(Part 1) Captain Richard Aliyekuja na Ndege ya Aeleza Namna Alivyotoka Marekani hadi Kutua Tanzania

  Рет қаралды 94,507

CLOUDSMEDIA

CLOUDSMEDIA

Күн бұрын

Пікірлер: 41
@jenyyusuph4973
@jenyyusuph4973 6 жыл бұрын
voice wap mungu bariki vyombo vyote vya tz vyausafilishaji halari jaliya vituletee mafanikio wachunge waendeshaji wote amina
@salminasalim5630
@salminasalim5630 6 жыл бұрын
MMungu akubariki na ambariki mama Ilangwa Shahidi alie kuzaa akakulea na kukusomesha vizuri ukaja tusaidia watanzania inshallah
@saumuhassan1365
@saumuhassan1365 6 жыл бұрын
*YAJAYO YANAFURAISHA* Mshallah, hongera sana Rais wetu.
@elizabethmwakalinga3287
@elizabethmwakalinga3287 6 жыл бұрын
Hongera sana rubani, Mungu akubariki sana.
@abellabv
@abellabv 6 жыл бұрын
Hongera sana. Captain umenikumbusha mbaliii. Sasa niwe serious kuwatafuta ndugu zangu wa Arusha na Mwanza. Ngoja nikachungulie kibubu changu. 😊
@lordcamau
@lordcamau 6 жыл бұрын
We, Kenya, got our first Boeing 787 Dreamliner back in 2014 and now we have 8 of them. #KenyaAIRWAYS #ThePrideOfAFRICA #ProudlyKenyan
@Ambagaye
@Ambagaye Жыл бұрын
so?
@shindapapaya9194
@shindapapaya9194 6 жыл бұрын
Shikamoooo JPM hapa kazi 2 💪 💪 ✊ ✊ chezea the Bulldozer wetu nyie 2020 uchaguzi ni WABUNGE na MADIWANI tu JPM tosha kabisaaa maana hakuna jinsi nyoosha Tanzania yetu twende baba hatuna muda wa kupoteza Tanzania yetu ilisha uzwa ilikua mikononi mwa Mafisadi na watu binafsi wezi wa mchana kweupe ila sasa Tanzania yetu ipo ndani ya serikali ya awamu ya 5 tena kwa usalama mkubwa
@Teksani
@Teksani 6 жыл бұрын
shinda papaya kwa research iliyofanywa na world health organization, zaidi ya nusu ya wanawake wanao jifungua Tanzania hujifungua nyumbani. Ila tuna Boeing 787 hapa kazi tu ✊️ cha muhimu ni ndege kwanza alafu hayo mengine baadae.
@joachimisack5834
@joachimisack5834 6 жыл бұрын
Hongera Magu for the good flight
@mutomubaya
@mutomubaya 5 жыл бұрын
Shukurani sana watangazaji na watayarishaji wa kipindi hicho. Hakika baadhi yetu tumefaidika sana. Lakini Shukuran za ziada heri zipelekewe Rubani Captain Richard, kwa kutuelimisha kuhusu chombo hicho cha kisasa, kwa njia nzuri ya kupendeza. Na Nawanasihi Waalimu wote waige mfano mwema wa kufundisha mambo makubwa, [ kama hayo ya uendeshaji wa vyombo vinavyohitaji hali ya juu ya taaluma za kiufundi ], kwa njia nyepesi.
@ramosyhy96
@ramosyhy96 6 жыл бұрын
Hata Emirates na ukubwa wao bado hatuna but we've made some orders coz we removed the airbus A320's and A320's in our fleet before the year ends we'll have 40 of them in our fleet of Boeing
@jogoomohamed2652
@jogoomohamed2652 6 ай бұрын
Huyu bonge la rubani.Wallah ukipanda ndege rubani akiwa mr Richard unafeel happy sana.Usikii mtikisiko wala tatizo lolote.Hata kwenye landing wallah usikiii chochote,utaona ghafla umetua.Mwenyezi Mungu akujalie bro.Richard
@luteking
@luteking 6 жыл бұрын
Welcome again Seattle Washington 🙏
@erickdioniz9570
@erickdioniz9570 6 жыл бұрын
Safi sana rubani wetu
@TheSalma1999
@TheSalma1999 6 жыл бұрын
Dada mzuri anajua kutangaza mno amependeza sauti mororo
@denarddavid9202
@denarddavid9202 6 жыл бұрын
Ahhhhh! Si mngekula vichwa mkaja navyo!! Vya Nigeria, Misri , Israel , Ethiopia ,Kenya, then TZ
@zakaliasalumu2735
@zakaliasalumu2735 5 жыл бұрын
Ongela walipa kod bila nyinyi ndege ingetoka wapi?
@raskombo6247
@raskombo6247 6 жыл бұрын
Babie kabae alikua mweusi vizuri nashangaa ghafla kawa mweupe. Hivi wanaume wa kitanzania ndio hampendi wanawake weusi au vipi? Mbona kila mwanamke wa kitanzania anang'ang'ania kuwa mweupe?
@4a9tr-msigwa
@4a9tr-msigwa 6 жыл бұрын
