PART 1:THE REAL WORLD/CHIEF AKITOA HISTORIA YAKE/NILIZALIWA NA MIEZI 13/NILIMNG'ATA MAMA ANGU/UCHAWI

  Рет қаралды 8,362

Chief_Godlove

Chief_Godlove

8 күн бұрын

PART 1:THE REAL WORLD/CHIEF AKITOA HISTORIA YAKE/NILIZALIWA NA MIEZI 13/NILIMNG'ATA MAMA ANGU/UCHAWI
Chief Kwenye Mkutano Na Wafuasi Wake Wa THE REAL WORLD_Akitoa Njia Ya Kuwa TAJIRI Lakini Pia Akitoa HISTORIA Yake Ya Maisha Yake Na Kuwaambia Kuwa Alizaliwa Akiwa na MIEZI 13 Na Akiwa Meno Mawili Na KUMNG'ATA Mama Ake___HII SI YA KUKOSA ‪@millardayoTZA‬ ‪@Chief_godlove‬ ‪@SimuliziNaSauti‬ ‪@globaltv_online‬ ‪@Wasafi_Media‬ @

Пікірлер: 50
@ayubutwalbu6594
@ayubutwalbu6594 4 күн бұрын
Jamani mkaabudu mskitini au kanisani acheni upuuzi
@faiditv5535
@faiditv5535 6 күн бұрын
Mnajimaliza Bora msinge post
@iambeat2430
@iambeat2430 8 сағат бұрын
Ukiwa na tamaa utavutiwa sana na haya mambo...Eeeeh Mungu wangu fungua akili ya watu wako..Pesa zipo kwenye maarifa yenu wenyewe....Wewe usiende kazini msikilize huyo chief uone kama atakupatia pesa ya kula..Sanasana ukijichanganya utatakiwa uwachangie matajiri..Daaaah 😢😂😂😂😂😂😂
@Kenya844
@Kenya844 6 сағат бұрын
Sabato Yuko ndani😢😢
@elmackrambo487
@elmackrambo487 6 күн бұрын
Chif natala niku représente congo ninsaidiye na sapoti yako
@user-td4le3xf7h
@user-td4le3xf7h 7 күн бұрын
Zaasubui kaka mr money mr famous mtoto mdogo mwenye pesa nyingi hakuna kubisha ila nikuombe msada niko vibaya sana niombe sapot yako
@Chief_godlove
@Chief_godlove 7 күн бұрын
Sapot gan kijana wangu
@user-td4le3xf7h
@user-td4le3xf7h 7 күн бұрын
@@Chief_godlove naitaji kuwa na mimi kuwa kama wewe ulie na mafanikio ama watu walio fanikiwa niweze kuisaidia familia yangu na wazazi wangu pamoja na ndugu zangu nawatu baki. Kunawakati huwA NASHINDWA KUELEWA NIKO WAPI NAFANYA NINI MANA maisha yangu sio kabisa hayako sawa kunawakati mzawangu anaitaji msada kwangu huwanashindwa kumsaidia inaniuma sana kuona maisha yangu yalivyo. Natamani namimi kuwasaidia watu wengine sio mimitu wakulia kwawatu sikuzote mpaka inafika mahala watu wanakukata huku unawaona, ukiwapigia simu wanakuwa wanajua unataka kuomba msada mala wakujibu mkato mala wasipoke simu kumbe kunawakati unataka kusalimia tu ila nikuombe msada wako
@NoahJackson-fh1yt
@NoahJackson-fh1yt 7 күн бұрын
Ubarkiwa kwa kila unalotoa my mentor​@@Chief_godlove
@sadickmasoudi1689
@sadickmasoudi1689 7 күн бұрын
​@@Chief_godlovehello habari mkuu naomba namba zako naomaogezi na wewe
@AlhajiIssa-jb9hr
@AlhajiIssa-jb9hr 6 күн бұрын
