No video

Ona MAGUFULI Alivyocheza 'MAPANGA' ya TMK na CHEGE Mbele ya WANANCHI, Full KUTUPA MIGUU...

  Рет қаралды 523,900

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

Ona MAGUFULI Alivyocheza 'MAPANGA' ya TMK na CHEGE Mbele ya WANANCHI, Full KUTUPA MIGUU...
Mbio za kampeni Zinaendelea kutimua vumbi katika mikoa mbalimbali nchini ambapo leo Septemba 3, 2020 DKT Magufuli anaendelea na mikutano ya hadhara ambapo amefika Shinyanga kuomba wananchi wampigie kura kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka huu...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT AMAZON: www.amazon.com...
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506)
⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...

Пікірлер: 271
@raissafabien4285
@raissafabien4285 3 жыл бұрын
😭😭😭😭Baba kwanini umetuacha ? Baba rudi week moja basi😭😭baba nak miss sana. MNGU pokea baba wetu. Baba tunakupenda
@baimarrajahbuayan6237
@baimarrajahbuayan6237 3 жыл бұрын
Tutalia Sana tukiona hiz video 🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️ eee mungu wangu tutazame watz kwa macho 3
@christiannjange8565
@christiannjange8565 3 жыл бұрын
Yani wee acha tuu magu 😥😥😥😥😥
@fahariufaham1114
@fahariufaham1114 4 жыл бұрын
Nakupenda Magu acha tu unanifanya nifurahi
@dorcasmwakihaba8740
@dorcasmwakihaba8740 4 жыл бұрын
Magu Jembe!! Kula yangu chukua
@user-sq7pz9ex5g
@user-sq7pz9ex5g 3 жыл бұрын
Never seen before a kind man like maguful..am proud to be Tanzanian .I lov my country😘but the truth about death of our beloved president bring us to tears😭😭will always miss you,but now you belong to heaven...R.I.P fadher
@rachelcostantine8065
@rachelcostantine8065 4 жыл бұрын
Waooooo piga keleeeeeeeeee kwa Magufuli jamani naipenda nchi yangu🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@busigaprisca9317
@busigaprisca9317 4 жыл бұрын
Weweeeeeeeee magu wake
@veronickakihili4456
@veronickakihili4456 3 жыл бұрын
Nandi
@abubakarhassan1915
@abubakarhassan1915 4 жыл бұрын
Safi sana magufur kula yangu umeipata nawake zangu wote wanne
@halimamasai2234
@halimamasai2234 4 жыл бұрын
Vipi nataka kua mke wa 5 je nafasi ipo
@abubakarhassan1915
@abubakarhassan1915 4 жыл бұрын
Hamida hapana mwisho wake wanne na tiayali wamesha timia
@halimamasai2234
@halimamasai2234 4 жыл бұрын
@@abubakarhassan1915 sasa baba mi nipo ikitokea nafasi ni julishe inshalaah
@alexkishegena8820
@alexkishegena8820 4 жыл бұрын
@@halimamasai2234 🤣🤣🤣
@ashatimo4666
@ashatimo4666 4 жыл бұрын
Mashabiki wa chege tujuane hapa
@juliethhouseofdesigns147
@juliethhouseofdesigns147 4 жыл бұрын
Izi kampain ni mwendo wa kula maisha tu, Magufuli ametupigisha mchakachaka miaka5 kwenye campaign anatupooza na burudani Asante sana baba ubarikiwe sana.
@majiramhesi9093
@majiramhesi9093 4 жыл бұрын
Julieth umenifurahisha Sana nicheki WhatsApp 0764717475
@juliethhouseofdesigns147
@juliethhouseofdesigns147 4 жыл бұрын
@@majiramhesi9093 sawa kaka nitakutafuta
@chrisloken2634
@chrisloken2634 4 жыл бұрын
Daaah naipenda Sana nchi ynguu
@hadijahnamale6061
@hadijahnamale6061 3 жыл бұрын
What a loving n kind president you used to be So proud of even after yo death Will always miss u 🇺🇬 RIP
@mkemiamagege8477
@mkemiamagege8477 3 жыл бұрын
Eti kwa Mapanga haya mnadai kwamba alikuwa na mfumo wa umeme. Duh! Rest peace Anko Magu.
