OOH MAKUBWA YAIBUKA DR.SULLE NA SWALA LA PI DIDDY//AWATAJA VIONGOZI WAKUBWA WANAOHUSIKA/ATAKUFA

  Рет қаралды 197,828

ISLAAH ISLAMIC  TV

ISLAAH ISLAMIC TV

Күн бұрын

Пікірлер: 464
@AdatusMashalla
@AdatusMashalla Ай бұрын
Big up doctor, ingawa imani tofauti, MUNGU NI MMOJA
@nakundwamkubwe7823
@nakundwamkubwe7823 Ай бұрын
Alhamdulilah nimerizika na hiki kidogo Allah alicho nipa. Bora kidogo cha halali kuliko kikubwa cha haramu. Namuomba Allah aendelee kunipa nasfi ya kukinai Amiin.
@abubakaliyahaya2968
@abubakaliyahaya2968 Ай бұрын
Allah atukubali sote inshallah
@ZimbaBoy-m7b
@ZimbaBoy-m7b Ай бұрын
Mungu akupe nguvu zaidi kuipinga nguvu hii ya laana kubwa Dr Sule...Mimi ni mkristo na Mungu akupe nguvu zaidi na akubariki sana.
@FestoAndrea-t9l
@FestoAndrea-t9l Ай бұрын
Safi sana shee mm mkristo lakini kwahili nipe mkono maana nipo pamoja nawewe mungu atutangulie
@elinemakundi5011
@elinemakundi5011 Ай бұрын
Mimi ni m kristo cpingani kbs na ulichosema, mimi nawapenda sana ndugu zangu nyie sio wanafki mkisema jambo la Mungu mnanyooka sana tena mnasema kwa kumanisha Mungu akubariki sana nimekuolewaw sana
@aishabrondi236
@aishabrondi236 Ай бұрын
❤❤mungu akuongoze amiin
@abubakaliyahaya2968
@abubakaliyahaya2968 Ай бұрын
Karibu ktk dini iliyonyooka inshaallah
@RahimaMct-ik8mr
@RahimaMct-ik8mr Ай бұрын
Mashallah sivibaya kumsifu alio Fanya vizur akuongoze mungu zaid
@hamisiwadesa
@hamisiwadesa Ай бұрын
Mungu akuongoze
@Abdallah-w2h
@Abdallah-w2h Ай бұрын
Come in Islam before death 🙏
@Theophile-xk2ym
@Theophile-xk2ym Ай бұрын
Ubarikiwe dr Sulle, tunakupenda sana, japo mimi ni mkristo. ubarikiwe sana kweli
@Is-hakaRuweikh-j1r
@Is-hakaRuweikh-j1r 24 күн бұрын
Mashaallah mungu akujalie maisha maref na afya njema sh wetu duktr sule
@sangokipozi4611
@sangokipozi4611 19 күн бұрын
Sub han Allah! Jazaak Allahul kheir sheikh. Allah atufanyie wepesi
@masoudnzowa4608
@masoudnzowa4608 Ай бұрын
alhamdulillahi namshukur ALLAH nashukur kwa kidogo kuliko kikubwa cha mashart
@nyauclassictv805
@nyauclassictv805 Ай бұрын
Mashalah ujumbe mzuri lakini tunaofatiliya mikono ya Shekh sule niwajuwe hapa.
@AkibaruRamadhani
@AkibaruRamadhani Ай бұрын
Wallwah quruan tuipende maana intuokoa najivunia kuwa isilamiki allwahuma amina
@NasraNasraiddy-cl6qp
@NasraNasraiddy-cl6qp Ай бұрын
Allah akuongezee umri mrefu Dr, inshaallah🙏
@abishafiqabishafiq6065
@abishafiqabishafiq6065 Ай бұрын
ALLAH AKULINDE NA KILA SHARI NA AKUJAALIE NGUVU YA KUTANGAZA DINI INSHA'ALLAH 🤲
@ramadhanihudhaifani4376
@ramadhanihudhaifani4376 Ай бұрын
Islam,my RELIGION! Alhamdullilah...! 🙏❤
@myself4128
@myself4128 Ай бұрын
Ushoga Umeanzia Nchinza kiarabu huko Arabuni na kwa Taarifa yako mikoa yote ya Pwani ambako Uislamu umetawala ndio kuna mashoga wengi zaidi chukulia Mfano Zanzibar na hata Rais wetu hatujui kama ni mzima!!!
