اللهم اغفر له وارحمه وعافه وعف عنه واكرم نزله ووسع مدخله. اللهم ادخله الجنة.
@hateebjrpresenter001 Жыл бұрын
Allah azidi kukufanyia kaburi lako kuwa bustani katika mabustani ya peponi Allahuma ameen Maalim Seif Daima tunakumbuka kwa wema wako kwetu wazanzibar
@zuwenasuleiman42773 жыл бұрын
Very emotional this song 😭,YaaAllah tunakuomba umkutunishe na mtume wetu Muhammad
@hadiazahor68743 жыл бұрын
😭😭😭😭😭kila nikimkumbk naumia 😪😪allh tupe weps na umpokee baba etu🤲🤲
@bintsalimalbimany53403 жыл бұрын
Innalillah wainnailaih rajiun Allah akulaze pema marehem maalim Daima hatutokusahau 😭😭😭😭😭 Allah akujaaalie kabri lako liwe niviwanja katika viwanja vyapepon😭😭😭😭😭
@zuumasoud50703 жыл бұрын
Allah awape subra na iman yaumiza kweli na wewe uuliotowa hii kasda mashaallah killa lakheri kutuliza na Sisi Allah atupe khatma njema nazidi kuwapa pole sjawai Kutoa chozi langu kwa viongozi wetu kenya lakini huyu buda loh Ameniumiza ila nazidi kuwapa pole nanazidi kumuombea Allah ampe kauli thabit Ampe malazi mema peponi Ameen yarab
@chazbatchaa89203 жыл бұрын
Mungu amrehem nimelia mpk leo siku ya4 nikimkmbkaa nalia😭
@salummkubwa3 жыл бұрын
Tupoeni na msiba sote , kumuenzi ni kutembea mwendo wa maono yake, tupendane Wazanzibari wote Inna lillahi wainna Ilayhi rajiuuun. Tupoe sote.
@mussaseifabdullwahid3413 жыл бұрын
Maalimu hatutokusahau mtetezi wa Wazanzibar .Mungu akufanyie wepesi kwa kila zito lako Amin
@salhanassor10773 жыл бұрын
Allah atupe subra wazanzibar..ampe subra mama etu mama awena na familia kwa ujumla..Yarrabby mpokee mja wako mapokezi mema na umueke ktk pepo yako ya juu kabisa kwa mema aliyotufanyia wazanzibar..amiin
@bikomboali73423 жыл бұрын
amina rabil.alamina
@dattyally54023 жыл бұрын
Salha Nassor allahum amiin
@a.8563 жыл бұрын
Allah amjaalie msamaha wake amridie na amlaze peponi amjaalie kaburi lake liwe nyumba ktk nyumba za peponi...amin
@suleimanmuhammed13472 жыл бұрын
Amin Amin Amin Amin Amim
@KautharHamad-o1yАй бұрын
Allah akupe maisha mema pepon baba yetu tunakukumbuk Kila masaa
@muhsinali74273 жыл бұрын
YAA ALLAH umpe wepesi katika kabri lake umpokee hali yakua upo radhi nae hakika tulimpenda saana sana zaidi ya sana #Maalim Seif Sharif Hamad tutakukumbka daima
@samiaalriyami34883 жыл бұрын
Allahuma Amiin yarrab
@zuwenasuleiman42773 жыл бұрын
Amiin
@muhsinali74273 жыл бұрын
@@zuwenasuleiman4277 😗😗😗
@khadijaabdallah83063 жыл бұрын
Samahani naomba hi kasda nimeipenda nitumie what please imeniingia moyoni Hadi huzuni naomba plese
@firdaussaif87093 жыл бұрын
_😭😭😭😭
@omyjaku88183 жыл бұрын
Mungu akulaze mahali pema peponi maalim seeifu inshaallah
@nailamohd76933 жыл бұрын
😭😭 Mtihani mkubwa hii qasida siku zote inanitoa machozi Allah ampe pepo kiongozi wetu Ameen yarabby 🤲
@khalidsalim94123 жыл бұрын
Kweli hii kasida inatia huzuni sana
@khalidsalim94123 жыл бұрын
Ya Rabbi Mkubali Maalim Seif
@bikomboali73423 жыл бұрын
mie.kila.siku naisikiliza hii kasida halaf nalia
@nailamohd76933 жыл бұрын
@@bikomboali7342 tupoe sote 😭😭
@bikomboali73422 жыл бұрын
Ametutea sana tupate maisha bora
@ashajoj42113 жыл бұрын
Ooh Mungu tupe subra na mjalie pepo ya firdaus almarehem maalim seif
@hassanyabdy-gl9gv Жыл бұрын
Kwl shuuja ameumaliza mwendo 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@abuialmarjibi9793 жыл бұрын
Cjui kwa nini huyu mzee kaniuma sana yaani kama mzazi wangu kabisa nashindwa kumsahau Allah jaalia kaburi lake na baba yangu yawe ni bustani katika mabustani ya peponi
