Ndani mnakosea kujenga kana kwamba wanunuzi wote wanafanana, jaribuni kujenga kwa style tofauti na kuweka kama samples na kuruhusu wateja kuja kuangalia samples na hapo ndo mnachukua maoni ya aina gani za nyumba mjenge. Sio mnajenga nyumba nyingiiii ambazo ni mawazo ya mtu mmoja tu (mchoraji). Hizo nyumba watanunua watu amabao hawajaona nyumba sehemu zingine. Build more contemporary styles zenye muonekano wa kuvutia kwa kutumia vifaa hivyo hivyo mlivyotumia. Vyoo pia viwe vikubwa na kuwe na closets sio lazima mtu kununua mikabati kujaza vyumbani na jikoni. Kuna michoro ya bure online kwanini msiangalie na kujiongeza kidogo. Hizo nyumba hazina tofauti na zile za zamani za polisi kota na National housing za mikoani na Magomeni.
@kilimanjaroflavour3 жыл бұрын
Yaani umeseka kila kitu nilichokua na waza sana. Tatizo la watanzania hawako exposed kabisa. Wangetoka hata nje ya nchi kuchukua ideas kwa nchi jirani.
@sashoright82132 жыл бұрын
Umenisuuzaa Mana kila ulixhosema ndo nakiwaza iv kwann wasiulze au kuomba ushaur Jamani Aya mitandaon awaon wamezipanga vizur lkn ndani majanga matupu Yan apo jikon loh majanga Amna makabati wanakaa chin au ndo bas na hiyo master mbona Haina choo jamn au master kwakua Ina pembe
@birianination70972 жыл бұрын
Hivi inasaidia kujenga kwa garama nafuu hivyo kusaidia watanzania walio wengi kuweza kumiliki nyumba kwa bei nafuu.
@jafetiwilson80923 жыл бұрын
Kazi nzuri sana,,nimezipenda nyumba zenu
@ShirikalaNyumbalaTaifa2 жыл бұрын
Karibu saana
@neemayatosha1618 Жыл бұрын
Utafikiri vikota vya polisi au magereza. Kwakweli nunueni tu,kha!
@rashidbusanya71665 жыл бұрын
07/11/2019 Leo nauliza hizo nyumba bado zinapatikana? Pia naomba bei yake
@RenaldaZeramula4 ай бұрын
Mnaboa sana semeni bei
@margaretmkangala77745 жыл бұрын
Hii ni 2019 bado zipo?
@jacksommndellah77945 жыл бұрын
Barabara zarami sasa kwenye iyo mitaa au muanze kujenga barabara zamitaaa kwanza alafu nyumba itapendeza sana
@vibestudio47074 жыл бұрын
BG up NHC
@yaimuganyizi10264 жыл бұрын
Natamani mngekuwa mnauza tu viwanja maana hizi nyumba design bado ni changamoto sana, ni za kizamani mno hadi zinakatisha tamaa kwakweli. Pia zipo karibu mno, au inawezekana mtu kujijengea uzio wake? Location nzuri sana, hapo ndo mlipatia.
@makongorowassira6593 Жыл бұрын
Hawa watu wavivu sana kufikiria, wanawaza kupiga tu. Nyumba zao labda ninunue then nibomoe😂
@shomarymussa69706 жыл бұрын
Nawapongeza sana mnaboresha mazingira ila mnachafua kwaiyo miwaya ya umeme kukatiza juu kilamahali kama tupo gugulethu South Africa
@ShirikalaNyumbalaTaifa6 жыл бұрын
Ahsante kwa maoni yako tunayafanyia kazi.
@محمدالقايد-د6ب4 жыл бұрын
Nzuri maana ata hiyo sina
@RenaldaZeramula4 ай бұрын
Story nyiiiiiingiiii bei.gani sema.acha story
@sumatanjunior2315 жыл бұрын
Mbona landscaping/ bustani hazijatunzwa? Na ni nani yupo responsible kutunza bustani na mandhari? Au nyasi zikishaota ndiyo chaka.
@horizongroup-tanzania63632 жыл бұрын
Akili hewa kabisa! Eneo ni zuri sana lkn nyumba bure kabisa
@RamadhanMbwana-o1j3 ай бұрын
Bei?
@bibimzee78804 жыл бұрын
Jee mtu wa kigeni mnasuhusu kuja kununua mnaruhusu
@margarethpolepole74383 жыл бұрын
Nyumba nyingi za nhc zinaibwa sana vifaa ukiingia au kununua ndani ya miaka 3 tu kila kitu kimeharibika tunataka garantee miaka mingapi kabla haijaharibika
@omarikessy23396 жыл бұрын
Bei gani?
@marionntomola16863 жыл бұрын
mh!
@makongorowassira65935 жыл бұрын
Jengeni nyumba zenye mvuto wa kisasa sio kama Nyumba za zamani. Hakuna mvuto kabisa hapo, sijui wahandisi wetu wanakosea wapi
@rahimaaaaa86995 жыл бұрын
mbona Hii mijengon imerudi ZAMANI. msambusa hauna dili fatilia nyumva za ulaya na Philippines
VYOO VYA KUKAA SIO DEAL, BADILISHENI MIFUMO YA VYOO
@RenaldaZeramula4 ай бұрын
Siku ukitimiza miaka 45 hadi 60 utajua faida ya choo cha kukaa au ukiugua
@sashoright82132 жыл бұрын
Nyaya za umeme zingepotishwa chin kuepusha kizogo #NSSF
@ladylady84405 жыл бұрын
Bei
@margarethpolepole74383 жыл бұрын
Nyumba zenu haziendani na ramani au miundo ya nyumba za kisasa ramani zenu ni za kizamani nendeni na wakati
@marianakapeller46992 жыл бұрын
Magufuli oyeee
@antoinekatembo85204 жыл бұрын
Eeh Joseph Haule nikajua ni yule Pfofesa wa hip hop kumbe...!
@rukiabaybe85944 жыл бұрын
Hata oman kunahali nyumba zimefanan zote nyeupeee wengine wamenunua na wengine wanarent
@mariamwakabuta10344 жыл бұрын
Hizo kota
@kilimanjaroflavour3 жыл бұрын
Yaani hilo jiko mungu wangu! Ni nani ali design hizo nyumba🤦♀️🤦♀️🤦♀️
@eddietaz7104 жыл бұрын
national housing wanatakiwa kutafuta mtu awafundishe kupaka Rangi,
@RenaldaZeramula4 ай бұрын
Tqtizo mnaficha bei kaa na nyumba zenu
@hanifawaliya79765 жыл бұрын
Hapo si kama unaishi kambini tu. Ndo mambo ya kuvizia wake na watoto wa watu hapo
@daliamtanganaki66874 жыл бұрын
Hahahahaa hanifa kweli kabisa kama ulikuwepo, hapo ni vishawishi vya kutosha
@sweetyjanne2553 жыл бұрын
Shida Vijumba Vyenu Mnajengaga Vyumba Vidogoo Yaani Hizi Zinafaa Kwa Mabachelor Ila Sio Mtu Mwenye Familia Kwani Mkijenga Nyumba Nzuri Zenye Vyumba Vya ukubwa Mzuri na Vyoo Mkaweka Vya Maana kutakuwa Na Shida Gani
@TM.Sullusi3 жыл бұрын
Huwez ku sustain haja ya kila mtu, ndo maana mtu hajazuiwa kujenga ya kwake kwenye kiwanja chake.