Pole sana haji Kuna walimwengu wa hovyo sana wazoee tu wanakosoa kazi ya Mungu watalaaniwa wao hawawezi hata kumuumba chura achana nao focus na maisha yako Mungu atabless .
@NuhuM-s1x18 күн бұрын
Mashaalha kaka haji umeongea vizur mungu akuzidishie ufanikishe ulicho kisema mimi nakuombea mungu akuzidishie 🙏🙏🙏
@DanielYusto15 күн бұрын
Mungu akufanikishe kaka Haji manara, katika taasisi yako yakusaidia watu wenye ualbino.
@ashamahadi528117 күн бұрын
Hivi wewe Haji😂😂😂😂 ulipokuwa mdogo ulichelewa kusema! Mbona unajua kuyajajenga maneno namna hii kweli unakipaji cha kuongea.❤❤❤❤penda sana Mwanangu.🎉🎉🎉🎉🎉
@Carolina-sm5zt16 күн бұрын
Mungu akulinde ilimpendeza Mungu kuwa hivyo ulivyo Haji jitu moja kubwa kongole kwako 🎉🎉
@NovatusZakaria14 күн бұрын
MANARA UMETISHA HII NI BUSARA YA AJABU .......Daaaaa! Fantastic kaka ........ ........
@salumramadhani512817 күн бұрын
Pole sana kaka iyo. Ilimkuta mama mmoja morogoro alimpa maji ya kunywa albino na kopo la chooni baada ya hapo alizaa albino watoto wote sita pole sana kaka
@baghabaghaingwengwe175017 күн бұрын
Ubarikiwe mno Haji ndo maana cku zote mimi mfuasi wako jinsi uishivyo nami na kauli kwa jamii ubarikiwe
@filyakusimsigwa500617 күн бұрын
Mungu akubariki sana Manara kwa kukemea tabia za baadhi ya watanzania
@sonnyr189917 күн бұрын
Huyu mwamba siku atakuwa hayupo ndio tutajuwa mchango wake mkubwa kwenye mchezo wa soka. Kaka Manara Allah akuzidishie umri mrefu.
@PeterLuhende-p7j15 күн бұрын
Umeongea kwa uchungu nipo naenjoy na demu wangu albino nampenda sanaa
@KhatibuRamadhan17 күн бұрын
Kaka allah atakulipa kulingan na nia yako achan nao ao wanao kuthalau awajui mungu mkali kias gan brother mm nakubar na naelewa nn umemaanisha inshallah Allah atakulipa zaid nazaid ingawa mm sio jamm yako
@goodlackriwa672817 күн бұрын
Haji wewe ni kioo katikaa jamii. Wewe ni Binadamu kama wengine Rangi tofauti sio tatizo.Akili Yako kubwa sana .Mungu akujaliee Kwa yote
@ancytarimo110317 күн бұрын
This man is very smart and genuine.
@mvukiedavid433217 күн бұрын
Tatizo Kamdomooo
@AdamSaffi21117 күн бұрын
Nenda upimwe akili wewe if you think he is smart. Haji is well accepted in the community! Problem, majivuno yake na matusi. What has he done in the soccer sector, nothing bali matusi tu.
@Jayhood2815 күн бұрын
Ukiachana na Ualbino..bado Haji Manara huongea na kujenga hoja vizuri..Watu wanakosea namna wanavyomjibu.. Haji akiongea kimichezo tumjibu kimichezo..Mungu wabariki watu wote wenye changamoto ya "albinism" na wengine wote wenye changamoto!.
