MCHUNGAJI ALIVYO KABWA KOO NA DK SULLE, VURUGU ZA HOJA ZALINDIMA KWENYE MDAALO

  Рет қаралды 119,874

Mbengo Tv

Mbengo Tv

Күн бұрын

Пікірлер: 361
@JohnOuya-w7j
@JohnOuya-w7j 3 ай бұрын
Namshukuru mwenyezi mungu kwa neema ya kuwa mkristo❤❤❤
@SalimDahungamshahara
@SalimDahungamshahara 2 ай бұрын
Kristo ni jina la yesu wala sio dini
@EliusEliusmkarejames
@EliusEliusmkarejames Ай бұрын
Acha nimushukuru Mungu kwakua mkiristo
@IbrahimsolicitorIbrahimsolicit
@IbrahimsolicitorIbrahimsolicit 6 күн бұрын
Umekula hasara dunian kw hakika ikiwa wakristo makundi kw makund wanaslim
@taifaramadhan8684
@taifaramadhan8684 7 ай бұрын
Alhamdulilah kwa Neema hii ya Uislamu.
@RajabuSefu-u3f
@RajabuSefu-u3f 8 ай бұрын
Mashaalllah dr sule❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@LuundomchimbwajosueMchimbwa
@LuundomchimbwajosueMchimbwa Ай бұрын
Asante MCH .NDACHA kwa mafindisho. Pia MATENDO YA MITUME 20:28
@DanielBihuri-d7e
@DanielBihuri-d7e Ай бұрын
BWANA YESU ASIFIWE < doctor sule < hizo abari za mtini unazozijibu haviendani kabisa na unavyosema kwakweli waislam hamtauona ufalme maana ninyi ni wa ulimwengu huu .
@AshaNtiruhungwa
@AshaNtiruhungwa 3 ай бұрын
Subhanallah ila Hawa wakristo. Allah Awaongoze lnshaallah
@mbenamdudu7856
@mbenamdudu7856 7 ай бұрын
Mashaa allah Dr sule mwalimu mungu akuweke sana
@BonfaceWawire-k6p
@BonfaceWawire-k6p 7 ай бұрын
nikweli ndio azidi kufumbua ujanja wawaislamu na majini yao
@SaidChilaza
@SaidChilaza 3 ай бұрын
​@@BonfaceWawire-k6p karbu katka himaya ya majini
@BenardKivuva-t1w
@BenardKivuva-t1w 5 ай бұрын
Asanteni sana waislam pamoja na wakristo kazi jema kwa kuwakuza waislam pamoja na wakristo
@HamzaAkilimali
@HamzaAkilimali 4 ай бұрын
Dr. SULE, Hilo Jibu lilikuwa rahisi:-Ungemsomea 7:55 MATENDO YA MITUME: Yesu akiwa huko mbinguni, upande wa kulia wa Mungu, anaitwa:-"Mwana wa Adamu" au Soma 7:24 MATHAYO Angesikia kauli ya Yesu😂😂😂(Siyo Mungu wala Mwana wa Mungu) *JAMANI WAKRISTO, YESU SIYO MUNGU, NA SI MWANA WA MUNGU. BALI NI NABII (MTUME Aliyetumwa kwa Wana wa Israel tu)
@agripinaagape1136
@agripinaagape1136 7 ай бұрын
Yesu ni mungu, kutokana na midahalo yote waislamu na mwalimu ndacha wamefanya popote na kokote wamekuwa wakristo hawajawai geuka kuwa waislamu bali waislamu wengiii wameokoka na kuongeza kanisa la mungu, tunaona vile wale wakuu wa wakiislamu wanavyo babaika kujibu maswali nahata kugeuza mada, tafadhali tumng'ang'anie mungu wa kweli, ndacha kazi nzuri
@ismailmakumbi-t1o
@ismailmakumbi-t1o 7 ай бұрын
Yesu nae anamungu wake na hamsemi 😢😢
@IddiKimolo-uz8mx
@IddiKimolo-uz8mx 6 ай бұрын
umepotea kwl
@AdamMbwana-p6n
@AdamMbwana-p6n 3 ай бұрын
Sasa mungu yupo mbingun halfu arud mungu anazaliwa hemu kuna mambo jiulize wee mwenyew kwanz
@dulividuli5237
@dulividuli5237 23 күн бұрын
Mungu anatahiriwa?