@mussahussein59142 ай бұрын
amiiin
@rayamuhene52463 жыл бұрын
Tumshukuru allah kwakila jambo
@sasha-ri7tf3 жыл бұрын
Inalillah wainailaihim rajuhun Allah amsameh mazambi yake na sisi atujaaliye mwisho mwema Insha Allah🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲
@muhsinali74273 жыл бұрын
aaamiin
@tauhidasheha11183 жыл бұрын
Ee Mungu tupe subra waja wako, tunaumia😭😭
@chazbatchaa89203 жыл бұрын
ameen😭
@chamritaabdul15923 жыл бұрын
Yaani mtihani nalia kila cku 😭😭
@udiabdullah5261 Жыл бұрын
Allah akurehem maalim seif
@KhamisMuhammed-ln2gc4 ай бұрын
Inalih wainaih rajiun alla akusameh makosa yako
@sadakhamis53743 жыл бұрын
Karibu baba kapumzike salama tutakukunbuka milele tunaumiaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
@harthasuleiman2573 жыл бұрын
Dahhh innaa lillah wainnaa ilaihi raajiun, Allah ampe kitab chake kwa mkono wakulia
Subhanallah Allah amsamehe makosa yake amzidishie mema yake ampokee akiwa amemridhia Yaarabiy Aamiin na sie tulobaki atupe mwisho mwemwa ndio lilobakia kuomba Maalim Seif ilipokuwa hai ukitajwa nyoyo zikifurahika leo tukikutaja dua tunakuombea
@salummzee97392 жыл бұрын
Hii nyimbo haituhusu ss Waislamu hapa tumekosea mambo Ukristo miziki na nyimbo ss Tusbih na zikri zetu Inatosha mitihan mikubuwa
@jinalangu93483 жыл бұрын
ALLAH amueke mahala pema peponi aamin
@binrashidsalim56672 жыл бұрын
Mtihani ulitufikia Allah kwa Rehma zake amjaalie firdausi
@zubeirsalum1282 жыл бұрын
Hadi Leo nimetazama haya maombolezo lakini machozi yamenitoka mungu mlaze mahali pema peponi kwa rehma zako ammin
@sudaissoud36703 жыл бұрын
Love u Maalim daima
@maryamsimai62633 жыл бұрын
mwenyezi mungu amsamehe makosa yake
@khamisngwali63033 жыл бұрын
inauma sana lkn ni mapenzi yake Allah sw amempenda sana mpe heri zake ewe mola wetu seif sharif hamad!
@w40582 жыл бұрын
Machozi hayatoki tena ila huzuni zimepunguwa ila hatuko sawa twamuomba Allah atusaidie tusiingie kwenye kufuru Allah akulaze pema penye wema
@sabihahamadi2287 Жыл бұрын
Yarabi wasmehe waja wako wote walio tanguliya na sisi tulio nyuma yao tujaaliye mwisho mwema
@sasha-ri7tf3 жыл бұрын
Inalillah wainailaihim rajuhun Allah amsameh mazambi yake na sisi atujaaliye mwisho mwema Insha Allah. 🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲
@skeneali61253 жыл бұрын
Hatusiti kulia 😭😭😭😭
@imraniqbal007652 жыл бұрын
Inna lilahi wainna ilaiyhi rajiun Allah ampe safari ya kheri tupoweni kwa msiba tuweni pole
Rais mwinyi ujumbe huo,umeachiwa jahazi,lisijeenda mrama
@azizaomar26393 жыл бұрын
Allah amjalie nuru ya milele siwez kujizuia kila nikiona picha zake tuu au vedio najikuta nalia
@sahidahamad393 жыл бұрын
SubhanAllah
@zuumasoud50703 жыл бұрын
Maskin Allah amlaze peponi poleni ndugu zetu wazenj na pemba Allah ampe kauli thabit inaliza jamani
@user-hb3ep2zy3e3 жыл бұрын
tuzidisheni jitihada kwa dua kumuombea hiyo ni hadiyya kwetu anayo hitajia
@sadakhamis12612 жыл бұрын
Naam kabisa
@rukiaothman79293 жыл бұрын
Roho inauma ila kazi ya mungu haina makosa
@misscoast31743 жыл бұрын
Subhanallah kila siku tunalia😭
@Khalid-mf3iu3 жыл бұрын
Kulia sana dada haifai muombeeni mungu kwa wingi hta sisi watu wa mombasa kifo chake kimetuhuzunisha ni njia isioepukika sote tutakufa
@misscoast31743 жыл бұрын
@@Khalid-mf3iu Kulia kwetu hakumaanishi hatumuombei... its ok to cry au hujui?