🍀 JE UNAFAHAMU SEHEM YA KUPATA TIBA YA MARADHI YA KUTOPATA CHOO.. SOMA HII🍀 Haya ni maradhi ambayo yamekithiri sana kwa binaadamu na kuweza kusababisha matatizo mbalimbali katika miili yetu. Wako baadhi ya watu wenye tatizo hili, wao hawapati choo vizuri, katika hao wapo ambao hawapati choo Ila baada ya siku tatu nne hata wiki na wengine hupata choo mfano wa kilicho choo cha mbuzi. Haya ni maradhi , tena ni maradhi hatari sana kwa wanaume na hata pia wanawake. 🍃Maradhi haya yakimtokea mwanaume humletea :::----- 👉Gesi tumboni 👉Vidonda tumbo 👉kumpotezea nguvu za kiume haraka 👉Bawasiri 🍃Vilevile maradhi haya yakimtokea mwanamke humsababishia :;;:;;------- 👉Chango 👉Vidonda vya tumbo 👉Gesi tumboni 👉kupoteza hamu ya tendo la ndoa 👉maumivu makali sana wakati wa tendo la ndoa 👉Bawasiri DAWA YA MTU ASIYEPATA CHOO WASILIANA NA TR MSIGWA O713 646691 OR 0752819047 Email: doctorymsigwa@gmail.com
@iddmulenga5662
@iddmulenga5662 5 жыл бұрын
Kwa yote hayo ni kweli nchi yetu imepata bahati kubwa sana lkn pia swala zima gharama za tiketi zao kwa sasa cyo rafiki sana kwa mfano kutoka Mbeya to Dar es salaam kwa ajili ya kusafiri Juma tatu nimeambiwa 600000/=kitu hicho tutakua bado tupo nyuma sana maana yake itakua usafiri wa ndege ni kama starehe wakati Tanzania ya leo haipo hivyo inasikitisha mno
@hajimnubi4581
@hajimnubi4581 6 жыл бұрын
Baby na hassan shughulikieni issue ya sauti,hivi mnakwama wapi kwenye hilo? Yani mpaka tumwambie kussaga au ruge,mbona kama liko mwikononi mwenu hilo!jiongezeni bwana
@montesor6960
@montesor6960 3 жыл бұрын
Samahani nichuo gani kzri kwa kufuzu kwa urubani
@nasrahussein8408
@nasrahussein8408 6 жыл бұрын
Jmn mm cku ya kupanda ngege nitafurahi sana
@ktravel3527
@ktravel3527 6 жыл бұрын
Nasra Hussein in the name of hustle, dream come true
@husnauthman7609
@husnauthman7609 6 жыл бұрын
Ucjal utapanda tuu
@ismailyusuph740
@ismailyusuph740 6 жыл бұрын
IN SHAA ALLAH ‘ utapanda na hautaamini..wote tuliopanda mwanzo hatujaamini..Lkn Sasa nishapanda kama mara Arobaini na bado naendelea kusafiri..!...Uskonde bi dada..!💣💥
@hajikhatib8840
@hajikhatib8840 6 жыл бұрын
InshaAllah utaipanda lakin looh !!! dada yng usafiri wa ndege hatar Zaid ya unavyofikiria...ilaa ajal popote omba dua tuu na pigania ndoto zako
@zakatonda
@zakatonda 6 жыл бұрын
Nasra Hussein jamani umenifurahisha sana. Tukuunge mkono. Kama unasoma weka bidii, ukiajiriwa unaweza kupata kazi itakayokuwezesha kusafiri kwa gharama zao kulingana na kaz yenyewe. Au uwe na biashara ya kusafirisha mfano kusafirisha maua n.k
@ababuumwana5102
@ababuumwana5102 5 жыл бұрын
Air Tanzania yetu
@husnauthman7609
@husnauthman7609 6 жыл бұрын
Safiiii
@TheSalma1999
@TheSalma1999 6 жыл бұрын
Wow
@jumamakuri9176
@jumamakuri9176 6 жыл бұрын
Dada umependeza!!
@henryndosi8569
@henryndosi8569 6 жыл бұрын
JPM,,, ERA
@monicaashery1
@monicaashery1 6 жыл бұрын
Thumbs down za nini negative folks?
@mustaphyassin5320
@mustaphyassin5320 6 жыл бұрын
Kusanga anamiliki wasafi tv sio clouds tena alishaiuza hii ni mali ya rosta
@delmasmas1347
@delmasmas1347 6 жыл бұрын
tons 90 kama liter ngapi..?? mi nacheka tuu ahahaha..
@juliusmaila4543
@juliusmaila4543 4 жыл бұрын
Je ni kweli litre moja ni sawa na kg moja?
@rwelamira
@rwelamira 6 жыл бұрын
Poor sound system
@amosbinmahona9947
@amosbinmahona9947 6 жыл бұрын
Nakuombea siku moja usikike BBC kwenye dira ya dunia km zuhura yunus
Миллионер | 1 - серия
34:31
Million Show
Рет қаралды 2,9 МЛН
This mother's baby is too unreliable.
00:13
FUNNY XIAOTING 666
Рет қаралды 39 МЛН
Когда отец одевает ребёнка @JaySharon
00:16
История одного вокалиста
Рет қаралды 14 МЛН
1 сквиш тебе или 2 другому? 😌 #шортс #виола
00:36
MAGUFULI AFUNGA MJADALA WA KOROSHO, ATOA MAAGIZO YA BEI
47:26
Mwananchi Digital
Рет қаралды 122 М.
LIVE: AIR TANZANIA YAWARUDISHA WANAFUNZI WALIOKWAMA CHINA
34:39
Millard Ayo
Рет қаралды 40 М.
NDEGE Mpya IKITUA Muda Huu AIRPORT
49:09
Global TV Online
Рет қаралды 224 М.
Yahya Sinwar: Kiongozi wa Hamas ni nani?auawa kikatili Tazama
9:29
Миллионер | 1 - серия
34:31
Million Show
Рет қаралды 2,9 МЛН