OMOSH ONE HOUR AONA AIBU KATIKA UWANJA WA JACARANDA

  Рет қаралды 4,219

BIBLIA NURU YA DUNIA

BIBLIA NURU YA DUNIA

Күн бұрын

Пікірлер: 68
@user-kv5dy3ck2o
@user-kv5dy3ck2o 3 ай бұрын
Niuzuni kubwa omosh kupotezwa na waislamu
@dickson1820
@dickson1820 3 ай бұрын
Ndacha ubarikiwe, umefanya kazi nzuri sana. Mrudishe katika ukristo.
@budumahmud1008
@budumahmud1008 3 ай бұрын
Mashallah omosh mungu ampe imani hiyo yakuamini mung mmoja bila ka na mwenzke
@BebanMbabe-eh3zm
@BebanMbabe-eh3zm 3 ай бұрын
Duh kweli watu wanapotezwa tuwe makini kusoma vitabu na kuielewa biblia ili tuweze kumngoje Kristo Yesu tumaini letu
@zuhraall02
@zuhraall02 3 ай бұрын
Haki salama za omosh ooh walimundanganya kweli😂😂😂
@IslamicIQ10
@IslamicIQ10 3 ай бұрын
Ndacha ukona ukora mingi sana , soma next verse 104
@jumamnyonge2148
@jumamnyonge2148 3 ай бұрын
Mtafu sheikh Ali karanja uone akiwanyorosha
@user-qk8ny9bx3s
@user-qk8ny9bx3s 3 ай бұрын
Allahu Akbar
@jumamnyonge2148
@jumamnyonge2148 3 ай бұрын
Yesu mwenyewe alikuwa anavaliya kanzu Na alisema tujifunze kwake wee suit umejifunza kwa mzungu kutoka Michigan American Yesu hakufikaga uko acheni ujinga wasabato
@jumamnyonge2148
@jumamnyonge2148 3 ай бұрын
Moto wakuwaka unawangoja
@jamesnjiru5928
@jamesnjiru5928 3 ай бұрын
Kanzu na suit ni nguo tu mavazi yalio sawa yako moyoni mwako, tabia na mienendo yako
@jumamnyonge2148
@jumamnyonge2148 3 ай бұрын
@@jamesnjiru5928 nisawa
@jumamnyonge2148
@jumamnyonge2148 3 ай бұрын
Ila ukiigia vile mitume walikuwa wanavaa si mbaya
@JudyPaul-ny2nh
@JudyPaul-ny2nh 3 ай бұрын
Anataka wake wengi
@jumamnyonge2148
@jumamnyonge2148 3 ай бұрын
Kwanza yesu hakuwa mkristo wala msabado Dini ya Mwanamke kutoka Michigan yesu hajuwi uko
@rwabu
@rwabu 3 ай бұрын
Hongera kwa kubuni swali... Ila Wa Kristo wote duniani hakuna ambaye anafikiri hivyo ambavyo unafikiria!!! Vua Miwani ya kiislamu unapoutazama Ukristo!!! Hautauliza maswali ya aina hiyo tena!!!
@jumamnyonge2148
@jumamnyonge2148 3 ай бұрын
@@rwabu towa verse hapa yesu alikuwa mkristo ili Mimi na wewe tuwe nani atavua miwani na si story maandiko hapa aliingiya kanisa Gani la kisabato ama catholic ama Anglican hizi ndiyo kanisa kubwa
@jumamnyonge2148
@jumamnyonge2148 3 ай бұрын
@@rwabu mkristo wa kweli kama wewe lazima utapinga maneno ya Mungu then ya bible alafu ya Yesu lazima ukataye uyo ndiyo mkristo wakweli, mwambiye ndacha akupe iyo verse
@trutharchaeologist
@trutharchaeologist 3 ай бұрын
Yesu atakuwaje mkristo kama yeye ndiye Kristo? Wewe wajua maana ya mkristo?
@jumamnyonge2148
@jumamnyonge2148 3 ай бұрын
@@trutharchaeologist sijuwi nieleze wewe unajuwa nipate kujua
@furahag3098
@furahag3098 3 ай бұрын
Weeee omosh itabidi utoke kwa dini ya kislam
@Benjathekingofficialtv
@Benjathekingofficialtv 3 ай бұрын
Duh huyu jamaa Mungu amsamehe kweli 😂 shetani ana nguvu sana
@mwoso
@mwoso 3 ай бұрын
Huyo Omosh hako serious! Inafaa akae chini ajichunguze.
@Mudi-zk2cy
@Mudi-zk2cy 3 ай бұрын
Omosh is on the right track.
@daudimichael7338
@daudimichael7338 3 ай бұрын
Unamdanganya, amepotea
@nicksnicks6201
@nicksnicks6201 3 ай бұрын
He is lost
@user-ls1ix4rd8i
@user-ls1ix4rd8i 3 ай бұрын
Wasilamu poleni hamjui mfanyalo
@jumamnyonge2148
@jumamnyonge2148 3 ай бұрын
@@user-ls1ix4rd8i ninyi ndiyo mna jielewa kweli this is week yesu ni mwana wa Mungu ndiyo next week Yesu ndiyo Mungu ndiyo
@abdirashidsuraw3380
@abdirashidsuraw3380 3 ай бұрын
Ndacha danganya wakiristo sio sisi.
@user-ls1ix4rd8i
@user-ls1ix4rd8i 3 ай бұрын
Nyie wasilamu ndio mwadanganywa poleni!
@jumamnyonge2148
@jumamnyonge2148 3 ай бұрын
@@user-ls1ix4rd8i Kwa lipi
@jumamnyonge2148
@jumamnyonge2148 3 ай бұрын