@yasluhumilemohammed7461
@yasluhumilemohammed7461 5 ай бұрын
Swali ni wapi yesu kasema mwenyew yeye ni mungu jamaa wameshindwa hawa wakristo
@LEMIJAMLAHAGWA
@LEMIJAMLAHAGWA Ай бұрын
Yesu atakapo rudi ndiye atakaye hukumu kwahaki ninyi nibinadamu tu mwenyezi Mungu haturuhusu kubishana nawa sio amini
@JohnOuya-w7j
@JohnOuya-w7j 3 ай бұрын
Viongozi wa kiislamu wanashindwa kujibu maswali ya wakristo,bwana yesu asifiwe wakristo,tunashukuru mungu maana tunaona waislamu wanaokoka,😅😅😅🙌
@DoctorBondia
@DoctorBondia 6 ай бұрын
Maashallah jazakallahu Dr Sule
@salimchimwaga8384
@salimchimwaga8384 7 ай бұрын
wakrist sijui wanatatizo gani vichwani,hivi Yesu akiwa Mungu aliyemtuma Yesu atakuwa nani??
@taifaramadhan8684
@taifaramadhan8684 7 ай бұрын
ndo hapo sasa
@BonfaceWawire-k6p
@BonfaceWawire-k6p 6 ай бұрын
@@salimchimwaga8384 wewwe aja kuelewa kimskitimsikiti kakangu
@h.alshidhani8971
@h.alshidhani8971 6 ай бұрын
Hawa makafiri nikuwaacha tu
@BonfaceWawire-k6p
@BonfaceWawire-k6p 6 ай бұрын
@@salimchimwaga8384 nyinyi mukaaje kusoma bibilia na kuelewa kimsikitimiskiti bro , mngekuwa na roho wa mungu aliye hai mungeelewa vizuri huyu yesu
@TonaAlbert
@TonaAlbert 6 ай бұрын
Bibiliya sio yakwenu muyiaciye wakristo
@benardnjoka5359
@benardnjoka5359 7 ай бұрын
Onyango is a good teacher too
@OmaryKikwembe-v1s
@OmaryKikwembe-v1s 3 ай бұрын
Shida nacha hana uwelewa kukifanya na kiwa tofauti kua mungu na kujifanya mungu
@HuzaimaOmar-p3z
@HuzaimaOmar-p3z 5 ай бұрын
Yaa Allah wahifadhi viongozi wote wa dini na waislam wote amin
@ChiefRamso-k4d
@ChiefRamso-k4d 19 күн бұрын
Doctor Sule endelea kufundisha watakuelewa tu Insha Alla
@LEMIJAMLAHAGWA
@LEMIJAMLAHAGWA Ай бұрын
Waislamu Mungu awasamehe Sana
@RehemaRehemaJosephbaraka
@RehemaRehemaJosephbaraka Ай бұрын
wa kristo hakuna wa kutushinda hata shetani analijua hilo 😂😂😂😂
@jacksonngusi4122
@jacksonngusi4122 8 ай бұрын
14 Naye Neno alifanyika mwili, akakaa kwetu; nasi tukauona utukufu wake, utukufu kama wa Mwana pekee atokaye kwa Baba; amejaa neema na kweli. Yohana 1:14 Sure anakubali kuwa neno ni Mungu anakubali pasipo yeye kujua
@SAMUELMUTHUKA
@SAMUELMUTHUKA 7 ай бұрын
Nashindwa,,bona hampatii sure hili andiko,,,how I wish wataona hii comment yako
@ChikuMmanywa-ut8oz
@ChikuMmanywa-ut8oz 7 ай бұрын
Jamani kama mmetiwa upofu,unasema akakaa kwetu tukaona utukufu wake,maneno ya Mungu hayo! Sasa Mungu yesu hapo yupo Kwa nafasi gani? Eh kila mtu aabudu anachokiabudu
@HusseiniSemvua
@HusseiniSemvua 6 ай бұрын
Huyo neno katoka kwa baba hatukatai ila sisi tunamtaka huyo baba ndiye Mungu
@AllyMsafiri-kw2ne
@AllyMsafiri-kw2ne 8 ай бұрын
Sule kiboko hasa pia nimtamu hata kumsikiliza
@Nily-kz3db
@Nily-kz3db 7 ай бұрын
Inna lillah Wainna Lillah,Tatzo kubwa Yesu kuitwa mungu,Paulo Kaitwa mungu Naee Mungu wenu wakristo,Yaan Umeulzwa mungu wa Yesu n Mungu wetu,fahamun Yesu ana mungu wake
@AshaNtiruhungwa
@AshaNtiruhungwa 3 ай бұрын
Alhamdulillah namshukuru Allah subhanah wataala, kwa kunipa Ne'ema yakuzaliwa ktk Uisilamu. Alhamdulillah
@BertinBahati-p5v
@BertinBahati-p5v 4 ай бұрын
Apewe sifa mungu wetu baba wa bwana wetu yesu kristo
@AyubuIkaku
@AyubuIkaku 6 ай бұрын
Yesu sio Mungu, Mungu gani anauwawa na watu msalabani kwa mujibu wa biblia. Je Mungu anashindwaje akili na wanadamu mpaka wamuue?
