugustin-te4ni
@nahishakiyeaugustin-te4ni 8 ай бұрын
Kristo Yesu awe uzima kwako wewe Muslim na njaa na kiu ya Gospel ikaongezeka zaidi yamkini unaweza kupata Nuru kama watakatifu wengine walivyoipata.Zaidi ukawe na afya tele katika jina tukufu la KRISTO YESU MFALME WA WAFALME ALIYE MWANZO NA MWISHO KATIKA YOTE MILELE NA MILELE.
@SylvesterSilverduge-q1p
@SylvesterSilverduge-q1p Ай бұрын
Nyimbo ningependa sana
@mutonyiagatha5772
@mutonyiagatha5772 Жыл бұрын
Whenever I feel tired n stressed I just listen to gospel n I be relieved
@ClareWema
@ClareWema 8 ай бұрын
Wewe ni Mungu wetu.. unaweza yote bwana... come and reign my life God, I face many challenges in life.. I wish my mum was with me.
@nickmsangaa8506
@nickmsangaa8506 Жыл бұрын
ameni nabarikiwa sana leo juma pili hii tarehe 7mwenzi wa 5/23 asante mungu asantee 😭😭😭😭
@DrN.DJ_Master
@DrN.DJ_Master 8 ай бұрын
Karibu kusikiliza nyimbo zingine kwenye channel yetu , Zipo zingine nzuri zaidi na Mungu akubariki ❤️ 😍
@NkundabandiSostene-pp4vk
@NkundabandiSostene-pp4vk 10 ай бұрын
Amen mungu akusaidie( mulungu abwezeko)
@Emmanuel-cp1no
@Emmanuel-cp1no 8 ай бұрын
Huwa nabarikiwa sana na nyimbo kama hizi machozi ya imani hunibubujika zina mguso mkali sana wa imani yaani kama unaona na Mungu uso kwa uso
@DrN.DJ_Master
@DrN.DJ_Master 8 ай бұрын
Karibu kusikiliza nyimbo zingine kwenye channel yetu , Zipo zingine nzuri zaidi na Mungu akubariki ❤️ 😍 💖
@MAKIOWILLIAM
@MAKIOWILLIAM 8 ай бұрын
Unaweza kufanya song for me,,can't get enough of it
@DrN.DJ_Master
@DrN.DJ_Master 8 ай бұрын
Karibu kusikiliza nyimbo zingine kwenye channel yetu , Zipo zingine nzuri zaidi na Mungu akubariki ❤️ 😍 💖
@marychilupula6236
@marychilupula6236 Жыл бұрын
How sweet it is to be in the presence of the Lord and worship him with all your heart, thanks guys for inspirational piece of music,I Love it and Iam melting!!?
@MartinMuthara
@MartinMuthara Жыл бұрын
Hakika paster mgogo mungu akumbariki sana sana
@MaureenMidega
@MaureenMidega 8 ай бұрын
Amen naona nyota yabaraka ndani yangu
@DrN.DJ_Master
@DrN.DJ_Master 8 ай бұрын
Karibu kusikiliza nyimbo zingine kwenye channel yetu , Zipo zingine nzuri zaidi na Mungu akubariki ❤️ 😍
@ELIZABETHYAREDI-lf5je
@ELIZABETHYAREDI-lf5je Жыл бұрын
Asante Kwa huduma nzur ya kuendelea kufarij mioyo yetu Kwa njia ya nyimbo Mungu awabarik
@DrN.DJ_Master
@DrN.DJ_Master Жыл бұрын
listen and download through various Digital platforms through the link below Boomplay; www.boomplay.com/share/artist/70917624?srModel=byWH&srList=ANDROID Spotify; open.spotify.com/artist/7CKHJr2FF9vn69VYcMf00p?si=BWxUtRGYSSiG9Ct8aEY8yg& Apple Music; music.apple.com/tz/artist/swahili-heaven-worship/1690080319
@kaserekajeanmarie3705
@kaserekajeanmarie3705 Жыл бұрын
Thank you too much in this adoration God Bless protect your life so much, thank you God accepter this adoration on name in Jésus Christ notre sauveur puissant Amen !
@WinifredThomas-d8n
@WinifredThomas-d8n 2 ай бұрын
Amin tunabarikiwa
@elinakibona-lb9bd
@elinakibona-lb9bd Жыл бұрын
munguuu ni Kila kitu kwanguu l love so much
@JessyMutwiri
@JessyMutwiri 4 ай бұрын
Thanks you Jesus for gift of life
@DrN.DJ_Master
@DrN.DJ_Master 4 ай бұрын
@@JessyMutwiri ❤️❤️‍🔥
Nyimbo za Kuabudu na Maombi
1:00:07
Lucas Kaaya
Рет қаралды 615 М.
УНО Реверс в Амонг Ас : игра на выбывание
0:19
Фани Хани
Рет қаралды 1,3 МЛН
Wednesday VS Enid: Who is The Best Mommy? #shorts
0:14
Troom Oki Toki
Рет қаралды 50 МЛН
Nyimbo za Kuabudu na Maombi 2
1:00:56
Lucas Kaaya
Рет қаралды 68 М.
BEST LIVE SWAHILI PRAISE & WORSHIP GOSPEL MIX 2025 | FT ISRAEL MBONYI, DR.IPYANA.
1:50:08
MAOMBI YANGU Bella Kombo cover YAFIKE KWAKO AND HIYO DAMU, DAMU TAKATIFU WORSHIP BY DANYBLESS
25:33
4hrs 44min Nonstop Best of Guza Worship Mix
4:44:41
𝗚𝘂𝘇𝗮 𝗧𝘃. (𝑻𝒐𝒖𝒄𝒉𝒊𝒏𝒈 𝒍𝒊𝒗𝒆𝒔)
Рет қаралды 1,6 МЛН
SWAHILI WORSHIP SONGS WITH LYRICS NONSTOP 2024
54:32
SWAHILI HEAVEN WORSHIP
Рет қаралды 297 М.
Nyimbo Za Tenzi Za Rohoni Songs Swahili Mix -  Nyimbo Za Injili (2 Hrs)
2:02:27
NYIMBO ZA KUABUDU/SWAHILI WORSHIP SONG WITH LYRICS NONSTOP 2024
45:24
DrN DJ Master
Рет қаралды 134 М.
Israel Mbonyi - Kaa Nami
13:40
Israel Mbonyi
Рет қаралды 7 МЛН
Swahili Worship Songs 30 Minutes of Prayers and Worship
30:20
Delos Michael Official
Рет қаралды 506 М.
УНО Реверс в Амонг Ас : игра на выбывание
0:19
Фани Хани
Рет қаралды 1,3 МЛН