@@user-ls1ix4rd8i nikulize wewe yesu ni kristo ama ni mkristo swali hilo
@jumamnyonge2148
@jumamnyonge2148 3 ай бұрын
Ili nione Kama wewe huja danganywa uko right
@Earth-Final-Alarms
@Earth-Final-Alarms 3 ай бұрын
@omosh one hour
@lawrenceoyugi7460
@lawrenceoyugi7460 3 ай бұрын
Woooii maskin Omosh 😅😅😅
@jumamnyonge2148
@jumamnyonge2148 3 ай бұрын
Wewe Paulo Niko na video yako ukitowa siri vile iyo haya ya shetani uwa mnapindisha mdomo umesahau wewe mwenyewe na Mdomo wako
@henryosoro7696
@henryosoro7696 2 ай бұрын
🤣🤣🤣
@khalfansaid4756
@khalfansaid4756 3 ай бұрын
Ww ndacha hunaakili unaendaje kumuuliza mtu Ambae amesilimu siku2 tu zilizopita ataijuaje quraan mbona ulipo pigwa maswli na Dr sule umeshika najjjjjjeeenngga hhooja unakimbia kujibu
@johnwamaarts6312
@johnwamaarts6312 3 ай бұрын
Mbona unakubali kitu haukijui? Hyo si n ujinga ...lazima ufanye research alafu uamini Kama una Imani pofu ,kesho utakua unaabudu shetani
@user-cf3fe3cu8v
@user-cf3fe3cu8v 3 ай бұрын
Sasa kama hajui amesilim nn sasa wakat hajui
@GatekaNene
@GatekaNene 3 ай бұрын
Khalfansaid Mbona ma shekhe wenu uwaga wanauliza ma swali watu ambao hawajuwi cocote kwenye maandiko matakatifu na wakikosa jibu wanawasilimisha hapo hapo sasa wewe ndo unaona kuwa Ndacha kafanya kosa lakini munayo yafany nyinyi hamuyaoni sindiyo?? Aceni izo waislamu tit for tati bro
@tyivbra
@tyivbra 3 ай бұрын
Unamuongelea Dr.Sulle Kilasiku mnampiga vita ila waislamu bwana😂
@franciscomtambakuluca2830
@franciscomtambakuluca2830 3 ай бұрын
Dr sule nae ata ajuwi kitu
@jjtm164
@jjtm164 3 ай бұрын
Alidanganywa
@jumamnyonge2148
@jumamnyonge2148 3 ай бұрын
Nanani
@jumamnyonge2148
@jumamnyonge2148 3 ай бұрын
Kwani hawa wasabato hapo hawa wadanganyi
@jjtm164
@jjtm164 3 ай бұрын
@@jumamnyonge2148 kile wanaongea ni kweli
@josephoduor6211
@josephoduor6211 3 ай бұрын
Je Muhammad bado ni Mtume ama alikuwa Mtume ?
@jumamnyonge2148
@jumamnyonge2148 3 ай бұрын
Omosh ameingiya Uislamu juzi tu hata haja maliza kusoma ati unaenda kumuliza maswali akili zenu ziko sawa kweli wasabato
@barackamosi4116
@barackamosi4116 3 ай бұрын
Mnafurahi kwamba mmempata mtu Alie kubali kufuga majini mwenzenu na idadi pia ya watu wa jeanamu idadi imeongezeka ndo Mana shehe ubwabwa kafurahi sana
@jumamnyonge2148
@jumamnyonge2148 3 ай бұрын
Wapi iyo verse inasema hivyo Wacha kusikiza chenye hakiko Kwa maandiko
@user-vv5hq9mc1k
@user-vv5hq9mc1k 3 ай бұрын
Ndacha wewe nakutaka uje lolgoria n unipatize ama nikusilimishe.
@user-bl4vy5bo4f
@user-bl4vy5bo4f 3 ай бұрын
Wapi mkutano huu
@jacksonmutunga4894
@jacksonmutunga4894 3 ай бұрын
Mkutano ulikuwa pale Jakaranda wiki njana.
@halimafickra8635
@halimafickra8635 3 ай бұрын
😂😂😂😂ikowapi full video 😂😂😂
@Gesareh-v4d
@Gesareh-v4d 3 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
SIRI YA KULIPA RENT NI MOJA! | MTUMISHI
8:19
Churchill Television
Рет қаралды 3,7 М.
Bike vs Super Bike Fast Challenge
00:30
Russo
Рет қаралды 23 МЛН
Je peux le faire
00:13
Daniil le Russe
Рет қаралды 14 МЛН
Throwing Swords From My Blue Cybertruck
00:32
Mini Katana
Рет қаралды 11 МЛН
JE YESU ALIKUFA???
1:38:58
BIBLIA NURU YA DUNIA
Рет қаралды 20 М.
JE! WATU WATAENDA MBINGUNI???
1:16:26
BIBLIA NURU YA DUNIA
Рет қаралды 13 М.
WAISLAMU WAJIBU HIZI HOJA
6:41
BIBLIA NURU YA DUNIA
Рет қаралды 2,3 М.
Unabii | BIBLIA NURU YA DUNIA
1:09:45
BIBLIA NURU YA DUNIA
Рет қаралды 9 М.
YESU SI MUNGU MASKOFU WAMJIA JUU MZEE WA UPAKO
6:33
Mzee wa upako
Рет қаралды 35 М.
DEBATE LIKONI | JE YESU NI MUNGU? | FRANCIS NDACHA
1:34:13
AKASHA PRODUCTION TV
Рет қаралды 28 М.
WEWE NDACHA NITAKUUA MIMI NATISHA //Prof MAZINGE
29:23
arkas online tv
Рет қаралды 334 М.
MKUTANO JACARANDA
2:01:12
BIBLIA NURU YA DUNIA
Рет қаралды 2,7 М.