JPM alivyoshtua na singeli kwenye kampeni Singida

  Рет қаралды 478,444

Azam TV

Azam TV

3 жыл бұрын

Hivi ndivyo mkali wa muziki wa singeli nchini Sholo Mwamba alivyopagawisha kwenye mkutano wa kampeni wa mgombea urais wa
Chama cha Mapinduzi CCM, Rais John Magufuli mkoani Singida.
#AzamNews #UchaguziMkuu2020 #AzamTVUpdates
Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa:
► bit.ly/2wB6zmR
Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
►INSTAGRAM: / azamtvtz
►INSTAGRAM: / azamsports2
►TWITTER: / azamtvtz
►FACEBOOK: / azamtvtz
►WEBSITE: www.azamtv.co.tz

Пікірлер: 276
@Mgunda
@Mgunda 4 ай бұрын
Kama umerudi Tena 2024 kuitazama Tena gonga like tujuane❤❤
@xkingx8041
@xkingx8041 3 жыл бұрын
Mungu alijua kutuliza😭😭!! Ila sifa zote tuna mrudishia yeye🙏🙏
@mbereser0saidi318
@mbereser0saidi318 3 жыл бұрын
Big up mzee baba mungu akulaze Mahal pema pepon
@khamisshee5131
@khamisshee5131 3 жыл бұрын
huyu ni Rais wa watu kweli tena kwa moyo wa Dhatiii Maguu pumzika salama 😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 🇸🇦🇸🇦🇸🇦 aka bachuchu mombasa 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@mbarukiabdulkadir506
@mbarukiabdulkadir506 3 жыл бұрын
Pongezi Raisi John Pombe Magufuli insha'Allah Kwa uwezo wake Allah utashinda
@hispanoafricana6984
@hispanoafricana6984 3 жыл бұрын
MAGU FOREVER ✊🏾✊🏾✊🏾
@Wakio231
@Wakio231 3 жыл бұрын
Imekuwa memories Sasa 😭😭😭💔rest easy lovely president 🇰🇪
@labbanpaul5319
@labbanpaul5319 3 жыл бұрын
Duuuuh jamani Yani mi nikiangalia hivi ndo maana nashindwa kuamini kilichotokea jamni
@leahwambui5608
@leahwambui5608 3 жыл бұрын
Mimi nimukenya but I love makufuri so much God fearing man
@mwanaishamkindi7763
@mwanaishamkindi7763 3 жыл бұрын
nmecheka na kulia mungu akulaze pema pepon
@farajastudioandstationery5798
@farajastudioandstationery5798 3 жыл бұрын
Dah! Nmemis sana Magufuli wetu mie! Basi tu... Eeeh Mungu muweke mahali pema peponi kiongozi wetu mashuhuri, jasiri asiyejikweza, Mwenye mapenzi na nchi yake, mzalendo na mtetezi wa Wanyonge
@nicksonpius6128
@nicksonpius6128 3 жыл бұрын
Maisha marefu kpz cha wengi huko uliko enda mungu akupe maisha ya raha na akuweke mahali pema peponi
@rukiaiddyyahaya9506
@rukiaiddyyahaya9506 3 жыл бұрын
Imekua kumbu Kumbu 😭😭😭🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🙏🙏🙏
@aminaomary8383
@aminaomary8383 3 жыл бұрын
😂😂😂😂asante anko magu kama kunam2 kagundua stail ya anko ya kamguu nikama ya chalchprn gonga lik 2endele
@neemakaluwa2146
@neemakaluwa2146 3 жыл бұрын
Mungu akupe pumziko la milele baba. Tutazidi kukukumbuka🙏
@mohamedalirachidi380
@mohamedalirachidi380 3 жыл бұрын
Binadam sio kitu nikikumbuka naumia sana maskini raisi wetu mpendwa mungu amekupenda zaidi