@ShaeebMohammed-e1h18 күн бұрын
kwahili jemedari said unamuanza mwenyewe
@fatmafatu112817 күн бұрын
Nyau wewe
@homeandaway281115 күн бұрын
NYOOOOOOO 😂😂😂😂 ETI SENIOR PUNDIT TANZANIA NZIMA HAIJAWAHI KUTOKEA 😅
@OmaryRajabu-g7r15 күн бұрын
KWA KWELI FISI JEMADARI AMUOMBE RADHI MANARA KWA KUMDHALILISHA MANARA KWA RANGI YAKE INAUMA MJINGA JEMADARI UMEMZALILISHA HAJI KWA UZAZI WAKE KUA ALBINO INAUMA KUMZALILISHA HAJI UNAFAA UFE JEMADARI USIPOMUOMBA RADHI HAJI JEMADARI NI MTANZANIA DHALILI HUFAI KUWA KATIKA KITUO CHA JAMII KUMZALILISHA BINADAMU MWENZIO UNGEKUA KITUO KINACHOJIELEWA UNGEFUKUZWA KAZI KWA DHALILI HII ,,,UJINGA ULIOUFANYA YAFAA UOMBE RADHI JAMII,,,,
@queenmwasanguti237017 күн бұрын
Kweli baba❤❤❤
@angellomarcel567716 күн бұрын
Hahahaaa Mzungu bhana 😀
@sophiaallyhussen765917 күн бұрын
Uliyo yapngea yamenigusa sana sana ila wasamehe hao wasiyo kua nahofu ya mungu Mimi ni mshabiki Yako kindaki ndaki naenda unavyo jiamini
@DianaDeograthias17 күн бұрын
Umesahau kuwa majuzi tu ulitumia ualbino kulinyanyapaa jeshi letu la magereza alafu sio ukifanya janbo mpaka utangaze so vizuri bro
@mcyudasicqo961015 күн бұрын
Hapo sasa ndo ukubwa ,huo sio mambo ya kitoto
@binamutawa96378 күн бұрын
Wanafanya makosa makubwa sana tena Mimi napenda sana mwanamke mwenye uarbino tena najikuta tu nawapenda
@carolinecaroline-rs7pr16 күн бұрын
Sio hulabino tu hulemavu yoyote mimi mume wangu anamacho kekengeza kuna kaka alimtharau sana lakini leo mke wake ameza mtoto ambae ana macho kama ya mume wangu kwaio mm najua huchokiongea mungu akubariki
@OmaryRajabu-g7r15 күн бұрын
INSHAALAH JEMADARI KWA UZALILISHAJI HUU UTAZAA MLEMVU WA AINA YEYOTE ILI UMNYANYASE ALIE KUUMBA WEWE NDIE MUUMBA WA MANARA,,,,JIONE UMEJIUMBA
@mansoursiulapwa862415 күн бұрын
Mtu hajisifii wee mzee.. huwa anasifiwa
@ToivoJase17 күн бұрын
Bwege ww
@allyslim777416 күн бұрын
Anazingua bhana ajieshimu jemedal kafanyejetena
@ShamsiMbago-n2q17 күн бұрын
Upo saiii
@kakore_jr17 күн бұрын
UTASEMWA SANA NA MAPUNGUFU YAKO
@JumaNyumba-m7y17 күн бұрын
Wewe mwenyewe una matatizo matupu na dharau juzi tu hapa umetoka kuwashambulia askari magereza demit
@OsmaniSiame17 күн бұрын
Wejamaa unajua sana pia akiri niyaviwango vyajuu sana
@kilalak293217 күн бұрын
Kweli bwana Haji Manara hakuna anayekuweza kwa uchambuzi na kujua story nyingi sanaaa wakuache hao wanaokubeza tena Wakome
@husseinngala750313 күн бұрын
Sasa Kwa hili kaka Niko nyuma yako
@kwisa489917 күн бұрын
Kwanza anajisikiaga sana
@BarakaKusalula16 күн бұрын
Huyu kila siku anaonewa yeye bila kusahau hata Yeye domo lake chafu anabwabwaja sana.
@awetumtengera114712 күн бұрын
Kama hujafa hujaumbika , na hakuna aliyetimia katika dunia hii tuache lugha chafu.
@godfreykarigo640414 күн бұрын
Kampendelea kabisa kamwita kwa kiingeleza 😂 huyo ni zeruzeru au mlemavu wa ngozi
@abdulahmanmahalufu952417 күн бұрын
Maadui unawatafuta mwenyewe we kenge
@mahmoudmihanjamu66917 күн бұрын
What a sad story
@SaybathKassim18 күн бұрын
Ndo upunguze mdomo sasa😊😊
@AllyMbuma-c6y18 күн бұрын
😂😂😂😂kamdomo kana mponza!!!
@abdullaothman572817 күн бұрын
apunguze mdomo kuhusu nini
@Peterchila-un2lx17 күн бұрын
Manara ana nuka mdomoo
@Jehhus_064 күн бұрын
Gombea ubunge achana na michezo haina heshima
@ashaali715417 күн бұрын
Hao wanaokutukana Mungu atawapa mafungu yao wewe waache tu Hajji
@khalidallynganzojr167617 күн бұрын
Maa Shaa Allah. Maneno yako yametufikia
@salumnassor933017 күн бұрын
Huyu mshkaji kwa kweli kuna kitu anahitaji kitu katika jamiiii
@richardpembe60617 күн бұрын
Jemedali hajielewagi kabisa, Kaka Haji wali usisumbuke kugombana nae, kwanza unamzidi mbali mno
@sharulchenja216717 күн бұрын
Kila kitu uko sawa Haji ila kwenye uchambuzi hapanaaa; Ali kamwe humuwezi hata kidogo lakini kwenye uchambuzi..(ukongwe siyo kujua sana bro)📌
@AminaMsimbe17 күн бұрын
Madunduka Wana kuchukia kisa umetoka kwao hata Hilo jemedari saidi pia ni dunduka
@williamkilembwe718917 күн бұрын
Wewe huishiwi maneno, kwenye mkutano wa CCM hukupewa nafasi ya kuongea. Sasa umepata nafasi tumia Manara TV. uongee.
