Umati wa MWAMPOSA wamshangaza RC CHALAMILA,afunguka MAZITO ''kama ni UCHAWI ata mimi usingenifikia''

  Рет қаралды 42,086

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

6 күн бұрын

Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

Пікірлер: 407
@aghamedia
@aghamedia 4 күн бұрын
Speech Yako mkuu ni nzr sana umenena vyema
@suzysam6002
@suzysam6002 2 күн бұрын
Maneno mazito sana mkuu MUNGU akubariki sana mkuu , mwenye masikio na asikie
@hboywasasa
@hboywasasa 4 күн бұрын
Mkuu wa mkoa umetisha sana bongo la poiti nimekuelewa sana mjomba chalamila
@kingswebe3251
@kingswebe3251 2 күн бұрын
Kuna kantu kilisema mwamposa ataanza kupoteana kwanzia mwezi wa 3 ndio kwanza anauwasha moto
@TumsifuErick
@TumsifuErick 13 сағат бұрын
Hongera sana mh.charamila hakika utaendelea kujikusanyia umaarufu kwa points zako muhimu
@terezadotto5458
@terezadotto5458 3 күн бұрын
Hongera mhe.kutuasa vizuri kabisa juu ya habari ya mbinguni.Safi sana
@salummahanzar6714
@salummahanzar6714 Күн бұрын
RC chalamila nakukubali Sana kaka
@kadrimwingamno258
@kadrimwingamno258 Күн бұрын
Uma una-angamia kwa uvivu wa kutaka kupata maisha mazuri kwa kuwamini wachawi. Ambao wamejivisha Johoo la utume. Audhubillah.
@happynkya9770
@happynkya9770 9 сағат бұрын
Na weee kuwà mchawi ili uache maneno mengi
@fredyjeremia7074
@fredyjeremia7074 21 сағат бұрын
Mkuu wa mkoa DAR,, UMEongea serious ..ujumbe wa amani na upendo kwa watu wako na mataifa mengine tumekuskia baba.BARIKIWA SANA.
@victorwilliam9987
@victorwilliam9987 4 күн бұрын
ukifikiria vizuri utagundua ata mondi akifanya show hajazi hivi, utakuja gundua,wakina mwamposa ndo ma super star wa hii nchi.. watu wenye mashabiki wao.. plus wanatoa sadaka.. plus unaweza kuta kazi ya mungu haina kodi. yan hawa ndo ma star wenye u billionaire ja hawajionyeshi..
@janesuma-is4wc
@janesuma-is4wc Күн бұрын
Na umati still mdogo hawajaja wote wapo tulio keshea majumbani ni hatari sana
@odhiaodhia9898
@odhiaodhia9898 4 күн бұрын
Hongera sana mtumishi wa Mungu utukufu kwa Yesu
@naimarishedy1523
@naimarishedy1523 4 күн бұрын
Mkuu umenena point. Pastor Mwamposa niinue NAMI ktk magumu niepushe na hasira kwa wanaonitafuyia chuki zisizo na sababu. Niinue baba🙏
@janesuma-is4wc
@janesuma-is4wc Күн бұрын
😢 dah mtumishi anakuinuaje Yesu pekee ndio anaweza kukuinua na kukutoa apo ulipo unapaswa kufata magizo ya mtumishi uchukue hatua ya imani kumwamini Yesu uwinuke mtumishi ni njia tu muinuaji ni Yesu
@Bilioneabichwa331
@Bilioneabichwa331 Күн бұрын
Pumbav, yaani akuinue mwamposa?
@othmanmaulid4867
@othmanmaulid4867 Күн бұрын
Badili umuombe mungu unamuomba mwamposa acha ujinga
@saxannjo6173
@saxannjo6173 4 күн бұрын
AMAIZING,,,,,TB JOSHUA in TANZANIA
@Maryc2G
@Maryc2G 3 күн бұрын
@@saxannjo6173 yes 👍🏽
@VictoriaNgatunga-nm9py
@VictoriaNgatunga-nm9py Күн бұрын
Kwa maombezi ya mtume na Mimi ntapokea mapacha 🙏
@ruahahilltoplodge
@ruahahilltoplodge 3 күн бұрын
Mwamposa baba ninakupenda sanaa Mungu aliyekupa kibali akupe maisha marefu uifanye kazi uokoe watu wake..
@vicentpantaleo5837
@vicentpantaleo5837 2 күн бұрын
Kibal gan nisili yke zinduka
@mudywaya328
@mudywaya328 4 күн бұрын
mkuuwamkowa huyu namkubalisana👏👏👏👏👏👏💥
@Maryc2G
@Maryc2G 4 күн бұрын
Mtumishi wa Mungu Chalamila 👏🏽👏🏽🇹🇿🇹🇿
@shijandobehe4953
@shijandobehe4953 4 күн бұрын
@@Maryc2G 😅😅😅 huyo ni mlevi mmoja mzuri tu
@Maryc2G
@Maryc2G 4 күн бұрын
@@shijandobehe4953 ohhh, Mungu ampiganie aache kilevi, maana madhabahu anaiweza sana.
