ONA JINSI CHIEF GODLOVE AKIGAWA PESA ZA MTAJI KWA KINAMAMA WENYE HALI NGUMU

  Рет қаралды 32,694

BONGO TRENDY TV

BONGO TRENDY TV

Күн бұрын

Kwa maoni au ushauri comment hapo chini bila kusahau ku like na kushare ili kuweza kupata update mbali mbali ndani na nje Ya Tanzania
Tufollow katika ukurasa wetu wa instagram @BONGO TRENDY TV
Na kulike facebook page Bongo trendy online

Пікірлер: 139
@AndreyMalisa-qj3ds
@AndreyMalisa-qj3ds 2 ай бұрын
Hivi watu hawaoni kua huyu jamaa anasambaza ushetani wa wazi... Umaskini mbayaa sana mungu asaidie 😢😭😭😭😭
@janerachel1622
@janerachel1622 2 ай бұрын
Hawajitambuiii
@janerachel1622
@janerachel1622 2 ай бұрын
Huyu kaka hafananii na PESA niuchawi tuu
@simondogtrainer7498
@simondogtrainer7498 2 ай бұрын
Watu wangu wanaangamia Kwa kikosa maarifa
@tinnahagustinolyelu4247
@tinnahagustinolyelu4247 2 ай бұрын
Hiroo Bango tu lilivyoandikwa Mimi hoi jamani hapana Mungu nipe Hela halali
@MfiriFulgensi
@MfiriFulgensi 2 ай бұрын
Tatiz0 sio umaskini kwakuwa umaskini upo tangu enzi za mitume na hawakujidhalilisha hivyo
@JPTHESWAGGERBOY
@JPTHESWAGGERBOY 2 ай бұрын
Hongeraa mtetezii wawa watuu munguu akurindee akupee maishaa marefuu
@AmosLwasa
@AmosLwasa 2 ай бұрын
Hongera tajiriii
@AllyBabu-kr6lg
@AllyBabu-kr6lg 2 ай бұрын
😅😅😅😅😅😅
@magdalenapeter6106
@magdalenapeter6106 2 ай бұрын
Pokeeni tu hizo hela mnabadilishana na watoto wenu siku watakapoanza kufa au kuwa na element za kishetan ndo mtajua aisee
@ChrisantChrisant-q9d
@ChrisantChrisant-q9d 2 ай бұрын
Ila wanawake
@sebastiansalamba313
@sebastiansalamba313 2 ай бұрын
Hautadimu Mungu wa yakobo , Ibrahim,na isaka atakuadhibu vibaya sana
@Wairanyamobiletech
@Wairanyamobiletech 2 ай бұрын
😅😅😅😅😅😅kwakweli mdomo wako mchafu sana
@JosephKafipambale
@JosephKafipambale 2 ай бұрын
Kwani kakosea nn mbn roho mbaya mwamba
@GladysKadii
@GladysKadii Ай бұрын
ati welcome to the real world
@Hapygideon
@Hapygideon 2 ай бұрын
Kwenye bango pameandikwa welcome to the real world,,mmmh kama huna d mbili huwezi kielewa,,,huu umasikini utatupeleka kusiko sitahili jamani😢😢😢😢
@saleemsuleiman2220
@saleemsuleiman2220 2 ай бұрын
HAWA NDIO NEW WORLD ORDER SASA SEMA WAMEFICHA TU😂
@TussaMbilinyi
@TussaMbilinyi 2 ай бұрын
Duuuuh,hali nimbaya
@Abdul-oc1ul
@Abdul-oc1ul 2 ай бұрын
Mama samia ana upiga mwingi mnaiona hy hali
@ashuramuhammed3257
@ashuramuhammed3257 2 ай бұрын
Kwel umasikini mbaya unaweza kutokwa na Imani Kwa njaa # njaa zenu semeni nazo jamaa kaja potosha watu*
@tradamus4158
@tradamus4158 2 ай бұрын
Walio kuwa wakusema chief anaigiza maisha na wao waigize sasa kama chief 😂😂😂mamae
@annaezra2344
@annaezra2344 2 ай бұрын
Yesu tusaidie
@FakiiZuberi
@FakiiZuberi 2 күн бұрын
Chifu msengetu uyo anachukua watu kafara weka like apo man
@FIDESMARENGE
@FIDESMARENGE 2 ай бұрын
😂😂😂😂single mother wengi sana
@isackmachiyanshoka6754
@isackmachiyanshoka6754 2 ай бұрын
Jamaa yupo vizuri❤
@mtushindirena2981
@mtushindirena2981 2 ай бұрын
Hongera sana kwa moyo mkuu
@AbuuCholo-q5i
