Nawaomba sana Viongozi kama mtaona hii comment hakikisheni Pacome anapewa Mkataba wa miaka 5 na mshahara uboreshwe sisi mashabiki tutachangia kama klabu itashindwa kumlipa. Kama wananchi mnakubaliana na mimi wekeni like zenu hapa.
@Mr.kigoma5 ай бұрын
Kweli kabisa🎉😂
@noelabeli33465 ай бұрын
Kweli
@denimpemba5 ай бұрын
Tupo baba
@rashidimikongana5 ай бұрын
Kweli inabidi apewe mapema sana
@LeonardKessy-d2i5 ай бұрын
Kweli kabisa
@abbykgm24445 ай бұрын
Kama unaamini pacome Zouzoua ndo MVP wa msimu ujao like hapa
@KS-iw7qv5 ай бұрын
Yaani umepewa pasi mpira umekushinda mpelekee Pacome.... ❤❤❤ sijui kata anapita pita vipi jamaa fundi.....sana
@jaffjeff69125 ай бұрын
Eeeh ukiona pakuupeleka hakuna Kuna msitu wa watu mpe mali Pacome apasue ngome ya adui
@JohnJohnmushi5 ай бұрын
Kazi yetu nimoja tu jaman tulipe kad za uwanachama na ushabiki bss pacome atabaki ❤😊
@ismailmasoud60015 ай бұрын
Yaani Jana ilikua zilezile TANO,..Wakati ujao MAKOLO mtalia ngoja GAMONDI awasome na kocha wenu ,...AMINI NAWAAMBIA
@RhodaMloge5 ай бұрын
Kikubwa wasimuache mganga wao wa jana😂😂
@Oscartv155 ай бұрын
Tunomkubali pacome tulike hapa
@damasmayanja29305 ай бұрын
Pacome ,Mungu Baba yetu wote akupe afya njema, nguvu na maarifa zaidi tukuone imara zaidi CAF CL 2024/2025❤
@edsonmakweta63475 ай бұрын
Le professor 🔥
@amriiddy19725 ай бұрын
Mtu Nanusu 🔥
@l.marley_25425 ай бұрын
Pacome ndio Star wa Yanga
@rosemaryKalega-c5s5 ай бұрын
Pacome ataendelea kua juu daima🎉
@jmwa5 ай бұрын
Tuwekee ya kaka Mzize pia
@AziCure5 ай бұрын
Pa co me Mwamba sana
@Dopa7MC5 ай бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 profesa
@FatumaKitambuu5 ай бұрын
Mwamuzi kawaokoa sana simba
@MaulidRajab5 ай бұрын
Pacome, pacome, pacome, nimekuita mara 3 🙏
@mussakakinda66375 ай бұрын
Naomba viongozi wetu wamuongezee mkataba miaka 6
@MichaelNgowi-nc3vn5 ай бұрын
Pacomeeeee fundi mnoo
@neemamwasomola86635 ай бұрын
Namkubali max pacome na yaoyao
@radhiamussa16295 ай бұрын
Pia wachezaji wasiwe wabinafsi kwenye pasi watoe kwenye kufunga wafunge wasilazimishe pia ushapu wakafanya mahamuzi ya haraka mfano dube alivyokosa kufunga endapo hasingewai kukimnilia kushangilia goli angerudi haraka nakuweka mpira wavuni baada ya kugonga nguzo nakurudi nje kuchelewa kwake ndio kulimkosesha goli zuri kabisa ,teamwork, consistent na higher spirit mwanzo mpaka mwisho wa mchezo
@davidmassawe92885 ай бұрын
Apewe mkataba mapema Sanaa aisee 💪🔰🔰🔰
@adammkisema15245 ай бұрын
HAPA CHAMA KAYAKANYAGA ATACHEZEA BENCHI SANA
@mwajumampokileomckapela75414 ай бұрын
Pacome on 🔥🔥💚🖤💛
@Evance-op4jw5 ай бұрын
asante muuba kwaajili kiumbe chako hiki pacome
@kolosii43515 ай бұрын
Maforward inabidi wachangamke zaidi. Viungo wako vizuri sana. Bado wao tu ili mziki unoge.