@martinisadru9899
@martinisadru9899 4 күн бұрын
​@@Maryc2Gwe unafaa kua mtumishi wa MUNGU,,
@martinisadru9899
@martinisadru9899 4 күн бұрын
​@@shijandobehe4953kama ni mlevi! Unapaswa kumwombea aache ulevi, na sio ku-mhukimu.
@shijandobehe4953
@shijandobehe4953 2 күн бұрын
kweli kabsaa jukwaa analimudu ila Sasa kwenye utumishi ni wito awaachie wengine yeye anafaa kwenye siasa labda hapo baadae coz mungu ana watu wake kama na yeye anaweza kuwa miongoni mwao sawa
@benmbwele
@benmbwele 4 күн бұрын
Kuna wetu ni watumishi wa Mungu ila hawajijui. Chalamila ni mmojawapo. Ipo sikumoja mtakumbuka maneno yangu...!
@norfenvgeraldo9493
@norfenvgeraldo9493 4 күн бұрын
Nimebarikiwa sana kwenye huu mkesha nimejiunganisha kwenye tv nikiwa Mozambique 🇲🇿 (palma) presha ya kupanda na kushuja nimepona kabisa 🙏🙏 🙏
@hamisisaidi9069
@hamisisaidi9069 4 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂
@badirashid4668
@badirashid4668 2 күн бұрын
😂
@wadantz123
@wadantz123 2 күн бұрын
We jamaa muongo😂😂😂😂
@hamadsheni8997
@hamadsheni8997 4 күн бұрын
YEREMIA 50:6. YACMA KONDOO WANGU WANAPOTEZWA NA WACHUNGAJI WAO.
@DjMswati
@DjMswati 4 күн бұрын
kweli broo
@HamduniYasir
@HamduniYasir 4 күн бұрын
Hamad Shein 😂😂😂
@luotagwabt7730
@luotagwabt7730 4 күн бұрын
Hahahaha kwa masheikh unaenda kupata kisomo na mavukizi ubani wa majini lakini jina la Yesu aaah.
@gosbertbuberwa6198
@gosbertbuberwa6198 4 күн бұрын
​@@luotagwabt7730😂😂😂😂😂😂😂😂Mwambie Huyoooo!
@corrolesscps
@corrolesscps 4 күн бұрын
Wewe endelea na yako, hapa kwa Mwamposa anahubiria YESU KRISTO, yeye ni njia ya kweli na uzima, yeye ni mponyaji, anaokoa, na kufungua, kila Giza, alikuja kwa ajili ya kuokoa ulimwengu, kwa tatizo lako lolote ille, yeye yupo kwa ajili yako,akuja kwaajili ya Dini, na kila atake litaja Jina la Bwana ataokoka
@edwinamos9734
@edwinamos9734 4 күн бұрын
Jamani mtume Mwamposa yupo safi sana.Kiukweli hata akija malaika bado hamto amini utaki kwenda achaaa!!!!!! sisi tutaenda bora kukukimbilia miujiza tena bureee kabisa kuliko mazinga obwe ya waganga na bado mnalipia na kutapeliwa.
@VitusMagobe
@VitusMagobe 3 сағат бұрын
Kweli kaka watu wanaongea mengi kumhusu mtume
@costantinekikinda7574
@costantinekikinda7574 Күн бұрын
😂😂😂😂😂 charamila ni mwana sahikolojia sana hongera kwa neno MWENYE macho na aone amen
@Oldskulgemini9991
@Oldskulgemini9991 4 күн бұрын
Hakuna mtu Bongo anaweza kujaza kama hivi
@mohammedkombo9798
@mohammedkombo9798 4 күн бұрын
Huyu jamaa anakubalika sana not a joke
@mtzhalisi2232
@mtzhalisi2232 4 күн бұрын
Chalamila leo umenifuraisha sana
@augustinenjesi3215
@augustinenjesi3215 4 күн бұрын
Duuuuu huyu mwamba apewe tu mauwa yake sio kwa utitiri huo
@ShabanMainde
@ShabanMainde Күн бұрын
Alikusanya dunia sio kijiji😮
@mpefu_4936
@mpefu_4936 4 күн бұрын
Tunakimbila miugiza simama omba mungu yupo uvivu ni mbaya
@lusogoalbert138
@lusogoalbert138 3 сағат бұрын
DC Chalamira kashusha point nzito saaana makofi kwakee🎉🎉
@Chrisblaze-beats
@Chrisblaze-beats 4 күн бұрын
Watu wana shida mzeee wangu.
