Njia ya mbinguni nyembamba.Mungu mwenyeenzi tuvushe,tusaidie.Tupendane na kuheshimu watumishi wa Mungu
@karimmveyange2803 ай бұрын
SAFI SANA ENYI DSM,ARUSHA,MWANZA,MBEYA NA DODOMA. VIONGOZI WAMEGEUKA NI WATAWALA,NA KUFANYA TAIFA NI KOLONI LAO. MWISHO WATAVUNA WANACHO KIPANDA. WATAWALIWA WAMECHOKA
@micahnjoroge36852 ай бұрын
Kwanini utoi unabii. Kuhuzu Uganda. Rwanda. Zaire sudani. Na ichi zingine abazo kuna vita. Ni Kenya tu. Acha upuzi. Wewe. Hutoa. Unabii. Ukiona. Jambo likifanyika. Wewe. Hata. Unabii wako. Ni fake. Hio sio unabii. Acha upuzi. Wa kujifanya. Nabii
@andrewnyamwaro51742 ай бұрын
Another blind man. Man you have no idea about KE. KE has a political problem. God has raised an enemy against Ruto. He was once faithful. Wewe bwana unaongea to kama Hananja. KE inao wakongwe kwa mambo ya Ukristu mbele yao wewe ni mganga tu. Jifunze kwanza.
@gracekagoma32313 ай бұрын
Watanzania msifuate mkumbo.Mtashangaa.Kumbukeni kuwa tumepata uhuru bila kumwaga damu.Maongezi ni mhimu.Vita ni hasara tu😢
@Jameskuresoi68652 ай бұрын
Unamtaja nganga tu unamjua nganga ni nani? Ni mtumishi wa Mungu yupi anayeangusha watu? Ww ongea tu maana mdomo haulipiwi kodi...roho na kweli ni nn? Mungu ana dini ngapi? Na imani zenu ni zipi? Sio imani ya kristo tena?
@JosefuSwai2 ай бұрын
Tanzania viongozi wangu msijisahau watu wamechaka ishara zinaonekana zairi sikilizeni wani
@simboninsiandosi81353 ай бұрын
Suala la Toba kwa Taifa letu ni Muhimu sana Viongozi wa sini kwenye kualikwa kwenye miadhara kemeeni maovu yanayoendelea Taifa limrudie Mungu
@sylvanolufunyo87793 ай бұрын
Kwa kuwa naona ndani mwako hufikishi ujumbe wa Kimungu kwa hila, wala weledi wako, wala kwa hekima yako, wala kwa elimu nyingine yenye hila, Bali kwa kumpa Mungu aliyehai Utukufu wake kikamilifu, basi Kristo Yesu na akae kwa wingi na kwa Neema yake na kwa haki yake yote ndani mwako, ili Taifa ili liwe kama Mungu alitakavyo, Amina
@emilykangaty12623 ай бұрын
Sema TU mtumishi wa Mungu aliyehai tupone na Taiga lipone
@emilykangaty12623 ай бұрын
Sodoma na gomora ilikuwa hivyo hivyo mwenye masikio na asikie Roho ayaambia makanisa
@muharamijuma15692 ай бұрын
ACHA UTAPERI TAFUTA KAZI UFANYE AUKACHÙNGE MƁŴA
@PhilimonNzakaha3 ай бұрын
Shalom nitabirie
@emilykangaty12623 ай бұрын
Swala la nani atatiisha watu wote wamrudie Mungu inawrzekana soma kitabu cha Yona.3:1-10
@samuelbahati79763 ай бұрын
Mungu tuepushe na roho za kishetani tuungane na neno la Zaburi35:1-10
@AthonySaimon3 ай бұрын
Haya mafisadi ya tz ngoja tu!!!