@AbuuCholo-q5i 2 ай бұрын
Anajitahid mungu ampe maisha malefu
@gesha4759
@gesha4759 2 ай бұрын
Zaidi ya Serikali ❤
@alexmaige2638
@alexmaige2638 2 ай бұрын
Hakuna kitu kibaya kwenye jamii kama kuiaminisha mda ote unahela, halloow nihatar siku ukija isha
@sophiajonas2090
@sophiajonas2090 2 ай бұрын
Yesu wangu tuokoe
@Abdul-oc1ul
@Abdul-oc1ul 2 ай бұрын
Kazi mama anaupiga mwingi nchi yenye yenye maendeleo huwa hvy aende dubai kama kuna raia
@JibrilSharifu
@JibrilSharifu 2 ай бұрын
Mungu amubariki
@IddoMbogo-c2u
@IddoMbogo-c2u 2 ай бұрын
Ila huyu serikali pia inaweza kumchunguza
@emanuelmkama1325
@emanuelmkama1325 2 ай бұрын
Somen maandko mnapotea Lakn sio huyo tu wapo weng wa mafuta,wa mchanga wa wachaw
@RobertsonNandime-eo9fp
@RobertsonNandime-eo9fp 2 ай бұрын
Daaah tufanye kazi jamani hii nao heshima kabisa hongela boi
@bilid4128
@bilid4128 2 ай бұрын
Huwezi kufanya kazi alafu uje ugawe Pesa hivyo !
@rehemarajabu3655
@rehemarajabu3655 2 ай бұрын
​@@bilid4128leta point yako
@Zuu673
@Zuu673 2 ай бұрын
​@@bilid4128meonaee 😂😂😂
@johnnchora3215
@johnnchora3215 2 ай бұрын
Waoo​@@Zuu673
@daudinkwabi8252
@daudinkwabi8252 2 ай бұрын
😊😊😊😊😊😊😊😊 ni​@@bilid4128
@barackamtwange1925
@barackamtwange1925 2 ай бұрын
Yaani umaskini shida sana😂
@FakiiZuberi
@FakiiZuberi 2 күн бұрын
Chifu Hana baya 😂😅
@HawaSwaleheh
@HawaSwaleheh 2 ай бұрын
Kwanza hicho kiti alichokalia kama huna D+ Huwez kukielewa😊😊😊
@Elizabeth-em3bp
@Elizabeth-em3bp 2 ай бұрын
Hayo maneno hapo nyuma ya kiti sasa full ushetani... mfano wa mtu mwenye pembe na pembe tatu hapo. Bado tuna jaa jamani watu tu vipofu kweli kweli....
@nicholasmbembe7821
@nicholasmbembe7821 2 ай бұрын
Yani sehemu yote inanukia tuu ushetani.......last days
@nicholasmbembe7821
@nicholasmbembe7821 2 ай бұрын
Real world i see
@EstherKubwa
@EstherKubwa 2 ай бұрын
Mungu ulie hai fungua hawa watu macho hilo dilo ombi langu
@DanielMwananzila
@DanielMwananzila Ай бұрын
Hakika mtumishi
@elinurukitomali6008
@elinurukitomali6008 2 ай бұрын
Ongera broo.
@challymixTz-lc5pt
@challymixTz-lc5pt 2 ай бұрын
Welcome to the real world Karibu katika ulimwengu wa kweli 😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢
@NeemaLwoga-s4c
@NeemaLwoga-s4c 2 ай бұрын
Ktk watu watakao kufa mapema ni kina mama kupenda tu pesa za watu kutafuta zenu aaaah! Yaani ndy mana tukaitwa Hawa nyieeee😂 tutafika mawinguni tumechoka sana
@RahimaMct-ik8mr
@RahimaMct-ik8mr 2 ай бұрын
😂😂
@MOHAMMEDMRUMBI
@MOHAMMEDMRUMBI 2 ай бұрын
Hapo wanawake watatu hua Kila anae kuja mume wake kafa du
@ga2revocatus91
@ga2revocatus91 2 ай бұрын
Mmmmmmhhhhhhh 😂
@fundishalabours4971
@fundishalabours4971 2 ай бұрын
Ubarikiwe
@peterrulagora7403
@peterrulagora7403 2 ай бұрын
Kafara
@ShukraniMwakyusa
@ShukraniMwakyusa 2 ай бұрын
Nakubalii mjombaa mnyakyu kama mnyakyu
@SebastianDaniel-mb4nl
@SebastianDaniel-mb4nl 2 ай бұрын
Ww jisogeze mbele wakati wenzako wamesha pangwa tayari😂😂😂
@catherinedonatus9472
@catherinedonatus9472 2 ай бұрын
Anatimiza masharti.
