first of all; GOD BLESS YOU OUR PRESINT FOR GOOD WORK WHICH YOU DO... and second BIG UP FOR GOOD READER tutakuchagua tn na tn
@jackyetimba7946 жыл бұрын
No body like you my President, I'm proud of your decision. Thanks sana, live longer
@muganyizikamafa35556 жыл бұрын
Mungu akulinde na mabaya yote...Kiongozi aliyewahi patikana Africa. God bless Tanzania.
@remypaul27956 жыл бұрын
Umeonaee
@emmanuelkalega25046 жыл бұрын
Hasante Mungu kwa kutupa rais mwenye kujali wananchi wake
@neemakilomoni42586 жыл бұрын
😂😂👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾I’m in love with this Man yani una wapa makavu live hadi maji yame kuwa machungu Mungu akubariki Rais wetu
@kilimanjaroICE6 жыл бұрын
Eeeeeh!!! Kwa mapenzi yako kwa Rais wetu nami nakupenda bure Neema wangu mwana wa Mzee Minga. Magu is probably the best President that Africa has ever had!! Magu oyeeee!!!
@felixjoel32106 жыл бұрын
Kwakwel mimi mwenyewe mkikubali sana sana sana sana kwakazi unayotufanyia hasa hasa sisi wanyonge nauzidishiwe baraka babayetu Mtukufu wawatanzania Amina. Gonga like kama tukop1
@vitussimon96966 жыл бұрын
Hii ndio serikali. Huu ndo uamuzi na hii ndio sawa na kweli. Thanks Mr. President God bless you.
@peterkatete56456 жыл бұрын
Huyu ni Rais wetu aliye na tafakuri kubwa. Mwenyezi Mungu mwenye rehema endelea kumpa hekima na maarifa kwa ustawi wa Taifa letu.
@AllaNetWork6 жыл бұрын
Kwa nini kuweka water mark katikati ya video clip?? Seems odd☹️😬
@mwesigwakabyemela61126 жыл бұрын
Rais Magufuli is the best, God bless you.
@magumwanza96486 жыл бұрын
Kama umemuona huyu jamaa asiyecheka ngonga like.
@dailummala37926 жыл бұрын
ndio maana nakupenda magufuri mungu akuweke miaka mingi sana rais wetu mpendwa
@ramses57856 жыл бұрын
My heart is filled with hope, pride and joy. Thank you great son of the soil and may the heavens sing your praises.
@kilimanjaroICE6 жыл бұрын
Wakanda Queen, umemaliza kila kitu maana umeongea maneno mazito,, u remind of Maya Angelou when she wrote " If you find it in your heart to care for somebody else, you will have succeeded" and that's what Uncle Magu just done there to our Korosho farmers. Magu Oyeeee!!
@King_1866 жыл бұрын
Twende mbele turudi nyuma, we have a president in Tanzania, yuko makini mno!, asante kwa kuwatetea wakulima
@catherinechifebe58006 жыл бұрын
Mungu akubariki sana Raisi wetu....tunakuunga mkono huku huku tuliko....hauko pekeyako baba
@tereseamasawe81116 жыл бұрын
RAIS WETU MAGUFULI BB MUNGU AKUFANYE UTAWALE MOJA KWA MOJA MILELE NA MILELEEEEEEEEEEEEEEEEE
@nimrodmeena77196 жыл бұрын
I salute you Mr President kwa hili umenigusa haswaa
@isackmhala13736 жыл бұрын
BABA WA TAIFA ... MAGUFULI DAY...MUNGU AKUJALIE SANA 😍 PRESIDENT
@hassanally93786 жыл бұрын
Rais wetu wa Tanzania mi namuelewa sana ktk uwongozi wake, na hili naliongea sio kinafiki au kizushi, nipo makin sana ktk uwongozi wake, kwangu mimi namuona kama nyerere wa pili, mungu akubaliki rais wetu.
@edwinkatua92716 жыл бұрын
I support you Mr president You are God given very nice ideas.
@maximillianbiyemotungaraza24006 жыл бұрын
Very good the President JMP
@lameckkamugisha88876 жыл бұрын
Safi sana mzee kwanza umeanza na Evidence kuwaonesha unajua na kujiamini.
