Hakika'Nakupenda kwa ajili ya Allah'long life kaka'ngu.
@zainabujebichii81382 жыл бұрын
Shukran shehe,nimezikiliza kisomo adi machozi kanitoka sanaa.Allah akuzidishie umri uzidi kutuelimisha.Amiin yarab
@ASHURAASHURA-jx2if Жыл бұрын
Amiiin allah akupe umri mlefu wenye afya njema NA mafanikio akuongeze ulipo pungukiwa 🤲🤲
@abudyhahan73762 жыл бұрын
Allaah akupe ummry twawwil uweze kututibu
@NadiaHabonimana3 күн бұрын
Shukran sheih kwadua skio linatulia
@ashrafissa778 Жыл бұрын
Mashallah shehe wetu Allah akuifaz
@HabibaHared Жыл бұрын
Manshaallah manshaallah mola akubariki na akuhifathe
@sumayyahally8662 жыл бұрын
Shukuran jaziran shehe wetu Allah akuzidishie kira rahery lnshaallah but nakutafuta wathap shekhe sijibiwi nipo dubai naitaji dawa na kisomo pia nashukulu sana nilikua naumwa sijiwezi nikifuatilia visomo kupitia Yu touch now kidogo alihamdulinllah namshukulu Allah shukuran jaziran shehe Allah akulinde zaidi na zaidi unatusaidia sana waja wa Allah alhalihamdulinllah
@awadhmohamed8356 Жыл бұрын
Ameen yaarabby shukran jazeerah
@fatmaahmad41792 жыл бұрын
Shukran jazakllah her
@fatumafadhili3903 Жыл бұрын
Mungu akuzidishie umri hapa duniani na kesho akhera
@skjjsj1889 Жыл бұрын
Shukran sheikh kwa ukumbusho Allah akulipe kheir
@rukiahussein96322 жыл бұрын
Shukrani jakallah
@sakinatuyisenge26082 жыл бұрын
Allah akuhifadhi
@asiaa65732 жыл бұрын
Shukran sana sheikh watu, hata mi nasumbuliwa sana na hofu, Alhamdulillah kwa uwezo wake Rabb clip hii itanisaidia
@alimatambwe34022 жыл бұрын
MashaAllah Jazakhallahu Kheiri
@buhitexmohamed4785 Жыл бұрын
Mashallah kwa mafunzo
@aminamichael50232 жыл бұрын
shukran shekh kwa zawadi hii
@yassinsalim45974 ай бұрын
Naam
@UwaseAsmin Жыл бұрын
Asante sheikh Athmani Michael MUNGU akupe maisha marefu Mimi nataka number yako ya simu ya washtp
@hawaamohammed66872 жыл бұрын
Shukran kwatiba yakisheria binafc naomba ungetutumia kwaajili ya hii Dua
@keifatuke992 жыл бұрын
MashallaAllah
@RahmaSaid-oj4jh2 ай бұрын
Mm bilashaka ninae kazi zangu mtihani sn nkipata kaz simalizi mwenzi nachukiana na boss kaz inaisha naota vitu vya ajabu
@liliannaseriannaserian4850 Жыл бұрын
Naomba hidua
@afric012 жыл бұрын
Aslm alkm ww..... Masha Allah!!!!! Napenda unavyo isoma Qur_an Kwa utulivu wa hali ya juu. Allah akuzidishie noor. Shukran sana Sheikh kwa usaidizi wako katika kupeana ujuzi wa Kinga tofauti. Allah akulipe jannah firdous kwa hili. Jazakallah kheir 🙏. Asante🌹
@swabrinasaid78992 жыл бұрын
99kwikwi
@alyeali9859 Жыл бұрын
7th
@alyeali9859 Жыл бұрын
@@swabrinasaid7899et 3
@cishahayoali11362 жыл бұрын
Jazaka llahu ya sheikh Kwa kinga na matibabu!
@FatmaKaloo2 ай бұрын
Mm maradhi yasoisha mwili mwangu yani haya yote mimi nko nao
@NadiaHabonimana3 күн бұрын
Burundi nasitunaitaji mafuta
@amanamaa26612 жыл бұрын
tiba ya kisheria ndo ninayoitka mie sheh hiv inawrzekana kusomewa ukiwa mbal?
@anwarabdallah70952 жыл бұрын
Afwan shk ulimwengu umejaa fitna haswa mda juu wa digital.
@zainabusaid92812 жыл бұрын
Shekh Mimi dalili hizo ninazo hata meno yangu yaling'oka yote na mengine mengi ninahitaji msaada wako naomba mawasiliano yako