ONA BABA YAKE MANARA AMWAGA MACHOZI HADHARANI KISA MWANAE LICHOMFANYIA

  Рет қаралды 27,133

S500 TV

S500 TV

Күн бұрын

Пікірлер: 72
@PatrickMlungusye-yu7ms
@PatrickMlungusye-yu7ms 11 күн бұрын
Naitwa Mr chumvi Nachingwea finest,,,Niko pamoja nawe daima ktk yote,,usiku na MCHANA,,masika na kiangazi,,,M/Mungu akupe maisha mwema na marefu,,adui zako watapambana na Mungu wewe usiwajibu,achana nao brother.
@JudithLusonzo
@JudithLusonzo 11 күн бұрын
Mungu akutie nguvu kaka Manara tunakupenda na tunakuheshimu wewe ni kioo usivunjike MOYO waheshimu WAZAZI waliokupenda tunawapongeza Kwa malezi mazuri ❤❤❤
@Carolina-sm5zt
@Carolina-sm5zt 9 күн бұрын
Mungu anakupenda Kaka Haji usihangaike na sisi Walimwengu
@judamsaki5609
@judamsaki5609 3 күн бұрын
Genius kaka Manyara... barikiwa
@AminaKissawaga
@AminaKissawaga 11 күн бұрын
Haji usijari Mwenyezi Mungu ndo muumba wa kila jambo best yangu pole sana tupo pamoja
@nassorali1034
@nassorali1034 10 күн бұрын
MMungu yupamoja nanyi inshaallah ...hongera sana kwanza una tabia nzuri ulopata kwa wazazi wko Allah akupe kheri zaidi na zaidi
@shau78
@shau78 5 күн бұрын
Mungu anakupenda my brother. Hiyo inatosha
@halimamasai2234
@halimamasai2234 7 күн бұрын
Pole sana Manara mungu akupe maisha marefu na afya njema inshaallah
@Sarah-e1o9k
@Sarah-e1o9k 10 күн бұрын
Nyie❤❤❤❤❤❤❤❤ Alhamdulilah
@AsilaAlhabsi-hg9lg
@AsilaAlhabsi-hg9lg 10 күн бұрын
Subhnallah pole sana abui tani watanzania Subhnallah mungu atawahidi hawa watu
@AllySalum-j9y
@AllySalum-j9y 11 күн бұрын
Poleee kakaaa anguuu ajiii bunguuu atawaukumuuu wanaobezaaa langíii
@hassaniibrahim300
@hassaniibrahim300 11 күн бұрын
Pole Saaana mzee manara tupo pamoja saaana
@JohnsonBagambi
@JohnsonBagambi 11 күн бұрын
Mungu ni mwema buga🙏🙏🙏
@davidfelician2903
@davidfelician2903 11 күн бұрын
pole,baba yangu mzazi
@FikiriniMgwalu-w8e
@FikiriniMgwalu-w8e 9 күн бұрын
Nasikia Maumivu Allah Akuzidishie
@Bonnymsongole
@Bonnymsongole 11 күн бұрын
Pole sana kaka nimapito mungu atamlipa
@masolwadamian7359
@masolwadamian7359 11 күн бұрын
Haji wewe ni Mtu mwema sana na ni mcheshi. Shida Watu wasiokuwa na hofu ua Mwenyezi Miungu ndiyo wanakuwa na mtazamo tofauti.
@ZinabAlzinab
@ZinabAlzinab Күн бұрын
Alhlla hajakosea
@abdallahAbby-o6x
@abdallahAbby-o6x 11 күн бұрын
Pole uncle mm rafiki yake uncle wako Nassoro Mrisho mtaa wa rufiji wakati huo ulikuwa mdogo kwa ant yako Ashura
@AbdulmalikFredrick
@AbdulmalikFredrick 10 күн бұрын
Aji wewe mtu Wa mungu Alha akujalie kilalaeli inshallah
@salama1113
@salama1113 11 күн бұрын
Pole babu mungu anakusudi yake wanao mbeza huyu kaka mungu atawajibu
@SheikhYussuf-iv6lo
@SheikhYussuf-iv6lo 11 күн бұрын
الحمد لله الذي عافانا مما ابتلى به وفضلنا على كثير ممن خلقنا تفضيلا
@AshaMohd-z1o
@AshaMohd-z1o 7 күн бұрын
Hakika hujakoseya kabisa nikweli
@DesyNdolezi
@DesyNdolezi 11 күн бұрын
Mwenyezi mungu ni mwema yy ndio anajua
@AminaMsimbe
@AminaMsimbe 10 күн бұрын