@bennygwasa4563
@bennygwasa4563 4 күн бұрын
Mkuu wa mkoa upo vizuri sana
@evaristmbuya6220
@evaristmbuya6220 3 күн бұрын
Kazi kazi
@Oboss_billharvester
@Oboss_billharvester 4 күн бұрын
Huyu jamaa aache siasa ana chembechembe za kiutumishi wa kiungu, ila siasa inampotezea dhumini la mungu Ndani yake
@eunicejohn5520
@eunicejohn5520 4 күн бұрын
Sana tu ila MUNGU ana njia akiamua anamtoa kwenye uongozi
@user-us1mh8zw1v
@user-us1mh8zw1v 4 күн бұрын
Nakuelewa sana mkuu wa mkoa Wang Kwa speech zako unanimaliziaga bando Kwa harakati zako ususani speech zako mwamposa mola azid kukujalia tusiksikatae watoto na WA mama masiue watoto Leo waZaz wake mwamposa wanajivunia mtoto wap saffff
@shijandobehe4953
@shijandobehe4953 4 күн бұрын
Jana mida ya saa2 usiku nikiwa mitaa ya mikocheni aisee kulikuwa na foleni ya hatari ogopaaa mabasi YALIKUWA full watu wanatembea mpaka Kwa mguu kiufupi ilikuwa ni hatari hasa Wana wake watu wanataka miujiza na mafanikio na sio mungu
@user-ez1ky4ls7c
@user-ez1ky4ls7c 4 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂kabisa
@shijandobehe4953
@shijandobehe4953 4 күн бұрын
@@user-ez1ky4ls7c na hao watu hawana Cha bible wa Quran tutafika tumechoka Sana wanahubiliwa mafanikio tu ukisikiliza kipindi Cha ushuhuda aisee shuhuda za kutisha tisha KAZI yao ni kutumia maji na mafuta ya upako huna haja ya kutaja jina la MUNGU 😥
@user-ur7pw9ek6s
@user-ur7pw9ek6s 4 күн бұрын
Ujinga ni mzigo kwakweli watu hawataki kufanya kazi wanataka utajiri na maisha mazuri kwa miujiza 😂😂😂😂
@Kelvinjoseph-jz7kq
@Kelvinjoseph-jz7kq 4 күн бұрын
@@user-ur7pw9ek6s Kam wasingekuw Na mafanikio bas kusingekuw Na foleni za Magari ,,wangekuw Na punda ndio mseme,,2sipend kuhukm
@ce-08
@ce-08 4 күн бұрын
Kama familia yako hajawah kupata shida na ikatatuliwa kwa mwamposa huwez kumuelewa utamuona ni Muongo tu
@user-ni2kv3yf6e
@user-ni2kv3yf6e 2 күн бұрын
Namuona magufuli wa badae
@FurahiniMbise-cb6uf
@FurahiniMbise-cb6uf 2 күн бұрын
Ameeen and ameen
@joshuaezekiel8257
@joshuaezekiel8257 Күн бұрын
Ameen kubwa mkuuu wetu
@FloraMarinyo
@FloraMarinyo 3 күн бұрын
Wanadam hawapendi kuona watu wanakimbilia kwa Yesu.......
@Leeeeeeee-96
@Leeeeeeee-96 2 күн бұрын
kweli ili waendelee kuturoga
@tseaamaqhamarabura7138
@tseaamaqhamarabura7138 2 күн бұрын
Dar imepata RC hakika
@MagrethSudy
@MagrethSudy Сағат бұрын
Pamoja mtumishi
@Dema_Tours
@Dema_Tours 2 күн бұрын
Mtumishi wa Mungu
@japhetmsafiri
@japhetmsafiri 4 күн бұрын
Salaam Almassih, Yeshua akibar
@user-tr3bi1ry6t
@user-tr3bi1ry6t 3 күн бұрын
Mtu wa maaana kabisa chalamila
@bettykinyami5096
@bettykinyami5096 11 сағат бұрын
Njia ya shetani ina watu wengi sana hii ni njia pana lakini njia ya Mungu ni nyembamba na imeaonga nao waionayo ni wachache,
@Oboss_billharvester
@Oboss_billharvester 4 күн бұрын
Naona Leo chalamila kaongea uhalisia na ukweli wa maisha
@GeofreyKalo-ot3we
@GeofreyKalo-ot3we 4 күн бұрын
Kama mtu hajakutana na changamoto hutomuona Kwa mwamposa ila kiukweli chalamila kaongea point shida watu wanaubishi mwingi Hadi kwenye maswala ya Imani MUNGU mbariki RC MUNGU mbariki apostle
@stanleymissiontv2303
@stanleymissiontv2303 4 күн бұрын
Jamaaa likiamua kuongea point liko vzr
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 4 күн бұрын
@@stanleymissiontv2303 kwa kweli🤣🤣
@AgnesNjau-iq3gf
@AgnesNjau-iq3gf 2 күн бұрын
Na wengine wapo humu ukweli huo unawauma haswaaa....