@kassimyusuph9470
@kassimyusuph9470 Ай бұрын
Ashukuliwe mungu tupate watu,wengi zaidi watuelimishe zaid inshallah 'NAMINI NENO,LIMEWAFIKIA
@AnnaJulius-r5k
@AnnaJulius-r5k Ай бұрын
Hongera shehe Mungu akuongoze endelea kukemea haya mambo mabaya ya Usodoma na Gomora ubarikiwe sana
@khalsasalim7930
@khalsasalim7930 Ай бұрын
Kwani huyu mungu si aizime tu dunia iishe anajipa stress za nn
@Lulualshagri
@Lulualshagri Ай бұрын
SEMA astghfirullah​@@khalsasalim7930
@Lulualshagri
@Lulualshagri Ай бұрын
​@@khalsasalim7930Allah Hana stress na pia hafananishwi na kitu chochote unapoihusisha stress ni Kama vile umemfananisha Allah na binaadamu
@RahimaMct-ik8mr
@RahimaMct-ik8mr Ай бұрын
​@@khalsasalim7930 Hataki ubinafsa kiwa yeye mumin hakufunzwa ajipambanie yeye kaimbiwa na wenziwe
@hidayamwinyi974
@hidayamwinyi974 Ай бұрын
​@@khalsasalim7930halafu mbona Una jina la ki islam halafu unaongea maneno ya kufru hivi daah Allah akuongoze kumbuka kuwa ulicho kiandika utakikuta Kesho kwa Allah
@marylauwo
@marylauwo 19 күн бұрын
Hongera sana endelea kutusaidia
@abuunajat4450
@abuunajat4450 Ай бұрын
Assalamu alaykum warahmatullahi wabarakatuh mashaallah sheikh sule punguza ukali wa maneno katika kutaja viungo vya mwili.
@laylayl5166
@laylayl5166 Ай бұрын
Mungu akulinde sheikh wetu bora niishi maskini nakidogo kuliko kikubwa chenye madhara
@OscarlucasKagombogombo
@OscarlucasKagombogombo Ай бұрын
Mm nmkrsto lkn nasema Alhamdulilah Dr sule namfatilia sana
@RahmaIddi-s2s
@RahmaIddi-s2s Ай бұрын
Allah akuzidishie umri mwema... tunakupenda kwa ajili ya Allah 🤲
@AdeodatusRuzamuka
@AdeodatusRuzamuka Ай бұрын
Docter sule mungu aendelee kukupa ujasiri wakuzungumza ukweli.
@masongatz
@masongatz 24 күн бұрын
Nimemuelewa Sheikh Mungu atunusuru
@SaumuMtanga
@SaumuMtanga 10 күн бұрын
Mungu akusimamie na akulinde maana vita ni kubwa
@berthasindwani9389
@berthasindwani9389 Ай бұрын
Mungu akubariki sana shekhe ee mungu ibadirishe dunia 😢
@CKMO
@CKMO Ай бұрын
Ahsante doctor sule mola atuhifadhi pamoja na vizazi vyetu AMIN
@dorothysamwel2648
@dorothysamwel2648 Ай бұрын
Ubarikiwe Dr. Hiyo sio kwa uisilamu tu hata kwa ukristo ni dhambi
@خليفهالرحبي-ف4م
@خليفهالرحبي-ف4م Ай бұрын
Dini ya Uislaam ninampenda kwenye kusema ukweli,, Asante Sheikh Dr. Sule
@aishabrondi236
@aishabrondi236 Ай бұрын
❤dr sule mimi nakupenda kwaajili ya allhah anae kupinga nae nimwanakundi wa diddy
@ZuwainaAbbyz
@ZuwainaAbbyz Ай бұрын
Allah akulinde sheikh letu
@KelvinMwanzia-hh4rh
@KelvinMwanzia-hh4rh Ай бұрын
Dr sulle nakuomba tafadhali njoo Kenya tanganza please njooo tunakupenda sana🇰🇪🇰🇪
@KassimAlly-xp4dz
@KassimAlly-xp4dz Ай бұрын
Lakini hajui kizungu
@KelvinMwanzia-hh4rh
@KelvinMwanzia-hh4rh Ай бұрын
Kama wewe
@OmarHamisi-p1p
@OmarHamisi-p1p Ай бұрын
​@@KassimAlly-xp4dzkwa hiyo kwa kua hajui kizungu akuache uendelee kugongwa hadi ajue kizungu? 😂
@Kingstonbagamoyo
@Kingstonbagamoyo Ай бұрын