Du haji umefanana sana na baba yako
@femidayahaya9293
@femidayahaya9293 11 күн бұрын
mcwe mnayaongea haya mambo jmn kwa upande wang me yananiumiza sana moyo wang😢😢😢😢
@fatmaalnabhani3609
@fatmaalnabhani3609 11 күн бұрын
Mtu hacheki uumbaji wa mungu no vibaya sana
@AshaMwamba-m5x
@AshaMwamba-m5x 11 күн бұрын
Uku kwetu uswailii mwingii ndo maana inakuwaivyoo 😢😢
@PaulRPaul-z1q
@PaulRPaul-z1q 10 күн бұрын
Well said Haji Manara and stay strong
@YohanaRichard-e6p
@YohanaRichard-e6p 8 күн бұрын
Mimi huwa nakerwa na watu wanoa sema uarubino ni ulemavu maana hawana tofauti na watu wengine.
@ashamahadi5281
@ashamahadi5281 11 күн бұрын
Pole sana mjukuu wa binti Salura. Siku hizi hamma hiyo
@rahmaabdallah4514
@rahmaabdallah4514 11 күн бұрын
Sio tatizo rangi ila ulimi wako wakati mwengine huutumii vizuri kuzungumza na subra huna
@hamishassan6784
@hamishassan6784 10 күн бұрын
hili ni nje ya mambo yenu ya mpira hapa Dada Rahma kuna mafunzo na ujumbe usilete ushabiki usio na maana hapa hebu tuombe radhi
@halimaJumanne-jn4ks
@halimaJumanne-jn4ks 6 күн бұрын
Ni kweli utakiwi kukosoa huumbaji wa mungu ni kosa kubwa sana Ata akiongea vp utakiwi umkashifu jambo ambalo lipo nje ya uwezo wake
@khadijathani9064
@khadijathani9064 11 күн бұрын
Mie kweli nakupenda mzungu wa yanga ila kiukweli mie nawaogopa sana alibino
@ashaali7154
@ashaali7154 10 күн бұрын
Endelea kuwaogopa tu maana wewe mweusi huogopewi sijui kwa sababu gani?
@hamishassan6784
@hamishassan6784 10 күн бұрын
khadija unataka kutuambia nini watanzania. Jitafakari sana kauli yako
@AmourIshaka
@AmourIshaka 9 күн бұрын
Dada samahani vp ushamaliza kizazi wewe ? Je ukipata mtoto humnyoyeshi ? Rudi kwa Muumba wako
@edwardenock6100
@edwardenock6100 2 күн бұрын
Sizan kama akir zako ziko sawa ww unaweza kumuogopa binadamu mwenzio duh mungu akusamehe tu
@MarisaVitares
@MarisaVitares 9 күн бұрын
Waswahili au vitabuvyadini ?
@bahiyalumelezy3016
@bahiyalumelezy3016 11 күн бұрын
Kuna vitu vingine havipendezi kucheka wl utani.
@beatricehenry6776
@beatricehenry6776 11 күн бұрын
Nimekupenda bure safari hii
@habibumpa6150
@habibumpa6150 11 күн бұрын
Kabisa babu
@khadijathani9064
@khadijathani9064 11 күн бұрын
Haji kafanana na baba yake kumbe
@jumanjoro782
@jumanjoro782 10 күн бұрын
6:49 6:53 6:56
@HemediMasaga
@HemediMasaga 10 күн бұрын
Kikweli kabisa ukitaka kukomesha watu wanaofanya hiviii vitu nikukaa kimya tu maana wanajiona wamefanikiwa kuwachokoza japo ikiwa kubwa sana unaweza jap kimya ndio jibu kubwa na maana kabisa.
@masoudmohammed2043
@masoudmohammed2043 10 күн бұрын
Futa mate basi mdomoni😂
@kassidpandu866
@kassidpandu866 11 күн бұрын
Mbona ana.zeeka sana huyu tena kwa nguvu shida nini?
@AshaMwamba-m5x
@AshaMwamba-m5x 11 күн бұрын
Majukumu ya zailisaa
@TalibMtalika
@TalibMtalika 11 күн бұрын
Sasa mtu ana 50 bdo unataka aonekane mtoto?? By the way uzee ni baraka hakuna ajabu
@bahiyalumelezy3016