Nisaidie mtaji wa laki tatu nifanye biashara ya nafaka na vyakula nisaidie kiongozi.​@@Chief_godlove
@kalengashoppingcenter1108
@kalengashoppingcenter1108 5 күн бұрын
Kuna watu Natalie hapa serikali iangalie mapema hili watu wanatafuta safari ya ulaya apa😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😢😮😅😅
@user-rl3yh6ls7b
@user-rl3yh6ls7b 5 күн бұрын
Maisha yenye mafanikio Yana Siri kubwaaa na aijuae ni aliyefanikiwa na Mungu wake pekee! 📌
@ElvisDavid-qn5vd
@ElvisDavid-qn5vd 7 күн бұрын
Good speech
@ndiiyolazaro1125
@ndiiyolazaro1125 3 сағат бұрын
Mbona kama hakuna watu wanaomsikiliza😂😂😂
@Y.D.c.p
@Y.D.c.p 7 күн бұрын
And issues of worship ni issue inatakiwa mfany private why mtandaon and mnazungumza habari ya kafala whichi kafala....???? 😢😢😢 anyway let me stay silent
@user-gi8rq7yh9x
@user-gi8rq7yh9x 6 күн бұрын
Chief
@OMARIUFUVU-p5u
@OMARIUFUVU-p5u Күн бұрын
Mwamba nataka kujiunga na chama
@nyamizisimbachawene3292
@nyamizisimbachawene3292 6 күн бұрын
Chief ana kundi Lake humo ambao wanafanya Michezo ya kitapeli kuhadaa watu yeye chief si Ana pesaro Iwaje achangishe
@KalebyHennry-ux7fj
@KalebyHennry-ux7fj 5 күн бұрын
Chief carasha la fedha hufanyi kitu bila kufikilia mjue hilo
@reginamlay5263
@reginamlay5263 4 күн бұрын
Mbona kama wala ni nyama za watu hawa
@AvityNjau-tz8gq
@AvityNjau-tz8gq 7 күн бұрын
Naona machozi kwenyehizi familia za hawa vijana
@itNeza
@itNeza 2 күн бұрын
🤣🤣🤣 Kuna watu chozi mkononi siku sio nyingi😂
@sharkzprince37
@sharkzprince37 6 күн бұрын
From 254🇰🇪🇰🇪🇰🇪napenda sana kazi yako bro
@officialstephanomtz1649
@officialstephanomtz1649 6 күн бұрын
Ku coment tu kuandamana haaaaaaaaa
@kalengashoppingcenter1108
@kalengashoppingcenter1108 5 күн бұрын
Upigwaj upo apa sasa
@MustymediaTv
@MustymediaTv 7 күн бұрын
Tajiri anawachangisha wenzake 😅😅😅😅😅😅
@Y.D.c.p
@Y.D.c.p 7 күн бұрын
Sasa brother chief majadiliano ni mavizur lakin kwann muanz kujadilian kuchanga wakati unajitosheleza kifedha, kwann usitoe fedha ukajumua jengo moja ambalo mnajua kua linafulfil needes zenu ....now am going to understand whts going on ovwr there 😂😂😂 its so funn
@KalemaMedia
@KalemaMedia 6 күн бұрын
Ase iyo dunia mm nilijua tu.iyo team kuna watu nyuma yake bado hapo mtakuja kujua nini kinatwngenezwa.
@husseinmillinga
@husseinmillinga 7 күн бұрын
Ufreemason, Dunia tunapita
@Kenya844
@Kenya844 6 сағат бұрын
Kwel uyu jamaa n freemason
@nickclmnc7
@nickclmnc7 2 күн бұрын
Kama nimemuona Wema sepetu ila kavaa kininja 😅😂 au macho yangu😂
@tyivbra
