💪💯JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO 🔥🔥 chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...
@thomsanga79562 ай бұрын
Hotuba ya mwabukusi ni nzuri na yakistaarabu sana! Mwabukusi Mungu akubariki sana sana aisee ✊🏿
@MohamedSalum-d4t2 ай бұрын
Mungu Akubariki Mwambukusi kwa hotuba Yako Nzuri
@ReubenRaymond-zh4yw2 ай бұрын
Hakika kutokana na wadau toka sekta mbalimbali hizo za Serikali, dini, wanasheria, na siasa hadi asasi za kijamii na za kitaaluma mambo yatakuwa super in positive sense.
@gowekogoweko58032 ай бұрын
ONCE AGAIN THANK YOU OUR HERO TLC PRESIDENT MR BONIFACE MWABUKUSI
@ReubenRaymond-zh4yw2 ай бұрын
Reinforced disappearance inasababisha maumivu ya kisaikolojia, ya kijamii, ya kifamilia kwa kuumia miyoyoni mwao/mwetu. Pia kuwa na hofu na mashaka ktk maisha ya kila siku. Kabla ya Mungu hajatusaidia, ni vema sisi binadamu tuchukue hatua za makusudi ya kupata majawabu sahihi.
@Bobkilly2 ай бұрын
Hongereni Sana Kwa hichi kikao kilichofanyika Kwa kuunganisha asasi mbalimbali ndani ya serikali na nje ya serikali.. Mzee MURIRO umetoa maoni mazuri Sana Sana pongezi kwako,huku mtaani vijana wengi Sana wanakimbia nchi Kwa kwenda kutafuta maisha lakini huku nyuma wanaoachwa wanasema wametekwa na polisi Jambo ambalo sio kweli na baada ya miaka kadhaa huwa wanarudi.. Jeshi la polisi linafanya kazi nzuri Sana ya kulinda Amani ya wananchi na Mali zao., Jeshi la polisi linafanya kazi usiku na mchana masaa 24 hrs bila kulala tunatoa pongezi kwao wanawajibika ipasavyo Mzee MURIRO maua yako uchukue..
@OmmyJames-xn7ji2 ай бұрын
Tuambieni HABARI ya MNYIKA amejiteka au bado ANATUBU 😢😢😢😢😢
@ReubenRaymond-zh4yw2 ай бұрын
Nawapongeza waandaaji wa Kongamano hili muhimu, lenye mtazamo wa HAKI.
@erasmichuwa40492 ай бұрын
Huu ni mwanzo wa kuonyesha njia ya Watawala kujitambua kutenda haki
@mr.yahzadochuno79142 ай бұрын
Sasa naanza kuipenda tena tanzania maana nilisha ichukia
@malackedson77062 ай бұрын
Mwamba uyuu
@abdallahnkrumah62372 ай бұрын
Mh Jaji Umeonyesha uzalendo mkubwa sana kwa hotuba hii. Kumbe nchi hii Ina vichwa akili kubwa.
@ReubenRaymond-zh4yw2 ай бұрын
Kupotea ni sawa na mtu kwenda mahali asikotaka kwenda, yani kama kapotea njia sahihi. Kupotezwa ni sawa na kupelekwa usikokataka kwenda, yawezekana kwa nguvu au kwa kuraghaiwa na aliyekuchukua(reinforced disapearance)
@michaelyudabaran19662 ай бұрын
Michael Yuda toka mkoa wa Arusha maoni yangu kamanda kukiri inaonekana kikozi chake kinahusika kwani wasinge husika asiye wakataka wapelelezi kutoka nje maoni yeye Apishe uchunguzi
@alphoncehanura32552 ай бұрын
Kwa nini Tusielezwe sababu zilizofanya Kombo afichwe halafu baadaye Polisi ikakiri kuwa inaye????? Tusimaliziane mb bure kwa kitu kipo wazi.
@kanankirannko61742 ай бұрын
Hivi ndivyo ilivyotakiwa kufanyika tangu walivyoanza kutekwa
@mr.yahzadochuno79142 ай бұрын
Tunaelekea pazuri nilisha anza kuichukia Tanzania 🇹🇿 kabisaa na nikakimbia nchi niko china huku kuna duka nimeingia wameniita monkey 🙈
@mr.yahzadochuno79142 ай бұрын
Tunaelekea pazuri nilisha anza kuichukia Tanzania 🇹🇿 kabisaa na nikakimbia nchi niko china huku kuna duka nimeingia wameniita monkey 🙈
@kanankirannko61742 ай бұрын
@@mr.yahzadochuno7914 Woooo umenikumbusha mbali askofu mmoja mweusi haswaaa alienda kufanya kazi jimbo la Calfonia mtoto mdogo akamwangalia akamuuliza , naweza kushika mikono yako askofu akamjibu ndio ,kumbe mtoto ana malengo ya kumsugua hadi aone kama atakuwa mweupe ,alipofeli kabisa akamuuliza askofu ,kwanini wewe uko hivi na sio mweupe kama sisi? Askofu alimjibu mtoto kama jinsi wewe hujui Kwa nini ni mweupe na Mimi sijui Kwa nini ni mweusi yule mtoto alielewa na wakawa marafiki hadi Leo , ni kweli kwamba hawakubali weusi wetu
@ReubenRaymond-zh4yw2 ай бұрын
Ni kweli Serikali inatakiwa iongeze jitihada za kutatua matatizo haya, vnginevyo hata wahuni wataingia na kufanya yao ili state iendelee kulaumiwa. Bunge ni lazima lijikite kudeal na hayo pia. Mungu awasaidie.
@ReubenRaymond-zh4yw2 ай бұрын
Deprivation of liberty, more than we know, but more than such uhuru. Kumfikiria fulani kuwa akifanya jambo basi atafanya uharifu au jambo baya, that is not true. That is wrong perceptions or negative altitudes.
@mbokhamumwaliswaha81382 ай бұрын
Lakini kiongozi alishasema habari ya d isappearances ni drama. Kwa hiyo wote mliokusanyika hapo mnaendeleza drama?
@kanankirannko61742 ай бұрын
Siku ile alikuwa na hasira Kwa kutuhumiwa ni muuaji na serikali yake.
@BeniJohn-xd3cn2 ай бұрын
Ukweli mtu Kamanda Muriro umekuwa Nabii wa Taifa kwa ajili ya Chadema