Manshallah sheikh wetu mung akup umri mrefu uzidi kutupa elimu na akupe mwisho mwma nasisiote weny kukufatiliy inshaallah
@mesalimchama187411 ай бұрын
Shukran sh.wetu Allah atujalie wenye kuwajibika kwa ajli ya Allah s.w Asante Mungu akubariki tuwe soteni peponi kwa rehma zake
@alihassansorikushey141411 ай бұрын
Masha Allah shukran kwa masomo yako sheikh wetu Allah akuzidishie na akupe kila la kheir na sisi pia yaa rabb...🙏🙏🙏🙏
@leilahassan67315 ай бұрын
MashaAllah Mungu akujalie mema.unanipa moyo wewe Mungu akupe umri mrefu na akukinge na mabaya Ameen
@MuhdharMuhammad-qv3zl11 ай бұрын
Shukran sana Sheikh Allah akupe umri mrefu na Maisha mazuri hapa duniani na Kesho akhera
@HairahSayyed-hs9sb10 ай бұрын
Masha Allah tabarakallah sheikh wetu mwenyezi mungu akulinde na akujaalie umri tunufaike na tufuate Allah atujaalie mina swalihaat
@saeedsaeed738111 ай бұрын
Masha Allah outstanding lecture, BarakAllah feek sheikh
@nuwaylalukanda879911 ай бұрын
Mashallah sheikh
@user-br6mo6it8c3 ай бұрын
Mashallah allahuma Amine y'a Rabbi
@mwanaiditwaha-jf6lg4 ай бұрын
Allah akupe Pepo ya juu inshaAllah kwakwel shekh nami nilikuwa nafanya dhikir kupitia maelekezo yako Cha ajabu Kuna sk niliendesha Sana usk baada ya dhikri pk inafika Alfajir mie hoi sa sikuelewa nikajua tu maradhi ya kawaida ila nmekuelewa vzr baada ya mawaidha haya ubarikiwe Sana Shekh wetu
@ArafaMkomwele-vi2hp8 ай бұрын
Mashaallah mafundisho yaliyo mema na mwenyezi Mungu akujaalie wewe lakini atujaalie na sisi waombaji tupate kuyashika mafundisho haya
@user-ew4vk9qs5b6 ай бұрын
Mashaallh mafundi shoyako yananta mawazosana Allah akupe mrimrefu 11:29
@sandraahmed8735 ай бұрын
Jazaka llah kheri
@kijakaparare20748 ай бұрын
Maashaallah mashallah shekhe wetu mungu akupe umri mrefu na ukuepushe na fitna za wanaadam na akupe afya isiyo na kikomo
@HamisiMohamedi-kg3yoАй бұрын
Shukran Shaikh kwa mafunzo yako
@user-li2vz2qi9z10 ай бұрын
Shukran sheikh wetu Allah akulipe kheri apa duniani na akhera
@user-cw4ne1qz4p6 ай бұрын
Mashaallah ❤ shekh Othman mungu Akujaliye her 🙏 na umri mrefu inshallah her 🙏..na kutuelimisha Muslim na kumuomba Allah 🤲
@nkurunzizaabdul-aziz721111 ай бұрын
Naam maanshaallah tabarakallah kheir jazakallah kheir sheikh wetu
@mohammedmbaruk20346 ай бұрын
ALLAH AKUPE UMRI TUZIDI KUNUFAIDIKA NA ILMU YAKO INSHAALLAH
@user-eu1cf9bd8s10 ай бұрын
Barak Allah feek sheikh mungu akulinde in Sha Allah 🙏
@user-dt4mv9cq2p9 ай бұрын
Shukran ustadh ALLAH akupe umri mrefu wenye manufaa
@aminahmuhindo58411 ай бұрын
Waleikum salaam warhmatullahi wabarakathu barakallahu fika sheikh naomba Allah akulipe kila lla kheri na akubali kazi zako yarabi pia nasisi wasikilizaji Allah aweni mwenye kutulipa kheri Amiin amiin yarabi
@KhizryKwekajr-jw4ze8 ай бұрын
MashaALLAH na mawaidha yako xhekh othman mungu akulinde
@saumusulaiman47426 ай бұрын
Maashaalah .Allah akulipe kher akutendee wema🙏🥰
@zainabmaulidi984611 ай бұрын
JAZZAKAALLAH KHAYRA SHEIKH🌹👏🙏
@narfatnurdin-ot1fi11 ай бұрын
Allah akuzidishie kila LA kheri shekhe wetu
@FatumaPoto11 ай бұрын
asalaam walyekhum warah matulah wabarakhatu shukrani clip zako zinanijaza imani na kher zake nnaziona al hamdulilah
@arturmassoud25126 ай бұрын