@tyivbra Күн бұрын
😂😂😂
@AmosiMwalila
@AmosiMwalila 7 күн бұрын
Chief mutu nanusu
@Mzitomatelephone
@Mzitomatelephone 6 күн бұрын
Hilo koti limekutoa dadek ,alafu unapiga stories kwenye maombi ,alafu hatusikii mnaombaje
@MalonJr-en4kr
@MalonJr-en4kr 5 күн бұрын
Mwizi mkubwa
@farajabinamsimchimba
@farajabinamsimchimba 3 күн бұрын
Umeibiwa nn
@sophiasaid379
@sophiasaid379 38 минут бұрын
@@farajabinamsimchimbapesa zetu 😂😂😂
@ip_header
@ip_header 6 күн бұрын
Baadae mkisha pigwa muanze kulilia serikali iingilie kati...
@eminenceboy8386
@eminenceboy8386 5 күн бұрын
😂
@Mzitomatelephone
@Mzitomatelephone 6 күн бұрын
Kwani hii kongamano inahusu nini mbona sielewi, chief kuna nini
@Y.D.c.p
@Y.D.c.p 7 күн бұрын
Then muanze kugenerate fedha mtakazo changa mnaonekana watu wenye akili lakin discussion mnayoifanya even mtoto mdog hawez kuwaelewa kama akipitia content zenu kweny mitandao ya kijamiii am just trying to prove you wrong, there ia no money over there chief
@NdekejaKamuli-sh5pe
@NdekejaKamuli-sh5pe 5 күн бұрын
Pumbavu kabisa
@ibrahimmaulid7651
@ibrahimmaulid7651 6 күн бұрын
ANDREW TATE wa bongo 😂😂😂
@GideonKelvin-cm5pp
@GideonKelvin-cm5pp 4 күн бұрын
Mnasema ibada za wazee wenu? Mnasem kuabudia? Mnasem kafala? Ni Mungu gani uyo kama sio pepo
@samyspesho1698
@samyspesho1698 7 күн бұрын
Mzahamzaha mwishowe chama kinakuwa kikubwa
@davidoalex9196
@davidoalex9196 7 күн бұрын
Kaka nisaidie itakiwa chama Cha nn
@saidiathuman-og6bc
@saidiathuman-og6bc 6 күн бұрын
Mijinga hiiii kabisa
КАРМАНЧИК 2 СЕЗОН 7 СЕРИЯ ФИНАЛ
21:37
Inter Production
Рет қаралды 488 М.
LOVE LETTER - POPPY PLAYTIME CHAPTER 3 | GH'S ANIMATION
00:15
WHO DO I LOVE MOST?
00:22
dednahype
Рет қаралды 80 МЛН
WHAT IS LIFE
9:29
Ophal Lual Bath Ministries
Рет қаралды 114
HII NDIO SABABU CHIEF HANA MKE INATISHA SANA TIZAMA HII
5:08
Chief_Godlove
Рет қаралды 5 М.
JINSI YA KUJENGA MIKONDO MINGI YA KIPATO na Edmund Munyagi
21:18
Edmund Munyagi
Рет қаралды 26 М.
UNABII WA BALAA KENYA NA TANZANIA WAANZA KUTIMIA
38:02
huduma ya kristo
Рет қаралды 19 М.
A Muslim Man Enters a Church - They Laughed
39:53
Sabeel Ahmed
Рет қаралды 539 М.
CHIEF GODLOVE AKABIDHIWA VITU VYA KICHAWI VITU VYA KISHIRIKINA TIZAMW
14:01
Ещё один способ не забеременеть
0:16
Pavlov_family_
Рет қаралды 10 МЛН
رورو ضد رقيه🔫😲🚀 #shorts
0:13
رورو فاميلي | Roro Family
Рет қаралды 4,9 МЛН
Man tries outrunning cops on skateboard
0:10
Frankie Lapenna
Рет қаралды 17 МЛН
Достали существо из под земли
0:29
RICARDO
Рет қаралды 2 МЛН