@alfanfddgfd1662
@alfanfddgfd1662 7 ай бұрын
Ndacha huna ata akili eti yesu ni Mungu tokea lini hiyo
@TonaAlbert
@TonaAlbert 6 ай бұрын
Musipo kuwa na loho mitakatifu hamujaelewa😂😂
@MeshackRutto-j3m
@MeshackRutto-j3m Ай бұрын
​@@TonaAlbertuislamu ni dini ya majini.Majini watapata aje roho mtakatifu
@HgJjj-r5m
@HgJjj-r5m 6 ай бұрын
Yesu sio mungu mungu hakuzaa wala hakuzaliwa
@JohnOuya-w7j
@JohnOuya-w7j 6 күн бұрын
@@HgJjj-r5m yesu ni mungu kwa sababu ni mwana wa mungu,mwana wa mungu anastasia kuabudiwa bila 🤙
@Zuramuinamo
@Zuramuinamo Ай бұрын
La illaha illa llah muhamdun rasulullah
@SaidSaigor
@SaidSaigor 8 ай бұрын
Uislamu ndio dini ya kweli,,takbiiir
@CaltonMallya-zj6cp
@CaltonMallya-zj6cp 5 ай бұрын
Ya kweli ya kuwapeleka wapi?😢
@CaltonMallya-zj6cp
@CaltonMallya-zj6cp 5 ай бұрын
Wala hapana yeyote katika nyinyi ila ni mwenye kuifikia. Hiyo ni hukumu ya Mola wako Mlezi ambayo lazima itimizwe
@istambulahmed6664
@istambulahmed6664 3 ай бұрын
Allah akbar
@kaoretosha6668
@kaoretosha6668 7 ай бұрын
Kwa hiyo mungu Yesu alikuja kuuliwa na aliowaumba....?!
@taifaramadhan8684
@taifaramadhan8684 7 ай бұрын
ajabu sasa hiyo
@husseinbakromar5865
@husseinbakromar5865 6 ай бұрын
I say ebu rudia hilo swali wakusikie vzuri Safi sana
@monifrank347
@monifrank347 Ай бұрын
Alivouliwa n waliomuumba alifufuka au akufufuka
@YussufOthman-g2z
@YussufOthman-g2z Ай бұрын
Allah tubariki waisilamu wote.
@FrankDeo-f2e
@FrankDeo-f2e 4 ай бұрын
Amen 🙏 🙌
@jacksonngusi4122
@jacksonngusi4122 8 ай бұрын
18 Hakuna mtu aliyemwona Mungu wakati wo wote; Mungu Mwana pekee aliye katika kifua cha Baba, huyu ndiye aliyemfunua. Yohana 1:18 Biblia iko wazi inamtaja Mungu mwana
@legendaction202
@legendaction202 8 ай бұрын
Na ww n mwana wa nan
@jacksonngusi4122
@jacksonngusi4122 8 ай бұрын
@@legendaction202 mwana wa adamu
@ElsonAsimwe
@ElsonAsimwe 8 ай бұрын
Mnazunguka sana, Yesu ni Mungu mwanadamu. Ndio maana kuna wakati unaona utu kwake na kuna wakati unaona uungu kwake
@ElsonAsimwe
@ElsonAsimwe 8 ай бұрын
Mtabishana hadi mwisho wa dunia lakini Yesu ana uungu ndani yake na utu ndani yake" ukimuita mwanadamu sawa, ukimuita Mungu ni sahihi
@ElsonAsimwe
@ElsonAsimwe 8 ай бұрын
Ana uungu Kwa sababu aliumba, na utu Kwa vile alitwaa mwili akawa mwanadamu. Hiyo ni elimu ya Imani
@Onlyforfun1992tube
@Onlyforfun1992tube 8 ай бұрын
Mungu baba anamuitaje bikira maria mke wangu au
@harshimissah-wn3cc
@harshimissah-wn3cc 8 ай бұрын
Kumbe Kuna Mungu binadamu na siku zote mmekaa kimy hamsemi 🥱🥱🥱
@AmityRajabu
@AmityRajabu 8 ай бұрын
Sasa mungu binadamu hatumtakii
@sunrishmussan6958
@sunrishmussan6958 8 ай бұрын
😂😂Mi mkristo ila Sulel ni kichwa kwelikweli yuko very technical ila huyu mkenya anaruka ruka tu. 😢😢
@kondeboishukuru
@kondeboishukuru 8 ай бұрын
Wewe sio bana acha kuja ku ji brand
@bonifasiemanueli21
@bonifasiemanueli21 8 ай бұрын
We we si mtu wA Nuru Bali mtu wA gizani
@barackamosi4116
@barackamosi4116 8 ай бұрын
Huna ukristo wowote wewe nimbwa 2 mfuga majini mdogo
@gunkidKenya
@gunkidKenya 8 ай бұрын
😂😂😂
@OmarysabatoMchele
@OmarysabatoMchele 4 ай бұрын
Umepotea ndugu stuka
@sarahmana2663
@sarahmana2663 8 ай бұрын
Asante Dr Sure
@danielmwakimi2416