Mansha Allah, Allah akulinde hapa duniani na akhera sina cakukupa Allah akulipe juhudi yako.insha Allah
@ayoubrashid839211 ай бұрын
ماشاء الله....بارك الله فيك
@user-hu3sc4kg1f9 ай бұрын
Mashaallah tabarika Allah Asante shekhe
@user-oe3dt5mu2b5 ай бұрын
Cheikh wangu chukran sana allah akupe kila la kheli
@mwanaali33912 ай бұрын
Mashaallah
@NaimaSalim-hv6bd9 ай бұрын
MashaAllah tabarakllah Allah akuzidishie inshaAllah ila nipo naswali Jae kama huna hicho kitabu wafanyaje
@rashidabdulrahman678411 ай бұрын
Asalama aleykum sheghe mashallah tunakupenda kwa ajili ya allah tunafaidika sana na mafunzo yako
@user-vh3sz8mj2x4 ай бұрын
Allah akuongoze shekhe wetu naakupe afya uzid kutujuza
Allah akujalie maisha mema duniani na kesho akhera
@user-zh7xb5lm5s8 ай бұрын
sebehallah jazallahu khair shekh wetu nmekukubali
@ashahassan21208 ай бұрын
Asante mungu akulipe tunakupenda sana kwa ajili ya allah
@user-vq7nq6uq5m11 ай бұрын
Maa shaa Allah ,shukran sheikh
@hafswanaaman291111 ай бұрын
Mashaallah mashaallah mungu akujazi kheri akupe kila kheri
@CheerfulDrumKit-du7qk5 ай бұрын
Mashaallah
@HabibaSwalehe-bx4wr4 ай бұрын
🤲🤲🤲🤲
@habibaramadhani-xv2ed7 ай бұрын
Allahuma Amiina.
@latifasalim6793 ай бұрын
Shukran Sana kwa kutupa ufumbuzi ,Mie nafasi humswali mtume mara 1575 basi nitasinzi Mie nitakwenda miyao mpaka husema huyu iblis kisha husema lahaula walakuwata kisha huendela na dhikr
@athmaniathmanisimba49766 ай бұрын
Mungu akujalie afya njema tuendele kupt elim natujifuze zaid
@mohammedmbaruk20346 ай бұрын
NAKUPENDA SANA KWA AJILI YA ALLAH ALLAH BARIK
@assanilubazulabungiasi232511 ай бұрын
Shukrani Sheikh, Allah akubariki na akupe umri mrefu.
@user-ul3hl5gc7b6 ай бұрын
Mungu akuongezee umri🎉❤
@radhiambwana33538 ай бұрын
Mashaa Allh Allha akulipe
@user-wg2ex6wq4r11 ай бұрын
MashaaAllah shukran shehe
@athumanikhamisi337711 ай бұрын
ماشاءالله عليك الله
@LovenessLoveness-kd5cu4 ай бұрын
alhamdulilah
@manajr915511 ай бұрын
Shukran 🙏
@mamyfupi605411 ай бұрын
Mm niseme samahan Kama nitakua nje ya mada ila mm niliota njozi ila sijakumbuka ilivyoanza bali mwishon ndio naikumbuka kwamba nilishushwa kwenye gar kubwa kisha wenzangu wawil wakatembea Kama hatua mbili hivi mm nikiwa nimesimama bado lakn ghafra nikaona mwanga mkal kuangalia anga ikafunuka ikaja sura ya mtu ambae simfaham ila nilichofanya ambacho kilikua ni shahada tu alaf ile sura ikapotea nikawa natokwa na machoz bas mbaka leo ile ndoto haijanitoka je itakua nini samahani shekh nisaidie kwa hilli
Tatizo itakuwa ni cm Yako, mbona wengine tunaskia?
@safiaothman517510 ай бұрын
SALATTUL HAJJAH HAIJATHIBITI KATIKA HADIYTH SWAHIH ZA MTUME MUHAMMAD SWALALLAHU 'ALAYHI WASALAAM.
@beebuterfly9 ай бұрын
Vipi mnawazuia wanofanya jitihada za kujikurubisha kwa Allah..kila jambo jema ni lenye malipo... Wewe usiiswali tuachie sisi
@beebuterfly9 ай бұрын
Fanya yaliyothibiti maana ni mengi na naamini hujayafanya mengine.. Watu mlioijua dini ukubwani wallahi mtihani ndio mnatuharibia ladha ya ibada na dini yetu smart
@beebuterfly9 ай бұрын
Wewe unazijua hadithi zoooote za Mtume
@gozbethedwinlupogo1018Ай бұрын
kumswalia shetani ndio umeelekezwa ww kamswalie Kwa waganga wenu
@omanal37311 ай бұрын
Samahani shekhe ina maana tuna dhikri kabla ya swalat lihajja au