@karimmveyange2803 ай бұрын
Ndacha ni mpotovu tu kama walivyo Patoka na kulaaniwa wana wa Israel. Mungu kwa milkono ya Malaika wake kupitia Mitume wake wakuu,yaani Wazee Wenye Uhai 4,alileta Vitabu 4 tu. Pale Mashariki ya Kati,ba ha mitume ni Uzao wa Baba Yetu Ibrahim. Hicho Kitabu cha Ndacha kiko nje ta vitabu 4 vya Mungu Hapa Duniani. Shauri yake na shauri yao
@temekepamoja27573 ай бұрын
Tunasubor na wao tuwashughulikie na wao...
@billmike84412 ай бұрын
Huduma yako inapatikana wapi
@wilsonmatunda49372 ай бұрын
Sasa haya ni Maono au vitisho!
@martinjohn78543 ай бұрын
Kuna UWEZEKANO MKUBWA . Ni unabii wa kweli. HASA VIONGOZI WA DINI. WAMEPOTEZA HAKI SANA
@sammarley14133 ай бұрын
Huyu jama anatakiwa apelekwe kituo cawalemavu wa kili hayuko sawa kabisa Hata anavo ongea iko wazi kabisa akiliyake inamkanganyiko
@guerinokibiki43143 ай бұрын
Mtumishi ubarikiwe sana kwa huduma yako
@AzizaMohhamed2 ай бұрын
Shidaa viongozii wakishapataa uongoziii hawatakii kushukaa ,,wanapopata uongozii tulioo wapa uongozii wanatusahauu wanajijuaa waoo ,,wanachi wa hari ya chinii hawaonii,,,wanaume wnakimbiaa miji,,,wanawakee wengi tanzaniaa wanakuaa marayaa ,,,uchumi mbovuu ,,,tukubarinii hiloo ,,
@TM-zs3rm2 ай бұрын
Nuru yako ing’ae zaidi. Ingawa umeshang’aa. Ubarikiwe
@Wiittole3 ай бұрын
Mtumishi ongea machache kwa kumaanisha hakuna haja ya kutiisha...! Kwa kurudia rudia ujumbe wako.Mungu hana manemo meengi ktk maonyo yake.Huu ni upepo wa mabadiliko upo na haukwepeki.
@Stay_with_God_tv3 ай бұрын
Ni toba,na maombi yatatuvusha,ingawa vita vya kiroho vipo kila eneo,hakuna eneo shwari popote duniani katika ulimwengu wa roho.
@designdesign44262 ай бұрын
Acha upuuzi tena upumbavu kilamtu nabii ukilala ukiamka nabii dunia yooote haifanyi maasi nikenyatu
@Ax-xpress2 ай бұрын
Uongo
@GilbertGombeye3 ай бұрын
Mheshimiwa bwana yesu asifiwe kweli maisha ni magumu sana vitu vimepanda sana sukali mafuta yote cementi bati nondo kiama
@karimmveyange2803 ай бұрын
ALIYE REKEBISHA HALI IKATENGEMAA ALITUKANWA NAKUITWA DICTATOR. ANGEBAKIA KUITIBU NCHI,LEO HII MAISHA YANGETENGEMAA NA KUVUTA WAGENI KWA WINGI KUFANYA BIASHARA KWA WINGI. SASA HATAPATIKANA MWINGINE WAKUITIBU TENA NCHI. SAA HII NI KUIKUBALI HALI HII YA UPOYOYO NAMAISHA KUWA MAGUMU SI NDIO DEMOCRACY BWANA TAKIFISADI?
@UswegeJohn-ov3ym3 ай бұрын
Mimi naomba UWASHE TU HICHO KIBERITI TENA USICHELEWE!!
@RichardMwakisale-ks3mr2 ай бұрын
Mtumishi wa Mungu natamani sana nipate nsmba yako ya simu
@hudumayakristo2 ай бұрын
@@RichardMwakisale-ks3mr 0745642917
@Leeeeeeee-963 ай бұрын
piga kazi mtumishi ata yesu walimkashfu sana
@njiaya68333 ай бұрын
tatizo akili za wanadamu zimeelekea katika mafaniko si kutafuta Mungu wala kusikia Mungu anasema nini na juu ya nini?
