Praise the Lord mtumishi wa Mungu. Aliye Hai Jina la Bwana libarikiwe Sana.
@faustermtavangu82126 ай бұрын
Naomba.Uniombee Mungu binti yangu ajifungue salama nipo hosptali kuna vitu havipo sawa Asante Mchungaji Asante Mungu kwani naamini neno la Mungu lina nguvu sana.
@DorcasNgumbi-k6n8 ай бұрын
Mchungaji Mungu muhumbaji akutie nguvu tena asante kwaneema ya Yesu nimesikia neno nzuri, ubarikiwe Amen🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@annamuhoho18728 ай бұрын
Pastor ubarikiwe, tunakuombea Mungu akutumie kama Daudi mfalme.
@nyambocksupplier75168 ай бұрын
Mungu akubariki pastor akupe miaka mingi ya kuishi duniani na mbinguni tukutane Kwa shangwe
@eustina08 ай бұрын
Maombi yangu eeeh Mungu wayajua pokea sifa za moyo wangu
@maseaJoe86768 ай бұрын
Asante mchungaji roho yangu imepata amani barikiwa sana
@PheadaKasigwa8 ай бұрын
Nimebarikiwa na ombi la yehoshafati nami natulia niuone wokovu wa BWANA
@HawadyMyinga8 ай бұрын
Muyinga njombe nimebarikiwa na somo zuri pastor umeniinua kiroho Amina sana
@HlLh-g9r8 ай бұрын
Nashukuru Sana mchungaji kwa somo la leo naomba maombi kwa Familia yangu especially mume wangu
@kennedymwirigi45776 ай бұрын
Blessed from Kenya
@NicolasKitoga7 ай бұрын
Asante kwa mafundisho mchungaji Pia naonba msaada wamaonbi Nami najifunza apa mjini Goma ili Mungu akiniwezesha niwe mchungaji kama wee
@josephngigi42117 ай бұрын
Lakini mwalimu wangu nakupenda pamoja na mafundisho wakati wowote ninapo pungukiwa nikiguza tu! U TUBE napatana somo lako lina fanana na upunguvu wangu hivi basi mimi ni mwigilisti napenda kalama ya kufundisha sema neno hapo ulipo naamini dio naanza mafundisho ya kibibli u tube Joseph ngigi preach good news gospel of salvation niombee pia Mungu na akubaliki sana my rollmodel.
@MahubiriPrMmbaga7 ай бұрын
Mungu akupe haja ya moyo wako
@jeanmakeusa83897 ай бұрын
Pastor Bwana akubariki sana,itakuwa vema siku moja uje ukatusalimu hapa mjini Goma DRC katika Union yetu ya NECUM. Bwana uku bariki sana na familia yako bila kusau wasabato wote wa TZ. Mimi ni Makeusa John mshiriki wa kanisa la Mabanga Goma DRC.
@LamosChris7 ай бұрын
AMEN ❤❤❤
@RehemaMkamba8 ай бұрын
Asante mchungaji kwa mahubiri mazuri. Naomba umuombee dada yangu pia alikuwa muombaji lakini alifika mahali fulani kwa ajili ya maombi akaomba na kuchoma vitu vya kichawi, kutoka hapo maisha yake yakabadilika kabisa ameharibikiwa naomba umkumbuke kwenye maombi
@KevinGechore8 ай бұрын
Amen mchungaji wacha mungu apewe sifa.
@averenejohn35137 ай бұрын
Amen
@josephinelusambo45938 ай бұрын
amen amen mtumishi
@namsifumaduhu21838 ай бұрын
Asante Yesu
@marymauti41058 ай бұрын
Mchungaji niombee niko some challenges kwa ndoa mume wangu ametawaliwa na ulevi..mungu akubariki kwa mafunzo yako mema Amina
@MahubiriPrMmbaga8 ай бұрын
Mungu akutendeee makuuu
@MahubiriPrMmbaga8 ай бұрын
Pole sana! Nguvu ya Mungu iingie ndani yake na kumpa badilko kuanzia leo! NA IWE HIVYO
@joycethomas66198 ай бұрын
@@MahubiriPrMmbaga pastor naomba namba yako
@gracekisaka84617 ай бұрын
AMEEN
@vivianong84048 ай бұрын
Amen
@nezerinejuma55108 ай бұрын
Amen ❤️🙏🏾
@user-ee8dr9iw4k8 ай бұрын
Nimebarikia sana Nikiwa Mogadishu ninaitaji maombi, Nina kidonda haiponi
@zeliageorge33118 ай бұрын
Kama Bwana asingekuwa pamoja nasi tuseme nini Basi? Kwa mkono hodari akatupigania; hila za mwovu na zikashindwa....Uhimidiwe Bwana.
@dishonkeya83978 ай бұрын
Amen 😅
@janviershaminya24858 ай бұрын
asante kwa mungu
@EstherLushino8 ай бұрын
Amina kwa kutufundisha kuomba
@GerardHamisi8 ай бұрын
Mchungaji me naomba msaada wa maombi nasumbuliwa na nguvu za giza nilipata shida hii nikiwa form 3 mpk 4 Mchungaji nimeenda kwa waganga nimegundua mungu nimuweza sasa nipo chuo lkn bado sijaponq
@OmbasaKelvin8 ай бұрын
Please pastor niombee nami niwe Karibu na Mungu
@NyamariFaith-qu1jm8 ай бұрын
Mungu abariki hili somo kupitia kwa mjungaji hakika mungu ametenda makuu maishani mwangu kupitia kwa mafundisho haya
@nicksonmasatu72097 ай бұрын
Huu mtafsiri wa lugha za viziwi anapotea sana, mjitaidi awe anaonekana muda wote kwenye screen, tafadhali.
@dagradaonlinetv8 ай бұрын
Pastor niombee nasumbuliwa na pingili za mgongo
@IrineoyaruOyaru8 ай бұрын
Amina Amina
@happyharuni6708 ай бұрын
Aminaa
@Alan-g2t8 ай бұрын
Amen mtumishi, wa Mungu mafundisho ni mazuri sana, ila nataka nijue kwa nini Sabato ni jumamosi na Wala si jumapili?
@nelsonamani94898 ай бұрын
Uko tayari kujifunza Mtumishi? Inawezekana kabisa kujua Siri hii, barikiwa
@joseshido81928 ай бұрын
🙏
@jonaskaminsa18108 ай бұрын
Naomba kumuombea mke wangu amepata strocke Niko Iringa mjini
@bamag-0218 ай бұрын
Hakika nimebarikiwa sana
@EstherLushino8 ай бұрын
Kama yehoshafati
@erastusobara31968 ай бұрын
Pastor napitia mzigo mzito ambao siwezi taja hapa nikumbuke tu Kwa maombi