Hongereni sana makamanda wa mwanza kwa mwitikio wa chadema.hakika mimi ccm hamnioni tenaa! Chadema ina watu wenye hekima san hongeren sana.
@emanuelmsigwa19272 жыл бұрын
Tulihamia ccm natukachagua ccm kwasababu ya Magufuli naye aliiokoa ccm kwenye anguko Sasa baba Magu hayupo tunarudi chadema Ila mtuwekee mgombea urais mzuri asiye na dosari hatutaki mtetezi wa watu wanaoliibia taifa letu
@markangel15882 жыл бұрын
Asie na dosari ndiye asiye takiwa na huko ulipo na sio unahamia. Tunaitaji Tanzania moja isiyo na viongozi wasiokua na dira. tunahitaji viongozi wanapenda kuona Wananchi wananufaika na raslimali zao. Wale mlao masazo make kando, kando kabisa
Hawajamaa niliacha kuwapenda tangu walipokuwa wanalilia lockdown, vilipokuwa vinalilia Acacia wezi wa madini yetu wasifungiwe.
@brysonkaale30032 жыл бұрын
Kwani hadi unapoongelea Acacia Kuna chochote kilichofanyika?,ukishasaini mikataba huwezi kukurupuka kuivunja lazima itakugharimu.Makenikia yaliyozuiliwa si Baadae Acacia walirudishiwa!?.
@andrewmbwambo33122 жыл бұрын
kwani mpaka leo hujajua tu kuwa acacia tulipigwa... viongozi wa serikali walitudanganya kuhusu acacia ...... msikilize mzee kabudi ndio utaelewa
@rabomunde35502 жыл бұрын
Brow kweli kabisa hata Mimi Bado siwaelewi Naona ndo walewale!!
@bernardndemba22532 жыл бұрын
hata mimi siwaelewi at all
@patrickmujuni16722 жыл бұрын
Acha kashfa, fanya yenu
@yothamgwanika95302 жыл бұрын
Siasa 😀😀😀
@BindobinyaaCocibokodu11 ай бұрын
Kikokotoo ni hatari Kwa maisha.
@abdalahgunda13192 жыл бұрын
Voice of nation oganiziotion bavicha strong hold chadema Mwanza voice to gavment of ccm rooling part allow yang generation continue do smoll business without harassment with seciurity service this is what ccm.should cover weekiness avoid pressure from chadema strong hold opposition
@SADAMUGUMALIJA-qs8fb Жыл бұрын
Mkutano Chadem kasekese
@patrickmujuni16722 жыл бұрын
Nanyi shidayenu nikula tu na kujali familia zenu tulisha wajua. Ccm hatubanduki
@mudhihirugara8845 Жыл бұрын
Wewe ndo umeonge chamaana ilauelewe chadema imeungana na ccm
@yonaseni39452 жыл бұрын
JPM alimaliza hoja zenu
@bonnyngowo75672 жыл бұрын
Hata robo hajamaliza.Wewe ndio umemalizwa😆😆😆
@musakihama72052 жыл бұрын
@@bonnyngowo7567 naona ulikuwa hujazaliwa na kama ulikuwa umezaliwa,ulikuwa unanyonya.
@bernardndemba22532 жыл бұрын
@@musakihama7205 safi sana Musa
@IsayaSosolo-nx8zk6 ай бұрын
Zilipo malizwa wewe ulipata Nini?
@qasammamachinya4448 Жыл бұрын
Chadema mnamachizi,kwa sababu hanaga chaguzi za viongozi, huwa mnabambika tu,hiyo ndo hasara yenu
@philiplenardsylvester60632 жыл бұрын
Chadema muwe na maono ya taifa msiwe mnaponda Kila kitu ,ongeeni sera za maendeleo ya taifa
@ramadhanmahongole92932 жыл бұрын
usipingane na kimbunga Chadema ni kimbunga upende usipende kitakusomba na kimesha wasomba watu wengi na sasa kipo mioyoni mwao
Kwahali ya kawaida ya ubinadam ukipigwa risas moja umekwisha sasa mnauhakika kuwa lisu ni mtu au ni pepo
@ndogoroedson1992 жыл бұрын
Ndg zangu msikubali huyu ni sehemu ya wahuni tu! Leo et wanaona machinga mnaonewa wakati Magufuli anawatunza walipiga kelele, mbwa kabisa hawa
@yonaseni39452 жыл бұрын
Walichonga sana wakati wa vitambulisho mzee JPM aliwapenda wamachinga na kutamani wauze popote ili wapate riziki leo mnakuja na sera za ovyo, Dogo huwa simwelewi kabisa kuongea kwa nguvu cyo hoja.