@brigitnjoki1633
@brigitnjoki1633 3 жыл бұрын
Forever missed. RIP MAGUFULI
@husseinshabani9522
@husseinshabani9522 4 жыл бұрын
Mungu Amlinde Rais Magufuli Ampe Afya njema yeye na familia yake pia Amuongoze Ampe Busara kwa kila Jambo Jema.
@abassmchonjo6635
@abassmchonjo6635 4 жыл бұрын
Wenipunguwani
@anahna6788
@anahna6788 4 жыл бұрын
@@abassmchonjo6635 OKOKA Una mapepo wewe
@husseinshabani9522
@husseinshabani9522 4 жыл бұрын
@@abassmchonjo6635 Mungu Akutowe shetani lililopo kichwani kwako.maana Bila yeye Alitatoka kamwe.
@fatmakassm2242
@fatmakassm2242 3 жыл бұрын
Jaman tutamkumbuka kwa usheshi na hapa kazi tu tunalia kwakweli
@heriethmogope8998
@heriethmogope8998 4 жыл бұрын
Waooo ni jembe letu magu Mungu akupe afya njema kila SAA kila dakka
@mohamnedsalum2150
@mohamnedsalum2150 4 жыл бұрын
Safi sana
@agnesoqwaa9848
@agnesoqwaa9848 4 жыл бұрын
Chege umetisha mzee baba amekuelewa
@esterkimario1126
@esterkimario1126 4 жыл бұрын
had rahaa rais wetu jaman
@jumaaliy9728
@jumaaliy9728 4 жыл бұрын
Magufuli yupo juu tunampenda sana
@snedemc
@snedemc Жыл бұрын
Unajuwa sanaa
@dommiek.5025
@dommiek.5025 3 жыл бұрын
Na Mungu aendelee na kuilaza roho ya Rais Magufuli mahali pema peponi. Tulikupenda tu sana hapa Kenya. A Man of people. 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@peterjuma1612
@peterjuma1612 4 жыл бұрын
Saf sana mheshimiwa nimeipenda ulivopiga hayo mapanga
@bonphacemwigulu129
@bonphacemwigulu129 4 жыл бұрын
Tamba magu bado nchi ni yakwako hatuwez kuwapa mabeberu
@nsiamassawe3075
@nsiamassawe3075 4 жыл бұрын
Umeshashinda, siyo Kwa umati huo!
@tabumussa6705
@tabumussa6705 4 жыл бұрын
Raisi wetu yupo juuu
@user-jn7pi4fl5m
@user-jn7pi4fl5m 3 жыл бұрын
Mmmh kaka hongela bado upo juu ila kifo du
@simoncords1173
@simoncords1173 4 жыл бұрын
Maana ya kuweka burudani nikuwafanya watu waje wengi ili wasikie sela za maana toka CCM..sasa km roho inakuuma wasanii ku support maendeleo ya inchi hii pole sana! Mwenye akili anajua kilichobora kiko wapi! CCM ya MAGU sio km ya miaka ya nyuma! 🔥🔥
@christsflowe.r
@christsflowe.r 4 жыл бұрын
Kabisa
@agnesponsian8050
@agnesponsian8050 4 жыл бұрын
Hilo na neno
@zuleikhamohd8014
@zuleikhamohd8014 4 жыл бұрын
yani imeeleweka mm mwenyewe cjawahi kujihusisha na mambo ya siasa wala kuchagua chama lkn magu nahic ananiita ccm
@bilalikambo7202
@bilalikambo7202 4 жыл бұрын
Bravooooo
@joshuason557
@joshuason557 3 жыл бұрын
Kula zetu izoo babaa kutokaa Uganda Raisi WA East Africa
@shebaminde7656
@shebaminde7656 4 жыл бұрын
Mkimwona Magufuli mwambieni mm bado nampenda tena nampenda mpk nachoka kbs