@GodfreyMwamaso
@GodfreyMwamaso 2 күн бұрын
Amen Amen.umenena vema mtumishi wa Mungu chalamila una utumishi ndani yako Mungu akuinue
@ezekiambise2595
@ezekiambise2595 4 күн бұрын
Jina la bwana libarikiwe.
@happynkya9770
@happynkya9770 9 сағат бұрын
Duuuh hapa ilikuwa benjamin mkapa au
@HASASON
@HASASON 4 күн бұрын
Mimi nilikaa miaka miwili sina kazi lakini nilimsikia mwamposa kwa bahati nzuri tu kwenye radio dodoma nikafatilia yale maombi ndani ya siku 4 nikapigiwa simu ni kapata kazi mshahara laki 6 ni mwaka wa tatu naenda sasa kazini
@davidsamson8292
@davidsamson8292 4 күн бұрын
Imani yako imekuponya
@Henricovicent
@Henricovicent 4 күн бұрын
Machawa wa Mwamposa utawajua tu.
@user-ts9lp4rm9j
@user-ts9lp4rm9j 4 күн бұрын
Hata mmi tena nilienda mara moja tu na kazi,mtto,mke juu
@Henricovicent
@Henricovicent 4 күн бұрын
@@user-ts9lp4rm9j Machawa wa Mwamposa utawajua tu kwa matendo yao.
@BakariAlly-dm1vf
@BakariAlly-dm1vf 4 күн бұрын
😂😂
@mrsmussa115
@mrsmussa115 4 күн бұрын
ujinga ni mzigo Allah atuongoze
@omytifa6403
@omytifa6403 4 күн бұрын
Ameen
@tanzanianpatriotic3532
@tanzanianpatriotic3532 4 күн бұрын
Maranyingi mjinga huzani yeye ni mwerevu na kumuita mwerevu mjinga, lakini ukijua yakwamba Mungu anaweza kuongea na wewe binafsi basi jaribu kumuliza ukweli ni upi,atakupa utayari wakujifunza na atasema na wewe binafsi.
@luotagwabt7730
@luotagwabt7730 4 күн бұрын
Allah atuongoze wapi ndugu malizia hapo...kwenye njia iliyonyooka ya 3rd Caliph Uthman kurani moja ilinyooka isiyo na kujichanganya au wapi, au atuongoze Kibra kubusu jiwe jeusi na kumpiga mawe shaitwani fafanua vizuri...au kwa sabab hana mtoto na hakuwa na mke, au kwa sababu Isa atarudi kuwahukumu wakristo ya kwamba kwanini walimfanya Isa, Maryam na Allah kuwa Mungu watatu? jifunze atuongoze wapi???
@pastadandan3569
@pastadandan3569 4 күн бұрын
Waislamu wanakwazika sana wakiona viwango hivi
@gosbertbuberwa6198
@gosbertbuberwa6198 4 күн бұрын
​@@pastadandan3569Sanaaaa! Mpaka Wasemeeee!
@Yesunimwokozi1
@Yesunimwokozi1 4 күн бұрын
Mtumish wa MUNGU MWAMPOSA,, MUNGU AKUBARIKI ZAID
@emmanuelmlekwangano9991
@emmanuelmlekwangano9991 4 күн бұрын
Mwamposa ni asset kwa wanasiasa
@user-nb2jw4km6f
@user-nb2jw4km6f 4 күн бұрын
Watu wengi kama utitiri
@user-yh8ny1nf3f
@user-yh8ny1nf3f 4 күн бұрын
Maneno ya upako
@upendomwakalibule
@upendomwakalibule 4 күн бұрын
Ameeeeeeen
@HappinessMsham
@HappinessMsham 3 сағат бұрын
❤❤
@yaluclile566
@yaluclile566 3 күн бұрын
Nina mtoto nikicha naomba unisaidie nipo burundi
@fredyjeremia7074
@fredyjeremia7074 21 сағат бұрын
AMEN🙏🙏
@KhalidAlly-je8ky
@KhalidAlly-je8ky 4 күн бұрын
Duh
@VeronicaRugoyi
@VeronicaRugoyi 59 минут бұрын
Watu wanapenda miujiza kuliko neno
@achawanunetv1167
@achawanunetv1167 4 күн бұрын
Wa Kaka wakina Juma Lokole Na Noël wa wasafi
@yaluclile566
@yaluclile566 3 күн бұрын
Naomba namba ya mwaposa nipo Burundi
@dismaboytz4849
@dismaboytz4849 4 күн бұрын
Kinacho tuponza TZ ni umasikini 😂 mashehe Huwa wanaongea sana wakiona seem Kuna ubwabwa chalamila shikamoo baba kz unaiweza Mimi kama___siachi uchawa😂😂😂😂😂 kwenye pesa
@MuniraShughuli-kc7vj
@MuniraShughuli-kc7vj 4 күн бұрын
Ovyooo
@omarmohammed5157
@omarmohammed5157 4 күн бұрын
Na ujinga pia unatuponza
@mwawekomiuda9779
@mwawekomiuda9779 4 күн бұрын
Unaleta kashfa isiyo na maana. Waislamu huwaga hawatumii uchawi. Na dini yao huwezi kuichanganya na uongo ndio tofauti. Mm siamini kama mwamposa ana uwezo wowote zaidi ya uchawi anaotumia.
