OMMY DIMPOZ ashoot video yake mpya kwenye JUMBA la KIFAHARI la BAKHRESA lenye thamani BILIONI 30

  Рет қаралды 21,586

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Күн бұрын

Пікірлер: 42
@aminaabdallah3644
@aminaabdallah3644 Жыл бұрын
Mashallah ❤🔥🔥
@abedomar5183
@abedomar5183 Жыл бұрын
Video nzuri sema jamaa kuimba hajui kabisa yeye afanye kazi tu kwa Gsm muziki kwake is too late
@l.m.a.7570
@l.m.a.7570 Жыл бұрын
Nyimbo yenyewe mbovu
@ramadhankakai7303
@ramadhankakai7303 Жыл бұрын
😂😂😂😂
@josephamakobe8404
@josephamakobe8404 Жыл бұрын
Nani amesikia wimbo wa FOUNDER TZ NITOKAJE
@MeddyClever
@MeddyClever Жыл бұрын
Bro hii ni kitu cha kawaida bhana isn't a big deal.. I've seen two Nigerian KZbinrs filming this building kotekote.. and it ain't bakhresa's house that he lives in.. hii ni property ya mwamba kwenye mji unaitwa fumba town na nyumba inauzwa $12m I think ungekutafuta namna nyingine ya ku address hii content yako
@Hissaba
@Hissaba Жыл бұрын
Ni property ya bakhressa group Kweny hiy video unayosema ipo kw promotion purpose Kw music video ommy ndio wa kwanz Mji wote wa Fumba Upcoming unamilikiwa na Bakhressa Group bro Acha ujuaji au kuna sehem umeambiw bakhressa anaishi humo??
@sumeiyamaddy95
@sumeiyamaddy95 Жыл бұрын
Watu wanaishi mashallah haya muhimu uhai ipo siku na cc inshallah
@KassimAlly-xp4dz
@KassimAlly-xp4dz Жыл бұрын
Dunia 2 maisha halisi yapo peponi na raha zake ni za maisha ya kudumu huwezi kuja linganisha ataa kidogo na maisha ya duniani
@Zenny89
@Zenny89 Жыл бұрын
Location Nzuri, Nyumba nzuri, color ya video nzuri..Maudhuhi mazuri…Ila kwa msichana aliyemtumia Kama video vixen kaaribuuu!!! Ugh!!! Kwanini wamelitumia Miss Masifa Niffer🙄🙄.. Komwe limeharibu shoot.
@Casanovatz
@Casanovatz Жыл бұрын
Acha wivu
@yassirgiya6743
@yassirgiya6743 Жыл бұрын
Apo kwenye colour 💥
@Thegossipermediatz
@Thegossipermediatz Жыл бұрын
Kwani sio binadamu kama wewe unamuona mbaya wengine wanamuona mzuri
@kdloon2030
@kdloon2030 Жыл бұрын
Too judgemental,wewe yaelekea ulijiumba mwenyewe na umekamilika kila idara,ulitaka wakutumie wewe kama video vixen au ni wivu tuu wakusumbua na roho ya chuki?
@muduboy726
@muduboy726 Жыл бұрын
Wivu
@ukhutfatumah1154
@ukhutfatumah1154 Жыл бұрын
Kuna watu waishi inshallah one day na mie
@wemaMichael-fr4th
@wemaMichael-fr4th Жыл бұрын
kwa taarifa nililnayo omy ameruhusiwa kushoot jikon bafuni tu bac
@BigZhumbe
@BigZhumbe Жыл бұрын
Jumba limejengwa for businesses linauzwa hilo wenye pesa waende wachukue mjengo
@milazoomilazoo4494
@milazoomilazoo4494 Жыл бұрын
Omyi katishaAa na kumkubalii lazimaaaaa wa kwanza milazooo apaa
@Sosedeline
@Sosedeline Жыл бұрын
Hujui ako. Krbu na daimond
@akimanaarlene851
@akimanaarlene851 Жыл бұрын
Jamani huo tajili backlessa anaishi wapi?
@barakamwamba288
@barakamwamba288 Жыл бұрын
Dubai
@KesslyTravelZanzibar
@KesslyTravelZanzibar Жыл бұрын
Geto
@HarrisOthman-p7i
@HarrisOthman-p7i Жыл бұрын
Haishi bongo labda watoto wake
@niffonlinetz7214
@niffonlinetz7214 Жыл бұрын
APA NAMTAGI VIPI ASAKE AJE AONE HII
@alexmmbaga441
@alexmmbaga441 Жыл бұрын
Kwaiyo tunamsifia yeye kushoot kwenye nyumba ya watu
@segeospatialtechnology7482
@segeospatialtechnology7482 Жыл бұрын
😅😅
@priscamrekoni3451
@priscamrekoni3451 Жыл бұрын
🤣🤣🤣
@iktharsalum7440
@iktharsalum7440 Жыл бұрын
Hilo nitangazo na hizo nyumba zinauzwa
@harounbanzi3948
@harounbanzi3948 Жыл бұрын
Noma sana
@AbuuNachacha
@AbuuNachacha Жыл бұрын
Uyo shoga bakhlesa kashamuoa uyo
@its_khalidy_46
@its_khalidy_46 Жыл бұрын
Ukibadilisha mtazamo wako utafika mbali sana,,,
@Makakulaya
@Makakulaya Жыл бұрын
Ni shoga wa warabu.Nani hajuwi kwamba ni homosexuel shoga wamatajiri na KIKWETE
@CatherineNzeki
@CatherineNzeki Жыл бұрын
😅😅😅😅
@choggysly3541
@choggysly3541 Жыл бұрын
Nyinyi ndio mkitiwa ndani kwa kujiripokea hovyo kwa vibando vyenu vya mia tano hivyo ,familia nzima hata ichange haiwezi kukudhamini ,hebu tulieni muwe na adabu
@KhadijaAbdallah-kn3ii
@KhadijaAbdallah-kn3ii Жыл бұрын
Hizi xipo nyingi fumba zipo xinazouzwa bei mbaya hatar matajir wananunuwa
@abedomar5183
@abedomar5183 Жыл бұрын
Nonsense hakuna lolote mji wenyewe kama ghost 👻 tu
@twalibmzee2812
@twalibmzee2812 Жыл бұрын
Saw ndio kwetu na ndipo Mungu alipotupa tunashkur kwa hicho tulichopew
@sundaysenga7608
@sundaysenga7608 Жыл бұрын
nyimbo iwe nzuri sio blah blah
@emilioadremaneadremane2706
@emilioadremaneadremane2706 Жыл бұрын
Sasa awa mdio wasani wakubwa
@saidadam2165
@saidadam2165 Жыл бұрын
Bweleo na fumba ukichanga ya unapt bwefuu moja kwa moja na kwa mzee haresa watu wa fumba ndo wabamuitaa
Mom had to stand up for the whole family!❤️😍😁
00:39
Cool Parenting Gadget Against Mosquitos! 🦟👶 #gen
00:21
TheSoul Music Family
Рет қаралды 33 МЛН
Всё пошло не по плану 😮
00:36
Miracle
Рет қаралды 4 МЛН
Mom had to stand up for the whole family!❤️😍😁
00:39