Pt1_USHUHUDA WA ALIYETENGENEZEWA KIFO CHA UONGO NA WACHAWI•AONEKANE AMEKUFA KUMBE AMEFANYWA MSUKULE

  Рет қаралды 6,322

PROMOVER TV

PROMOVER TV

3 ай бұрын

JE!UMEPENDA KAZI ZETU?BASI TUNAOMBA UCHANGIE SADAKA KILA MWEZI AU WAKATI WOWOTE ILI KUTUWEZESHA KUFANYA VIZURI ZAIDI.
M-pesa Lipa Namba.5634017
AirtelMoney Lipa No.3878783
Namba za mawasiliano/kuchangia sadaka ni: +255784074462 / +255766294335 / +254113844735 Majina ni Jacktan Msafiri
Kama uko tayari kuwa mchangiaji wa kila mwezi jiunge kwenye group letu la TEAM PROMOVER SUPPORTERS kwa kubonyeza link hii chat.whatsapp.com/CUGPFEt7SK4...
PIA UNAWEZA KUJIUNGA NA MAGROUP YETU MENGINE MAWILI AMBAYO PIA UTAPATA SHUHUDA ZETU MPYA KILA SIKU NA KUJIFUNZA NENO LA MUNGU
1.TZ PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp.com/J5QuMiNuG1l...
2.KENYA PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp.com/FRGK8R0u2ak...
#ShuhudaZaPromoverTv #Ushuhuda #PromoverTV

Пікірлер: 27
@user-ii1qk9xn9z
@user-ii1qk9xn9z 3 ай бұрын
Mungu ni wa Rehema na neema. Apewe sifa milele, mbarikiwe sana kwa ushuhuda huu. Waiting for parts 2 soon please.
@veronicanyamsusa4974
@veronicanyamsusa4974 2 ай бұрын
😢❤😢
@MamasIslandKitchen
@MamasIslandKitchen 3 ай бұрын
Ushuhuda huu nimeusubiri. Thanks promover tv.❤❤
@lydiamichael5509
@lydiamichael5509 3 ай бұрын
Barikiweni sana watumishi wa Mungu kwa shuhuda hizi hakika twajifunza mengi..
@user-fg6xi3xu6t
@user-fg6xi3xu6t 2 ай бұрын
Ameen,, Mungu yupo Mchungaj huyu kwel kabisa amepita hyo majaribu lakn Mungu alimtetea,hakika tumtegemee Mungu.
@gracekinyaki2376
@gracekinyaki2376 3 ай бұрын
Mungu ni waajabu sana. Hongera mtumishi
@fidelfidel-jz4iw
@fidelfidel-jz4iw 3 ай бұрын
Ushuhuda mzuri mtumishi wa mungu hayo yapo ukiwa haujakuna na majanga hayo utadhani story tu lakini dunia hii inawachawi tena wamebunda kimywa kimywa wanawafanyia ubaya watu na kuwauwa na wana maroho ya kinyama
@NathanaelMadihi-zu6hl
@NathanaelMadihi-zu6hl 3 ай бұрын
Bwana Yesu ni Mwema Sana. Ubarikiwe Sana Mtumishi
@user-ii1qk9xn9z
@user-ii1qk9xn9z 3 ай бұрын
Parts 2 please. Ushuhuda mzuri sana🙏🙏
@EZRA-b1c
@EZRA-b1c 3 ай бұрын
Amen Watumishi wa Mungu
@denisbongore3098
@denisbongore3098 3 ай бұрын
Dunia inatisha sana bila Yesu sisi atuwezi
@joycemuhoja4729
@joycemuhoja4729 2 ай бұрын
Bwana Yesu Asifiwe
@endlessloveofchristlovewor9991
@endlessloveofchristlovewor9991 3 ай бұрын
Yn 10:10 SUV Mwizi haji ila aibe na kuchinja na kuharibu; mimi nalikuja ili wawe na uzima, kisha wawe nao tele.
@rerisamba
@rerisamba 3 ай бұрын
Yani saanzingine unamwelewa Mungu usimwache mwanamke mchawi aishi yani hii michawi siipendi kabisa yani hawataki kushindwa kabisa
@Glorytv5111
@Glorytv5111 3 ай бұрын
Amen amen
@reachelchemtai2604
@reachelchemtai2604 3 ай бұрын
Mungu ni mkuu kila wakati siri ya shatani zote hanajui
@lovenessmjaka9754
@lovenessmjaka9754 Ай бұрын
Nyumbni kwetu itabagumba
@shadrachkamyori9911
@shadrachkamyori9911 Ай бұрын
Interviewer unaongea sana. Mwache muhusika aongee mwenyewe.......yule mwingine/Joctan anafanya interviews nzuri sana. Haongei mengi zaidi ya kumtambulisha muhusika.
@DicksoniOmond
@DicksoniOmond 3 ай бұрын
Mungu wa maajabu sana jamani
@egonkasiano7822
@egonkasiano7822 Ай бұрын
Ni kwel hayo mamb yapo
@rerisamba
@rerisamba 3 ай бұрын
Uko ushuhuda wa mtu mmoja anaitwa Zablon alipitia hii hali mpaka akaishi gambosh hata kivuli alikua hana
@elizabethngallaba4422
@elizabethngallaba4422 2 ай бұрын
Umenkumbusha mbali sana kwa story ya Zablon!!
@rerisamba
@rerisamba 2 ай бұрын
@@elizabethngallaba4422 alipitia sana lakini apo mzima
@HappyMwaigwisya
@HappyMwaigwisya 3 ай бұрын
Tupo tunafuatilia promover tv
@rerisamba
@rerisamba 3 ай бұрын
Sasa mko kwa class mkifa msije mkasumbuwe watu mkishika shika watu coz hawashikiki wako mwilini na wewe upo rohoni
@annkim2690
@annkim2690 3 ай бұрын
Yupo mwanaume anaitwa Jeremy yeye alikua mkulima siku moja alikua kibarua cha kulima bibi akipita akamuuliza wewe ndio umelima hapa kote akasema eeh ungependa ukanilimie akaitika badae alimuona huyo bibi alikuja rohoni akampiga kichwa nahivyo kichwa kikauma akaaguka chini akapelekwa hospital na ndio kufa na kuzikwa lakini hakua amekufa alichukuliwa na bibi akapelekwa porini nandio hivyo akawa misukule ameishi huko miaka 10
@NeemaMngongo-fw3ku
@NeemaMngongo-fw3ku 2 ай бұрын
Jeremy namafahamu kabisa yuko ufufuo na uzima ni.mtumish na alishaniombe na toka anarudishwa nikikuwepo .
WHAT’S THAT?
00:27
Natan por Aí
Рет қаралды 14 МЛН
A teacher captured the cutest moment at the nursery #shorts
00:33
Fabiosa Stories
Рет қаралды 46 МЛН
ПРОВЕРИЛ АРБУЗЫ #shorts
00:34
Паша Осадчий
Рет қаралды 7 МЛН
JINSI YA KUTAMBUA SAUTI YA MUNGU NA KUIFATA.
1:05:48
Pastor George Mukabwa (JRC Church)
Рет қаралды 201 М.
WHAT’S THAT?
00:27
Natan por Aí
Рет қаралды 14 МЛН