Book Your Stay Today! For a stay that promises comfort, luxury, and peace of mind, look no further than Fahari Homes. Call or WhatsApp: +255 62 719 7349
@hadijajuma508111 ай бұрын
Kukaa siku mbili ni bei gan maana ni zuri sana
@christinewomanoffaith54794 ай бұрын
Duh hii mzuri mkisafiri ki- familia Peke yako labda usipike uwe unalal tu All in all ni pazuri .....
@lex_niyukuri8617 Жыл бұрын
Wow 🎉🎉🎉🎉 thanks EBM sasa hiyo ntalala to nikiwa kwenye safar❤🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮 pls God 😢😢 najuw a unasikia kilichomwo ndani yangu fo win ........
@joasitz9559 Жыл бұрын
😮😮😮 du asante sana EBM, I didn't know kama Dar kuna vitu vizuri hivyo.
@SPECIALZONE101 Жыл бұрын
Wonderful... This place is amazing! Mahali ambapo kuna ulinzi na usalama. Nitarudi tena na tena
@mohammedrashid29064 ай бұрын
Upo sawa
@teresiamathias8636 Жыл бұрын
Waoo very good 👍❤
@christinewomanoffaith54794 ай бұрын
Okay
@mwanrique Жыл бұрын
Lovely❤️
@saidiikola18013 ай бұрын
Nilitaka kuuliza kwa mwezi kwa dollar ni ngapi????
@abdulsimbarakiye41452 ай бұрын
One room for month how much
@bballdunks869 Жыл бұрын
it's more than afforadable, duh!! Mikocheni nyumba ipo hivyo 120k/night?
@mutasimyagoub30515 ай бұрын
أين هذا المنزل وهل متوفر الان
@KSACTV Жыл бұрын
Jamani wenzetu wacheni kulala jamani nikiwa dar nahangaika sana nikitafta kwa Mitandao nitaichukua December nikirudi
@mutasimyagoub30515 ай бұрын
Where can I find affordable house like this in dar esalam
@mayazamzam72748 ай бұрын
Mna serve breakfast?
@powerplus193311 ай бұрын
How much?
@christinewomanoffaith54794 ай бұрын
Serikali imeshapiga marufuku matumizi ya $ Tutalipa Tsh 😅
@fanni-ck6do5 ай бұрын
Za chumba kimoja Zipo
@Kapingatv Жыл бұрын
😅😅😅😅😅
@astroworld2021 Жыл бұрын
Mimi nntapig mtu ngumi unakuta mtu anapika nyama zako ni kudunda ngumi2
@UNCLEMULI123. Жыл бұрын
Kwa pesa gapi???
@lameckdohe6547 Жыл бұрын
Amesema dolla 45 kwa chumba au 120,000 kwa tsh kwa chumba