@EmanuelMwamwaja
@EmanuelMwamwaja 2 ай бұрын
Tajiir hana baya
@ElinaCedric-m4v
@ElinaCedric-m4v 2 ай бұрын
Mbona mapema sana imekuwaj kwan
@EmmanuelMlawa-ee3oq
@EmmanuelMlawa-ee3oq 2 ай бұрын
Njaa ata ukiambiwa kula kinyesi utakula
@MasoudKalambo-e1w
@MasoudKalambo-e1w 2 ай бұрын
Mungu akupe maisha melefu aiseee
@PhilomenaSteven-x9h
@PhilomenaSteven-x9h 2 ай бұрын
Duuuh yamekuwa ayo chief kama utani
@ndorobocarworks-dx4pf
@ndorobocarworks-dx4pf 2 ай бұрын
Mimwenyewe siamin nishagawai kumponda nikamuita tapeli
@maryhaule5625
@maryhaule5625 2 ай бұрын
M MUNGU akuzidishie
@augustinombuba2503
@augustinombuba2503 2 ай бұрын
Safi chief God love
@hellenkaimenyi
@hellenkaimenyi 2 ай бұрын
Yeyote aliyepikea msaada wa huyu mtu wako initiated kwa chama chao ...
@K-go1qj
@K-go1qj 2 ай бұрын
Freemason kazini
@janerachel1622
@janerachel1622 2 ай бұрын
Alianza DIAMOND NA AKAJA HAMONIzer kariakoo,,akatoa PESA hicho NAEu gu amlinde
@AsteriaPastory-y1i
@AsteriaPastory-y1i 2 ай бұрын
Uje na mwanza
@SofiaSofia-qh9wh
@SofiaSofia-qh9wh 2 ай бұрын
Mungu akupe maisha marefu broo wewe ndomtu wa mana kabisa
@kwisa4899
@kwisa4899 2 ай бұрын
Huyu kijana ni tishio kwa serikali na wanasiasa
@alexsilvano332
@alexsilvano332 2 ай бұрын
Kwann kaka
@agathasungura5047
@agathasungura5047 2 ай бұрын
Eee MUNGU WANGU 💔💔😭😭😭😭 TUOKOE TUOKOE YESUUUU 😭😭💔TUOKOE.
@kivatirokitojo657
@kivatirokitojo657 2 ай бұрын
Nakosa hata maneno ya kusema, naona aibu, na udhalili mkubwa kuishi Mjini na Bado ukapigie magoti kijana Kama Huyu kwa Senti mbili za chumvi ni uvivu na kuishi maishi ya kutaka kupewa bila jasho
@JosefuSwai
@JosefuSwai 2 ай бұрын
Sasa hapa si unaweza hata ukawa nanii wakina mama kama hawa ushenzi mtupu hizi ni dalili za umasiki uliokisiri
@bonifacegasper9508
@bonifacegasper9508 2 ай бұрын
Jifuzeni kusoma alama zanyakati,alama yamnyama imekuja kwetu,sawa jamani.
@DeborahAbeli
@DeborahAbeli 2 ай бұрын
Ni kweli
@K-go1qj
@K-go1qj 2 ай бұрын
Chata za freemason kibao kwenye madhabau
@PeterMahona-zd3oz
@PeterMahona-zd3oz 2 ай бұрын
Yani nashindwa hatanisemenini. Juu yamambohaya yakishetani. Kabisa
@PeterMahona-zd3oz
@PeterMahona-zd3oz 2 ай бұрын
hawa. Watu. wanasoma. Neno. Kweli
@johnbidya119
@johnbidya119 2 ай бұрын
Huyu ni mke wawatu ndio maana hana mke ye ni chakula .
