JEHOVAH...😢😢 Nifanye yote katka yote but mbingu nisiikose haki...hiz shuhuda unifanya niogope kutenda dhambi hak nitamani Kila cku na mm kupata maono ya mbingun.. blessed wote.
@SafiAkinyi8361 Жыл бұрын
AMEN AMEN 🙏 🙌 👏 MUNGU ATUSAIDIE SANA WATU WAKE KWA MAANA MAANDIKO IMESEMA YAMKINI WAKADANGANYA HATA WALIOTEULIWA MUNGU ATUNGOZE TUMALIZE HUU MWWNDO SALAMA AMEN 🙏
@rebecashumbi3450 Жыл бұрын
Waimbaji masta mtajulikana duniani mbingu sio yenu ushuhuda unatisha fanyeni makobgamano tozeni pesa mbingu sio yenu Mungu ni mtakatifu sana
@kihilamasuke6976 Жыл бұрын
Usiwahukumu watu mwachie MUNGU atawapa sitahiki zao wewe sio mwamuzi
@reachelchemtai2604 Жыл бұрын
Mungu akubarike Sana Dada hakuna dhambi mdogo mbele ya mungu shatani hutesa watu wa mungu wapotea
@queenesther2639 Жыл бұрын
Amina mama mwenyewe sauti nzuri ya kushuhudia... NAKUPENDA
@Nenolamaarifa Жыл бұрын
Nakupenda pia mama
@isayanyingi6387 Жыл бұрын
I'm blessed from heaven,,,,,ubalikiwe mtumishi,,,,
@sarahsarai8690 Жыл бұрын
Amina barikiwa sana
@imagepower3641 Жыл бұрын
Mungu hajakataza wanadamu kuwa matajiri isipokuwa msingi ni kuwa usitekwe na mali ukamsahau kwa sababu kuna maisha baada ya kifo na hukumu pia..
@angiemkusa3845 Жыл бұрын
Sio kila shuhuda zina uvuvio wa Roho Mtakatifu, Wengine ni maagent wa shetani ili kukatisha watu tamaa.
@evelynekomba7216 Жыл бұрын
Sikiliza ushuhuda wa kumbi 23 za hukumu. Jipime.
@barakabaraka4508 Жыл бұрын
Haulazimishwi kuamini..
@failaprince9250 Жыл бұрын
Utukufu niwa MUNGU amina
@helenbahati8038 Жыл бұрын
Amen Amen Yesu uturehemu😭😭😭
@laurentieliasi2496 Жыл бұрын
Ubarikiwe
@Nenolamaarifa Жыл бұрын
Amen
@fatumaminyeko1875 Жыл бұрын
Amen AMEN
@Nenolamaarifa Жыл бұрын
Am blessed
@emmanulmbembati Жыл бұрын
Jina la bwana yesu kristo liinuliwe kwa ushuhuda huu bwana tuokoe
@rebecashumbi3450 Жыл бұрын
Sikutegemea keneth Hagen alivyjulikana na huduma yk tuwe makini wachungaji mjulikane duniani na mapesa yenu uzeni vitabu na waimbaji uzeni cd mbingu sio yenu
@carolinederi5690 Жыл бұрын
AMENI
@alice-sd1sv9 ай бұрын
Amen I'm totally blessed
@maryandason1815 Жыл бұрын
Siku nikifika dar natamni nifike hapo church aisee saah kupata mafundsho ya utakatifu si rais hak
@barakabaraka4508 Жыл бұрын
Karibu sana Mary tunakusubir Kwa hamu kubwa
@maryandason1815 Жыл бұрын
@@barakabaraka4508 asantii..no ziko zinatajwa Kila cku ...nikifika nataman nifike church.
@sophiaombasa6029 Жыл бұрын
kwakweli nmebarikiwa na hujumbe huo
@user-sk1pf7rb7i Жыл бұрын
Bwana atusaidie
@rebecashumbi3450 Жыл бұрын
MUNGU si mtu ni mtatifu0 huduma zimeuzwa eti tamasha tunajifurahisha makongoro yetu Yesu hAyupo kumbe ni mtakatifu
@liliangodfrey2379 Жыл бұрын
Amina
@jairusannalo Жыл бұрын
😢😢😢😢😢😢😢
@trophywilson7211 Жыл бұрын
Basi huyo pole yake
@trophywilson7211 Жыл бұрын
Ni robo tatu ya Watu hao duhh
@PropheGabriel Жыл бұрын
Acheni uongo kudanganya watu kwa maandiko msiyo yaelewa
@8pistons194 Жыл бұрын
Nabii wa uongo ww tulia dawa iingie sehemu mbinguni huna labda ubadilike
@sarahjacobs8814 Жыл бұрын
Waambie kwani kama ni uongo mbona unaskia si uwacha ujinga please
@godwinkileo7702 Жыл бұрын
Hadithi nzuri lakin maneno hayo kasema nani wakati muhusika alikua kafa? Au alirudishwa duniani ndo akashuhudia? Kama sio hivyo habari hii itakua yakufikirika
@emmanuelpeter9677 Жыл бұрын
Unajua maono yalivyo...ila pia kila shuhuda ipime kwa neno la MUNGU na msikilize Roho mtakatifu.