@thaniyasuleimansimai5486
@thaniyasuleimansimai5486 3 жыл бұрын
Dah huzuni kwa kweli😢😢😢
@Utulivu444
@Utulivu444 3 жыл бұрын
MAGUFULII HOYEEEE🤝🤝🤝🤝🤝
@magrethmvungi2516
@magrethmvungi2516 3 жыл бұрын
Sion sababu ya magu kuhangaika na kampen kwa makubwa aliyoyafanya ktk nch huyu ni ikulu tena moja kwa moja
@monicaisaya6143
@monicaisaya6143 3 жыл бұрын
Daah Kuna muda nakumisi baba Hadi namua kuangalia hizi naona ndoto tu😭😭😭😭😭😭
@rosegodson4633
@rosegodson4633 3 жыл бұрын
Nalia na wewe ndugu yangu
@TheSalma1999
@TheSalma1999 2 жыл бұрын
Yani siachi kulia
@fineboykizz529
@fineboykizz529 3 жыл бұрын
Raisi wa watu😍😍😍
@rehemamasoud3687
@rehemamasoud3687 3 жыл бұрын
Yaan we maghu unatutoa stress wagonjwa m.mungu akulinde baba
@user-dc1qh3nm5s
@user-dc1qh3nm5s 4 ай бұрын
We miss u our president Rip magu wetu
@zeranchimbi2808
@zeranchimbi2808 3 жыл бұрын
Nimecheka peke yangu baada ya kutazama huu wimbo zaidi ya Mara tano
@jenyyusuph4973
@jenyyusuph4973 3 жыл бұрын
Duuh
@ramadhansalla4528
@ramadhansalla4528 3 жыл бұрын
Mwanacingida...kama ulikuwepo gonga like
@jayyusuph9970
@jayyusuph9970 3 жыл бұрын
Tutakumbuka daima baba yetu
@pilikhamis2924
@pilikhamis2924 3 жыл бұрын
Hakika niki angalia hii nalia sana magufuli kweli umekua cha inauma sana mungu akupe pepo
@ziadasalim1459
@ziadasalim1459 3 жыл бұрын
Duh rais wetu jamani rafiki yetu Mungu akulaze pema peponi Aamini
@reginasameke7518
@reginasameke7518 3 жыл бұрын
nakupenda magu wng mungu akulinde namabaya yote
@richardkaswalala780
@richardkaswalala780 3 жыл бұрын
Ni nomaaa sana.magufuli oyeeeeeeee
@hadijahnamale6061
@hadijahnamale6061 3 жыл бұрын
Good moments of late president Magufuli 😢
@emmanuelbembe6202
@emmanuelbembe6202 3 жыл бұрын
Aisee nimefurahi sana shoro mwamba respect brother
@fauziaomary8903
@fauziaomary8903 3 жыл бұрын
Dah! Magu mungu akuweke kwenye wema tutakukumbuka jemedari wa Africa
@ezebiomlimbila993
@ezebiomlimbila993 3 жыл бұрын
Si Rais kama munavyojua ni Raisi tulie mpata kutufikisha kwenye maisha bora \ heri yenu mlie tambua famani ya mchago wake tusi muache tusje jutia mungu amjarie
@jumachilumba6258
@jumachilumba6258 3 жыл бұрын
Magufuli nakupenda sana uwe wa milele
@fatimamtoo9288
@fatimamtoo9288 3 жыл бұрын
tumebaki na huzuni 😭😭😭hatuamini kweli magu haupo nasi mungu akupe kauri thabiti raisi wetu
@aminaali2744
@aminaali2744 3 жыл бұрын
Wow.May his soul rest in peace.we will always include you in our prayers .he was such a joyful president .Mama Janeth back there smiling .May Allah give you strength Mama Janeth during this trying moment
@zehrajaffer132
@zehrajaffer132 2 жыл бұрын
Mungu umjalie nuru ktk kabri lake inshallaah
@nadershah4845
@nadershah4845 2 жыл бұрын
kafir? are you out of your mind?