@comfortjaffer35416 жыл бұрын
Uyu ni mwanasiasa wa kweli anayejua tofauti kati ya siasa na maendeleo. Wengine wanajua siasa tu maendeleo hawajui
@msafiriiddy31356 жыл бұрын
umeongea baada ya kufikiria vizuri ,,,,,asante
@muhsinibinfaridi16856 жыл бұрын
Mweahimiwa nakukubali saana nakupenda saana Mungu akulinde sema hy chizi zito asikuumize kichwa anatumika huyu Tanzania hii Raiai ni mmoja tuu
@moshykimario76016 жыл бұрын
Huyu mzee nampenda kwa kweli anaongea ukweli mtupu dua zetu zilijibiwa
@faustinenzigu84146 жыл бұрын
mungu akupe maisha marefu mh.
@faustinenzigu84146 жыл бұрын
namkubali sana mh huyu
@comfortjaffer35416 жыл бұрын
Magufuli namkubali sana uyu jamaa ana lengo la dhati la kuleta maendeleo kwa wananchi. Hongera baba
@kilala.k.57866 жыл бұрын
sana bwana Comfort jaeffer yaani tuna raisi tusije kujutia kuipoteza bahati hii kwa kweli
@mnzavachris54236 жыл бұрын
mkumbushie na ulinzi/usalama wa raia hata wale wanaopinga kwa hoja
@comfortjaffer35416 жыл бұрын
Safi baba safiii, tozo ni 10% tuu, Asantee
@mnzavachris54236 жыл бұрын
COMFORT JAFFER amesema 10 Tshs au 10%?
@catherinechifebe58006 жыл бұрын
Raisi wetu unatupenda.....wote......MELI ITOKE DAR TO MTWARA KUSAIDIA WAFANYABIASHARA NA WAKULIMA.....BARIKIWA BARIKIWA BABA ISHI BABA
@froliangrevigian92136 жыл бұрын
,,,,,Hongereni #Wtz 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 kwa Kumuunga mkono Mzee Baba,,, Nimewapenda bureee,, kiukweli nimepitia #Comments za Wabongo kiukweli wanampenda Sana #Mkubwa 👍👍👍👍
@sanyamwita18536 жыл бұрын
Congratulation Mr. President for your decision
@saidalisuleiman37316 жыл бұрын
Asante sana mhe rais wetu jpm mungu akupe nguvu na imani zaid na zaid kwakweli unafanya vzr zaid ya sana tena nakukubali 100% nakuunga mkono ww ni rais mwenye kujali wananchi wako mungu akulinde na akupe nguvu zaid (AMEEN)
@yanayojirimitaaniTV5 жыл бұрын
ANGALIA YANAYOJIRI MITAANI TV. UONE BARAKA MAGUFULI AKIHUTUBIA MASWALA MBALI MBALI
@jumannemuhenga70386 жыл бұрын
This is the best President ever.
@kilimanjaroICE6 жыл бұрын
I agree 100%
@zefamange72816 жыл бұрын
Waaambiee comando wanguuuu
@seifumkomwanzoka19556 жыл бұрын
Hongera mheshimiwa kwakutujali wakulima
@jamesmashauri83156 жыл бұрын
Hahahaha"tuko radhi kuchukua vijana wetu wa jkt wakabangue korosho hata kwa mdomo" well said Mr President
@simonmagembe71406 жыл бұрын
Real
@shaabans.marijani96596 жыл бұрын
The best President of Tanzania honourable magufuli all the best in governing the government.
@AKO_FURNITURE6 жыл бұрын
Hongera sana rais wetu john pombe magufuli kw maamuzi mazuri kw watu wako rais wa wanyonge
@mcgoodluckeventz21756 жыл бұрын
Kauli yako baba yetu ndiyo inayoleta faraja na msimamo wa mustakabali wa maisha yetu watanzania. Asante kwa kuwakumbuka wakulima.