@danielmwakimi2416 8 ай бұрын
Ndacha kiboko ya majini
@BonfaceWawire-k6p
@BonfaceWawire-k6p 7 ай бұрын
Muisilamu pure lazima awe na majini hiyo si dini hata huyu sule nimshirikina mkuuu sana nilimuogopa siku moja tukiswali nikaabba kutokuwa muisilamu tena
@ismailmakumbi-t1o
@ismailmakumbi-t1o 7 ай бұрын
Acheni kukimbilia majini majini ni viumbe kama ww ila tu tofauti wao wanaishi kwenye maji hoja je yesu ni mungu?? Mbona hamjibu
@BonfaceWawire-k6p
@BonfaceWawire-k6p 7 ай бұрын
@@ismailmakumbi-t1o viumbe kaa wewe nimewaogopa walisilimu wakawa waisilamu wanawaletea hela Hutu mkitoa wenzenu kafara juu chakula Cha jini ni damu awe jini mzuri au mbaya lazima anywe damu
@aminaabdulghanim8256
@aminaabdulghanim8256 6 ай бұрын
Uzushi, Mungu akulaani hapa dunia mpaka kesho akhera. Ameen
@BonfaceWawire-k6p
@BonfaceWawire-k6p 6 ай бұрын
@@aminaabdulghanim8256 kando na majini ni yamagaidi wakubwa sana
@aminaabdulghanim8256
@aminaabdulghanim8256 6 ай бұрын
​@@ismailmakumbi-t1o😂 hawaezi jibu waruka ruka kama chura hupati jibu. Wakiristo wanaoza kwa udevo wa freemason na hawatasema hili ni Siri kwao.
@BonfaceWawire-k6p
@BonfaceWawire-k6p 7 ай бұрын
shida waisilamu hawa roho wamungu kuelewa mambo yakiungu ni shida kwao kubishana nao nikaa kubishana nawatu wenye akili finyu
@Chagie
@Chagie 7 ай бұрын
Matayo 26:36,imeeleza vizuri kuhusu yesu ni dini ipi na ni mtume wa mungu soma hiyo
@BonfaceWawire-k6p
@BonfaceWawire-k6p 7 ай бұрын
@@Chagie usisome bibilia kimsikitimsikiti jaribu kusoma kikanisakikanisa utaelewa kaka
@MrishoChoggy
@MrishoChoggy 6 ай бұрын
Wakiristo mmejua kutengenezwa eti roho wa mungu ,kwahiyo wewe ukijiangalia unajiona una roho ya mungu wewe
@BonfaceWawire-k6p
@BonfaceWawire-k6p 6 ай бұрын
@@MrishoChoggy kaka nilikuwa muisilamu lakini tangu niujue ukweli nilihama hiyo dini ju niyakupotosha watu walai
@Zuramuinamo
@Zuramuinamo 6 ай бұрын
Masha Allah Allah akbar
@K.T.L.Y.K.MINISTRIES
@K.T.L.Y.K.MINISTRIES 4 ай бұрын
Waislm nyinyi MUNA POTOKA TU TUBUNI YESU KRISTO ANARUNDI YEYE NDIYE ANAUZIMA WA MIMI NI YESU TU AKUNA MWENGINE KAMA YEYE
@sarahmana2663
@sarahmana2663 8 ай бұрын
Uyo pastor anawapiteza sana watu, yesu siyo mungu, muache wujinga
@DieudonneKambale-ep4tx
@DieudonneKambale-ep4tx 8 ай бұрын
Yesu nimungu nimekubali
@yasluhumilemohammed7461
@yasluhumilemohammed7461 5 ай бұрын
Mungu anapigwa na wanadam wake msalaban
@RehemaMwakisyala-k9u
@RehemaMwakisyala-k9u 4 ай бұрын
Hiyo hiyo bibi inatuambia yesu ni mwana wa MUNGU inakuwaje tenaawe MUNGU
@mercymjunior9684
@mercymjunior9684 7 ай бұрын
Ndacha na Onyango na msomaji wenyu paulo Mungu awajalie umri mrefu nyinyi ni msaada mkubwa sana kwa walimwengu
@SaidSaigor
@SaidSaigor 8 ай бұрын
Takbiiiiiir wakenya wanasilimu majority
@BarakaZabron-py2fz
@BarakaZabron-py2fz 8 ай бұрын
Wewe una matatizo ya akili
@aminaabdulghanim8256
@aminaabdulghanim8256 6 ай бұрын
​@@BarakaZabron-py2fz chuki binafusi kweli umeoza roho😂
@sadikihalfani
@sadikihalfani 7 ай бұрын
Yaan awa makafiri sitakuja kuwaelewa kamwe.kuhusu hii MADA wanapoteza mda tu
@MesaIdd-dn3vt
@MesaIdd-dn3vt 5 ай бұрын
Achen kudanganya watu wakristo jtambueni
@FaustineJustus
@FaustineJustus 7 ай бұрын
