Ottu Jazz Band - Lucy Bandawe

  Рет қаралды 153,619

Power Nguzo

Power Nguzo

Күн бұрын

Пікірлер: 54
@moseskamgwawa223
@moseskamgwawa223 10 ай бұрын
Old is Gold,
@digitalworld5577
@digitalworld5577 5 жыл бұрын
...na hakika marehemu Momba ndo alouanzisha kwa maneno matamu sana...”Ni wosia ooh alonipa mama, alinihusia.......
@juxmontana8901
@juxmontana8901 3 жыл бұрын
Imetulia maneno yahekima sama mombba uyo Asumani momba
@fredricketabale9377
@fredricketabale9377 4 жыл бұрын
Na sisi tulio Hai mchango wetu kwa Dunia utakuwa nini
@phakundigervas1360
@phakundigervas1360 3 жыл бұрын
Where hiyo ndo Sanaa wa 57 anaimba kama mtoto wa la tatu.RIP great men
@digitalworld5577
@digitalworld5577 5 жыл бұрын
Leo nilijikuta nauimba huo wimbo, nikaona ni vyema niingie youtube niutafute... Utunzi mzuri sana wa marehemu Othman Momba kwa mkewe Lucy Bandawe. Wakubwa wetu hawa wametutangulia na kutuachia hazina ya tungo zilizotukuka...Mwenyezi Mungu awarehemu na awape pumziko lenye faraja.
@richardmagaka9525
@richardmagaka9525 4 жыл бұрын
Dah ama kweli hawa ndo watunzi na wanamziki wa kweli ama kweli ni hazina kubwa tuliyoachiwa ya burudani
@hassankidawa1410
@hassankidawa1410 3 жыл бұрын
Kwa kwl INA nikumbusha MBL kwel luc bandaw kwake momba by bady Bruc tanga
@benansormajinge779
@benansormajinge779 3 жыл бұрын
Mola rudisha hii dunia
@gabrielmtaturu5163
@gabrielmtaturu5163 Жыл бұрын
Nawakubali sana wazee hawa
@kokombwana8625
@kokombwana8625 5 жыл бұрын
Namkumbuka kaka Omari Simba Kinyamiti wa Chimbuchimbu Porter's enzi za uhai wake. Rip
@charlesmerengo3490
@charlesmerengo3490 3 жыл бұрын
Eeh! Mwenyezi Mungu, ungewachukua tu hawa wasanii Wa kizazi kipya, halafu ukaturejeshea wanamuziki wetu wazuri.
@georgengakunga8419
@georgengakunga8419 5 жыл бұрын
Moja ya album bora kabisa kuwahi kutokea kilio cha mtu mzima
@papsonali3739
@papsonali3739 6 жыл бұрын
Yeah ilikuwa na haitotokea tena ..walifanya yao wakapita let them rest in peace
@njaleemmanueli2382
@njaleemmanueli2382 8 жыл бұрын
ninapenda mizki ya msondo mungu walaze mahala pema waliotangulia ila sms zao bado zinapeta
@mzuvendi
@mzuvendi 7 жыл бұрын
Umetulia Tuliiii! Maneno yenye hekima!
@wiliamntigoza7915
@wiliamntigoza7915 7 жыл бұрын
pengo la Hawa watu hakika halitazibika.
@sarahkolokoni6481
@sarahkolokoni6481 5 жыл бұрын
Mambo
@chimgegengaliyaya3883
@chimgegengaliyaya3883 6 жыл бұрын
Lucy bandawe nipeleke Nyasa
@ahmadkhamis2326
@ahmadkhamis2326 7 жыл бұрын
Napenda sana nyimbo za msondo haswa wimbo wa bahati Lucy.bandawe.na.mzim wosia baba na nyinginezo we acha wanifikisha mbali enzi zetu duu
@edinamtote6963
@edinamtote6963 4 жыл бұрын
Kitambo sana
@anthonygodfrey5603
@anthonygodfrey5603 8 жыл бұрын
kweli mziki ulikuwa zamani
@gwisumahona7813
@gwisumahona7813 8 жыл бұрын
wonderful songs,
@adampeter4793
@adampeter4793 7 жыл бұрын
ngoma nzuri sana, unacheza hautoi jasho
@najimnyanza8606
@najimnyanza8606 8 жыл бұрын
what a combination rest in peace moshi
@mikesample5954
@mikesample5954 7 жыл бұрын
msondo Ngoma fantastic
@aidanimhatu2417
@aidanimhatu2417 6 жыл бұрын
MSONDO SMS ZENU ZINATESA ZIKOJUU
@machakoreyson8280
@machakoreyson8280 5 жыл бұрын
Safi sana! Mida ile ya sa nne usiku upo mahala tulivu na kinywaji chako! Za watu wazima hizo. Ujumbe tupu!!.