@AzhadSaid-j1t17 күн бұрын
Sawa hajji tusamehe mm nisamehe
@IdrisKabenza17 күн бұрын
Hamna kitu kabisa
@nasseralshaibani699517 күн бұрын
Haji punguza uwongo na properganda.
@BarakaElieza-b4p17 күн бұрын
Leo umeongea kwa unyenyekevu sana hongera haji
@ahmedhussein-p6l17 күн бұрын
kaka elimu ndio tatizo tanzania..
@rickierunyota361317 күн бұрын
Uyu akishkwa pazuri anakimbilia uko
@salumnassor933017 күн бұрын
Ndio maaa yuko calm leo nakujifanya ananyanyapaliwa anataka kuingia bungeni
@ellsonmkonyi131917 күн бұрын
Huyu jamaaa bila yanga jumpa nafasi itakuw ngumu sana Hersi hebu mpe hio nafasi ulioisema
@AllyBopa17 күн бұрын
Kwa sasa hiv chale ni wew kaka unachekesh2 sasa hiv ulivyo kua simba yang walikua wanakusema kwahiyo langi yako ila ujawai sema hayo maneno kuna ki2
@maarufumustwapha305517 күн бұрын
Manara ni mnafqi namba moja.kqma ni enzi za mtume ..i abu jahli
@songombingo10817 күн бұрын
Kumamakooo. Amekufanyia wapi Unafiki😂
@kakore_jr17 күн бұрын
SIO MNAFIKI NI LINAFIKI LIKUBWA NA
@annajohn248817 күн бұрын
Uyu chizi vipi
@carloshernandezvalda213617 күн бұрын
Yanga ikifugwa utaleta habar ilikua hazipo
@abasmwika343217 күн бұрын
Shida kubwa uliyokua nayo Mzee ni huna adabu
@barakasaimon86017 күн бұрын
Pole saaaaaana kaka Haji ila hata wewe Kuna wakati unatumia rangi yako kufanya makosa ukikosolewa unalalamika ukitaka uheshimiwe kaka Anza wewe kujiheshimu MUNGU AKULINDE
@NsabiKizengi17 күн бұрын
Ungetuliza mdomo ungeonekana wa maana sana na ukaendelea kumuomba Mungu wako
@margarethpolepole743816 күн бұрын
Kwani kuna mtu anapenda kilema huyo ni mshenzi kabla hujafa hujaumbika
@afropatriot776916 күн бұрын
Unachokozaga watu wakikujibu unakimbilia kusingizia hali yako
@williamkilembwe718917 күн бұрын
Haji Manara, unapenda kutafuta kiki. Nakuomba mpigie magoti Eng, Hersi, akurudishe kwenye mstari. maana umepotea.
@zuwenaalamin898517 күн бұрын
Nikiangaliaga mate ya manara humo pemben yalivyomazito halafu zai anampa kiss aiseee mtihan wallah sikunyanyapai ila punguza ka mdomo
@janethrwambali278217 күн бұрын
Unachosema ni kweli huyo Dada mjingaaa kabisaa huo mdomo wake daaaah
@SimbaHaji-jm7md17 күн бұрын
Unadhani hicho ulichosema sio unyanyapaa, kama hujampenda mtu kaa kimya tu dada, ukute unatoka kimapenzi na mtu duni kuliko haji..mshukuru mungu tu
@danielmwakapila223117 күн бұрын
Wewe acha upuuzi,wewe mbona ulifikia hata kunyanyapaa mamlaka za serikali,unalialia Nini,hata jeshi la magereza sijui kwanini walikucha salama Kwa upuuzi uliowafanyia.huna brain yoyote,ndio maana huna adabu.usisingizie watu tatizo ni wewe,hujitambui.