Ipo siku mtakubali Kua ndie ila mtakua mmechelewa
@edithbrandom3011
@edithbrandom3011 6 ай бұрын
Kweri
@HamzaAkilimali
@HamzaAkilimali 4 ай бұрын
Wakiristo, Lisemwalo na Wazungu, ni dhahiri kila kitu Mtakikubali tu:- KUOANA WANAUME KWA WANAUME: Mnasemaje hapo⁉️😂😂😂Papa mtakatifu wenu, ameisha ridhia na Anglican walianza kitambo. Sasa huwenda, Biblia inaandaliwa kubadilishwa tena. Je, ULISHA SIKIA QURANI IMEBADILISHWA ❓
@AbbyKomba
@AbbyKomba 6 ай бұрын
Awa wakrist au oya kun m2 wanamdai. Mbn awajib maswal wanapig kelel. Elewen mada.😂😂
@IbrahMhumble-py6iy
@IbrahMhumble-py6iy 4 ай бұрын
Dr sule🔥🔥🔥
@MaryNyaki-j6n
@MaryNyaki-j6n 6 ай бұрын
Katika mungu kunanafsi tatu Mungu moja, Mungu mwana, mungu Rohoo mtakatifu
@MaryNyaki-j6n
@MaryNyaki-j6n 6 ай бұрын
Nice
@ImanNjogolo
@ImanNjogolo 4 ай бұрын
Ukiamini sana uislamu utavunjika kiimani.mbona mnamwona sule tu,mnajua waislam mambo mengi wanashindwaga kuyaelezea.polen
@AdamMbwana-p6n
@AdamMbwana-p6n 3 ай бұрын
Uisalam hautk kuwelezew maan ushajirleza kitabu chke haibadilik
@CelestinoCasimiro
@CelestinoCasimiro 7 ай бұрын
Dokta soma iyo Bíblia 44:24
@SaidSaigor
@SaidSaigor 8 ай бұрын
Mtu sio mungu,,Jesus never be God
@ElsonAsimwe
@ElsonAsimwe 8 ай бұрын
Yehoshua Amesiah, Yesu ni Mungu kweli na ni mwanadamu kweli. Ndio maana anaitwa EMANUEL
@TonaAlbert
@TonaAlbert 6 ай бұрын
Munamujua Muhammed .hammujuwi masiya EMMANUEL JESUS KRISTO.
@EliazaruMuchuikairithia
@EliazaruMuchuikairithia 6 ай бұрын
sawa kabisa mwalimu
@OmarysabatoMchele
@OmarysabatoMchele 4 ай бұрын
Jaman saiz sio kusali kwakumtegea binadam akuongoze jiongoze mwenyewe
@IkramShaban-c4f
@IkramShaban-c4f 5 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤
@Chrishenryson-beats
@Chrishenryson-beats 8 ай бұрын
Waislam akili zao ndogo sana juu ya imani. Alaf kumbe wamepotoka ivo🥹
@abeidrashid2574
@abeidrashid2574 8 ай бұрын
Kamulize mchungaji wako akuoneshe sehemu iliyoandikwa yesu ni mungu arufu utaona kiwango cha akili yako kina uwezo wa kias gani kunganuwa mambo
@Chrishenryson-beats
@Chrishenryson-beats 8 ай бұрын
@@abeidrashid2574 Tatizo unakaza kichwa. Skiliza hii clip toka mwanzo majibu unapewa tena sio moja unapewa kwa vifungu. Saiv unataka nirudie tena. Nyie mmeulizwa maswali mnaruka ruka tu kama maharage yanachemka😀
@saudaumar3354
@saudaumar3354 8 ай бұрын
wee ndio ndogo mlapanya soma bweha
@Zulkamhaji
@Zulkamhaji 7 ай бұрын
Jaman wakiristo eleweni kuwa mungu haonekan kama ulivokuwz ulivokuwa huxioni akili zako sasa inakuwaj mungu aonekane yesu alikuwa kama uyo ndacha sasa inakuwaje awe mungu jaman elewen na mudome pia mungu ni mmoja na si mwengibe ni Allah sw ndio mungu wa mashariki xote Yesu ni mjumbe wa Allah sw
@SofiaKhamis-t2l
@SofiaKhamis-t2l 8 ай бұрын
Yesu sio mungu bana
@MarkoWMichael
@MarkoWMichael 8 ай бұрын
Ni Mungu imeisha iyo❤
@isahbarasa
@isahbarasa 8 ай бұрын
​@@MarkoWMichael😅😅😅tubu ww kwa hio maneno yako
@TonaAlbert
@TonaAlbert 6 ай бұрын
Alafu asikuwe Mungu weye Mungu sasa?acha ujinga
@Mathieusinzinkayo
@Mathieusinzinkayo 5 ай бұрын
Jiulize nawewe mungu nini?Jijibusasa.Mfano mungu nisaa pepo.Anapatikana kila mahala.Anajaa univers .Sasa nikiti gani wewe umemutengenezeya awezaye kuikalaeko?
