PAMBALU AICHAKAZA CCM KAGERA, ATOA HOTUBA NZITO, "MTAENDELEA KUTESWA NA CCM MPAKA LINI?"

  Рет қаралды 29,613

Mwanzo TV Plus

Mwanzo TV Plus

Күн бұрын

#TANZANIA: John Pambalu, Mwenyekiti wa Baraza la Vijana wa Chadema aichakaza CCM huko Kagera, atoa hotuba nzito, "mtaendelea kuteswa na CCM mpaka lini?, mnapeleka watoto wenu vyuo wakimaliza wanakuwa bodaboda kisha wanawaita maafisa usafirishaji, mpaka lini?, Idi Amini alivyokuwa anaichokoza Tanzania, Nyerere alijiuliza mpaka lini? akamtwanga"

Пікірлер: 74
@jumakisailo8496
@jumakisailo8496 4 ай бұрын
John Pambalu, Mungu akubariki sana. Umenifanya nibubujikwe machozi..,😭😭😭...mpaka lini..!!??..😭😭😭
@user-tu2ne7so3b
@user-tu2ne7so3b 2 ай бұрын
Upo vzr sana , utafika mbali ndani ya chasde au nje ya chadema
@essaumapunda5766
@essaumapunda5766 4 ай бұрын
Big up John safi sana
@abdalahgunda1319
@abdalahgunda1319 4 ай бұрын
Point pambalu creat lmotion into Tanzania population there kagera hiyo ndio sauti ya upinzani jengeni nguvu ya Uma umoja kulindana sababu upinzani nguvu yake ni unity kulinda wanachama wake na viongozi wake na kuwaaminisha sauti ya viongozi ni silaa na nguvu moja hapo mtafanya nchi ya wananchi sio vyama tuu eshima itakauwepo police na ccm chama tawala wataeshimu maamuzi ya wengi
@LufingoMwalongo
@LufingoMwalongo 3 ай бұрын
Sawa
@vitalisnyagali2774
@vitalisnyagali2774 4 ай бұрын
Pambaru mungu akulinde
@rithaurassa
@rithaurassa 21 күн бұрын
Hakika CHADEMA inawatu welevu akili mingi sana .MUNGU awabariki San.
@lucaschisamalo2852
@lucaschisamalo2852 4 ай бұрын
Mpaka lini inauma Sana watu wanacheka kama mazuri tuchukue hatua
@user-uv7op3id3s
@user-uv7op3id3s 4 ай бұрын
Mpaka lini Duuuuh big up dogo Upo vyema sanaaaa
@scolabwana8252
@scolabwana8252 3 ай бұрын
Kijana yupo vizuri
@alenminja445
@alenminja445 4 ай бұрын
Pambalu Mungu akulinde
@user-ze6lx9ng6s
@user-ze6lx9ng6s 4 ай бұрын
Strong leader
@prospermsemwa1433
@prospermsemwa1433 4 ай бұрын
Pambalu politics guys good point
@LekenMatambash
@LekenMatambash 4 ай бұрын
Ongera Sana wanna kangera tupo pamoja kazi Andi ileweke
@Baraka-wn3mj
@Baraka-wn3mj 4 ай бұрын
Umetisha AA kamanda❤❤❤
@prospermalala6636
@prospermalala6636 4 ай бұрын
Ujumbe mkali sana ndani ya siasa za Taifa letu, Mungu akuongoze kwenye elimu iliyopotea ndani ya Taifa letu
@DiwaniMwafongo
@DiwaniMwafongo Ай бұрын
All the best...kamanda..! Kagera mna mtu, huyo dogo ni jembe!!
@PaskaliCharles-pz8ds
@PaskaliCharles-pz8ds 4 ай бұрын
Huyu kiongozi wa CCM aitwe ahojiwe pengine anajoa walipo waliopotea na kama CCM inahusika kupoteza watuambie