@johnabery-vn7eb5 ай бұрын
Namkubali zouzuaa viongz wamjali sn
@kabujeasukile54625 ай бұрын
MWAMBA ANATISHA sana
@AlfaMwasofu5 ай бұрын
King of football Pacome deserve balloon 'd or
@HappyKitindi5 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂
@ShafiiHungo5 ай бұрын
Weeeeeee pacome wee rahaaaaaaa aiseeeeee huyu kiumbe kama gaucho
@kedyjohn18484 ай бұрын
Hili lijamaa aisee duuh
@yohanadavid80555 ай бұрын
Viongozi, wanachama na mashabiki wa Yanga tunapaswa kukemea uamuzi mbovu sana kutoka kwa waamuzi wote watatu ambao jambo lao na mpango wao ulikua ni mmoja walikua well organized kuikwamisha YANGA hawa waamuzi wanasababisha wachezaji wafanye kazi mara mbili na kutumika nguvu nyingi sana, wanapewa kiburi na ile ofisi iliyojaa watu wao
@frankmlalila17055 ай бұрын
Mbwa weeee
@LucasDeus-l8m5 ай бұрын
Mtu hataree Sana 🤝
@vaxminja90535 ай бұрын
Faulo mbaya kama hiyo hakuna kadi
@damianmcba95255 ай бұрын
Kama yule fala Mzamilu kamwingia pacome na miguu yote miwili asingeruka kidogo ingekuwa noma
@amaniomar17555 ай бұрын
Safi sana 🎉🎉🎉
@SalumRashid-b2s5 ай бұрын
Hii yanga ni balaa mno tupewe mapema tu kombe letu
@nahimjumanne81885 ай бұрын
pacome Kawatesa Sana Makoro 😂😂😂😂😂
@kolosii43515 ай бұрын
Mungu amlinde hii ndio sala yangu kwake na wenzio.
@SHABANIABEDI-qt1vw5 ай бұрын
Nani alikua anamfananisha chama na pacome
@vibetz99915 ай бұрын
Dakika Tisa zote zimejaa matukio ya mtu mmoja tu,,, we huogopi,, 😂😂😂wachezaii wengine 21 wamegawana DK 80😂😂😂
@alexponera465 ай бұрын
Pacoume Ana vitu uyo
@AbdalahIddy-w4x5 ай бұрын
Ball brainn zouz⚽️⚽️⚽️⚽️🌏🌏🌎🌏🌏
@shaluanelson73635 ай бұрын
Sijui ni kwann mzamiru hakupewa onyo la kadi ya njano. Ama kweli refa aliaumua kuwa mbeleko
@damasmayanja29305 ай бұрын
Pacome Siyo binadamu wa kawaida 😂😂😂
@KhamisHamad-v7f5 ай бұрын
Ubaya ubwela walikusudia kumuumiza Eli professor pacome
@Fredynchacha-qx1lv5 ай бұрын
Huyu jamaa n mtu hatariii sana
@RashidMuhunzi-pr5xj5 ай бұрын
❤ PACOME ZOUZUA
@robertchazya23515 ай бұрын
Dube naye vipi sijui hapo
@JohnNkumbi2 ай бұрын
Uhkk mwingii
@FiniasBugobola5 ай бұрын
Pacome 🎉🎉🎉🎉
@CatherineFrancis-ii7eq5 ай бұрын
NI RAHA KUMTIZAMA JAMAN
@rasheedabby28715 ай бұрын
Kiwango cha pacomme ni mara tatu ya wachezaj wote wa simba combined
@LucyVictor-c9c5 ай бұрын
Halafu anatolia kenge mmoja anasema Pacome Zouzoua hamna kitu...
@charlesmakuri7925 ай бұрын
Pacome ni kati ya wachezaji walio wa kiwango cha juu
@Yassirjuma-i1c5 ай бұрын
Wamshkru tuh refa kwa mapenz yao
@KS-iw7qv5 ай бұрын
Ukitizama mechi za Yanga misimu hii miwili yaani burudani tosha inalipa kwa sisi wapenda soka la burudani
@shaibusaady24205 ай бұрын
Allaah Akbar
@MafegiPesambili5 ай бұрын
Mwamba noma
@radhiamussa16295 ай бұрын
Nawatakia Kila la kheri kwenye mechi ya kesho kombe tunalitaka hiwe hisiwe maana Azam washajinadi kuwa kesho kombe wanalibeba,pie kuweni makini na Kila mbinu mbaya ikiwemo kuumiza wachezaji wetu na kuweni makini na feisali maana kesho atakamia ilitu hatufunge na wachezaji wengine pia naimani benchi la ufundi litafanya homework nzuri kuikabiri na pia wachezaji wazitumie nafasi vizuri ndani ya box na nje ya box lasivyo ata kimataifa itatucost lazima tuwe makini one chance one goal
@DavidPoul-y8k5 ай бұрын
Uyu pacome nimdogo wake messi
@beatbyrich28915 ай бұрын
Pacome mpira wake Upo kichwani kuna watu wangeenda shule wangekuwa ma professor kweli
@DanielSunzu-fm5ji5 ай бұрын
Fundi wampira apawe mkataba wa miaka mitano
@dragon_tz5 ай бұрын
Mmmh.. mm nachakusema hata.. haakhaa mwenzako. 😮
@idrisamapesa27325 ай бұрын
huyu mwamba huwez amin kama walukuja kwa mguu na yao kouas 😂😂😂
@SephaniaPaul5 ай бұрын
jamani kwel hii dhahabu tuliyo pewa iongezwe mkata mpaka elf mbili 30 kwa xixi tunaopenda xayansi ya mpira kiukwel hatuchoki kukitazama hichi kiumbe ata kama hela ya kumublolexhea mkata itakuwa hakuna mtoe tu no ya lipa wengne tuanze kutoa tulicho kuwa nacho mana jamaa he's top top bext player
@samweljames5 ай бұрын
Oooooh wow🎉😂
@kolosii43515 ай бұрын
Pacome umefanya vizuri kwa mmoja huyo aliyekung'ang'ania maungoni ukamtupia huko! Na wengine wakija vibaya kwako wafanyie hivyo hivyo.