@KatanaKariss
@KatanaKariss 5 ай бұрын
@@MarkoWMichael nkuulize swali mtoto ww ni mwanadamu mtoto wako atakua mwanadamu ama mnyama... Na kama ww waitwa Rashid mtoto wako aweza itwa Rashid ama hawezi itwa
@AimeBishora
@AimeBishora 27 күн бұрын
❤❤❤
@Mathieusinzinkayo
@Mathieusinzinkayo 5 ай бұрын
Nawapenda sana kwa vile mzungumzavyo.Sasa nauliza.Uyu mungu mnasihi ambaye anaikala ku kiti uyu ni mutu au entity?
@Nily-kz3db
@Nily-kz3db 7 ай бұрын
Jaman eehh,kat ya Adam ,Nouh,ibrahim,daud ,mussa na Yesu nan katangulwa kuumbwa,hemu achane uongo Wakristo,Yesu alkua yupo kabla kuumbwa wat2 wte Kuumbwa sasaa ,ucwe msahaulvu,mama ake yesu jee alkua ypo kabla ya nan,mbn mnajchanganya nyie ,Mariam kamzaa yesu lkn mnatwambia yesu alkuwepo kbla ya viumbe vyte,jmaan,wakristo n Mbumbumbu kwel ,huyu mchungaj Daud ndio matope hsaaa
@mariaanthoniangowi9376
@mariaanthoniangowi9376 8 ай бұрын
Sule wee unaespotosha nduguzo, were unamjua Yeah viziri sana ilaunajizingizia
@Jaydanny_Chawaboy
@Jaydanny_Chawaboy Ай бұрын
Kwani bibilia ilitokea wapi😢?????????
@LatifaHussein-c9c
@LatifaHussein-c9c 5 ай бұрын
Yesu mwenyewe alisema muabuduni mwenyezi mungu mola wangu mlezi na mola wenu mlezi Lakini wakristo ni wagumu kukubali ukweli mnafata waliokufuru zaman
@Mussabyadunia
@Mussabyadunia 7 ай бұрын
Yesu ni mungu wadungu
@salimchimwaga8384
@salimchimwaga8384 7 ай бұрын
Na aliyemtuma Yesu atakuwa nani?
@TonaAlbert
@TonaAlbert 6 ай бұрын
Mtoto wa Mungu ni mungu
@Abubakarychacha
@Abubakarychacha 4 ай бұрын
ndacha nimuongo huyu mungu wangu sijawahi ona nimtu anaejua kuchota akili za watu wasio na uelewa leo ndio nimegundua. mungu afanyie neema na wepes kwakweli
@Zuwenamachela
@Zuwenamachela 6 ай бұрын
Wew ni mwehu uungu haujadiliwi maana uungu uko waz mtu akishazaliwa hicho nikiumbe na Kila kiumbe kimeumbwa Issaya 44:24
@omarjumaan3061
@omarjumaan3061 4 ай бұрын
Mungu haingi chooni ela ni binadamu😂
@BanzeGolf
@BanzeGolf 4 ай бұрын
Mwalimu ndacha WE na batu yako mkubali kwamba yesu ni mungu!