@maryfranknamkumba9182
@maryfranknamkumba9182 4 ай бұрын
OPERATION MPAKA LINI WELL DONE PAMBALU ❤️🙏🏾
@MzeewaslowHusseinAndrew
@MzeewaslowHusseinAndrew 4 ай бұрын
Kiongozi wangu umenifanya ni mwage machozi ya hasila sana baada ya kunikumbusha kifo cha Alfonsi mawazo.
@user-qi6ql1lp9k
@user-qi6ql1lp9k 4 ай бұрын
Nicee
@prospermsemwa1433
@prospermsemwa1433 4 ай бұрын
Power
@adellakyando2829
@adellakyando2829 4 ай бұрын
👍 good
@victorkisenha5933
@victorkisenha5933 4 ай бұрын
Point kaka,
@erickmsigala138
@erickmsigala138 20 күн бұрын
Ccm ni laana ya Taifa hili
@emmanuelsitayo1977
@emmanuelsitayo1977 4 ай бұрын
Bravo
@Abs-tz8dl
@Abs-tz8dl 4 ай бұрын
Inauma
@ZabroniSiyaleo
@ZabroniSiyaleo 4 ай бұрын
Pamoja kagela
@tumainimwaifunga3884
@tumainimwaifunga3884 4 ай бұрын
Huyu ndio pambalu
@user-ei3ps8dw8h
@user-ei3ps8dw8h 4 ай бұрын
Mtateswa nini Mozambique zenu zi Mambi Mozambique sababu Zina imetawala mwilni lazima mate muadhibiwe wote Wana siasa ni vapiga diĺi
@LekenMatambash
@LekenMatambash 4 ай бұрын
John pambalu mungu akutakulie Yani unajaribu kuelimisha but tupo pamoja na wewe
@JoshuaStanley-qu3im
@JoshuaStanley-qu3im 4 ай бұрын
Ukweli huo
@MageAwe-hl5zb
@MageAwe-hl5zb 4 ай бұрын
Mungu awasaidie
@albertkamala6843
@albertkamala6843 4 ай бұрын
Ujumbe mzito kutoka kwa Mwlm John Pambalu! Mazingira ya kisiasa yanayovumilia chama dola CCM kuhusika na jinai ya kupotezwa kwa wananchi hayapaswi kuvumiliwa hata kidogo! Maisha ya kila raia yana thamani kubwa! Sote tujifunze toka kwa Mwlm. Pambalu...MPAKA LINI? Siasa ifanyike kwa ushawishi wa hoja SI KUTEKANA NA KUPOTEZA ROHO ZA WATU!
@musasiame6138
@musasiame6138 4 ай бұрын
Products za SAUT
@helencyprian8745
@helencyprian8745 4 ай бұрын
Haswaaaa
@user-qo2nf6vm7k
@user-qo2nf6vm7k 4 ай бұрын
Upo sahihi kabisa.
@dominicksangu8934
@dominicksangu8934 4 ай бұрын
Ukovzur na sa hihi bro ✌️💪
@user-pi4et2cc7s
@user-pi4et2cc7s 4 ай бұрын
MPAKA KESHO KUTWA MSIPO CHUKUA HATUA LEO
@musasiame6138
@musasiame6138 4 ай бұрын
Kamanda pambalu
@JJ-fb9jp
@JJ-fb9jp 4 ай бұрын
Mh Pambalu kiboko
@ibrahimaziz7158
@ibrahimaziz7158 4 ай бұрын
Wazeee wa maokoto wanasubiri wakazimege bungeni kule
@nkwabidonald4277
@nkwabidonald4277 4 ай бұрын
Mh
@user-pf6yw7vh1p
@user-pf6yw7vh1p 4 ай бұрын
Idi Amini alikua sahihi ila NYERERE wenu ndie aliemchokoza uliza historia kama hujui 2:21
@user-nd4tq6nd8s
@user-nd4tq6nd8s 4 ай бұрын
One dream,, until the last cell
@dillonfoya
@dillonfoya 4 ай бұрын
Nami nimeelewa Pambalu alivyotueleza serikali isiyosikiliza hitaji la Wananchi "mpaka Lini"