@bidallahamadi4076
@bidallahamadi4076 3 жыл бұрын
Hatatokea tena wa kumuiga raisi Magufuli.Pumzika Kwa amani aki
@justice607
@justice607 4 жыл бұрын
Mi sio ccm lakin rais JPM kura yangu chukua
@amedeusjerome5050
@amedeusjerome5050 3 жыл бұрын
Rudi nyumbani kwa lisu kumenoga
@justice607
@justice607 3 жыл бұрын
@@amedeusjerome5050 poa, tunajambo letu Oct. 28 😁😁😁
@salharamazansuleiman8957
@salharamazansuleiman8957 3 жыл бұрын
Mzee. Alikuw sio mbaguz jaman😢😢😢😢😢😢nAumia mungu wangu mbele yako nyumayetu
@ndimesady7467
@ndimesady7467 4 жыл бұрын
Naona fiesta ndani ya shinyanga
@eliyaedward7984
@eliyaedward7984 4 жыл бұрын
Kazi imeisha sasa bata tu kama fiesta
@calvinkapinga8341
@calvinkapinga8341 4 жыл бұрын
burudani inawaweka watu pamoja
@judithngajilo5431
@judithngajilo5431 4 жыл бұрын
Huyu ni nabii katupa mungu.asante mungu kwakutupa Rais mwema amina
@dorotheachami654
@dorotheachami654 4 жыл бұрын
Mungu akutunze my Dad yangu.. nakupenda Sana
@shukurumsemwa5992
@shukurumsemwa5992 4 жыл бұрын
Asante baba
@matirdamussa6343
@matirdamussa6343 4 жыл бұрын
Raisi wakeli ni huyu anaejishusha na kumuheshim kila mtu, kula yangu umepata baba
@Ndu-wa.uroony2
@Ndu-wa.uroony2 4 жыл бұрын
Wakeli .kula ndio nini?
@matirdamussa6343
@matirdamussa6343 4 жыл бұрын
@@Ndu-wa.uroony2 naitaji msaada wakishelia
@Ndu-wa.uroony2
@Ndu-wa.uroony2 4 жыл бұрын
@@matirdamussa6343 Unaihitaji usaidizi wa kisheria?
@fanaismmsianaf9352
@fanaismmsianaf9352 4 жыл бұрын
Na yeye kula yako hakupi
@johnchrispini334
@johnchrispini334 4 жыл бұрын
Mna zingua nyie
@tracy7278
@tracy7278 3 жыл бұрын
Wooow this nice
@salomemahenge6758
@salomemahenge6758 4 жыл бұрын
Apo huna wapiga kura wamefata mziki tu hao
@andrewpanya1691
@andrewpanya1691 4 жыл бұрын
I love you my country uncle magu forever
@fauziashabibu1467
@fauziashabibu1467 Жыл бұрын
Wallah kama wezekana ningeomba anko Magufuli rudi hata siku moja tuu baba kwanin wazuri Mungu anawachukua
@godwinmpazi1560
@godwinmpazi1560 3 жыл бұрын
We'll always love u big papa...RIP my beloved late president.
@masoudsamizi2666
@masoudsamizi2666 3 жыл бұрын
Daaah baba tangulia
@WivianRich
@WivianRich 4 жыл бұрын
Mapanga ya Mh Rais na Chege mtoto wa mama Side nimeyaelewaaaaaa
@khamishemedsaid2134
@khamishemedsaid2134 4 жыл бұрын
Mweshimiwa hongeraa vijanaa juu
@abdulabdilahi185
@abdulabdilahi185 4 жыл бұрын
Qarii rajai ayubu
@kalumbugideon4159
@kalumbugideon4159 4 жыл бұрын
Uko vizuri Sana Kiongozi wetu
@wilsonsimangwa8238
@wilsonsimangwa8238 4 жыл бұрын
Can safiiiiiiiiii!
