Daah hongeraa sanaa kwa rohoo ya kusaidiaa Mtoto mdogoo pesaa nyingii ghwakukajaa
@FrancesFranckАй бұрын
Mungu akuzidishie bro ..jah bles
@abdulsimbarakiye414511 ай бұрын
My brother thank you for helping poor people god bless you bless you bro
@SydneyMunanga16 күн бұрын
May God bless this young man
@akidaally2835Ай бұрын
Mungu akubariki sana kaka. Umekuwa msaada mkubwa sana kwa jamii
@EdwinOmary14 күн бұрын
Broo ungekuwa mwanamuzik basi mm ningekuwa shabik wako na ungekuwa mwanasiasa basi mm mpiga kula naningekupigia ww broo nina mapito mengi sana nayumba kwenye maisha kipato kidogo kka nina majukumu mengi shida yangu msada wa mawazo kka
@user-gf2sq5ux4oАй бұрын
😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢 mungu akubaliki sana kaka simjui huyu mama ila umefanya jambo jema wallah allah atakuzidishia😢😢😢😢
@saidiathuman-og6bcАй бұрын
Acheni kusifu upbavu ilo jamaa ni hatali Sana watoto unao wauliza wanin sasa pumbavu wew
@jabilmusa7569 Жыл бұрын
Hapa nakumbuka kile kitabu cha watoto wa mama Ntilie daah
Siku hizi masikini tuna saidiwa alafu tuna rikodiwa tuna postiwa mtandaoni daaahh Nooma sana
@HappyFlowers-ee8ru10 күн бұрын
Hawajua kanuni za MUNGU za utoaji hapo hakuna baraka yoyote zaid ya laana tu kumrekodi mama wa watu kwenye mitandao yamkin hata hajui
@FounderTz- Жыл бұрын
#cheifgodlove tuko pamoja 🙌🏻🙌🏻
@CedrickKambale-pf1rv2 ай бұрын
À santé sana mze Chif
@ArabeMartins5 ай бұрын
Safi manene yako'
@hadijatwahadossaАй бұрын
Huyu jamaa japo watu wengine humsema vibaya lakini,, kiukweli anavyofanya inanivutia sana, ana roho kama yangu ,,hua napata maumivu sana mapoona hasa wamama wanajituma kutembea na ndizi kutwa nzima,,alafu vijana wa kiume wanasema hakuna kazi..je utafanikiwaje ukiwa umekaa tu, hiyo haipo
@catherined9035 Жыл бұрын
God bless 🙌 chife god love
@saidiathuman-og6bcАй бұрын
Mtakuja kujuta nyie mlio Kula ama kupokea pesa yauyo tapeli
@HusnaMohammedramadhanАй бұрын
Maashaallah
@issamushi6389Ай бұрын
Hv jamaa anafnya biashara gani jamani
@meowzna2 ай бұрын
God bless you bro'🙏🎉🎉
@user-yj5es1jw8cАй бұрын
Hili kabila wakipata ,nibalaa
@catherined9035 Жыл бұрын
Ukweli , mungu akubariki
@user-sn8tp9gq5r Жыл бұрын
Chifu endelea kua na moyo uwo uwo kaka 😢😢😢
@SAKAYONZA11 ай бұрын
chombo hichoo chapiga reverse pande nyingine🤣
@MuhammedMkolimwa-b2e11 ай бұрын
Unapotoa msaada mkono wa kulia wa kushoto haupasw kuon ndugu
@HappyFlowers-ee8ru10 күн бұрын
Hasaaaaa ndugu lakini kwa stair hyo hata mbaraka wa mwenyezi MUNGU hupati zaidi amepata dhambi ya kumrekodi bila hiar yake
@MohamedRamadhan-cs3fl11 ай бұрын
Chif unatuumiza bhana tufundishe na sisi tupate hela
@juniourku Жыл бұрын
😂😂😂kina matambo hich kijamaa😂😂😂
@ArabeMartins5 ай бұрын
safi
@ArabeMartins5 ай бұрын
Safi manene yako'
@user-rj1ft5qi3e Жыл бұрын
Naomba ushauli
@richardmnyama-gw3xt11 ай бұрын
Namim nahitaji kuwa kama wew huko mbelen
@josephfrank444611 ай бұрын
Safi god
@user-rj1ft5qi3e Жыл бұрын
❤❤❤❤
@magdalenajoel4409 Жыл бұрын
Kaka nitapata vp mbwa kama wako
@richardmnyama-gw3xt11 ай бұрын
Kaka tusaidie wa dogo zako nasis tupate maelekezo kama yako