@deus37666 жыл бұрын
Mc Goodluck Events EVENTS amina
@sungurakanyau22996 жыл бұрын
kwakweli mungu katupa raisi asante mungu namii namimi nasema ntakuchaguua tena baba
@hamadimgaza43906 жыл бұрын
Muda wa kazi unaleta mambo ya siasa
@josephatmwanga67626 жыл бұрын
sungura kanyau kweli tumempata rais
@sungurakanyau22996 жыл бұрын
Josephat Mwanga tena raisi kweli ngungu
@bhachusanga31025 жыл бұрын
sungura kanyau Vp utamchagua tena??
@chachamwita83506 жыл бұрын
Wataisoma number piga kazi my President
@lukakisakye80896 жыл бұрын
Safi sana raisi wetu MUNGU akulinde na maadui wote ila angalia na mzao ya chakula wakulima wanapunjwa sana mfano mahindi mkoa wa Njombe kilo 20 zinauzwa kwa sh 3000 wakati mbolea kg50 ni sh 65000 mpaka 7000 kwahiyo wakulima wanapata hasara
@adamallymkwizu21176 жыл бұрын
Daahh Nâmkubli sana rais wetuuuu
@salmamassoud98636 жыл бұрын
safi xn uncle maguful tutabangua 😂😂😂
@moshillinde68356 жыл бұрын
Kweli Utabaki kuwa Baba tuu!,Uishi Milele.
@samwelimacha20276 жыл бұрын
Mo Shillinde nice my president
@deus37666 жыл бұрын
Mo Shillinde Amina
@nelsonpeter21126 жыл бұрын
baba msafisha njia hongera sana
@allyfutto87636 жыл бұрын
Hongera Watanzania munaonambali mimi ninashuhudia ulaya korosho zinapotea na zinapanda bei ninanunua kilawiki na sasahihi wameamuwa kutoziuza korosho pekeyake nilazima wanachanganya na bihaa nyingine ili vingine viuzike fungukeni kabisa Mungu awabariki Wakulima Tanzania na Afrika Amin
@alexkihongola7986 жыл бұрын
JPM nakupenda mpaka naumwa, unafanya kazi iliyotukuka Sana, kwanza huchoki, nilivyokuona toka unaapishwa mpaka sasa speed yako niyakutosha Sana, wewe in kama wine, kadri muda unavyokwenda ndivyo unakuwa mzuri zaidi kwenye kazi, upo vizuri Sana, JPM unatosha kabisa, unatoa shule ambayo siyo rahisi kwa kiongozi kama wewe kuitoa ,upo mbali Sana president. Yaani wewe ni level ingine mkuu.
@emmanuelkilumile7796 жыл бұрын
Kula yangu niliitendea haki, no regrets
@shungushula43406 жыл бұрын
asante raisi wangu uko vizuli
@jumannemzungu14456 жыл бұрын
Tuko pamoja rais wangu piga kazi
@modestusndunguru44796 жыл бұрын
yani hata miaka 20 nakuchagua... excellent.. Mr presidaaa Mzee Baba
@nico123456586 жыл бұрын
sijawahi kuwa na hisia na fahari ya kuwa Mtanzania kama sasa. ni mzalendo ila Mh Raisi ananitia hamasa ya uzalendo wa mfia nchi. walahi usicheze na Raisi wangu wala nchi yangu. kweli Raisi wangu nchi yangu. Mungu akubariki na aibariki Tanzania
@sundaystanley54596 жыл бұрын
nitakuchagua tena mh rais pamoja na changamoto nyingi unazopitia,tusaidie baba nchi hii ilihalibiwa sana na watangulizi wako,mungu akusimamie na akupe afya njema,bado tunakuhitaji sana
@zefamange72816 жыл бұрын
Na walio iharibu bado wana tiatia vidole serekali ya jpm
@gerioathumani90846 жыл бұрын
mungu amtangulie rais wetu
@constantinennonjela39226 жыл бұрын
huyu mzee napenda sana kufuatilia hotuba zake kwa kweli ni mzuri ila kwa hili la wakulima ni zaidi ameonyesha kweli ni Rais wa wanyonge. Mungu akujaalie afya njm utekeleze majukumu yako vzr Mungu ibariki Tanzania
@ndikumagengeeric9716 жыл бұрын
watupe rukhsa na sisi wa Burundi tumuchague huyu Magufuli kweli
@crdbfao50946 жыл бұрын
Huna akili ww
@halifasalum15546 жыл бұрын
hahahahahahaja
@tereseamasawe81116 жыл бұрын
RAIS WANGU MAGUFULI BB NAKUPENDA BB SANAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA.