@MariamMohamed-kz5cf
@MariamMohamed-kz5cf 3 жыл бұрын
😥😥😥😥😥😥😥ukianga lia haya mambo kipindi hiki lazima ulie
@isdorymutitu1442
@isdorymutitu1442 4 жыл бұрын
Nice
@judithngajilo5431
@judithngajilo5431 4 жыл бұрын
Ccm inongile Rais wetu chombo
@namugwanyajane7732
@namugwanyajane7732 3 жыл бұрын
Oh my God!!wat aloving and akind president, gonna miss you forever
@omanoman728
@omanoman728 4 жыл бұрын
ILove you soo much baba letuuu hakika unaipepelusha vilivyo👉🇹🇿piga kz bb😍😍😍😍
@hadijaangura6572
@hadijaangura6572 3 жыл бұрын
RIP MAGUFULI UMETUWACHA NA HUZUNI
@maryamsimai6263
@maryamsimai6263 4 жыл бұрын
inapendeza
@khadijazinga8173
@khadijazinga8173 4 жыл бұрын
Ntahama nije Tz🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇰🇪
@cecy1366
@cecy1366 3 жыл бұрын
karibu sana
@shavonnawemadavid2998
@shavonnawemadavid2998 3 жыл бұрын
I'm gonna keep comforting myself with these kind of video. Until we meet again to live forever eternally.🙏🙏😭
@jenyyusuph4973
@jenyyusuph4973 3 жыл бұрын
Mmmm😭😭😭
@aminamwangile4020
@aminamwangile4020 4 жыл бұрын
Nampenda magufuri sanaaaaa safi sana baba yetu mungu akutangulie
@achouraachoura5763
@achouraachoura5763 3 жыл бұрын
Magufuli wee umetukimbia😭😭
@jitulakaleboymastr6477
@jitulakaleboymastr6477 2 жыл бұрын
Tuta mkumbuka sana jembe letu bora wangekufa wote abak mzee
@salmadalaquimane2364
@salmadalaquimane2364 4 жыл бұрын
Viva jpm viva
@aliichbeka8741
@aliichbeka8741 4 жыл бұрын
Magufuli baba lao kenya tuko low
@salmamalck7024
@salmamalck7024 3 жыл бұрын
😭😭😭😭😭nimekumic san jamn siujw mimi tu au na wenzangu
@cecy1366
@cecy1366 3 жыл бұрын
we will surely miss you 😢😭 R.I.P baba
@neymatobias9254
@neymatobias9254 3 жыл бұрын
Pumzika kwa amani dady
@petrochahe6717
@petrochahe6717 4 жыл бұрын
Nomaa
@jamesakhabuhaya6194
@jamesakhabuhaya6194 4 жыл бұрын
Jembe
@patrisiakiliani6047
@patrisiakiliani6047 4 жыл бұрын
Jmn had raha
@joycefelix9047
@joycefelix9047 3 жыл бұрын
Kama kuna watu waliomfaidi Rais Magufuli. Basi ni Wasaniii
@salhamrishoaish9292
@salhamrishoaish9292 4 жыл бұрын
Maguuuuuuuh😘😚😘💪
@pendoshayo6058
@pendoshayo6058 4 жыл бұрын
Wasiotupenda wataisoma namba
@hajimakarabai4700
@hajimakarabai4700 4 жыл бұрын
Shoo kali
@albertbunyinyiga7581
@albertbunyinyiga7581 4 жыл бұрын
Jpm 4 ever
@safiyaramadhan9616
@safiyaramadhan9616 4 жыл бұрын
Chege umebadilika kinoma kaka
@noelmmary8911
@noelmmary8911 4 жыл бұрын
Wainzani wakiona wasanii roho zinawauma ukitaka ushindi jitoe hela zenyewe hamna mtaweza hizi show
@leockadiakadogosa7536
@leockadiakadogosa7536 4 жыл бұрын
Kuwa nao makin
@hekimaiteleke3298
@hekimaiteleke3298 3 жыл бұрын
Inaima Sana Yani dah
@GraceShayo-vn7sy
@GraceShayo-vn7sy 6 ай бұрын
rest in peace Dady😢
@emmanueldrc864
@emmanueldrc864 4 жыл бұрын
Chege umependeza sana bro
@mikelinagomezi1766
@mikelinagomezi1766 3 жыл бұрын
Daaaaaa lazima tukukumbuke, kila siku
@happypeter3732
@happypeter3732 4 жыл бұрын
