Ottu Jazz Band - Usichezee Chuma Cha Moto

  Рет қаралды 70,230

Power Nguzo

Power Nguzo

Күн бұрын

Old is Gold!

Пікірлер: 29
@kingkibedui5091
@kingkibedui5091 4 жыл бұрын
Hatari Sana mzee naangalia 2020 now tar 5 mwezi wa kwanza
@unclesaleh3257
@unclesaleh3257 4 жыл бұрын
R.I.P Wapendwa wetu, Mwenyezi Mungu awapunguzie adhabu za kabuli.
@henrychaula1174
@henrychaula1174 4 жыл бұрын
Usichezee chuma cha moto mtoto utaungua, nimevuka maji ya shingo lakini mgongo haukulowa ha ha haa TX MOSHI, GURUMO, MBWEMBWE RIP. Seleman Mwanyiro na Mabela asante baba zangu shikamooni!
@hajimsekeni69
@hajimsekeni69 Жыл бұрын
Yaaani maji ya shingo mgongo haukuloa hili Nene zito kweli kweli😂😂😂
@zakariahassan8223
@zakariahassan8223 2 жыл бұрын
Good song from Tanzania
@maganaden4729
@maganaden4729 4 жыл бұрын
Msondo ngoma hapo kuna mwanyiro, moshi wiliam bila kumsahau Saidi Mabera
@kudramzee1475
@kudramzee1475 6 жыл бұрын
Hizi ndio nyimbo za kusikiliza r. I. p
@neemafurahisha5742
@neemafurahisha5742 8 жыл бұрын
hizi ndio nyimbo za maadili bhana
@yakobjongo3973
@yakobjongo3973 8 жыл бұрын
imetulia hongera kwa kazi nzito
@bryuronu4858
@bryuronu4858 9 жыл бұрын
Hawa jamaa walikua mwishoo bwana..daa full burudani..chuma chikoli moto..
@pabliz_
@pabliz_ 6 жыл бұрын
Masauti hatarii bila ya auto tune muziki wa ukweli muziki huu sijui kama tutaupata tena...
@athumanmilanzi5741
@athumanmilanzi5741 7 жыл бұрын
ni nyimbo za mafundisho na kufuraisha akunaga
@balozimchomvu7779
@balozimchomvu7779 6 жыл бұрын
Mwanyiro
@kingkibedui5091
@kingkibedui5091 3 жыл бұрын
2020 na watch
@zakariahassan8223
@zakariahassan8223 2 жыл бұрын
R I p all singers
@msuyawamsuya900
@msuyawamsuya900 3 жыл бұрын
Dah!! Utunzi wa Suleiman Mwanyiro "Computer" ukiwa dongo Kwa Twanga Pepeta....
@athmanimkangara9290
@athmanimkangara9290 2 жыл бұрын
Daaah!! Nilikuwa cjui nilidhani donge kwa sikinde watani zao twanga waliingiaje hapo?
@aminimpeta7815
@aminimpeta7815 7 жыл бұрын
Do hii khatari hapo mpaka kiama aitokei tena
@charleswerema8848
@charleswerema8848 9 жыл бұрын
Imetulia
@khalfanmakota3905
@khalfanmakota3905 2 жыл бұрын
Yan hii ngoma jaman wap mahina na Hassan rehani
@martinkwingwa547
@martinkwingwa547 8 жыл бұрын
Zinapunguza stress.
@benniefuko2822
@benniefuko2822 9 жыл бұрын
cha kale dhahabu
@gabbymajinji4347
@gabbymajinji4347 6 жыл бұрын
ilikuwa kiboko hakuna tena
@engr.fadhilnguzo236
@engr.fadhilnguzo236 9 жыл бұрын
Nimeikubali....
@khalifakajuna6534
@khalifakajuna6534 5 жыл бұрын
nice song
@davidahobokile5568
@davidahobokile5568 4 жыл бұрын
Usinichezeee chumaaa cha motooo haaahaaa
@emmanuelshaban6142
@emmanuelshaban6142 4 жыл бұрын
Daaaah!, R.I.P mziki wenye burudani, tunaumiss sana, bado unahit
@mikidadilifumike239
@mikidadilifumike239 9 жыл бұрын
Iko poa
@mshikejuma8028
@mshikejuma8028 3 жыл бұрын
Eeh! Hiyo ndio baba ya ngoma, kila mtu anaitendea haki idara yake, hata kama si mpenzi wa muziki utawapenda tu, Mola Awaghufirie walioko barzaq, waliwahudumia waja Wake maskin!
Ottu Jazz Band - Arabia
10:19
Power Nguzo
Рет қаралды 96 М.
Ottu Jazz Band - Dunia Ya Sasa
10:03
Power Nguzo
Рет қаралды 103 М.
小蚂蚁会选到什么呢!#火影忍者 #佐助 #家庭
00:47
火影忍者一家
Рет қаралды 119 МЛН
怎么能插队呢!#火影忍者 #佐助 #家庭
00:12
火影忍者一家
Рет қаралды 38 МЛН
Хасанның өзі эфирге шықты! “Қылмыстық топқа қатысым жоқ” дейді. Талғарда не болды? Халық сене ме?
09:25
Демократиялы Қазақстан / Демократический Казахстан
Рет қаралды 339 М.
Ilikuwa Ni Lifti (feat. Vijana Jazz Band)
7:24
Bongo Records - Topic
Рет қаралды 8 М.
Ottu Jazz Band - Ndoa Ndoano
9:40
Power Nguzo
Рет қаралды 299 М.
Mziki wa dansi zilipendwa- JJB- Priscilla
7:26
Eddie Nassor
Рет қаралды 72 М.
Sikujua Kama Utabadilika - Simba Wanyika
8:54
arodiboyi
Рет қаралды 203 М.
Ottu Jazz Band Makutubu Official Video
10:33
Africha Entertainment
Рет қаралды 147 М.
Vijana Jazz Band - Magaidi wa Msumbiji (Wembe ni ule ule)
6:43
Zilizopendwa Afrika Mashariki
Рет қаралды 6 М.
Arabia Fadhili- Ottu Jazz Band
10:18
JeffBalla Fundi
Рет қаралды 6 М.
Vijana Jazz Band - Maisha Ya Amba
8:37
Austine Malala
Рет қаралды 87 М.
Ottu Jazz Band - Lucy Bandawe
8:14
Power Nguzo
Рет қаралды 153 М.
Msondo Ngoma Band Mzee Wa Miba Official Video
8:35
Africha Entertainment
Рет қаралды 433 М.
小蚂蚁会选到什么呢!#火影忍者 #佐助 #家庭
00:47
火影忍者一家
Рет қаралды 119 МЛН