@isayaerasto75506 жыл бұрын
Hongera sana kwa uzalendo rais wetu!!!
@williamdaniel31526 жыл бұрын
safi sana kwa JPM
@gracetitus99636 жыл бұрын
Watu wanaomchukia Rais Magufuli ni wale mafisadi waliokuwa wakiiba pesa za walipa kodi. Hakuna Rais East `Afrika anayewasikia wanyonge. Wengi wanaompinga walikuwa wakiutumia uchumi wa Tanzania vibaya Hongera Rais Magufuli you are God sent President to Tanzanians.
@kalembomarkha17096 жыл бұрын
Mungu akulinde milele na milele rais wetu mpendwa,watu wengi wameanza kukuelewa sasa,wewe nimpenda haki,
@benjaminbugalama59826 жыл бұрын
Mungu akuepushe na wasio ipenda tanzania,na akupe mda mulefu wa kuiongonza tz,
@dailummala37926 жыл бұрын
najua mnafahamu tunaposema no huwa ni no kweli safi sana magufuriiiiiiii my president for real
@dicksonmseti59486 жыл бұрын
Nilitamani kusikia neno lako kuhusu Korosho mkuu na kwa kweli sina neno moyo wangu saaafi kabisa
@stevetimber78576 жыл бұрын
huyu jamaa anamsimamo sio poa cjawahi kuona rais anawatetea wakulima wa korosho kama hivi miaka yote serikari ilikuwa inawasikilza wafanyabiashara peke yao wakulima wanakandimzwa lkn safari hii uncle magu yuko na wakulima
@mabroukabeid1486 жыл бұрын
Piga kazi baba mungu akujalie
@tanzaniaannualconference44756 жыл бұрын
Safi sana
@deusmauka96266 жыл бұрын
Kanyaga twende Mkuu, tuko pamoja.
@salminimbaruku82986 жыл бұрын
Daaaah hongera san mweshimiwa upo makini sana
@ttec94316 жыл бұрын
Mpaka bodyguard anacheka .....😂😂😂😂
@felixkamkala33036 жыл бұрын
Kwakweli Mungu ni Mwema atimaye nasisi wanyonge tuna mtetezi wetu mpendwa wetu Mh Dr John Pombe Magufuli kwa kweli sisi wanyonge atuna chakukulipa Zaidi ya kukufanyia maombi iwe usiku iwe mchana na liwe jua ama iwe mvua sisi atutochoka kumuomba aliye juu akupe Afya njema na wengine tunatamani atakama ukimaliza miaka yako 10 bado uendelee kuwepo angalau ufikie ata miaka 25 aisee ili hii nchi uozo wote umalizike maana hii nchi ilikuwa imeisha kuwa ya wajanja!! wajanja !! wengi!!Kila seemu dil!!i dili!!Mwendo uo uo kata mti panda mti!!
@amosidenesi94702 жыл бұрын
Tunakukumbuka daima milele baba
@julessebintu65256 жыл бұрын
Naishi CANADA nasomea chuu kikuu LAVAL sciences politiques et relations internationales. Natokea mashariki ya congo lakini napenda rais wa TANZANIE MWESHIMIWA MAFUFULI. IKO HODARI KABISA. YEYE NA KAGAME BANGEBATUPATIA CONGO INCHI YETU INGEKUWA PARADIS. MUNGU AKULINDE MAFUFULI. NAKUPENDA SANA.HUNAMUPINZANI
@fnk26196 жыл бұрын
Nimezipenda sana comments za wabongo.
@mnzavachris54236 жыл бұрын
Faraji Nuru umezipendea nn
@yusuphaman34496 жыл бұрын
Mungu akulinde sana Raisi wetu
@ashapearubart26246 жыл бұрын
Ni kweli kabisa. Wao wanapata faida mara kumi yake.
@franaelisumari51086 жыл бұрын
Kwa hilo Magufuli tuko pamoja.