@martinatusaye82673 ай бұрын
Sasa wew unatakiwa nawew uchunguzge na ndacha ,usijitetee uwongo ,tunataka tupande mlimani, munaonekana ninyiee watumishi wa bahali ,
@ayengobenjamin80143 ай бұрын
Watu wanajua imani zaidi kuliko unavyodhani wewe unayejiita nabii . Tumia maandiko brother.
@CheerfulHighway-op8tf2 ай бұрын
Ni ukweli kabisaa mtumishi wa mungu.mungu wa yakobo nena na mioyo ya watu wako.
@mpefu_49362 ай бұрын
Mwenye masikio na asikie hata la manyara lilitolewa ushuuda tukajitia kujua
@martinatusaye82673 ай бұрын
Mim nimejiuliza sana uyu muchungaji anayesema anatabili ila siyo mbaya Kila mutu yinawezekana ila simuchukii ila nashanga anamutuma ndacha singida kwani yeye hawez kuwaokowa watu wa singida nakathalika , au wakaungana na ndacha wakawapeya ukweli wa mungu , Yani nataka niulize swali kati ya mutabili na muumbili vipawa vyao havina havina ukomboz Wamungu au ndo zingine utabili 2 bila neno lamungu , samahani labuda munilegenishie swali vizuli .
@AbuuKwacha3 ай бұрын
Wee Mungu akutume wewe nani
@janethmwihumbo12893 ай бұрын
Ongea wewe bx tukusikie
@JamesKanyenda-y9y3 ай бұрын
Wewe auna eleimu ya kiroho kaambali na sisi
@JamesKanyenda-y9y3 ай бұрын
Nabii ukisoma komenti yangu.naomba maana ya maneno yayalioandikwa kwenye mathayo 19:24 nini maana ya ngamia kupenya katika tundu la sindano???
@luciadominik16263 ай бұрын
Baba kuna mtumishi anaitwa meshak yutub anaitwa ukweli ministry heee kasema kitu nimestuka balaaa
@martinatusaye82673 ай бұрын
Yani Mimi nilikuwa labuda utaongea kwamba muungane katika kweli mukapeleke ukweli katika Dunia yote , wewe unamutuma mwezako kwenye vita wewe unabaki katika usalama gani
@VerdianaLasway3 ай бұрын
Hayo yote yameshatabiriwa hivyo hayanabudi kutokea, hizi nyakati za mwisho
@Jameskuresoi68652 ай бұрын
Huna jipya ww bhana acha uongo broo ww
@lukasemmanuel46142 ай бұрын
Kama hana jipya leta jipya lako tulisikie
@mwakilamwaki17183 ай бұрын
Kila siku najiuliza ivi uwa mnaona kwa kutumia nini mala nyingi nikifatiria matukio na mnao yatabiri uwa yanakuwa niyakweli vilevile mnavo sema MUNGU kweli yupo
@martinatusaye82673 ай бұрын
Unatakiwa nawewe uchunguzge na bibilia tupande mlimani
@VerdianaLasway3 ай бұрын
Watakarifu ni wanaoshika amri za mungu na Imani ya yesu ufunuo14:12, kutoka 20:1-17 Soma na tafakari hapo kwa makini mpendwa utaokoka
@JamesKanyenda-y9y3 ай бұрын
Tupo pamoja mtumishi wa MUNGU wa kweli
@Thevineyard98893 ай бұрын
Hili la"........kwa lazima wafanywe wa - Kenya na wa - Tanzania watembee kwenye njia za Mungu" limenipa shida kidogo mimi. Nani wa kuwalazimisha watu na ni kwa njia gani? Ni kwa namna gani Mungu anaweza kutumia nguvu kuwalazimisha watu kumfuata? Nguvu gani? Bunduki? Biblia (Neno la Mungu) siku zote limeweka hiari ndani ya mtu kuchagua uzima au mauti. Mungu hatumii nguvu kulazimisha watu kuacha njia zao ovu. Mungu humwambia mtu uzuri na ubaya wa njia zake. Kazi ya mtu huyo huwa ni kuchagua afuate ushauri wa Mungu au aupuuze. Mimi nakubaliana na wewe kuwa, watu wa mataifa haya wajikusanye na kumuomba Mungu awaepushe na ubaya ulio mbele ya mataifa haya ya Kenya na Tanzania ili shetani asipate nafasi ya kutimiza makusudi yake mabaya kwa kuwatumia baadhi ya viongozi waliomo serikali waliokwisha kuapa kubaki madarakani kwa njia yoyote ile ikiwemo hata kumwaga damu!