@ashuramuhammed3257
@ashuramuhammed3257 4 күн бұрын
Wewe chalamina ndo umesilimu wewe mtume mwamposa tena
@AdamAmos-rr6fg
@AdamAmos-rr6fg 4 күн бұрын
Uyu nae chawa kwel uyu
@YasreArafat-kk9en
@YasreArafat-kk9en 4 күн бұрын
Hili swala la WANASiasa kuongea makanisani Na miskitini Kwa tz ruksa kabisa Na watz hatuna shida kabisa Na Hilo Endeleeni waeshimiwa mskate tamaa Sisi ndio wabongo Bana Halafu kwani huwa ni sifa Gani unaposkia Mtu anasema um(unacheza Na mbogo wewe)huwa Ina maana Gani Halafu mueshimiwa si ni Abubaker au?
@mr_kajomba_og5719
@mr_kajomba_og5719 4 күн бұрын
Sisi watu wa Kawe tumekipata Cha moto Naul kawe Morocco buku kawe bugurun buku jero kawe mbagala 2000 na bado gar nizakugombaniwa
@PaulinaOtaigo-cr3sq
@PaulinaOtaigo-cr3sq 4 күн бұрын
Kufa kufaana
@MwalimuJelly
@MwalimuJelly 4 күн бұрын
Amen
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 4 күн бұрын
Innarilah wainahilah rajiun
@Nick16697
@Nick16697 4 күн бұрын
Usilo lijua kwako ni sawa na usiku wa giza..
@SharifTwahirAbdullqadir
@SharifTwahirAbdullqadir 4 күн бұрын
Nailo ndo guza lenyewe​@@Nick16697
@AGM19697
@AGM19697 Күн бұрын
Yule wa kwenu alishawaambieni yeye hajui anaenda wapi wala hajui ninyi mtaenda wapi ila anawaonya tu. Na mpaka leo mnamuombea, sasa hapo mbona mtihani mkubwa sana. Yesu alisema mimi ni njia kweli na uzima mtu hawezi kwenda kwa Baba bila kupitia yeye
@RubenMtuwaMungu-bz8ee
@RubenMtuwaMungu-bz8ee 4 күн бұрын
Narudia tena Mungu siyo wa quantity yeye ni wa quality. Sauti ya wengi si sauti ya Mungu bali sauti ya mwenye haki ndiyo sauti ya Mungu.
@Oldskulgemini9991
@Oldskulgemini9991 4 күн бұрын
Kwahiyo unataka kusema hao wengi sio wa Mungu ila wewe ndo wa Mungu eti😅 we umejuaje kama sio wa Mungu?
@shongatv1224
@shongatv1224 4 күн бұрын
​@@Oldskulgemini9991watanzania wengi tupo njia panda jambo likiwa kubwa ni shetani likiwa dogo sana tunaamin ndo haki yetu
@Oldskulgemini9991
@Oldskulgemini9991 4 күн бұрын
@@shongatv1224 vichwa panzi, watu wote hao kwamba ni wehu ila wao wachache ndo wanajiona wanaakili😅 ukiona mtu anaetumia muda wake kufatilia dini za wengine jua Hana kazi ya kufanya, maisha Yako mbio Sana unaanzaje kupoteza muda kuanza kukosoa Imani za watu
@RubenMtuwaMungu-bz8ee
@RubenMtuwaMungu-bz8ee 3 күн бұрын
@@shongatv1224 huu ni wakati wa kunyang'anywa taji ya uzima. Hatumpingi mtu kwa ajili ya wivu, laiti ningekutana na wanaokwenda kwa manabii wa hivyo ninge debate nao kibiblia tuweke pembeni itikadi zetu za madhehebu na ufuasi ndipo ungejua kuwa watu wengi hawajui hata sababu gani Yesu alikuja duniani na alikufa kwa sababu gani Ili iweje. Sababu injili tuliyoachiwa na Yesu haikubaliki kwa kizazi cha leo na kwakuwa ni hivyo je injili inayopendwa na kizazi cha leo itawapeleka wapi hatimaye!?