Nakukubali dk sule,,,,ooh kumbe wapo mamaalim,allah akuongizi wee ndio shekh wa hip hop
@KalsumAbuya-l3v
@KalsumAbuya-l3v Ай бұрын
Allah atunusuru kwa kawmilut yarabi
@aminahassani-jh5rp
@aminahassani-jh5rp Ай бұрын
Allah akbar mola tuepushe na watoto wetu wa kiume
@davisadawson14
@davisadawson14 Ай бұрын
Mimi ni mkirusto,kwa hili sitaki kuleta kabsa ubishi wa kidini hapa,uko sahihi umesema kweli lazima ukweli tukubali,Dunia Iko mwishoni kabsa so hayo hayana budi kuwepo
@bonifasiemanueli21
@bonifasiemanueli21 Ай бұрын
Hongera😅
@Omaralawy-x6e
@Omaralawy-x6e Ай бұрын
Njoo kwenye uislam
@bonifasiemanueli21
@bonifasiemanueli21 Ай бұрын
@@Omaralawy-x6e kwenye uislam Ndo kuna Nini kwa Yesu Ndo habali ya mjini
@اللهأكبر-ذ7ث3س
@اللهأكبر-ذ7ث3س Ай бұрын
​@@bonifasiemanueli21unajua kitu ambacho I think hujakigundua ni kua waislam na wakiristo tunamiini Mungu huyo huyo alieteremsha taurat, injili, zaburi na Quran na ndio Mana wahadhiri wanatumia bibilia na Quran kwenye midahalo mfano inawekwa mada Mungu hana mwana wahadhiri wanaijadili ikisha kila mfuasi anapima maandiko anafata anachokiamini
@YoungThomas-l8r
@YoungThomas-l8r Ай бұрын
Mungu Akulipe zaidi
@HadijaJoseph-d1g
@HadijaJoseph-d1g Ай бұрын
Mungu akubaliki sana shekh
@coffermedia
@coffermedia Ай бұрын
Asante mwalimu Sule.
@hassangwerenya7827
@hassangwerenya7827 Ай бұрын
Sikiliza mpk mwsho usijiropokee tu kwa comment..Allah akuzidishie sheikh
@juniormembe688
@juniormembe688 Ай бұрын
Maa sha Allah, tabaraakallah 🙌
@HashimuKarata
@HashimuKarata Ай бұрын
Allah akuweke dokter sule
@MariamngakondaNgakonda
@MariamngakondaNgakonda Ай бұрын
Mungu atunusuru kwakweriii maana sio rahisi kuvuka kwauwezo wetu ulindwe na Mungu doctor sulle
@OscarJr-yu9so
@OscarJr-yu9so Ай бұрын
Allah akubaliki wewe hutafuni maneno nakupenda sana kwajili ya dini lakin uliomba miaka midogo Kwa mungu
@Aminah-i9p
@Aminah-i9p Ай бұрын
Hali inazidi kuwa mbaya fanyeni dua kumuomba mungu awaondoe hawa mashoga,watazidi kuaribu jamii
@bonintajiri3958
@bonintajiri3958 Ай бұрын
Asante kwa kukemea mabaya
@OmAn-cz8kt
@OmAn-cz8kt Ай бұрын
Nikweli kabisa allahu akulipe❤❤❤
@MuzafarSaid-k8w
@MuzafarSaid-k8w Ай бұрын
SHUKRAN DOCTA UMEELEWEKA SANA
@RafiikissuMrkissu-ic4le
@RafiikissuMrkissu-ic4le Ай бұрын
Gonga like kisha sema chochote kuhusu Dr. Sule
@jfnat1891
@jfnat1891 Ай бұрын
Well done Dic, hongera
@RastaFaston
@RastaFaston Ай бұрын
Miminimwislamu nasema DR sulle nikibokoyao asantesana
@jimlinekimani2326
@jimlinekimani2326 Ай бұрын
Diamond, Burna boy, lukamba pia kaliwa Nyuma na P Diddy ndio awe tajiri number one duniani kwote
@JumaSalumu-x9j
@JumaSalumu-x9j Ай бұрын
Mwenyezimungu akupe umri mrefu kulih aki laukana mullah
@mwakajemngumi8436
@mwakajemngumi8436 Ай бұрын
Mungu akupe umri wenye manufaa.
@SalamaCharo-q6k
@SalamaCharo-q6k Ай бұрын
Hpo ni kutubu tu mungu atusamehe ila kwa hili😢😢😢😢
@WazirMwenda
@WazirMwenda Ай бұрын
ukatae ukubali din duniani ni moja tu! isilamic zingine ngonjera tu!