@luselose9944
@luselose9944 8 ай бұрын
Usifanye mambo kwa kushindana inshort Muslim na Mkristo we are all equal mbele za Mungu
@abeidrashid2574
@abeidrashid2574 8 ай бұрын
Usawa upo wap na nawakati kuna watu wanamin yesu ni mungu na wanaokataa yesu sio mungu ni mtume wa ngumu kama umeona ukweli fanya maamuz yesu hana sifa ya uungu yesu ana sifa utume
@MarkoWMichael
@MarkoWMichael 8 ай бұрын
Hatuwezi kua Sawa imeandikwa Wasiomwamini Yesu wamehukumiwa
@mustafamsati9599
@mustafamsati9599 7 ай бұрын
Timoteo 2.5
@Khalifaathumani-cy5om
@Khalifaathumani-cy5om 6 ай бұрын
Uislamu kweli ni dini. Allahu akbar
@IddiKimolo-uz8mx
@IddiKimolo-uz8mx 6 ай бұрын
akili awana hawa wakrsto
@Mchungajimalaki
@Mchungajimalaki 7 ай бұрын
Shida hawamjui roho wamungu hao 54:32 54:32 waisilam
@HusseiniSemvua
@HusseiniSemvua 6 ай бұрын
Ww uko na ulemavu wa akili mbuzi ww
@FadhiliSimoni-t9b
@FadhiliSimoni-t9b 5 ай бұрын
Masha allah
@JoanessAdoloph
@JoanessAdoloph 8 ай бұрын
Dokita sulel nakukubaii sana
@BonfaceWawire-k6p
@BonfaceWawire-k6p 6 ай бұрын
@@JoanessAdoloph pia NAMI namkubali sana kutuelewesha kuwa majini na waisilamu nikitu kimoja
@aminaabdulghanim8256
@aminaabdulghanim8256 6 ай бұрын
​@@BonfaceWawire-k6p hivi hamuongei hili la ufreemason 😂 ukiristo unaongoza sana
@Ireen-e6r
@Ireen-e6r 3 ай бұрын
🙏🙏🙏🙏🙏⭐⭐⭐
@RAZALOCHUMA
@RAZALOCHUMA 7 ай бұрын
Mdahala muzur laknis waislam hoja zenu sijaelewa
@jamilaomari2444
@jamilaomari2444 8 ай бұрын
Bi maana Yesu ni Mungu mdogo? 😂Msiba!
@omariSaidmoon
@omariSaidmoon 5 ай бұрын
Hawa wakenya hawajui kiswahili amefanyikamwili amejifanya mwili yesu siyo mungu
@BonfaceWawire-k6p
@BonfaceWawire-k6p 7 ай бұрын
Tangu niujue ukweli nihama kupotoshwa na mafunzo mapotofu ya uisilamu kwa sasa waisilamu zaidi ya hamsini wamemwamini yesu nakuajana kuamini muhammad mfu ,lakini yesu alifufuka maandiko yanadhibitisha ,nilipatizwa yesu ni Bwana wamajeshi
@Nily-kz3db
@Nily-kz3db 7 ай бұрын
Lait ungejua Ndugu wallah ucngeuwacha Uislam,Nasema hv,Anae Kubal kfo Cha Yesu ,Yesu Amelaaniwa ,kw Mana Anae tundkwa juu ya Mtu akafaa mzoga wake ukamtundka Cku kuchaa nzma,Mtu Amelaaniwa na Mungu pole kijanakusema Yesu Kafa akafufuka
@ChikuMmanywa-ut8oz
@ChikuMmanywa-ut8oz 7 ай бұрын
Yesu alifufuka baada ya kifo sio!angalia watu wanaosilimu globally,sio hao wadhaifu wabongo wenzio 50! Pole wee
@BonfaceWawire-k6p
@BonfaceWawire-k6p 7 ай бұрын
@@Nily-kz3db waa nilipokundua kuwa shehe wangu alikuwa mshirikina ndio nikaikataa hiyo dini
@BonfaceWawire-k6p
@BonfaceWawire-k6p 7 ай бұрын
@@Nily-kz3db akili Ako nifinyu wewe c muisilamu kamili Wala hujui Siri kwa hiyo dini shehe wangu alikuwa na majini na akawa ananifundisha jinsi yakuyatumia hicho kitendo kilinichukiza mno nikakimbilia kwa yesu aliye hai
@aminaabdulghanim8256
@aminaabdulghanim8256 6 ай бұрын
😂haukuwa muislamu toka awali, muislamu msoma QUR'AN na kuelewa maana yake hawezi ritadi. Wewe ni mnafiki tu 😂
@JacksoniZidoli
@JacksoniZidoli 7 ай бұрын
Waislam mnatumarizia mb bure tu hamna ukwer wowote
@ChidiSalum-f6p
@ChidiSalum-f6p 5 ай бұрын
Ndacha unawapoteza watu ww mungu hakuzaa wala hakuzaliwa yesu amezaliwa bana
@mariaanthoniangowi9376
@mariaanthoniangowi9376 8 ай бұрын
Wenzake wote ni boa ndiyo maana wanakusukumia ww unayecheza na Maneno ,ila ww uukweli unaujuwa; maana tumesikia hotuba Zaki Mara nyingi ukimsifia Yesu
@Kevworx
@Kevworx 8 ай бұрын
Onyango kamaliza labda kama huna D mbili ndio utapata shida kumuelewa
@kaoretosha6668
@kaoretosha6668 7 ай бұрын
Delutional....