@tereseamasawe81116 жыл бұрын
RAIS WETU MAGUFULI BB MUNGU AKULINDE KILA UENDAPO BB.
@mabeyohongerasanamhmagufur47866 жыл бұрын
Kweli tulichelewa kupata kiongozi ulikua wapimzee mungu akulinde na wasiotutakia Mema
@samuelmtasha92726 жыл бұрын
Wooow! Asante Rais wetu! 👏 👏 👏 👏 👏
@ramses57856 жыл бұрын
Uncle Mungu Oyeeee😇👑
@amanihugugu22496 жыл бұрын
Waoo JPM, Keep it up
@mnyalumtalifimbo64536 жыл бұрын
Jpm binafcenimekuelewa cjui wengine kamahawajakuelewa, asante mungukwakutuletea mtusahihi kwa taifahili
@adamkaita30096 жыл бұрын
kura yangu haikupotea aisee safii mkuu wa nchi yaani mungu akupe maisha marefu
@geraldmosha26776 жыл бұрын
Duuuuh huu ndio uzalendo hakika anayathamini sana maisha ya watannzania hasa wanyonge.Mh. Rais MUNGU wetu akulinde na akupe afya njema watanzania wazalendo tupo nyuma yako hakika tunakupenda.
@tereseamasawe81116 жыл бұрын
MAGUFULI SAFIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII
@amourmattar15936 жыл бұрын
Ukosawa sana mzee wakuona mbali ahsante sana
@castoalex26706 жыл бұрын
saaafi saaafi saafii mh RAISI kwa kufunga mjadala wa bei ya korosho
@fikiriwerema49636 жыл бұрын
asante baba ila na ikwiriri pia baba utusaidie sio mtwara na lindi tu. mungu akujalie afya njema.
@salehmussasaid11366 жыл бұрын
Bro nakukubali naridhika na maamuzi yako Mr President
@bwikizobilly52206 жыл бұрын
wewe ni mzalendo wa kweli Mungu akurinde akupe maisha marefu
@jacksonlicky38266 жыл бұрын
Huyu ndie raisi nilie kuwa namtaka mwenye maamuzi magumu safi sana baba karibu na upande wa madreva wanazulumiwa sana nako tunahitaji msaada wako baba
@zuusaidibushiri55566 жыл бұрын
Namuona mzungu kashika tama sijui kaelewa ila mbele ya mzee wa busara ataelewa tu
@deus37666 жыл бұрын
Zuu Saidi Bushiri 😁😁
@udayaramadhan79436 жыл бұрын
Naaminini mwenyezi mungu katupatia kiongozi sahihi . naomba kila mtanzania mwenye kupenda haki tumuombee rais wetu
@abuyabally70916 жыл бұрын
safisanaa. bodi inatoa bei elekezi duu kwani wao ndio wanyemali maliyawakulima VP muwaekee bei ujinga kabisaa. magufuli safisanaa
@jumadea79576 жыл бұрын
Mkuu wa nchi kwa hili umetishaaaaa
@messibanda7146 жыл бұрын
Wape ukweli ao asant magu wakulima cc atuna saut we ndo tunakutegemea jpm
@banzijohn77136 жыл бұрын
Wee mheshimiwa hatari hongera sana sana haunaga kuunda tume unamaliza mwenyewe safiii sana hongera tena
@jilalaluhende36965 жыл бұрын
7
@jilalaluhende36965 жыл бұрын
;
@samateryussuf59386 жыл бұрын
duh Magufuli kiboko , yaani hapa yuko mkweli, tatizo TZ imeoza na rushwa
@jerrykikuli37006 жыл бұрын
Safi sana JPM. yaani unanifurahisha.
@samsonmagesa39596 жыл бұрын
Saruti Kwako Magufuri Unafaa sana kuingoza Tanzania
@michaelfrank94106 жыл бұрын
Asante jpm ww ndio mbadala wa jk nyerere.asante nakuelewa ràis wa Tanzania.
@shabanisuleimani496 жыл бұрын
Safi sana mkuu Allah akuthibitishe ktk usawa
@DIweni6 жыл бұрын
Mnakwenda kununua hamuendi,papo kwa hapo,tunakwenda,father,father,father.