@alfamfumbejeshi3685
@alfamfumbejeshi3685 2 ай бұрын
Duuh
@mbarakasijaona7638
@mbarakasijaona7638 2 ай бұрын
Toka magetoni
@SamiriHassan-dp9kn
@SamiriHassan-dp9kn 2 ай бұрын
Hawaja pangwa kweli hawa
@ALIKHAMIS-un4fv
@ALIKHAMIS-un4fv 2 ай бұрын
Pesa inatolewa kwa mkono wa kushoto masharti ya shetani mabaya haitaki tochi juu ya imani ya huyu jamaa chukueni pesa ila muda mfupi tu mutalia
@meameamusa3394
@meameamusa3394 2 ай бұрын
❤❤
@raymondswed7358
@raymondswed7358 2 ай бұрын
Wenye macho na mtazame..angalieni hapo nyuma iyo nembo ya ki Freemason ikiambatana na maneno WELCOME TO THE REAL WORLD. Hizi nyakati ni za mwisho.
@mussakimaro5588
@mussakimaro5588 2 ай бұрын
sanaa baadae wasijekua wanazirudisha
@stanleymanya438
@stanleymanya438 2 ай бұрын
Ili afaidike na nni!!?
@dstaroficial
@dstaroficial 2 ай бұрын
Izo nyimbo mliandaa
@EmmanuelNyinyigwa-m1o
@EmmanuelNyinyigwa-m1o 2 ай бұрын
Sio muda nae ataanguka
@stewartmgallah
@stewartmgallah 2 ай бұрын
Huyu mwamba apewe kitengo serikalini
@jamesmpako8408
@jamesmpako8408 2 ай бұрын
Kuna yule mshkaji yupio Facebook. Anamtukanaga mwamba,, sana
@marymwaya9685
@marymwaya9685 2 ай бұрын
Mtu anasaidia mbambeza???
@tinnahagustinolyelu4247
@tinnahagustinolyelu4247 2 ай бұрын
Kwani ukipika supu hutoki halafu watu bwana pendeni tu vya.kupewa bila kivifanyia kazi malipo yake ni kuzimu yeye anatafuta hela ili aje akupe wewe kiraisi tu thubutu yake mimi natafuta pesa kwq jasho langu hivi unaenda kusududua laki mbili rooooo
@dstaroficial
@dstaroficial 2 ай бұрын
Aliesema ufakir ni nusu ya ukafir nataman nimjue aliona nn mbona kama kapatia
@happymrema7487
@happymrema7487 2 ай бұрын
Pesa za majin
@EmmanuelKonda-k8f
@EmmanuelKonda-k8f 2 ай бұрын
Aaaaah mwanangu wew una nyota ya umasikini hadi wa akili
@spayoDigital
@spayoDigital 2 ай бұрын
Huyu Jamaal anafanya biashara ya cryptocurrency pesa za kidigital hizo so vijana tutafute iyo elimu kwa nguvu sana wazungu kutupumbaza sisi wafrica tusizijue wakatuleta ma tik tok instangra porn ma game so hera hafu tumelala nikujisap tu filita kama yote tunafaidisha wao
@saleemsuleiman2220
@saleemsuleiman2220 2 ай бұрын
Wewe nae kitu unachokiongea hukijui hela za KUZIMU hizo hakuna cryptocurrency wala nini JICHANGANYE SASA😂
@Abdul-oc1ul
@Abdul-oc1ul 2 ай бұрын
Wtngnyika mtkufa vby kuna ck
@nduwimana669
@nduwimana669 2 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@sebastiansalamba313
@sebastiansalamba313 2 ай бұрын
Sasa freemasons hadharani
@JofreyMsigwa
@JofreyMsigwa 2 ай бұрын
Yaan sipati picha du h hatari mmh
@MohamediKalanje
@MohamediKalanje 2 ай бұрын
Pesa haina adabu kwakwel aisee wamama wanavokimbilia maiki ili watoe shda zao
@osumsafi2095
@osumsafi2095 2 ай бұрын
Huyu jamaa
@betuelnyandala4018
@betuelnyandala4018 2 ай бұрын
😂 welcome to the real world na alama zao kabisa
@mwalimhamad3825
@mwalimhamad3825 2 ай бұрын
Unakumbuka kama pale nyumbani kwake kuna watoto si ulikwenda kuzungumza nae kwanza aje aseme hayo mtawapata wajinga tu ila sio sisi
@victaeliud948
@victaeliud948 2 ай бұрын
Vitambaa vyeusi na maandishi mekundu...RANGI YA nani? Tuwe na akili...
