Napenda sanaa combination ya Dr. Sulle na pastor ndacha
@JumaMohd-y4v8 ай бұрын
Nimependa mohojiano yenu hongereni sana
@davidndaha96078 ай бұрын
Nawakubali sana kujenga watu kwa hoja bila ugomvi kila mtu anavyoelewa Imani
@emmosilver60398 ай бұрын
Hawa jamaa Bwana siku Moja mwenyezi MUNGU awakutanishe peponi.
@muhammadally3938 ай бұрын
Dr Sule kweli wewe ni kidume wa Allah kwani japo walimwengu wanakusema wallahi umebaki kidete kuonyesha uko kwenye uhaki maa shaa Allah
@solomutua38758 ай бұрын
Ndacha si rahisi kumweza
@bushbabytz8 ай бұрын
HAKUNA MTU ATAKAYE MUWEZA NDACHA...NDACHA NI SHIDA MNO...HUYO SULLE YAANI HAJUI LOLOTE
@nomar37088 ай бұрын
Kwenda huko wazungu waliokuleteeni hiyo dini wanafunga ndoa za mashoga kanisani. Mumebaki nyie tu mnaamini upuuzi huo wa kanisa😂😂😂😂😂
@Xuxu-f7j8 ай бұрын
We kichwa maji kweli hivi hata kwa hiki ki clip kidogo sulle anavyojibu na ndacha anavyotapatapa we huon wallah nyie pepo labda ya babio
@JacobMaganga-re9ji8 ай бұрын
@@nomar3708hta waarabu walotuletea hii wanafanya ugaidi, kifupi dini zote tumeletewa na wale walotuletea sio watu wakuaminika
@fredducaunt8 ай бұрын
@@nomar3708 fala kweli wewe Waarabu waliokuletea dini kwa kugeuza babu zako watumwa ndo unawaona wa maana
@fredducaunt8 ай бұрын
@@nomar3708Bwege kweli Ukristu haujatoka kwa wazungu Bali kwa wayahudi Ukristu ni sect ya Kiyahudi Yesu ni Myahudi Mnazarethi sio mzungu Wazungu ni wapagani yaani atheist na freemasons Sasa wewe umekengeuka akili waarabu wanakuona nyani bwege wakageuza mababu zako watumwa unawaona wa maana kwa kukuletea karafuu na urojo na kanzu ovyo Kama hio dini yako inakugeuza akili zako kutamka pumba kama hizi basi sio dini Kama dini ya mwarabu inakugeuza kumgeuka mwafrika mwenzako basi bwege kweli hicho kichwa hamna kitu ndani ni upepo tu
@profs.a54128 ай бұрын
Pepo inauleviiii tenaaaa😂😂😂
@RamaJuma-i8j8 ай бұрын
Jamani unatufundisha nn? Sisi ambao hatuna elimu kuhusu pete
@LaughKey-f8x5 ай бұрын
Hii ya sule na Mwalimu Ndacha ni nzuri sana kushinda huyo shafii muoga Hana lolote
@apollorutamucero69718 ай бұрын
Karibuni Bujumbura
@nomar37088 ай бұрын
May Allah guide Ndacha
@MichelOmbaOKITO8 ай бұрын
MIMI SHEIKH OMBA KUTOKA CONGO TUNA FURAHA SANA HII CLIP
@ChiringaLwambi-mi7bz8 ай бұрын
Takbir Allah Akbar
@rachelmaina34768 ай бұрын
Ustadh utumie majini na Pete za kuzimu? Mkristu hana shake.Kuna wakristu wabaya lakini najivunia kua mkristu.
@BeriyaNirera16 күн бұрын
Ndashaka mumbarize ijuru ryabaisiramu Riri hehe?
@HamisSaidnkayaka8 ай бұрын
tatzo la ndcha m bish lakn anajuwa dini ya kwer mbele mungu ni uslam
@bobnthia8 ай бұрын
Mtangazaji, weka kipasa sauti mahali pazuri.
@AminaLibisa8 ай бұрын
Makenzi aliwateketeza umati kweli walisema watateketea kwa kukosa maadili 😂😂
@jimmymatheka26978 ай бұрын
Aah hapa umechanganya video ndugu
@jacksonngusi41228 ай бұрын
Dah patamu hapo
@muhsinkimaro42838 ай бұрын
Naona sasa mjadala wa pete na majin umekuw mkubwa sasa unatubadilishia gia, tunashukur, tumtegemee Allah tu
@saiclassicofficial31383 ай бұрын
Afrika
@nasrihussein42938 ай бұрын
Dr sulle kwa elimu anaye sana
@michaelmbeti50408 ай бұрын
Huwa hamjadili kufa mtume muhamadi na kuruani
@MinaniVincent8 ай бұрын
Hmuna Dibet bwana ni kipindi tu!
