Yani wasomi wengine bana yani kweli karine hii unajenga room ambazo hazna choo duu embu badilikeni Aseee
@sashoright82132 жыл бұрын
Nmependa madirisha mliyoyajenga Mana Hali ya joto sio nzur
@didacianapeyton579810 ай бұрын
Je hizi nyumba ni kwa ajili ya watumishi tu?? Nauliza pia kama bado zipo ?
@rahmamollely5296 Жыл бұрын
Nilitaka nyumba ya kununua kigambon nimeambiw zimeuzika zote. Zimebaki za kupanga nimeumia😭
@kisalaTV3 жыл бұрын
Nyumba nzuri ila choo kimoja. Kwa family ni stress
@jacquelinejared67503 жыл бұрын
Za master zipo 350,000 kwa mwezi
@babymaryam32172 жыл бұрын
Stress sana
@saidramadhan37003 жыл бұрын
Zakuuza, 3 bedrooms,,, bei gan?
@georgesarya48123 жыл бұрын
DODOMA mpo
@whionlinetv68143 жыл бұрын
Naam Rafiki tumefika, tuna mradi wa Nyumba za Makazi Njedengwa na Kisasa Hilltop, kwa maelezo zaidi wasiliana nasi sasa: +255 22 292 2211, 0715 353 465, 0765 504 246, 0717 796 040.
@agnessmsogoya53203 жыл бұрын
Vipi bado zipo za geza ama zimejaaa
@whionlinetv68143 жыл бұрын
Karibu Rafiki, kwa sasa zimebaki Nyumba za Vyumba vitatu vya kulala ( kimoja masterbedroom) , sebule, choo, jiko, veranda upande wa mbele na nyumba kwa kodi ya Tsh. 300,000/= Tu. kwa maelezo zaidi wasiliana nasi sasa: +255 22 292 2211, 0715 353 465, 0765 504 246, 0717 796 040.
@salha65962 жыл бұрын
Nataka 250000 bado vipo?
@sashoright82132 жыл бұрын
Kuzipata Sasa🤦
@mashaainsuranceagency59253 жыл бұрын
Ulipaji ukoje kwa miezi mingapi
@whionlinetv68143 жыл бұрын
Karibu Rafiki, Malipo ya kodi za Nyumba zetu ni kwa Mwezi mmoja mmoja.
@sashoright82132 жыл бұрын
@@whionlinetv6814 nmeipenda Sanaa mlivyowka Kodi Mana wngne uwezo wa miez 6ni balaa
@user-po8hz7xw9j Жыл бұрын
@@whionlinetv6814 nq zile zakununua bado zipo naomba namba zenu za wastp