@RubenMtuwaMungu-bz8ee
@RubenMtuwaMungu-bz8ee 3 күн бұрын
@@Oldskulgemini9991 swali la kitoto! Nimejuaje na wewe umejuaje kuwa ni ya Mungu? In short jambo lolote hupimwa kwa kipimo kinachokubalika na wote. Swali imani yako wewe huwa unaipima kwa kutumia nini? Biblia ndiyo kipimo pekee kinachokubalika ikiwa wewe unajitambua kama mkristo. Waliojikinai hubeza mwongozo wa biblia kwa kuwa imeandikwa "kuna wakati watayakataa mafundisho yenye uzima na kufuata mafundisho ya mashetani kwa kuwa wana masikio ya utafiti". Mathayo sura ya 24 na Yeremia 23:16-30 biblia imeeleza wazi manabii wa uongo walivyo. Kama ni suala la miujiza na utajiri wa vitu hicho siyo lengo kuu la Yesu kufa msalabani. Injili ya utajirisho na kuondoa laana ni dhaifu haiwezi kuwashawishi mabilionea duniani ambao wengi wao ni wapagani kumwamini Yesu.
@MozaSihha
@MozaSihha 3 күн бұрын
@stanleymanya438
@stanleymanya438 4 күн бұрын
Ukovizuri mr copypest.
@johnsonzuma4932
@johnsonzuma4932 4 күн бұрын
Wewe RC siyo harufu wewe ni mtanzania gani!!! MTU atowi arufu bali MTU ana towa Rehe juwa hilo...
@consolatamaunde9820
@consolatamaunde9820 2 күн бұрын
Kuwa mkuu wa mkoa sio ndo kuwa na macho ya rohoni izo habari za mchawi au sio mchawi waachie watu wa rohoni . Inawezekana umesimama kwenye madhabahu inayosababisha hayo yote yanatusumbua POLE
@gelarisjonathan7081
@gelarisjonathan7081 4 күн бұрын
Çhalamira mbona muhubiri mzuri
@mpjozzegalvanize4926
@mpjozzegalvanize4926 4 күн бұрын
Ana tone ya kuhubiri kabisa
@babajay3445
@babajay3445 4 күн бұрын
Hao wote uliowaona hapo hawakufuata wokovu Wana hali ngumu ya maisha iliyosababiswha na ccm wenyewe
@josephdimosso6380
@josephdimosso6380 3 күн бұрын
Hamna habari ya wokovu, hapo ni mafanikio na magonjwa iponyaji
@josephdimosso6380
@josephdimosso6380 3 күн бұрын
Hamna habari ya wokovu, hapo ni mafanikio na magonjwa iponyaji
@PrudencePaul-mr1ge
@PrudencePaul-mr1ge 3 күн бұрын
Hayajawafika siku yakiwafika mtaelewa
@calvinpaul2171
@calvinpaul2171 2 күн бұрын
Kwel kabxaa
@AGM19697
@AGM19697 Күн бұрын
Mimi sina hali ngumu ya maisha na nilienda kumtukuza Mungu mkeshani
@SmilingBeaver-rf6sf
@SmilingBeaver-rf6sf 4 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤
@user-ii1gz2it4c
@user-ii1gz2it4c 3 күн бұрын
🔥🔥🔥🔥🇧🇮🇧🇮
@MashakaMagesa
@MashakaMagesa 3 күн бұрын
Hiyo madhabahu ya Alise inatenda kama ukiamini tu mimi nimepokea chako ni chako mara 2 leo niko vizuri Namshukru mungu wa mbinguni
@matukiotvonline6366
@matukiotvonline6366 4 күн бұрын
Dunia hii muamini mungu tuu hata viongozi wa nchi huongoza kuwafanya raiya kuwa mazezeta daah😥😥😥😥
@Beauthoms
@Beauthoms 4 күн бұрын
Amini unachokiamini kila mtu anashida zake mzee ,ko usihukumu usichokijua
@emmadora7848
@emmadora7848 4 күн бұрын
We mwenyewe zezeta au hujajiua?
@joshuajofrey9832
@joshuajofrey9832 4 күн бұрын
Hapo wanaccm wanafikili ni namna gani watamtumia mwamposa kujinufaisha kisiasa
@hadijatwahadossa
@hadijatwahadossa 4 күн бұрын
Hakuna kitu hapo,,,,hata wakina Bushiri walikuwepo South Africa,,, wamekimbia wenyewe,,,wakina TB Joshua wako wapi....hayo ni matangazo kama yalivyo matangazo ya biashara,......wapeni mitaji.....sio mikopo
@jaromemwazembe6396
@jaromemwazembe6396 4 күн бұрын
Nakusihi Mwamposa fundisho watu kumwamini Kristo na kuacha dhambi hayo Mambo ya utajiri yatafuatana nao wakifundishwa ujuzi wa kufanya kazi. Fuata fundisho la Yesu Kristo pekee achana nabkuwafanya watu wajihisi wamefugwa kila mahali hapana wafundishe kuwa na Imani thabiti kwa Kristo isiyo na viambayanisho/visaidizi vya mafuta,maji ya upako etc.
