Othman Masoud Othman: 'Maalim Seif sharif alipambana kwa hoja'

  Рет қаралды 9,724

BBC News Swahili

BBC News Swahili

Күн бұрын

Leo imetimia mwaka mmoja kamili tangu kufariki kwa aliyekuwa makamu wa rais wa kwanza wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad, katika mahojiano maalumu makamu wa sasa wa kwanza wa Zanzibar Othman Masoud Othman amemwambia mwandishi wetu Aboubakar Famau kwamba, mpaka sasa hakuna hatua kubwa iliyopigwa katika serikali ya umoja wa kitaifa kwa sababu ya kukosekana kwa utashi wa kisiasa miongoni mwa viongozi.
#bbcswahili #tanzania #zanzibar

Пікірлер: 10
@nailamohd7693
@nailamohd7693 2 жыл бұрын
Naam subra ilikuwepo Allah amlipe miongoni walio subiri Ameen ya rabby
@w4058
@w4058 2 жыл бұрын
Vijana mnakuwa ndio target kwa kuwa subra zenu fupi hivyo mkifanya papara mtajiharibia wenyewe Mhe Othman Masoud alikuw kwenye International Organisation kakubali kuwacha kuja kutusaidia mnashindwa kuendelea na Subra subra chungu na inataka muda mrefu mkivunjika moyo mtajiumiza wenyewe
@abdulhamis9825
@abdulhamis9825 2 жыл бұрын
Tumekuelewa Othman Msaoud Ukwel Sisi Wananchi Bado Hutujaona Umuhimu Wa Kuwa Na Serikal Ya Kitaifa Zaid Tunaona Kuumizwa Na Ukali Wa Maisha Tu
@ahmedkombo1267
@ahmedkombo1267 2 жыл бұрын
Othman masoud ni kiongoz wa kimaslahi tu
@seifseifmohamed7118
@seifseifmohamed7118 2 жыл бұрын
Hayo ni maoni yako lakin kwa bahti ambaya pia ndio faida yenyewe ya utanda wazi ni kumjibu msemaji gizani mnakuwa hamuonani hivyo bas sina ya uhakika kuwa wewe ni mtu au ni kiumbe tu wowote. Pole na darasa lako la std.
@salyali7807
@salyali7807 2 жыл бұрын
OMO alikua na maslaha zaidi kuliko hivi sasa
@khatibuhijja459
@khatibuhijja459 2 жыл бұрын
Kafata maslahi gani huku,kwa kipato bora huko alikotoka
@sharifjuma1220
@sharifjuma1220 2 жыл бұрын
Kwani aliomba hii nafasi. Au viongozi wa act wamemfata wao ili awawakilishe kwenye Serikali. Au ulisikia kaomba nafasi ya uongozi. Sasa utasemaje kafata maslahi. Watu bwana ndio hivyo tena? Mungu akujaalie uwelewa.
@aulidriver3102
@aulidriver3102 2 жыл бұрын
una haki ya kutoa maoni yako ila pia usilolijua ni usiku wa kiza
Matangazo ya Dira ya Dunia TV
28:16
BBC News Swahili
Рет қаралды 12 М.
Mke wa Maalim Seif azungumzia pengo la mume wake.
2:41
BBC News Swahili
Рет қаралды 18 М.
Fake watermelon by Secret Vlog
00:16
Secret Vlog
Рет қаралды 12 МЛН
РОДИТЕЛИ НА ШКОЛЬНОМ ПРАЗДНИКЕ
01:00
SIDELNIKOVVV
Рет қаралды 4 МЛН
НИКИТА ПОДСТАВИЛ ДЖОНИ 😡
01:00
HOOOTDOGS
Рет қаралды 2,1 МЛН
Matangazo ya Dira ya Dunia TV Alhamisi 17/10/2024
27:48
BBC News Swahili
Рет қаралды 13 М.
Matangazo ya Dira ya Dunia TV Jumatano 16/10/2024
28:10
BBC News Swahili
Рет қаралды 11 М.
Othman Masoud aelezea kilichomtowa bungeni
8:04
Weyani Tv
Рет қаралды 25 М.
BURIANI MAALIM SEIF: Wanangu Kwaherini
3:43
Gumzo la Ghassani
Рет қаралды 110 М.
"Maslahi ya Zanzibar na Wazanzibari, kwangu ni muhimu zaidi kuliko cheo".Mhe. Othman Masoud Othman
2:59
Fake watermelon by Secret Vlog
00:16
Secret Vlog
Рет қаралды 12 МЛН