Jazakallau kheiri Allah akuzidishiye hekma namaarifa akustiri akupe aman akupe mwisho mwema inshallah 🤲
@afric013 жыл бұрын
Aslm alkm ww.... Wallahi Sheikh Othman ni mambo ya kuskitisha. Mombasa kuna kanisa flani waislam wamehamia huko, tunaelekea wapi????? Allah atulinde. Allah akujazi kheir Kwa kuyazungumzia hayo. Shukran sana Sheikh wetu kipenzi chetu doctor 💊 wetu. Allah atulinde.
@ummuhkhalfan55423 жыл бұрын
Alafu me nnachokiona katk waislam wanaoenda makanisani et kisa wana matatizo ni wale ambao hawajaisoma dini yao wakaielewa wallah alieisoma dini yake hata kama ni kidogo kisha akaielewa Kule haendi ila kama kasoma kama kasuku tu afute aende kwingine au hajasoma kbsa uislam wake anakwambia wee me sijasoma ila hunidanganyi sasa hii dini co sijasoma ila hunidanganyi hapa ni usome na ujidhatiti ktk dini ndo utaona ladha yake
@aishamohammed35473 жыл бұрын
@@ummuhkhalfan5542 ni dunia imewavaa ila ckua hawakusoma .kunamtu yuajiita mujaj nimsomi na ni alhaji.nayeye aliretadi😭
@nyawendacyprian81748 ай бұрын
SHEKHE hayo mafuta yanauzwa shilingi ngapi??
@NuruZebedayombise-ie5zb7 ай бұрын
Waache bwana kila mtu ana ambana kwa nnjia yake ili awe sawa jamani ndini aina shida kikumbwa imani na unacho kiomba
@GdhDhg-w5sАй бұрын
umesema kweli@@ummuhkhalfan5542
@kherimacksood6343 жыл бұрын
Mashallah shukran jazeerah .ALLAH AKULIPE AKUJAALIE JANNATUL FIRDAUS NA AKUJAALIE MAISHA MAREFU SANA YENYE AFYA TELE
Maashaallah, Sheikh tunaomba vipimo ya kila mafuta
@swabrinaabubakarmohamed727 Жыл бұрын
MashaAllah may Allah give you the highest rank in paradise
@MimahYaseen7 ай бұрын
Tunshkur ostadh kw mafunzo yako mola akufanyie wepec kila hitaji la moyo wako...allah akuweke amini
@abdillahomary20333 ай бұрын
Allah akulipe kheri duniani na akhera
@saumusulaiman4742 Жыл бұрын
Maashaalah hazakallah kher sheke
@CikeTanzania3 ай бұрын
In shaa Allah shukran sana, mintakuja unipe huo mchanganyiko .
@AbdallahBwaza3 ай бұрын
Asalam Alaykum warahmatullah wabarakatuh. Shekh shukran Sana Kwa msaada wako. Mm ni kijana kutoka Kenya licha ya kua nimepata dhaawa zako kwa kuchelewa lakin uaga zaniguaa Sana. Nami naomba msaada kutoka kwako insha'Allah na mungu akubariki insha'Allah
@suheilahsuheilah49683 жыл бұрын
Mashaallah tabaraka Allah Allah akulipe kila la kher
Ninahisi kupenda na kuyafuatilia zaidi kwnye mawaidha yake.mwezi uliopita ijumaa alikuwa msikiti wa Lindi,nilitamani wasaa uende Ila ndio hvyo muda wa swala ulikuwa umewadia. Allah akutangulie katika kila lenye kheri
@SarahSongoro5 ай бұрын
Allah akufungulie kila mlango wa kher inshallah
@VincentMlugu Жыл бұрын
Asante kwa mafunzo
@agnesimchicha4499 Жыл бұрын
Namshukulu sana she mungu akulinde hivi vitu ndio vinasumbua watu nimeandika naenda kizitafuta
@aminarahma2659 Жыл бұрын
MASHAALLAH Allah akulipe badala
@zainabuabdi8549 Жыл бұрын
Jazakalahu kher
@anisasalim79052 жыл бұрын
ALLAHUMMA AMIN Mashaallah shukran wa jazaka ALLAH Kheir AMIN
@bellbell92943 жыл бұрын
Maashaallah shukraan Sana sheikh wetu Allah akuhifadhi jazaka Allah khaira
Maa Shaa Allah nahitaji hayo mafuta uliochanganya sheikh tutapata vipi tupo 🇬🇧 UK
@halimayusuf16163 жыл бұрын
Kataja no zake hapo mwisho
@BENARDMWITI-qt5su8 ай бұрын
Hello Sheik Othman Michael,my name is Ismail from Kenya,,nathani kwamba unaweza kunielekeza vle ntapata haya haya mafuta matakatifu hapa kwetu Kenya InshaAllah Ustadh
@bintmohamed12484 ай бұрын
Haya mafuta wapata markiti if uko mombasa kuna maduka ya kuuza dawa za kisunah. If Nairobi jaribu maduka ya wasomali
@ummuwalid36443 жыл бұрын
Assalaam aleykum natumai hamujambo nyote inshaaAllah nilikuwa naomba tafadhali sheikh uthman kama utaweza kunitengezea hayo mafuta ya kuchanganya kisha unipe idadi ya pesa ya gharama ya hiyo dawa mm niko Kenya kisha unitumie nami nikutumie pesa zako
@binkhalifa4963 жыл бұрын
Dah Allah akuhifadhi tunaomba nakule kwenye tv yako sheikh
@ashafujo35063 жыл бұрын
Mashallah shukuran
@minzashaibu84693 жыл бұрын
Alhamdulilah 🙏
@zuuali42033 жыл бұрын
Barakallah fiq
@amanmyolo535910 ай бұрын
Subhanna llah
@salmawage72593 жыл бұрын
Jazakah allah kheir
@twariqkirigha8073 жыл бұрын
Barakallahu sheikh
@shanirose19562 жыл бұрын
Maa Shaa ALLAH tabaraka ALLAH
@eddahmwinzi3 жыл бұрын
Mashallah
@mename60203 жыл бұрын
Allah akulipe kheri
@mayahabib4160 Жыл бұрын
Sheikh nasumbuliwa na jini mahaba nakupataje
@hidayaselemani51703 жыл бұрын
Mungu.akubariki
@salalbatrani38953 жыл бұрын
Mashaallah shekh shukran kwa kutuelimisha Allah atakulipa