@janethmwihumbo12893 ай бұрын
Kaangalie ya sodoma na gomora ya Nuhu je ndo nguvu iliyo tumika ndo hiyo hiyo Mungu ata itumia ili watu warudi kwa Mungu kwa nguvu
@ayengobenjamin80143 ай бұрын
Unasoma mazingira na kutoa utabiri, siyo unabii 🤣🤣🤣
@JamesKanyenda-y9y3 ай бұрын
Hapo mtumishi leo umeniongezeea uwelewa ubalikiwe sana
@joannekesa18352 ай бұрын
MUNGU akubariki mtumishi wa MUNGU
@VerdianaLasway3 ай бұрын
Wewe unachanganya ukweli na uwongo acha kupotosha
@coolruler68203 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂 njaa Kali sana, eti Mungu kaniambia,,,utopolo mtupu, hata mamajusi walitabiri poyoyo wewe kalale na kadanganye wajinga wenzako
@JamesKanyenda-y9y3 ай бұрын
Wewe ndo unanjaa tatizo una helimu ya kiroho mjinga wewe
@coolruler68203 ай бұрын
Ushasombwa we,,,ushawahi kujiuliza ni kwanini walokole wengi wanakufa masikini, au unadhani ni mpango wa Mungu?
@JamesKanyenda-y9y3 ай бұрын
Sema ukweli wakikataa uwashe kibiliti
@adriannebatakanwa69043 ай бұрын
Mungu huruhusu mapigo watu wakamrudia Mungu. Hiyo ni sawa na kwa lazima. Hiari ni pale wanadamu wanapotambua makosa yao na kutubu kisha Mungu akikubali hiyo toba Mungu hughairi mapigo. Hapo ndipo kwa hiari. Soma habari za wana wa Israel waliposomewa scrolls (vitabu) wakagundua walipokengeuka. Wakararua nguo zao kwa kuomboleza, kufunga na kuomba na toba. Hiyo ni kwa hiari. Walipoghairi njia zao mbaya wakafuata njia ya Bwana waliyoamriwa kwayo, hiyo ni hiari. Hakuna damu ilimwagika!
@emilykangaty12623 ай бұрын
Mtumishi Songa mbele usitazame watu wanasema Nini Nuhu alisema wakampuuza, mwa.6,sodoma na gomora , Kumbuka Mungu hataki hata mmoja apotee bali wakimbilie Toba .Mdo.17:30-31,kwasababu watu wamependa dhambi na imepata nguvu lazima update upinzani usiogope sema TU Amina
@SarahLusubiro3 ай бұрын
Washa moto mtumishi wa mungu watanzania tumevhoka
@user133752 ай бұрын
Ssielewi😮😮
@barikimethord31863 ай бұрын
UKOVIZUL, MTUWAMNG, ENDELEA.