@rahabufilangali-cp6br
@rahabufilangali-cp6br 4 ай бұрын
Nimetoa chozi😢😢😢😢 mpaka lini
@user-ww9iq9ds3p
@user-ww9iq9ds3p 4 ай бұрын
Mpaka liniiiii
@user-hj3ky9zy6y
@user-hj3ky9zy6y 4 ай бұрын
Bgp pambaru
@ElinaziAdil
@ElinaziAdil 4 ай бұрын
Tumeni maelokezo kwa kiswahili
@SayiMaduhu-ms7nl
@SayiMaduhu-ms7nl 4 ай бұрын
Mimi nadhani haya aliyamaliza mwl.nyerere na akamwachia Joshua ambaye ni mwinyi baada ya hapo wafalme wengine wakafuatia
@sskondopoleani9616
@sskondopoleani9616 4 ай бұрын
#NASIMAMA NA SAMIA
@user-md7sd3hk6l
@user-md7sd3hk6l 4 ай бұрын
niko lufiji lakini pambalu naku fatilia upo powa sana mwamba
@FestolMkumbwa
@FestolMkumbwa 4 ай бұрын
Somebody comred Pambalu.
@TM-zs3rm
@TM-zs3rm 4 ай бұрын
0:51 ❤❤😂😂❤
@hijazhija316
@hijazhija316 4 ай бұрын
Head shaking
@konderaeriasi6251
@konderaeriasi6251 4 ай бұрын
Saf sana makamanda 2025 tunamalizana nahao wates wetu
@konderaeriasi6251
@konderaeriasi6251 4 ай бұрын
Maisha yanazd kuw magum had tunataman ccm isngekuwepo
@pastorpetermageta6833
@pastorpetermageta6833 4 ай бұрын
Maisha ni magumu duniani kote, siyo Tanzania tu, bali ni kila mahali duniani
@JosephJon-wk6il
@JosephJon-wk6il 4 ай бұрын
Pambalu huwezi kustaph bambana nahaliyako
@user-yh3dv2bl7u
@user-yh3dv2bl7u 4 ай бұрын
Tuko pamoja makamanda
@user-wu2du6jy5c
@user-wu2du6jy5c 4 ай бұрын
Umesahau libiya
@ramadhanikassimu
@ramadhanikassimu 4 ай бұрын
Iyofasiyako tupesisiba watuawafanani sambay
@Henryphd355
@Henryphd355 4 ай бұрын
😅😅😅😅😅😅😅😅
@dominicksangu8934
@dominicksangu8934 4 ай бұрын
Hao wanasimamia ccm kuiba tuu
@evelynmwaimu-vd9jo
@evelynmwaimu-vd9jo 4 ай бұрын
Na sisi tuseme mwisho ni sasa majizi haya yaondoke
@helencyprian8745
@helencyprian8745 4 ай бұрын
Kabisa kabisa
@eliaskhamis1546
@eliaskhamis1546 4 ай бұрын
Neno kuntu
@user-nz9eb4ud6y
@user-nz9eb4ud6y 4 ай бұрын
Ukisikia maajabu ya dunia watumnacheka matatito
@user-rn9og1rk3l
@user-rn9og1rk3l 4 ай бұрын
Hapo ndo pakuchukua hatua
@twalibulomy-cd4zd
@twalibulomy-cd4zd 23 күн бұрын
Mbowe, nyundo sugu, lema wote wana bet.
@dickprince8757
@dickprince8757 4 ай бұрын
Pambalu umewakaaaa hatari
@rahabufilangali-cp6br
@rahabufilangali-cp6br 4 ай бұрын
Nimetoa chozi😢😢😢😢 mpaka lini
MBOWE AELEZA MAZITO KIFO CHA MOHAMEDI ALLY KIBAO
11:55
JAMBO TV
Рет қаралды 6 М.
Magic or …? 😱 reveal video on profile 🫢
00:14
Andrey Grechka
Рет қаралды 57 МЛН
#THEBIGAJENDA:NONDO ZA JOHN PAMBALU MWENYEKITI WA BAVICHA TAIFA
54:52
Star TV Habari
Рет қаралды 10 М.
NO JOKES! LISTEN TO WHAT DP GACHAGUA SAID IN CHURCH TODAY!
16:36
Kenya News Alerts TV
Рет қаралды 891