Kamwe awezi kutokea Rais kama Magufuli
@amedeusjerome5050
@amedeusjerome5050 3 жыл бұрын
Rudini nyumbani kwa lisu kumenoga
@sheryphamwenevalley6124
@sheryphamwenevalley6124 4 жыл бұрын
🤣🤣 mzee baba hiyo ndio song anayoikubali wacha ajiachie
@rekiusjackson4089
@rekiusjackson4089 4 жыл бұрын
Oyo
@danielahgreygory5172
@danielahgreygory5172 4 жыл бұрын
🤣🤣 nakupenda Rais wangu umejua kunifurahisha 🤦‍♀️
@masturamansoor7497
@masturamansoor7497 4 жыл бұрын
Tamasha la muziki
@hograchilongola7585
@hograchilongola7585 3 жыл бұрын
Antoni
@ashatimo4666
@ashatimo4666 4 жыл бұрын
Nakupenda sana magufuli huna ubaguzi
@richardjuma7708
@richardjuma7708 4 жыл бұрын
Chege kawa kibonge sana
@frankmnale1900
@frankmnale1900 4 жыл бұрын
Leo nimecheka mpaka basi.... Dr.Magu leo umefrahisha RAIA wako ulivocheza
@stellakigomba7648
@stellakigomba7648 4 жыл бұрын
Baba yangu ninakupenda hunaga makuuu baba ! Mungu akuongezee siku! Ahsanteee unacheza jiongezee siku baba yetu
@azzehassan2432
@azzehassan2432 4 жыл бұрын
Nampenda jaman Magu yupo vizur rais mchangamfu sana
@yasodishonest9792
@yasodishonest9792 4 жыл бұрын
Magu sio mtumzuri mjue anacheza baraa😂😂😂👏👏👏❤
@marylutengano1555
@marylutengano1555 3 жыл бұрын
😁😁😁😁😭😭😭😭
@yasodishonest9792
@yasodishonest9792 3 жыл бұрын
@@marylutengano1555 😭😭😭😭
@marylutengano1555
@marylutengano1555 3 жыл бұрын
@@yasodishonest9792 😭😭😭😭😭 tulie tu ndugu yangu maumivu ya pungue
@maberymabery3286
@maberymabery3286 4 жыл бұрын
Ata mm nakubali
@rehemakasebele7240
@rehemakasebele7240 3 жыл бұрын
Rip
@leahvictorvictor3513
@leahvictorvictor3513 3 жыл бұрын
Kwann umetuacha baba
@raissafabien4285
@raissafabien4285 3 жыл бұрын
Baba wende salama😭😭😭😭💔💔
@furahamwikombo4670
@furahamwikombo4670 4 жыл бұрын
Shaa,shaa,mapanga. Mfalme anapenda sana staili ya TMK wanaume,,,Hata 2015 alicheza vema na Temba....
@mariamngasa5726
@mariamngasa5726 4 жыл бұрын
Kwel wimbo mzuri
@leockadiakadogosa7536
@leockadiakadogosa7536 4 жыл бұрын
Mzee magu hao vjana watakuchosha.
@upendokereti5027
@upendokereti5027 4 жыл бұрын
Nakupenda bure magu wangu
@dazawadi1896
@dazawadi1896 3 жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭
BABA LAO Dance | Funny kid
2:53
Kanazi Talent Kids
Рет қаралды 12 МЛН
PEDRO PEDRO INSIDEOUT
00:10
MOOMOO STUDIO [무무 스튜디오]
Рет қаралды 24 МЛН
王子原来是假正经#艾莎
00:39
在逃的公主
Рет қаралды 25 МЛН
RAIS MAGUFULI ALIVYOCHEZA NA WATOTO WIMBO WA KISUKUMA
3:42
Global TV Online
Рет қаралды 488 М.
JPM alivyoshtua na singeli kwenye kampeni Singida
2:08
Azam TV
Рет қаралды 480 М.
MSANII ALIYEMKOSHA RAIS MAGUFULI LEO BARIADI SIMIYU
5:14
Millard Ayo
Рет қаралды 674 М.
IMENIUMA SANA by Zabron Singers (Official Video)
5:05
Zabron Singers
Рет қаралды 958 М.
DIAMOND APIGA SHOW HADI MAGUFULI KAMVULIA KOFIA KUMVISHA DIAMOND JUKWAANI
12:46
Ip Man 2 | The Boxing Competition
15:57
Cinewatch
Рет қаралды 7 МЛН
YES SIR - ADA EHI ft MERCY CHINWO | The Official Music Video
4:49