@HamzaMduda17 күн бұрын
Wewe ndiyo una akili mshenz mkubwa ww
@Japanese-lz1or16 күн бұрын
Kumbe ww hujielewi
@EdsonyMashaka17 күн бұрын
ila manara kwenye kuongea uwa unapangilia maneno
@ChristianLimo-k8t17 күн бұрын
Umesha zeeka achamambo ya kuropoka
@SwadakatYusuph16 күн бұрын
Wambie ukweli hao wanaopingana namungu kama wanauwezo wakuumba mwanadamu waumbe binadamu tuone
@kelvinmasungakilunguja753917 күн бұрын
MUNGU atawalipa
@JosephJackson-f1s17 күн бұрын
Yanga wangepita usingeongea kwa heshima hivo c tunakujua
Ww umuez jemedali. Jemedali kachza mpaka ligi kuu ww ulichez wapi
@janethrwambali278217 күн бұрын
Eti na wanawake wanampenda jamani huyu arubinooo ni shidaaa Tanzania
@rahmaabdallah451417 күн бұрын
Hii ni mitihani ya kawaida hasa kwa hii sehemu ulonayo kuwa na subra na uvumilivu ni vitu vya kawaida
@kakore_jr17 күн бұрын
😂😂ZERU×2
@annajohn248817 күн бұрын
Hili linafki sana
@annajohn248817 күн бұрын
Dah uyu HERSI AMPE HATA UONGOZI WAKUCHUNGA NGUO ZA WACHEZAJI NA VIATU😢
@AgnesJohn-f1r15 күн бұрын
😂😂😂 kwa kweli
@NkundweMwakyangwe17 күн бұрын
😂😂 na wewe bhana ........ushaanza kuzeeka
@stanslausmwengwa528815 күн бұрын
Wewe mwenyewe punguza mdomo na kudharau watu. Ona sasa unavyolialia wakati wewe mwenyewe kutwa kudharau binadamu wenzako. Punguza KAMDOMO.
@JohnValle-xn1dx17 күн бұрын
Ukiona msabiki anadhihaki mtu kwa uonekenaji wake huyo hayuko sawa kwani Mungu ametuumba kwa ukilema tofauti tofauti sematu, ukilema mwingine hauko hadharani , Pole HAJI
@princesaha326217 күн бұрын
Lini kakudhihaki??
@agnesmussa706117 күн бұрын
Ivi askali magereza naye n mfungwa? Mzee usitumie jiheshimu uheshimiwe.
@DaudMakoyejr17 күн бұрын
Baada ya yanga kutolewa ndo unajifanya kuongea udhaifu
@ZakiaHamoo17 күн бұрын
Bugatti waambie ukweri baba waache ukolo
@mbwizax8717 күн бұрын
Upunguze dharau pia hakuna mtu atakudharau
@HajiMaliki-y6o17 күн бұрын
Punguza mdomo sasa
@HassanSalum-w5v17 күн бұрын
Wewe mwenyewe unawadharau watu kwa sababu wamezaliwa vijijini nyamaza wewe unaomba msaada
@bravosenior238717 күн бұрын
We acha upuuzi unapenda kulia lia we unapowanyanyapaa wenzine mbona wa tu tunakausha ile kauli kwa askari magereza ilikuwa sahihi sio kauli ya dharau na kuzalilisha utu wa wenzio wewe ni mdogo sana ukifananisha na wasemaji wa sasa acha kujikweza tena usifanye wengine tukufuru maana we huna adabu hata punje
@zulfafengu378317 күн бұрын
Tulijua utafika uko saa gapi kakwambia wew alubino unatafuta uluma kwa watu
@josephatlaban360217 күн бұрын
Ndugu YANGU Haji watu tukuelewe na hili wengi waelewe usemwe kama Haji sio Hali yako ni kosa kubwa sana na ni chukizo kwa muumba
@majaliwaandulile837917 күн бұрын
Mimi sijawahi kuona albino ata kama anabusala awe mpole wana pwampwa haooo mda wote wanaona wanaonewa
@ShakiruWakili-kx8ef17 күн бұрын
Mbona ww ulitukana askar magereza na ukawakashfu mbele y jamii acha ufala shwain
@emmanuelmohammed129416 күн бұрын
Shida unajiona unajua kila kitu ukipigwa spana unakimbilia kulia unanyanyapaliwa kaka, mimi hata sizingatii ualbino wako na judge hoja zako, kama za kweli sawa kama za hovyo nakosoa.
@sheikhanRashid-ch8yq17 күн бұрын
Mtu hawez kukutukana Bure pacpo sabbu
@GraceWilliam-d1w17 күн бұрын
We ni msemaji sio mchambuzi acha sifa zako bhana
@Peterchila-un2lx17 күн бұрын
Manara ananuka mdomooo
@yahyamalolo320217 күн бұрын
Umepoteza thawabu ambazo ungepata kwa kuwasaidia watoto wale ila sasa umetangaza