@peterbayo4677
@peterbayo4677 5 жыл бұрын
Amazing music combination and vocal too!
@abuathumani1955
@abuathumani1955 6 жыл бұрын
Wanamziki Walikuwepozamani Sasahivikuna Wasani
@sofiambaga9911
@sofiambaga9911 6 жыл бұрын
Vyedi vya Tonga hale jamannnnn
@anthonynyanduga6128
@anthonynyanduga6128 6 жыл бұрын
wazee HAWA walikua makini sikuhizi wamebobea mapenzi nyimbo zao hazina maudhui hazionyi jamii zinawahi kuchuja
@ramadhanisemboga8326
@ramadhanisemboga8326 5 жыл бұрын
pendasana hizinyimbo
@bensonmsuya5614
@bensonmsuya5614 5 жыл бұрын
Hakika
@dingomaster1
@dingomaster1 5 жыл бұрын
Msondo Ngoma baba ya muziki
@yakubuathumani6010
@yakubuathumani6010 7 жыл бұрын
wap Rabana
@zuhuraally1414
@zuhuraally1414 6 жыл бұрын
wimbo nzr xana
@zachariangassa4189
@zachariangassa4189 5 жыл бұрын
Kiukweli nakumbuka mbali sana miak 22/iliyopita nikam nalejerea vile
@mausant2000
@mausant2000 Жыл бұрын
3:26
@sagengejagadi2356
@sagengejagadi2356 8 жыл бұрын
very interested song
@njaleemmanueli2382
@njaleemmanueli2382 8 жыл бұрын
munga awalaze mahala pema peponi
@khamismakame3645
@khamismakame3645 6 жыл бұрын
mambo tote hadharani si mnaona
@florakweyunga878
@florakweyunga878 6 жыл бұрын
saaafiiii...... msondo ngoma jamani.mm napenda nyimbo zote za msondo.kweli zamani walikuwepo wasanii na watunzi,siku hizi,,..... mmmh.......( )
@williardkinabo6827
@williardkinabo6827 6 жыл бұрын
Napenda sn wimbo lus bandawe jamani!
@IbraSuleiman-d5f
@IbraSuleiman-d5f Жыл бұрын
Leo ckiliza msondo fake ya Hassani Moshi wazee wa nyagi
@amosimwambene1034
@amosimwambene1034 8 жыл бұрын
wapi wazee wetu
@anaelimbise4034
@anaelimbise4034 5 жыл бұрын
Baba ya Muziki
@shamarsalpha6316
@shamarsalpha6316 2 жыл бұрын
M
@ludwickernest3588
@ludwickernest3588 7 жыл бұрын
Lucy bandawe nipeleke nyasa
@davdav6813
@davdav6813 5 жыл бұрын
Suleman bwebwe..tx moshi wiiamu.othuman momba .muhidni gurumo..jose mahina .HAKIKA KAZI MMEIMALIZA ..NYIMBO ZENYE MAADILI MUNGU AWAPUMZISHE .... lucy bandawe nipeleke nyasa
@divasonmoke8009
@divasonmoke8009 5 жыл бұрын
moshi hio sauti baba ni og
@lelamsengi9366
@lelamsengi9366 5 жыл бұрын
waishi mahara pema peponi walio tangulia mbele ya haki
@godblessmsuya
@godblessmsuya 5 жыл бұрын
Huo ndiyo music
@andreaa.nyundo8333
@andreaa.nyundo8333 5 жыл бұрын
Hakika ninawakubali hadi Leo hii wazee wangu hawa,nawakumbuka sana
Ottu Jazz Band - Arabia
10:19
Power Nguzo
Рет қаралды 96 М.
Ottu Jazz Band - Usichezee Chuma Cha Moto
7:03
Power Nguzo
Рет қаралды 70 М.
哈哈大家为了进去也是想尽办法!#火影忍者 #佐助 #家庭
00:33
火影忍者一家
Рет қаралды 129 МЛН
Juwata Jazz Band - Msafiri Kakiri
6:50
Power Nguzo
Рет қаралды 353 М.
Juwata Jazz Band - Fatuma Maisha Vita
7:46
Power Nguzo
Рет қаралды 152 М.
DDC mlimani Park orchestra   Fikirini Nisamehe
5:47
Sam Exavery
Рет қаралды 32 М.
Ikiwa kama hunitaki
5:22
Nuta Jazz Band - Topic
Рет қаралды 34 М.
Ilikuwa Ni Lifti (feat. Vijana Jazz Band)
7:24
Bongo Records - Topic
Рет қаралды 8 М.
Anna   Juwata Jazz Band
8:18
Power Nguzo
Рет қаралды 23 М.
GLORIA   MSONDO NGOMA
6:23
Afro Masai Club
Рет қаралды 11 М.
Vijana Jazz Band - Maisha Ya Amba
8:37
Austine Malala
Рет қаралды 87 М.
Msondo Ngoma Band Ajuza Official Video
8:47
Africha Entertainment
Рет қаралды 74 М.
Sogea Karibu - Juwata Jazz Band
8:48
Power Nguzo
Рет қаралды 279 М.