@charlenekabelela21555 ай бұрын
Huyu ni ZoaZoa anasafisha kijiji chote
@AllyMasangaluka-bm5ib4 ай бұрын
Mbona wachezaji wa Simba awapewi kadi au ndio maelekezo kwa kalia msomali
@MichaelMakelo5 ай бұрын
Pacoum zidane wa bongo
@patricknyiti53035 ай бұрын
Zimbwe kaonekana kama mchezaji wa Ndondo
@JoshuaAshery-u3x5 ай бұрын
Next MVP
@amosimilanzi685 ай бұрын
Ila nyie mantra muacheni aitwe Bugatti maana anajua kumchochea mtu mpa bas yan...😮
@ahmedsdk67365 ай бұрын
Niliwahi kusema kw pacome chama namba uhakika n mdogo kupata
@YusuphBupamba5 ай бұрын
Niatali xana Pacome ni kama feni hivi Sema walitaka kumumiza ndomaana akapunguza sped
@MwaniPh5 ай бұрын
Chuma hki
@AdelaJohn-h1p5 ай бұрын
Ukweli shabalala ameteseka
@jumamakuri91765 ай бұрын
Punguzeni mziki ili matangazo yasikike vizuri
@GosbtMhoz-c3o2 ай бұрын
Hatar
@josephgalandu1285 ай бұрын
mlipatana simba refa apunguze idadi ya magoli
@RashidiAhmad-ow5fb5 ай бұрын
Acha aitwe profecor
@charlesmakuri7925 ай бұрын
Still simba say they played well
@madibasenior4125 ай бұрын
Ivi hua mnasumbulisha na nn kueka music sound juu mnatuboa
@MudyAlly-q7d5 ай бұрын
Huyu refa hatokagi na kadi au hua hajisikii kutoa kadi pacome kachezewa rafu 4 ya 5 ndo anatoa kadi
@EliasOwilly5 ай бұрын
Marefa wetu kwakweli wanamapungufu mengi watu wanavuja jasho jingi halafu ,anafanya fyongo ni baya sana
@wedsonanangisye55125 ай бұрын
nikupigaaa kichwan badooo wanaaa pumua
@AllyAmanzi-y8i5 ай бұрын
huyo mzee wa kijiji kuwakusanya
@mwansasujonny35365 ай бұрын
Hakunaga
@worldhappiness11815 ай бұрын
Huyu akienda madrid anachukua Ballon d'o
@EmanuelLyambata5 ай бұрын
Uyu jamaa anajua jaman
@mupenziildephonse54275 ай бұрын
Yanga murarenze.
@StevenKapugi-y7b3 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@User92.invisible5 ай бұрын
💚
@AllyMikidadiAlly-v5f5 ай бұрын
Weka Mutale na zouzuoa halafu fadlu awe kocha atampanga nani kikosi cha kwanza?
@kolosii43515 ай бұрын
Hawa wachezaji wa simba rafu nyingi sana na kubembea maungoni mwa wachezaji wetu. Vipi ndio mlichojifundisha huko??
@selemanmussa34595 ай бұрын
Huyu anayeweka background music huwa ni kiziwi au?
@allysaidlyambange45005 ай бұрын
😅😅😅TUACHIENI TU DOWNLOAD FOR FREE JOMONI BOSIIII AAAA😅😅