@ChristopherNgubiagai
@ChristopherNgubiagai 4 күн бұрын
Undisha wewe labda niwitowako achakujitia wewe ndie unamjuamungu saaana fuatayako
@Leeeeeeee-96
@Leeeeeeee-96 2 күн бұрын
ushawai fwatilia mafundisho yake au unaota kijana kabla hujacomment fwatilia ibada za mwamposa ndo utajua anafundisha nini 😂😂😂😂
@ChristopherNgubiagai
@ChristopherNgubiagai 2 күн бұрын
@Leeeeeeee-96 biblia ni kubwa sana achakudharau anachofundisha mtumishi,ebu niambie kosamojakimaandiko lamwamposa,acheni ulimbuken wamapokeo yamadhehebu
@Leeeeeeee-96
@Leeeeeeee-96 2 күн бұрын
@@ChristopherNgubiagai mimi au wewe ndo limbukeni uko zama zipi bro
@ChristopherNgubiagai
@ChristopherNgubiagai 2 күн бұрын
@Leeeeeeee-96 we nimshamba wamaandiko unawaza kukemea dhambi kuish kifukara,mafundisho yakipumbavu yamekufanya uenautindio wakiroho.mnajiona mnajua mungu kumbe mmefungwa
@jesusnetworkministry
@jesusnetworkministry 4 күн бұрын
kweli njia ni pana sana
@Leeeeeeee-96
@Leeeeeeee-96 2 күн бұрын
bado hujasema mtu uliefika mbinguni 😂
@GeorgeChitemo-kt8sw
@GeorgeChitemo-kt8sw 4 күн бұрын
Muabudu rusifa mkubwa Sana mwamposa muuni Moto unamsubiria asipo tubu lazma ziwa la Moto na reg rusifa wake
@MaurenEmmanuely-nc9id
@MaurenEmmanuely-nc9id 4 күн бұрын
Ww umetubu nyoko ww
@ezekiakiwovele7794
@ezekiakiwovele7794 4 күн бұрын
Fungua na wew
@maryamtanzania9743
@maryamtanzania9743 4 күн бұрын
Hivi hawa watu huwa siwaelewi wenyewe yesu ndo wanamuita mngu au
@bonifasiemanueli21
@bonifasiemanueli21 4 күн бұрын
Kiukweli mwamposa Yuko upande wA shetani,
@janesuma-is4wc
@janesuma-is4wc Күн бұрын
Atubu kwani amekokesea nin
@karimjuma4019
@karimjuma4019 4 күн бұрын
Anafuata maneno ya mama uyu jamaa kweli chawa
@mwankunjatyson
@mwankunjatyson 3 күн бұрын
Lakini tusiwe wasikiaji tu tuwe tunasoma na Biblia itatutasaidia zaidi katika yote
@user-ym6hd7xh3g
@user-ym6hd7xh3g Күн бұрын
Palipo mzoga ndipo wakusanyikapo tai.
@AziziAlly-xc6nm
@AziziAlly-xc6nm 4 күн бұрын
Yani anaongea mafumbo ni siasa sana
@alexandernyambo7739
@alexandernyambo7739 Күн бұрын
RC UMESAHAU AU HAUJUI KUWA MAANDIKO YANATIMIA SOMA MATHAYO 7:13 "NJIA IENDAYO UTOTEVUNI NI PANA, NAO NI WENGI WAIPITATOOO.
@AziziAlly-xc6nm
@AziziAlly-xc6nm 4 күн бұрын
MWAMPOSA AMEANZA KUINGIZA SIASA KWENYE DINI
@michaelmlugu5654
@michaelmlugu5654 4 күн бұрын
Akuombee wewe uwe waziri aombee na wezi wa serikali waache kuiba aiombee serikali watu wasiojulikana wapatikane na waache kuwatesa watu na kuwaua mkuu una fungu hapo
@isaackambofi1241
@isaackambofi1241 4 күн бұрын
We chiz
@Leeeeeeee-96
@Leeeeeeee-96 2 күн бұрын
pambana na hali yako
@richkaja3317
@richkaja3317 4 күн бұрын
Mwaposa ni mungu wa pili wa dar es salaam uamini usiamini
@mwawekomiuda9779
@mwawekomiuda9779 4 күн бұрын
Yaani mtu unamfananisha na M'mungu kweli umefilisika.
@richardmisogalya9499
@richardmisogalya9499 4 күн бұрын
Mbona watu wengi hivyo???