@del-mohaa7527
@del-mohaa7527 Ай бұрын
Sheikh shafi ashamaliza mchezo msikilize sheikh shafi kaelimisha vizuri sanaa na watu wamemuelewa vizuri sanaa
@LumolaSteven
@LumolaSteven Ай бұрын
Tuwekee link na sisi tuone
@josephkitheka8204
@josephkitheka8204 Ай бұрын
Mimi mkristo lakini nakuunga mkono kwa hili maana kusema kweli ni janga kubwa kwa hii dunia. Mungu ni mmoja shehe
@NeyMrina
@NeyMrina Ай бұрын
Yesu ndiye njia na kweli na uzima, mtu haendi mbinguni ila kwa njia ya Yesu. OKOKA LEO UWE SALAMA
@zainabumartin9520
@zainabumartin9520 Ай бұрын
Onahili nalo linalopoka tu hujui anachokiogerea
@BilalMuhammad-jt6sq
@BilalMuhammad-jt6sq Ай бұрын
​@zainabujinga ajitambuimartin9520
@BilalMuhammad-jt6sq
@BilalMuhammad-jt6sq Ай бұрын
Mpumbavu
@Allykelemba-u6x
@Allykelemba-u6x Ай бұрын
Ndio wenyewe haooo
@liwazaomary106
@liwazaomary106 Ай бұрын
Ya Allah nusuru vizazi vyetu inshaallah
@KhaleedKhasimu-xs5rv
@KhaleedKhasimu-xs5rv Ай бұрын
ALLAH AKUZIDISHIE HEKIMA WEREVU
@خليفهالرحبي-ف4م
@خليفهالرحبي-ف4م Ай бұрын
SubhanaAllah
@Saum-o1w
@Saum-o1w Ай бұрын
Sahihi Allah atusimamie na vizazi vyetu wallah
@RizikiMakame-ec1jv
@RizikiMakame-ec1jv Ай бұрын
mashallah allah akubarik
@HamisimohamediiddyHamisimohame
@HamisimohamediiddyHamisimohame Ай бұрын
Shekh dj sule ujena morogoro vijijini tafadhal
@ZamzamaJunior
@ZamzamaJunior Ай бұрын
Namkubali sana Dr sule
@DaudMasanja-h5q
@DaudMasanja-h5q Ай бұрын
Shehee hongelaa sana
@davidlewis4044
@davidlewis4044 Ай бұрын
Mungu uliyeziumba Mbingu na nchi tunakuomba tusaidie, hili tatizo ni kubwa sana
@makkawi4294
@makkawi4294 Ай бұрын
Subhannah Allah Allah akbar 😢😢😢
@RamadhanAlly-qg9hq
@RamadhanAlly-qg9hq Ай бұрын
Mimi nakukubaliii sanaaaaa❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@MohdMmaka-g2u
@MohdMmaka-g2u Ай бұрын
God is with you❤
@YohanaPeter-r1y
@YohanaPeter-r1y Ай бұрын
Mungu shusha mafuliko 2fewote dunia imealibika ushoga kutekwa bola mafuliko yajae 2fe wote
@TedyMwaipungu
@TedyMwaipungu Ай бұрын
Blessed 🙋🙏👋
@RaibebeBebe
@RaibebeBebe Ай бұрын
Allah atupe mwisho mwema
@hamadsaburi3569
@hamadsaburi3569 Ай бұрын
MAA shaa allah
@lindakapongo8421
@lindakapongo8421 Ай бұрын
MweñyeziMUNGU akubariki nikuelewe
@KimenyaDéogratias-o3w
@KimenyaDéogratias-o3w 22 күн бұрын
Bhimam wamwezi mungu wewe pia kwenye neno la p. Didy
@inearclassictz1233
@inearclassictz1233 Ай бұрын
Unasema ukweli kabisa Usodoma na Gomora upo wazi wazi
@JumaMtuli-m5n
@JumaMtuli-m5n Ай бұрын
Ya Allah nusra Yako TU maana SI kwa uwezo wetu😢😢
@MwatimaHaji-g1g
@MwatimaHaji-g1g Ай бұрын
ALL A Atupe Mwisho Mwema
@fredrickchisanyo6663
@fredrickchisanyo6663 Ай бұрын
Mjomba sure hauna mipango😢😢 hujui dini,,, Bali ni mwanasiasa wa kidini
@noorbazaar9063
@noorbazaar9063 Ай бұрын
Uko kundi gani?
@professorimmah
@professorimmah Ай бұрын
Burns boy wewe
@LatifaCharles
@LatifaCharles Ай бұрын
Ww mke wa pi didi sio bure
@JasminHassan-j4o
@JasminHassan-j4o Ай бұрын
Mmh wew
@vivinenibitanga8529
@vivinenibitanga8529 Ай бұрын
Nawewe umeguswa😂shoga mkubwa umbwa wew😂 sheikh atawaumbua tu mpaka Allah arudhi
@Riamaproduct
@Riamaproduct Ай бұрын
Kweli kabisa kama humkubali D. sule basi ww ni mmoja wa rafiki wa p didy mwenye mambo ya kupididiwa na kupididi
@OmarMSONDE
@OmarMSONDE Ай бұрын
Allah akilipe kher inshallah..
