Kampuni ya Mwananchi Communications LTD wasambazaji wa magazeti ya Mwananchi, Thecitizen na Mwanaspoti Tanzania.
Пікірлер: 34
@SesiliaSamwelkamau2 ай бұрын
kaka man dojo ni mtu mwema sana mwenyezimungu ampunzishe kwa amani na milele mwanga wa milele umwangazie amin inshaallah🙏
@RamadhanjanabiRamadhan2 ай бұрын
Mbele yako nyuma yetu pumzika Kwa amani mandojo tutakuezi Kwa nyimbo zako braza
@SesiliaSamwelkamau2 ай бұрын
dah! pole sana mrs man dojo mwenyezimungu azidi kukufariji katika kipindi hiki kigumu pamoja na watoto hao na uyo mlinzi aliye husika na kifo kaka yangu azibiwe na kifungo cha maisha apewe adhabu kali sana kaka angu alikuwa ni mtu mwema sana inshaalla kiukweli nimeumia sana😢😢😢😢😢😢🙏🙏🙏🙏
@DaudiJulius2 ай бұрын
Poleni familia kwa kuondokewa na mtu music.u
@Magrethw-xp4ru2 ай бұрын
😭😭😭😭😭pumzika kwa Amani bro🇦🇪 Manyon inapengo la mwana family
@thehustlerafrica43682 ай бұрын
Dah 😢😭😢 Domo kaya pole sana brother
@bilalihassanshariff57582 ай бұрын
Poleni sana familia.
@MaryhaikaMosha-w7g2 ай бұрын
Poleni sana wafiwa Mungu awape nguvu😢😢😢
@AshaAsumani-f8x2 ай бұрын
Poleni sana tulikupend ila mung amekupend zaidi pumzi kwa aman
@rahmahasan322 ай бұрын
Poleni familia ndugu na marafiki wote kwa msiba huu
@AminaTanzania2 ай бұрын
Mhh mungu ampumzidhe kwa amani
@rahmamavura4062 ай бұрын
Dah poleni sana
@gladnesswazir-zz9lk2 ай бұрын
Daah 😭😭😭😭
@LindaMbilinyi-n3n2 ай бұрын
Maisha ya binadamu aliyezaliwa na mwanamke ni mafupi nayo yamejaa shida na mateso,pumzika kwa aman mandojo
@AbrahmanAdballah-xm1yc2 ай бұрын
Punzika kwa amani mbele yako nyuma yetu nakumbuka kitambo mandojo domo kaya mulikuja nungwi Zanzibar tukawapokea vizuri
@thehustlerafrica43682 ай бұрын
R.I.P brother Mandojo
@frankmlinda11812 ай бұрын
R I p brother from another mother.mandojo
@kudramzee57692 ай бұрын
Mbele yetu nyuma yake sote safari yetu moja
@majidimussa86782 ай бұрын
Dah! Watu wamekazana na picha
@MohamedSalum-m5v2 ай бұрын
Inalilah waina rajiuhun
@SadickAmiri2 ай бұрын
r.i.p. dojo
@juvenalschristopherkalewa18192 ай бұрын
Apumzike kwa amani
@enockmakombe31442 ай бұрын
ENDELEENI KUJICHUKULIA SHERIA MKONONI MWISHO MTAUA WAZAZI WENU😏😏😏
@SalamaNauthar2 ай бұрын
Sote njia yetu Moja
@DanbLaurent2 ай бұрын
Dunia Mapito. Dah
@kiluwaselemani42462 ай бұрын
Allah amsamehe makosa yake inshallah
@SuzanaSamson-vc3wu2 ай бұрын
Pumzika Kwa aman
@ErickjhonErickjohn2 ай бұрын
Kazi.ya.mungu.aina.makosa.tuseme.Amee
@JeannetteManirambona-o6m2 ай бұрын
Amina
@andrewbigambo67212 ай бұрын
Waafrika tupunguze mshikisha au kumuhusha Mungu ktk fikra na matendo ya kibinadamu.ndio maana mabaya yanajirudia Sasa hicho kifo Mungu amehusikaje