@musakihama72052 жыл бұрын
Chadema ni mafala tu.
@bernardndemba22532 жыл бұрын
@@musakihama7205 tena sana sijui lini tutapata chama mubadala
@musakihama72052 жыл бұрын
@@bernardndemba2253 kudiri na vyama ni kupoteza muda,nachoona mimi harakati bora ni kujikomboa kiakili ili kila mchumia tumbo kama hawa maboya wasitusumbue,na baada ya kudai haki zetu wenyewe bila kutumia migongo ya vyama vya siasa.
@SmilingFlowerBouquet-hs2hv2 ай бұрын
Huwezi kumuelewa kwasababu huna akili timamu wale wenye akili timamu ndiyo tuna muelewa
@albertmuyenga78952 жыл бұрын
Chadema mnatatuwa matatizo ya wananchi lakini wanahinchi awaoni thamani yenu, kwasababu nyinyi mnaona panapo vuja panapo hasiri wananchi lakini mkisimama nakuongea kama watetezi Waho waki pasaisha wanaonekana watu bora kuliko yule alie hona tatizo nakuliongea.
@monicachacha4552 жыл бұрын
Kelele
@kuamino2 жыл бұрын
Natamani ningekuwa po
@jitabojilala61622 жыл бұрын
Heri pambalu kuliko mbowe ,tunataka vijana Kama hawa sio mbowe
@abdulsinga24642 жыл бұрын
You don't have notion
@abelianraphili51502 жыл бұрын
Bila mbowe...... Pambalu... Pengne asingefika hapo
@bernardndemba22532 жыл бұрын
@@abelianraphili5150 hiyo siyo hoja bora ungekaa kimya
@shaban97302 жыл бұрын
Ongea tu vizr utackika syo unapayuka tu
@bahatijacob74302 жыл бұрын
R,I,p,magufuli,laisi,wa,wawanyonge
@saidkahulu61122 жыл бұрын
Ww ukitaka aongelee nn
@samwelhiinyamhangahiileosi10602 жыл бұрын
Hana hoja tofauti na kuropoka na kueneza uchonganishi
@daudimchileg3072 жыл бұрын
Aheee kimbuga mtakoma, labda msitishe mikutano
@moriscollins44942 жыл бұрын
Mbona kama mahuburi hahahaha
@ngusawales20392 жыл бұрын
Mchungaji uko vizur
@NDEWARA2 жыл бұрын
Kelele tupuuu. Huyu hana hoja ndiyo maana anapayuka tu 😂😂
@gordiansoko91132 жыл бұрын
Vituko vitupuuu hoja hamna
@mudhihirugara8845 Жыл бұрын
Katina natumehuru haipatikani mtaani acha ujinga
@SmilingFlowerBouquet-hs2hv2 ай бұрын
Wale wenye akili timamu ndiyo tunalewa sela ya CHADEMA nyie mulio na akili hamuwezi kuelewa maana hata unaye muona wewe? Ni kichaa yeye anaakili ndiyo maana anajua mahali jalala lipo tofauti kuwa na akili timamu
@stephanokanyika63212 жыл бұрын
Huyu kijana anafaa kuwa mwenyekiti wa chadema taifa
@yusufsadic29302 жыл бұрын
Kulilia Hel mpaka mkono unatetemek
@theacademyuniversalglobalp94792 жыл бұрын
0714
@hijazhija3162 жыл бұрын
Haha
@fundifundi28302 жыл бұрын
Kaka pambalo.tuvushe kaka na kufatilia ni kiwa songea mbinga.
@bernardndemba22532 жыл бұрын
atakuvusha na nini na yeye longolongo tu .focus na maisha yako achana na wana siasa waongo sana