@christinasaimon9083
@christinasaimon9083 3 жыл бұрын
Daaaaah nachoka sanaa mie magu wewe daaaah ulikua mcheshiiiiii sanaaa na ulikua mtiifuu Sanaa Baba nenda salama magufuri 😭 😭😭😭😭🙏🙏🙏
@MartinsAgufana
@MartinsAgufana 3 жыл бұрын
Raha ya milele umpe John Pombe Joseph Magufuli Ee Bwana; Na mwanga wa milele umwangazie, apumzike kwa amani; AMINA.
@ishamukhandy2309
@ishamukhandy2309 3 жыл бұрын
Tumebaki kuambulia maumivu na vilio tu jmn😭😭Pumzika kwa amani shujaa wa Africa
@mariamsuma3003
@mariamsuma3003 3 жыл бұрын
Yaan inauma sana ila mungu kampenda mja wake anampumzisha
@heriethmichael3498
@heriethmichael3498 3 жыл бұрын
Nimeipendaiyo ilove you my jpm president ccm maisha miaka 💯
@mwitaadah3649
@mwitaadah3649 3 жыл бұрын
Rip uncle Magufuli 😭
@lilampisejuma3665
@lilampisejuma3665 3 жыл бұрын
Sholo mwamba Mungu anakuona mh. Unamchezesha singeli dah
@estermpare778
@estermpare778 3 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@estermbise1450
@estermbise1450 3 жыл бұрын
Nimeona MAGU akicheza machoz yamenitoka rip
@munaaahmed7229
@munaaahmed7229 3 жыл бұрын
Eeh marehemu magufuli umependwa na dunia mzima...kweli umeacha ukumbusho wakutosha...
@josephemmanuel3175
@josephemmanuel3175 3 жыл бұрын
Daaa nalia kwa hudhuni sana😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@abdillahialiy9511
@abdillahialiy9511 3 жыл бұрын
rest in peace daaaah ulale salama
@ferouzmasoud4741
@ferouzmasoud4741 3 жыл бұрын
😂😂😂 Yani ingekuwa amri yangu Baba Magufuri angendelea kuongoza miaka buku
@robenapomola2395
@robenapomola2395 3 жыл бұрын
Dah hayupo tena ety 😭😭😭😭
@nasrahassanmasesa3745
@nasrahassanmasesa3745 3 жыл бұрын
Lala salama baba sitokusahau kamwe kw upendo wako kwa watz wote pumzika kwa amani baba yetu
@ashaamealibhai2530
@ashaamealibhai2530 3 жыл бұрын
Asante raisi wetu kipezi umenifurahisha
@Love4Ril
@Love4Ril 3 жыл бұрын
Dah! R.I.P
@rashidmfaume1423
@rashidmfaume1423 3 жыл бұрын
Mzeee magufuli Safi Sana u are the special one
@thehustlerafrica4368
@thehustlerafrica4368 3 жыл бұрын
Mungu akulaze baba ulitupenda wanao lakini hauko nasi tena
@jojolee382
@jojolee382 3 жыл бұрын
MAGUFULI IS VERY HUMBLE MAN
@michaeleustach9769
@michaeleustach9769 3 жыл бұрын
Amin kwamba magu anacheza cingel amekubali xhow za mwana chabori
@wardambaraka1289
@wardambaraka1289 3 жыл бұрын
Aiseee umenifuraisha sana raisi wangu
@yahyamajidyahyahilalal-har8762
@yahyamajidyahyahilalal-har8762 3 жыл бұрын
Magufuli atabaki kuwa Mioyo yetu
@robertmgore3653
@robertmgore3653 3 жыл бұрын
Alikua kpz cha wengi
@tumainmwakajwanga997
@tumainmwakajwanga997 3 жыл бұрын