@KeisiMwasanyika
@KeisiMwasanyika 2 ай бұрын
✊✊
@reubenmhagama8164
@reubenmhagama8164 2 ай бұрын
Hawezikuwa tajiri bilionea huyu?
@GiftyJackson-k3v
@GiftyJackson-k3v 2 ай бұрын
Chife chife niwezeshe na mm niko mbeya
@KassimMuhamed-n5c
@KassimMuhamed-n5c 2 ай бұрын
Kwani huyu sio yule ambae alie tutu kana sisi masikini? Akatuita takataka?
@SebastianDaniel-mb4nl
@SebastianDaniel-mb4nl 2 ай бұрын
Kasha wapanga hao teyar wamekula 20 mia 80 wabarudisha😀😀😀
@JoyceSamwel-f2s
@JoyceSamwel-f2s 2 ай бұрын
Ata hyo 20 ni pesa pia kuna watu ata 1000 ya kugawa hawana
@SebastianDaniel-mb4nl
@SebastianDaniel-mb4nl 2 ай бұрын
@@JoyceSamwel-f2s ndo wale wale
@basilisamsaka8469
@basilisamsaka8469 2 ай бұрын
YESU KRISTO tuepushe na haya
@PatrickJulius-uy3yb
@PatrickJulius-uy3yb 2 ай бұрын
Kwann
@SamiriHassan-dp9kn
@SamiriHassan-dp9kn 2 ай бұрын
Yule wa kwanza kwa pili kwa nn hakumpa maik
@AmaniManase-x1i
@AmaniManase-x1i 2 ай бұрын
Amezuiliwa kwa sababu alihitaji wanze wenye umri mkubwa
@andreadaniel8276
@andreadaniel8276 2 ай бұрын
TUTAFUTE ela jaman
@lamama.
@lamama. 2 ай бұрын
sema mwamba sijawahi kumuelewa kabisaa labda huko mbele.......ivi anajishughulisha na nini?
@britonkanumba6828
@britonkanumba6828 2 ай бұрын
Nimeamua kukaa kimya
@besttrendingcovers1838
@besttrendingcovers1838 2 ай бұрын
wajinga nyie tafteni ela na nyie, ukiwa na pesa utaitwa majina yote ayo
@altojaphet3394
@altojaphet3394 2 ай бұрын
Mmh badoo ujanishawishi msaada gan unabagua jinsia apo amna lolote ni ovyoo kbs ushetan mtupu wanaopokea hizo pesa watazilipa kwanamna yyt akun chabure we nanii😂😂😂😂
@kassiannyamba805
@kassiannyamba805 2 ай бұрын
😂😂
@HawaSwaleheh
@HawaSwaleheh 2 ай бұрын
Asante😂😂😂😂🎉
@adamhashim3352
@adamhashim3352 2 ай бұрын
Dajjal
@Burange666
@Burange666 2 ай бұрын
Huyu muuza dawa za kulevya China na hata bangi anauza
@NgelejaCharles-ng7bh
@NgelejaCharles-ng7bh 2 ай бұрын
Uza na wewe kama zinalipa
@kassiannyamba805
@kassiannyamba805 2 ай бұрын
​@NgelejaCharles-ng7bh 😂😂😂😂
@EmmanuelKonda-k8f
@EmmanuelKonda-k8f 2 ай бұрын
Wew ni manikins wa akili
@besttrendingcovers1838
@besttrendingcovers1838 2 ай бұрын
tafuteni hela wajinga nyie
Which One Is The Best - From Small To Giant #katebrush #shorts
00:17
Officer Rabbit is so bad. He made Luffy deaf. #funny #supersiblings #comedy
00:18
Funny superhero siblings
Рет қаралды 18 МЛН
Кәсіпқой бокс | Жәнібек Әлімханұлы - Андрей Михайлович
48:57
Миллионер | 1 - серия
34:31
Million Show
Рет қаралды 2,8 МЛН
UPENDO PENDEZA AICHANA LIVE CHADEMA"IMEJAA RUSHWA"
3:27
Tanza Tv
Рет қаралды 1,8 М.
CHIEF GODLOVE AFANYA KUFURU DAR ES SALAAM
39:03
Chief_Godlove
Рет қаралды 11 М.
KUPATA MALI KWA KUTOA KAFARA
7:00
Chief_Godlove
Рет қаралды 4,7 М.
Which One Is The Best - From Small To Giant #katebrush #shorts
00:17