@PrinceCharlz-vv1zs
@PrinceCharlz-vv1zs 4 күн бұрын
waislam wanakasirik sabab Mungu wetu anafanya kuliko kawaida
@omytifa6403
@omytifa6403 4 күн бұрын
Atukasir nyinyi mna dini yetu na sis tuna dini yetu
@user-ts9lp4rm9j
@user-ts9lp4rm9j 4 күн бұрын
Cha ajabu hapo kwa MWAMPOSA waislam n wengi kuliko wenye dini yao na wanashida balaa
@user-cq4lp5rv1l
@user-cq4lp5rv1l 4 күн бұрын
Mungu wako sisi waislam hatuna mungu
@omytifa6403
@omytifa6403 4 күн бұрын
@@user-cq4lp5rv1l ww sio muislam km una MUNGU
@Leeeeeeee-96
@Leeeeeeee-96 2 күн бұрын
@@omytifa6403wenzio wamejaa kwa mwampisa umebaki wewe
@user-lt1bi5nr1x
@user-lt1bi5nr1x 4 күн бұрын
Haya mambo haya hatutoboi hata miaka 100. Watu wamejikita kwenye hamna kuliko kufanya kazi eti mpo kwenye maombi. Fanya kazi omba mungu hata pekeyako atakusikia tu.
@edsonnelson4464
@edsonnelson4464 3 күн бұрын
Kumbuka hapo ndiyo kulikuwa na kiwanda cha nyama Tanganyika Packers, l
@AGM19697
@AGM19697 Күн бұрын
Wameamua wenyewe wakiwa na akili timamu, wewe unaumia nn?
@barakalameck7342
@barakalameck7342 4 күн бұрын
Mungu awasaidie watu wake wanaangamia sana kwakuamini manabii hawa..ila mungu hadhihakiwi nawaambia kua mungu atawasambalatisha mmoja baada ya mwingine ole wenu acheni kucheza na mungu.
@Nick16697
@Nick16697 4 күн бұрын
Omba Mungu akupe rehema ya kumjua yeye na taratibu zake
@barakalameck7342
@barakalameck7342 4 күн бұрын
​@@Nick16697Tunamambo mengi sana yakumwomba mungu, ikiwemo kuombea taifa nasio kuomba kumjua mtu zaidi chakukushauli nikwamba umwombe mungu kumjua yeye zaidi ndo utajua maana yayote hayo unayoyaona duniani unaishi kwaamani sana nakumwamini yeye siyokuamini mitume na manabii??
@Leeeeeeee-96
@Leeeeeeee-96 2 күн бұрын
mungu ndie anaehukumu wewe umepata wapi ujasiri wa kutoa hukumu kua makini isije akarudi kwako 😊
@janesuma-is4wc
@janesuma-is4wc Күн бұрын
Ujinga unakusumbua msiwe mna musisha Mungu kwenye upumbavu wa akili zenu
@user-sw6ig5hh3j
@user-sw6ig5hh3j 2 күн бұрын
ᴷʷᵉˡⁱ
@sophiakimaro5174
@sophiakimaro5174 3 күн бұрын
Kura za 2025 hizo.😂😂
@erickgeneration
@erickgeneration 4 күн бұрын
Chalamila anajua sana kuongea
Essence of Worship ft. Henrick Mruma | There is more.
9:04
Essence Of Worship Ministries
Рет қаралды 21 М.
WHO LAUGHS LAST LAUGHS BEST 😎 #comedy
00:18
HaHaWhat
Рет қаралды 17 МЛН
아이스크림으로 체감되는 요즘 물가
00:16
진영민yeongmin
Рет қаралды 39 МЛН
MEGA BOXES ARE BACK!!!
08:53
Brawl Stars
Рет қаралды 36 МЛН
Janet Otieno - Ni Wewe (Official Video)
3:42
Janet Otieno
Рет қаралды 36 М.
TANZANIA WAUNGA MKONO MAANDAMANO YANAYOENDELEA KENYA
7:00
Lasalo Comedian
Рет қаралды 336 М.
Shiro Ann -NDUKANANDIGANIRIE
5:36
Shiro Ann Official
Рет қаралды 71 М.
Мгновенная карма 😱
0:10
Story-Bytes
Рет қаралды 6 МЛН
Choose a car for Mom ♥️ #shorts #trending #viral #cars
0:17
Fastlane
Рет қаралды 10 МЛН
Моя супер находка для велосипеда #находки #wildberries #топ
0:14
Попрошайка на BMW😅 #shorts
0:42
PANKOV
Рет қаралды 4,6 МЛН
ТЮНИНГ РУЛЯ НА СТАРОЙ BMW😱#истории #тюнинг #bmw
0:46
АРХИВ ИСТОРИЙ
Рет қаралды 664 М.