@Edka-kr5ds
@Edka-kr5ds Ай бұрын
Dr Sule umenyooka Kwa hili huyu papa ni WA hovyo kabisa,ni bora kuoa mke zaidi ya mmoja kuliko huu upuuzi wa huyu papa wakala wa kuzimu
@SophiaSimba-uq8ct
@SophiaSimba-uq8ct Ай бұрын
Kwan sule mungu mtu mpk kubashiri kifo
@KelvinMwanzia-hh4rh
@KelvinMwanzia-hh4rh Ай бұрын
Dr sulle tunataka number ya ukweli tuko Kenya ❤
@Hamismoe
@Hamismoe Ай бұрын
Allah anusuru vizazi vyetu
@SalmanMughal-lq5lt
@SalmanMughal-lq5lt Ай бұрын
Aamina
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw Ай бұрын
​@@SalmanMughal-lq5ltamiin
@jumahamad3723
@jumahamad3723 Ай бұрын
Yarabbi tunusuru na majanga haya yaliopo dunia imeharubiwa na masheitwani
@JasminHassan-j4o
@JasminHassan-j4o Ай бұрын
Allahuma aamin atulinde Sisi pa1 na vizaz vyetu
@OmaryRashd
@OmaryRashd Ай бұрын
Noma
@amanimwambipile6768
@amanimwambipile6768 Ай бұрын
Nakuelewa sana
@sebastiangodwin4021
@sebastiangodwin4021 Ай бұрын
Dr.Sulle unastahili make una maarifa mengi na tunajifunza saan Toka kwako
@dorothysamwel2648
@dorothysamwel2648 Ай бұрын
Akifanyacho Dr ni kuelimisha dunia wewe unaeanza kuleta mambo ya dini ya kweli na ya uongo yanatoka wapi? Msikilize vizuri Dr upone.
@jaffarmohamed6859
@jaffarmohamed6859 Ай бұрын
Mashallah ❤❤
@DoctorlewangaRehema
@DoctorlewangaRehema 20 күн бұрын
Waarab jawayoboi😂😂😂kwa hilo wafiraji wakubwa😅
@josephkitheka8204
@josephkitheka8204 Ай бұрын
Dunia imefika mwisho
@EvaristoMwasenga
@EvaristoMwasenga Ай бұрын
MDA MWINGINE UNAONGEAGA YAMANA LEO UMENENA HUPENDEREI DIN MOJA
@MoinaminaAmina-qh1jb
@MoinaminaAmina-qh1jb Ай бұрын
Hâta vatikani pape anaibariki ndoa ya njisia
@Agentoftchauta
@Agentoftchauta Ай бұрын
Kweri unacho sema ni kweri kabisa kwasababu mpaka bíblia hinasema mbeleni shetani atakuwa na nguvu na ndo hivyo nyakati zime Wadia😥😭😭😭😭jamani tusarini sana
@nancybungei9113
@nancybungei9113 Ай бұрын
Unaongea ukweli mkuuu ,nimesubscribe mbio sana 🇰🇪
@HusseinHassan-p7g
@HusseinHassan-p7g Ай бұрын
Uyo anaonekana amekiuka masharti yao kwasababu ao marekani ndio wanaonekana wanapigania ushoga duniani sasa kwanini wamkamate au wanalitangaza zaidi jambo ilo laushoga zaidi kupitia ili lasasa tuwe makini awa jamaa niwajanja
@JUMAACHIRIBA
@JUMAACHIRIBA Ай бұрын
Allahu akbar
PROPHET IPM AMWAGA  UCHAFU WOTE WA DIDDY/ VIJANA ACHENI TAMAA
24:57
ТВОИ РОДИТЕЛИ И ЧЕЛОВЕК ПАУК 😂#shorts
00:59
BATEK_OFFICIAL
Рет қаралды 6 МЛН
ТЮРЕМЩИК В БОКСЕ! #shorts
00:58
HARD_MMA
Рет қаралды 2,7 МЛН
Муж внезапно вернулся домой @Oscar_elteacher
00:43
История одного вокалиста
Рет қаралды 7 МЛН
UTAPENDA MAWAIDHA YA DK SULE AKIWA MSIKITINI
49:17
Mbengo Tv
Рет қаралды 44 М.