@bahiyalumelezy3016 11 күн бұрын
Wengine pimbi ndy hawazeeki
@kabwangaselemani5228
@kabwangaselemani5228 11 күн бұрын
Uishukuru Simba
@matrida.lunyilija5196
@matrida.lunyilija5196 10 күн бұрын
Mbumbumbu fc kwani hapo anaongelea Simba,jinga wewe
@RamadhaniFilikichi
@RamadhaniFilikichi 11 күн бұрын
Tatizo Haji nawe unaongea sana
@MfiriNasawe
@MfiriNasawe 10 күн бұрын
Tengua kauli yako yakibeberu huo msemo sii wa waswahili
@ZamdaMkonda
@ZamdaMkonda 11 күн бұрын
Nawew domo upunguze unaona inavyouma ukimzarau mwezako we ndozako izo
@marymanoni5536
@marymanoni5536 11 күн бұрын
Mbona haji ni mtu wa kawaida kwani mnamuonaje
@michaelnehemia4932
@michaelnehemia4932 10 күн бұрын
Ila hata wewe huwa nazarau hatar ulimwambia vibaya yule askar
@hamishassan6784
@hamishassan6784 10 күн бұрын
ila sio ya kimaumbile ondoa ushabiki kaka
@matrida.lunyilija5196
@matrida.lunyilija5196 10 күн бұрын
​@@hamishassan6784makolo hawana uelewa kabisa yaan yanawaza upumbavu tu
@jumamtiliga4484
@jumamtiliga4484 11 күн бұрын
Shida Nini manala acha izo shobo sisi tuna watoto kama ww mbona hata halii kishamba ivyoooo
@gordiansoko9113
@gordiansoko9113 11 күн бұрын
Wewe mwenyewe mkorofi una maneno ya shombo kwa watu ndio maana na wao wanakushambulia na katika mapambano huwa silaha yoyote inatumika ndio maana watu wanatumia ulemavu wako kukushambulia.Badilika tabia zako pia punguza uwongo na kujikweza.
@dorothmsuya1686
@dorothmsuya1686 11 күн бұрын
Ukumbuke ulemavu sio ualbino tu... Hata wewe ni mlemavu mtarajiwa! Kabla hujafa hujaumbika!!😢😢😢
@AlHamra-k4u
@AlHamra-k4u 10 күн бұрын
​@@dorothmsuya1686Hakika 😢😢
@mwikamwika4851
@mwikamwika4851 11 күн бұрын
Mnafiki na mjinga wewe. Ualbono siyo Kinga ya wewe kufanya upumbavu halafu watu wakuache. Utatukanwa na kusemwa na watu hata kama una ulemavu wa ngozi kwakuwa watu hawausemi ulemavu wako kwakuwa ulemavu ni uumbaji wa Mungu. Hakuna anayeomba ulemavu Wala kuzaliwa bila ulemavu bali tabia Yako ya hovyo ndiyo watu wanakujibi hovyo. Kwahiyo usitake huruma kwa watu kwaeababu wewe ni mjaa laana tu. Kama waxazi wanajia utu na thamani ya ujinga wako kuwa ni kosa wamgekuonya kwanza uache tabia zako mbaya wewe
@hassanabdala7383
@hassanabdala7383 11 күн бұрын
Manara mjanja sanaa anataka kupotezea Yanga kutolewaa
@aginsagins-jf4vz
@aginsagins-jf4vz 11 күн бұрын
Sio kutolewa Yanga anataka kuzuia kocha wa Yanga asizungumziwe
@aginsagins-jf4vz
@aginsagins-jf4vz 11 күн бұрын
Wewe Manara mjanja sana unazima maneno ya kocha wa Yanga asizungumziwe
@ZahratAhmad-o1v
@ZahratAhmad-o1v 11 күн бұрын
Umeliona hilo
@ashaali7154
@ashaali7154 10 күн бұрын
@aginsagins. Mungu anakuona wewe na wenzako munao beza na kuona sio muhimu anachoongea Haji na atawahukumu tu.
@matrida.lunyilija5196
@matrida.lunyilija5196 10 күн бұрын
Mbumbumbu fc
@FikiriniMgwalu-w8e
@FikiriniMgwalu-w8e 9 күн бұрын
Nasikia Maumivu Allah Akuzidishie
VIP ACCESS
00:47
Natan por Aí
Рет қаралды 30 МЛН