@nourlaboratory
@nourlaboratory 3 ай бұрын
Mbona hapo ndacha anajibu saaa tuu au hii broadcast ni ya waislam😂😂😂
@johnweres9566
@johnweres9566 5 ай бұрын
Watu wanetandika vitabu 😂😂😂
@MesaIdd-dn3vt
@MesaIdd-dn3vt 5 ай бұрын
Ndacha huna jipya kwan elimu yko bado haijafikia ya wahadhiri walioko mbele yko
@CelestinoCasimiro
@CelestinoCasimiro 7 ай бұрын
Wakristo yeso no muislamo kasema mwenyewe 11:29 mathayo
@edithbrandom3011
@edithbrandom3011 6 ай бұрын
Naitwa yesu sio yeso
@cosmasdaudgwemela6046
@cosmasdaudgwemela6046 29 күн бұрын
Ukristo ndiyo dini ya haki pekee ila uislamu ni hadithi za mitume2 wa zama sema Bwana yesu asifiwe
@OmaryKikwembe-v1s
@OmaryKikwembe-v1s 3 ай бұрын
Ni vigumu sana kwa mtu asiejielewa kujitabua nacha hajitambui atatambuaje kujifanya na asiejifanya
@IssaMbaru-qw6ug
@IssaMbaru-qw6ug 8 ай бұрын
Hastaghafirullah jaman mnamfananisha mungu na bina dam innallilah wa innallillah rajihun
@ElsonAsimwe
@ElsonAsimwe 8 ай бұрын
Huelewi maandiko, Mungu ni roho, na alipokuja duniani alitwaa mwili Ili aonekane nasi" Yohana.1:14
@aminaabdulghanim8256
@aminaabdulghanim8256 6 ай бұрын
Washirikina hawa hivi mungu ataendaje chooni?
@ImanNjogolo
@ImanNjogolo 4 ай бұрын
Nyeeeee.haya bwana yesu.tu
@profs.a5412
@profs.a5412 8 ай бұрын
Kwaiyo Leo sule amekubali kuwa neno ndiee Mungu, na huyo neno ni tamko la Mungu😂😂😂 daaaa
@Onlyforfun1992tube
@Onlyforfun1992tube 8 ай бұрын
Ukristo na uislamu sio shida ila uyahudi ndio shida,
@jacksonngusi4122
@jacksonngusi4122 8 ай бұрын
Kiukweli Yesu ni Mungu ndacha amepiga pabaya
@legendaction202
@legendaction202 8 ай бұрын
Ww uliumbwa na yesu???mjinga sana mungu amekupa pumzi akulete duniani uje umfananishe na yesu
@Onlyforfun1992tube
@Onlyforfun1992tube 8 ай бұрын
Duh ila sule bible anaijua bana
@EnockKibona-x9z
@EnockKibona-x9z 8 ай бұрын
Kweli Ndacha hawamuwezi...
@ramadhanimandoa716
@ramadhanimandoa716 8 ай бұрын
Niny wakristo kweli akili zenu zina kinyesi
@IRFAN-je4dd
@IRFAN-je4dd 7 ай бұрын
Kwaiyo mungu alizaliwa. Kwaiyo Kuna ukoo wa mungu Kwa mujibu wa wakristo
@SPONSOREDByGRACE
@SPONSOREDByGRACE 7 ай бұрын
😂😂😂huo mti ni mtu hana mazao revelation please
How to have fun with a child 🤣 Food wrap frame! #shorts
0:21
BadaBOOM!
Рет қаралды 17 МЛН
УНО Реверс в Амонг Ас : игра на выбывание
0:19
Фани Хани
Рет қаралды 1,3 МЛН
UTACHEKA NDACHA /  YESU WA KENYA /  WAISLAMU
1:11:18
GOSPEL CORNER
Рет қаралды 99 М.
DR SULE - MAAJABU YA NABII MUSSA KWA FIRAUN- MUENDELEZO HUU
28:39
HAJI ONLINE TV.
Рет қаралды 39 М.
MCH. NDACHA AWAKABA KOO WAHADHIRI WA KIISLAMU, UST SHAFII, BAKOZI, KINYOGORI
20:44
SIMULIZI ZONE (SZ BONGO)
Рет қаралды 211 М.