Daah,,ahsante kwa Rais ulietupa umejua kutufurahisha kwa kwel.;;
@juliascherehani2330
@juliascherehani2330 3 жыл бұрын
magufuli juuuuuu juu
@mtipulaiddy6694
@mtipulaiddy6694 3 жыл бұрын
Nakubar mh rais upo juu
@feykimaro4615
@feykimaro4615 3 жыл бұрын
Yes baba Magu wakomesheeeee
@peragiaisdor6315
@peragiaisdor6315 3 жыл бұрын
Miezi mi3 imepita bila baba 😰😭 umelala usingizi wamilele 😭
@innocentbugomola549
@innocentbugomola549 3 жыл бұрын
Aaaaaah Magu kasitua singeli
@Love4Ril
@Love4Ril 2 жыл бұрын
Yaani ingekuwa unajua unakufa lini, bas tungekuwa tunaishi kwa mfadhaiko mkubwa! Mungu ni Mkubwa
@mrishogange4276
@mrishogange4276 3 жыл бұрын
Tumepoteza Chuma kwa kwel
@ausonjustinian5494
@ausonjustinian5494 3 жыл бұрын
Kipindi hicho ilikua raha sasa masikitiko vilio. Daah Inauma
@joasitz9559
@joasitz9559 3 жыл бұрын
Weraaaaa JPM weeeeeeee, ikulu yako Tena baba. Huyo kivuruge wao watampeleka ikulu ya ubeligiji
@dammydionice6489
@dammydionice6489 3 жыл бұрын
Comment yako imenipa raha kaka Kwel ikulu yake iko ubelgiji
@AK-is9xi
@AK-is9xi 3 жыл бұрын
Ha ha ha ndoto za alinacha hzo hatoboi tar 28 ngoo
@hamadmakame6040
@hamadmakame6040 2 жыл бұрын
Daaaa maguful safii huyu alikua mwamba RIP
@baracknicholaus2944
@baracknicholaus2944 3 жыл бұрын
Leo kasha lala baba yetu
@williammuhisi395
@williammuhisi395 3 жыл бұрын
Dah jamani huu ulimwengu sijui upoje jamani 🤔🤔mim bado siamini kama rais wangu mpenzi katariki jamani
@moshimipene6799
@moshimipene6799 3 жыл бұрын
Nakubari shoro mwamba
@captendunga1392
@captendunga1392 3 жыл бұрын
sholo ukitoka apo ukaripoti mwenyewe UTUO huwezi kumchezesha mzee baba kisingeli.
@kusagaonlinetv3983
@kusagaonlinetv3983 3 жыл бұрын
Dah wahuni sio watu dah mnamchezesha mheshimiwa dah hii kali
@sayilameck6930
@sayilameck6930 3 жыл бұрын
Mungu akupe pumziko la milele kipenzi Chetu JPM HAKIKA TUTAKUKUMBUKA KWA UZALENDO WAKO
@irenewile
@irenewile 3 жыл бұрын
Kamuita Magu kabisaa jina lake la kitaa 🤣🤣🤣☝🏿☝🏿na yeye akawaonyesha kweli
@NR-ll4sr
@NR-ll4sr 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@malikiathumani2498
@malikiathumani2498 3 жыл бұрын
Safi nafurahi kuona mzingi wa singeli unavyopasua anga
@maryomukunda9903
@maryomukunda9903 3 жыл бұрын
To
@benjambesseltdltdt.v.shiny9457
@benjambesseltdltdt.v.shiny9457 3 жыл бұрын
*😀Mimi napitia koment2 haha*
@rosematuri6435
@rosematuri6435 3 жыл бұрын
Wao anko magu
@yunusali7617
@yunusali7617 3 жыл бұрын
Dah yaniiiii tumeumbuka jeshii hatunaee MUNGU akuweke panapo stahiki jembe letu,inauma yani leo tarehe 14/5/2021 bado upo akilini mwangu MAGUFULI dah pumzika baba, jamanii inauma sana tena sanaaaa.