@billmike84412 ай бұрын
Mungu azidi kukutumia zaidi
@bonifacedanielmwakisunga96383 ай бұрын
Shida kubwa nchii hii ni viongozi wao awajali wananchi kama rais anasema yeye chura kiziwi anakaa kimya anibu chochote Sasa nchi inamatatizo mengi yanayomtaka tais atoke mbele ajibu
@gracekagoma32313 ай бұрын
Fujo za kijinga ni balaa😮
@AbuuKwacha3 ай бұрын
MUUNGO MKUBWA WEE MPUUZI ACHA UONGO SHETANI KAKUINGIA WEE
@janethmwihumbo12893 ай бұрын
Mwenye Mungu tuambie Mungu kasemaje juu ya nchi yako??
@elishampoki87513 ай бұрын
Kenya maisha ni magumu mno ,
@marympochela79033 ай бұрын
Amina mtumishi wa MUNGU
@RehemaMtono3 ай бұрын
Huo nimwanzo tu
@PhilipCharlesBukuku3 ай бұрын
mmm😮 😊😊😊😊 Nabii!!!
@charlesnyanhanga43823 ай бұрын
Sahihi watu ni wa MUNGU Amina
@rehemapaul4323 ай бұрын
2:59
@JamesKanyenda-y9y3 ай бұрын
Nakukubali mtumishi
@sylvanolufunyo87793 ай бұрын
Naomba sana ndugu tuache kabisakabisa kurumba na huyu mtu wa Mungu ! Tuache ujuzi na ujuaji na kujitia ufundi mwingi katika kumkosoa, huyu kapewa majira haya kuyanena na kufikisha matakwa au neno la Mungu kwa watu wake kwa majira haya ! So tuache kuzua charrange huku tunamwona amenyooka kwa Bwana Mungu wetu ! Huyu hahubiri hisia zake wala matakwa yake Bali anafikisha kama alivyoamuriwa na aliyemtuma ( MUNGU )
@samuelbahati79763 ай бұрын
Mtumshi wa Mungu ubarikiwe sana
@ramadhaniathumani10253 ай бұрын
Mungu akubariki!!l
@luciadominik16263 ай бұрын
Hapana baba usifanye hivyo please
@MsAggie53 ай бұрын
Ndo tuombe toba sasa
@Leeeeeeee-963 ай бұрын
bora kiwake wananchi tunateseka
@SelijusiMalambo-rh6sf3 ай бұрын
Mabii njaa mpaka tukio litokee acheni njaa
@mwakilamwaki17183 ай бұрын
Kwani ukuona alichosema kabla yajatokea ndugu fatiria clip za nyuma
@MsAggie53 ай бұрын
Huna macho au unajitoa fahamu, haoni aliyaongea haya kabla hayajatokea hapo anayadhibitisha. Hovyooooooo
@Leeeeeeee-963 ай бұрын
mungu atakupiga 😅 endelea kupambana na manabii
@SelijusiMalambo-rh6sf3 ай бұрын
@@Leeeeeeee-96 ninyi ndio makolo waimani wajinga mwambie akale kande alale
@martinatusaye82673 ай бұрын
Simuchukii ila namupenda 2 ila nataka waungane pamoja katika mungu wa kweli na Moja nakupendana
@tanzanite99443 ай бұрын
Hebu tafuteni kazi za kufanya na scheib kujifanya watabiri na mna mnaongea na Mungu. Kama mna viberiti kwaninj msiwashe majumbani menu familia wenu zikawa Matajiri? Yaani mnalala manotas kama watu wengine halafu mnasema mmeonyeshwa maono.
@ezekielkiduge87303 ай бұрын
Mungu akusaidie hujui usemalo
@MsAggie53 ай бұрын
Watu wahovyo utawajua hata kuandika hawajui, mawakala, nini mbaya amesema hapo? Alichosema si ndo kinatokea au ni wivu wewe huongei na Mungu unaongea na shetani anakutuma umtusi anayeongea na Mungu kwa sababu ndo kazi yake kuwa against na Mungu