@Maxpaul-oi8pw8 ай бұрын
Na wanawake
@haruniaisha59058 ай бұрын
Sure utasikia mikelele tu akipiga
@Maxpaul-oi8pw8 ай бұрын
Mapete ya majini yaaninushirikina
@AmosyAbdallah8 ай бұрын
Nimependa umoja wenu.Mnapendana na mnaongea tu kwa hoja.Sisi wote ni ndugu dini zisitutenge.
@apostleelishamutafrancis41223 ай бұрын
Mu😂😂😂😂😂😂
@bobnthia8 ай бұрын
Camera haitulii
@jacksonngusi41228 ай бұрын
Hiv kwanini kila siku ni Tanzania na si kenya!!
@anordlaurent87518 ай бұрын
Kenya hakuna shekhe wakupambana nae😂
@aweisali17238 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂 kwei kbs mm nipo kenya bro. Ila tanzania wapo mashekhe😅😅😅😅😅😅
@jacksonngusi41228 ай бұрын
@@aweisali1723 kumbe ndio maana yuana ogopa kwenda kenya
@mwanafbii78 ай бұрын
Sasa hamjui video editing jameni hapa mmechanganya video
@herimornchriston60838 ай бұрын
aya waislamu wabishi mmesikia torati,zaburi na injili ipo kwenye biblia sheigh wenu kakiri hapa !!!
@nomar37088 ай бұрын
Biblia yenu imebadilishwa imetiwa upngo pia kwa ajili imeandikwa na binadamu wa kawaida anaitwa Paul, baada ya miaka mia tano baada ya yesu kufa. Na pia kuna biblia zaidi ya 63 na kuna maneno tofauti humo. Mungu hawezi kuwa mwandishi wa confusion. Yesu ni mtume , sio mungu jamani amkeni
@leonardadd8 ай бұрын
@@nomar3708ilibalishwa wapi, na original iko wapi? Na ukijibu usisahau Quran imekuja nyuma ya bibilia
@herimornchriston60838 ай бұрын
@@nomar3708 hahaha uwamke wewe unaemuita mtume alieoa binti wa miaka 08 n mtume wamwenyezi Mungu !!!! umeamua kuikataa biblia ikatae koz hauna hushaidi wowote kwamba biblia imebadilishwa?? hii n vigezo vyakukataa kusoma torati na injiri , sis tumeshatimiza kuwaambia mmesikia injiri ilipo na hamkusadiki sasa hata hukumu ikitoka msijesema hamjaiona torati wala hamjaiona injili . kwasabb hakuna muislam ambaye anaweza thibitisha kwamba biblia imebadilishwa
@herimornchriston60838 ай бұрын
@@nomar3708 Quran s imendikwa na mwanadamu pia -? ninaijua hadithi ya ufunuo wa mtume wenu mohamad alivyobanwa nakiumbe hakujitambulisha n nani na pia alienda kuuliza kwa mchungaji ambaye kamwambie huyo n malaika gabriel jitabilie utume.je vipi kama mchungaji atakuwa amemdanganya ?? kwahy hakuna ushuhuda wamoja kwa moja kwamba Quran imetoka kwa Mungu. na kuhusu paulo na mitum wengine hii n kawaida Mungu kuwatumia watu kuandika ujumbe wake . na kuhusu contradiction unaziona kwasabb hauielewi biblia na unaisoma biblia ili uikosoe na si ujifunze kama umeona contradiction umeuliza watu wanaoifahamu biblia ?? kizuri kwamba injiri na torati imefunuliwa kwenu nyiny mme ikataa kwakusema kwamba imebadilishwa wakati Mungu hajasema hili sasa kikubwa mmesikia injiri kwakuwa hamkusadiki basi hy itakuwa n juu yenu nyinyi na hukumu ikipita itawachukulia kana kwamba n watu walioisikia injiri na torati na hamkusadiki
@herimornchriston60838 ай бұрын
@@nomar3708 na kuhusu version nani asiejua kwamba mnaversion tofauti tofauti za Quran ?? mkiulizwa swali mkishindwa kujibu mnaenda kutengeneza version nyengine . kwa mfano Quran ya zaman inasema mohamad alikuja kwaajili ya waarabu na nchi zinazozunguka ila ya sasa inasema amekuja kwa waarabu na nchi inayoizunguka nadunia nzima?? je unataka nikuonyeshe ushahidi ?? nikikuonyesha utaamini au utatafuta kitu chengine chaKUJITETEA?😀😀😀😀😀