@mathewbahati7465
@mathewbahati7465 3 жыл бұрын
Daah inauma kweli tupo pamoja ndugu
@dianamarobo5733
@dianamarobo5733 3 жыл бұрын
Yaani we Acha tu
@kusagaramadhan7045
@kusagaramadhan7045 3 жыл бұрын
Woooyoooh heshima kwako rais wang ubakie mika 1000
@jeremiadaniel523
@jeremiadaniel523 3 жыл бұрын
Duuu Magu bonge la mhuni...
@aishaathman4315
@aishaathman4315 3 жыл бұрын
Inauma sana kila nikimkumbuka uyu rahisi dah!mungu amlinde
@dfinafriga9863
@dfinafriga9863 Жыл бұрын
😂😂Da kifo jamani😭
@aizackkajika5086
@aizackkajika5086 3 жыл бұрын
Sholo mwamba legendary
@augustinomwamasinga2200
@augustinomwamasinga2200 3 жыл бұрын
Hehehe, Maguuu juuu
@raelahrayanraynah6256
@raelahrayanraynah6256 3 жыл бұрын
Rais Magufuli was a good man
@sauliamoni4428
@sauliamoni4428 3 жыл бұрын
Asantee!!JPM 4 life!!!
@johnwaitara9681
@johnwaitara9681 3 жыл бұрын
Hongera, jpm. Magufuli. Oyeeeee,
@fabianjulius5274
@fabianjulius5274 3 жыл бұрын
Kaz bila stress . 🙌🏻
@iddikimia4951
@iddikimia4951 2 жыл бұрын
Dah
@galinomatz3502
@galinomatz3502 3 жыл бұрын
Raha Sana!
@kalumbugideon4159
@kalumbugideon4159 2 жыл бұрын
Mwaka 2021 Wewe Mwaka Wewe 2021.... Hatari Sana.... Mungu tusamehe bure, maana Duniani si Kwetu.
@julianamasunga700
@julianamasunga700 3 жыл бұрын
Haki wamejua kutupokonya tonge mdomoni duh .....RIP Jpm ...
@farajibuteta6258
@farajibuteta6258 3 жыл бұрын
Mwamba ww hatar rekodi hiyo umeweka
@josephinekamera9722
@josephinekamera9722 3 жыл бұрын
hatari sana magu 😂😂😂🤣🤣🤣🥁🥁🎷🎤📢📢
@sophiahassan7976
@sophiahassan7976 3 жыл бұрын
Daah huy alikua Rais wakweli pumzika baba tutakukumbuka san
@HassanAlJabri
@HassanAlJabri 3 жыл бұрын
Safi saana
@jasulikamote6004
@jasulikamote6004 3 жыл бұрын
Chuma nikielewaga hapa hakijivungii😂😂😂😂
New model rc bird unboxing and testing
00:10
Ruhul Shorts
Рет қаралды 25 МЛН
Beautiful gymnastics 😍☺️
00:15
Lexa_Merin
Рет қаралды 15 МЛН
БАБУШКИН КОМПОТ В СОЛО
00:23
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 15 МЛН
Llegó al techo 😱
00:37
Juan De Dios Pantoja
Рет қаралды 53 МЛН
KALI ZA MAGUFULI KWENYE KAMPENI HIZI HAPA
11:38
Mwananchi Digital
Рет қаралды 11 М.
Maziwa yaungana Singida, mawasiliano ya barabara yakatika
2:20
🙀Неймар Изменили Правила Пенальти #shorts
0:23
Dad's disbelief turns to pride as daughter scores as a boy #shorts
0:32
Fabiosa Animated
Рет қаралды 1,2 МЛН
Самые спортивные страны #сша #ссср #китай
0:52
Послезавтра
Рет қаралды 1,4 МЛН
BRUTAL leg kicks from Marco Ruas CHOPS Paul Varelans down back at UFC 7!
0:56
Ronaldo or Messi, who deserves to be GOAT !
0:26
Football Cartoon
Рет қаралды 3 МЛН