@Khalid-mf3iu3 жыл бұрын
@@misscoast3174 namaanisha musilie sana nijuavyo si uzuri kwa marehemu am sure ataona raha mukikithirisha dua zenu kwake 👍
@jumayahya26613 жыл бұрын
@@Khalid-mf3iu umenena mana mwisho -itakua shirk
@Khalid-mf3iu3 жыл бұрын
@@jumayahya2661 ndo hvo wajua tena wanawake kwa kulia
@fatimakhams19603 жыл бұрын
Mashllj mashairi mazuri
@sulechidy81653 жыл бұрын
Allah amsameh makosa yake 😭😭🤲🤲
@mohamedmande39583 жыл бұрын
رحمه الله
@salmamansour37183 жыл бұрын
Gumzo la Ghassani sorry kwa usumbufu naomba unitumie watsp plz plz imenigusa sana hili shairi kiukwel tumeumia sana waznzbr ila ndio khatma ya kila mja muhim ni kumuombea dua kipenz chetu
@awenaazizi6373 жыл бұрын
Yeye ametangulia na sisi tuko nyuma yake Allah amsamehe makosa yake na sisi atupe mwisho mwisho mwema
@saidmaulid5233 жыл бұрын
Kabisa Allah ampe kauli kaul dhabiti
@salmaswaleh82153 жыл бұрын
Allah akujalie kauli thabit
@historicalzanzibartv3 жыл бұрын
امين
@saidiomar66423 жыл бұрын
Nakaribia kulia kwa jinsi hii kasda inavokwenda na ukubwa wa msiba
@delasdiego65373 жыл бұрын
God blessing you
@happysharma25102 жыл бұрын
Ni mwaka sasa wallah hatupo tena na ww maalim uku wengine washaanza kukusaliti
@user-hp7yb3tn2tАй бұрын
ukweli huyu msomaji wa qaswida hii ndio aliumia zaidi na nimefanya uchunguzi anakasida nyingi na nzuri na hana makuu lakini jamii haioni hizi kazi zake kwa jina anaitwa Sheikh Issa Qaswida nimepekua youtobe yake huyu kija sio wakawaida
@biramsakh92123 жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭😭😭
@jumasubeit97262 жыл бұрын
Ni pingo kwa Taifa na DUNIA kwa ujumla Kwan yy alikuwa jicho la siasa
@najatkhamis28483 жыл бұрын
😭😭🤲
@raghadiddarous9243 жыл бұрын
😭😭😭
@gustavopoyety7004 Жыл бұрын
hatar wallah
@mhamedmuhamed70133 жыл бұрын
hatunyamaza kulia daimaaa😭😭
@farhatmohd32853 жыл бұрын
😭😭
@hilalal-busaidi4007 Жыл бұрын
Tunamwaga machozi mpaka muda huu
@laylayahya243 жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭💔💔💔
@salumtakao98283 жыл бұрын
Forrever in our heart
@abdillahabdallah333 жыл бұрын
Dah
@humoudmohammad31253 жыл бұрын
.
@hajihaji67013 жыл бұрын
Huzuni kubwa moyoni
@maryammmaka57753 жыл бұрын
Assalam alaykum ustadh na mm nitumie kwenye no 0687574152
@sudaissoud36703 жыл бұрын
Ngoja nikutumie ninayo
@a.8563 жыл бұрын
Allah amjaalie msamaha wake amridie na amlaze peponi amjaalie kaburi lake liwe nyumba ktk nyumba za peponi...amin