Binafsi huwa nafurahishwa na mijadala yenu hongera sanaa ,Very Calm
@LusambyaAmasАй бұрын
Asante kwa kazi yenu Ila kwa upande wangu ninaswali naitaji Docta Sule na pasta Ndacha wanijibu
@danielkasau87473 ай бұрын
Wallahi Ndacha ni simba wa neno la Mungu 💞
@danielkasau87473 ай бұрын
Hawa wanaume wawili ni ndugu wa kweli.. kando na dini hawachukiani kamwe.... May God bless and increase you... We are watching you here in Kenya
@Muhammadnabii1Muhammadnabii26 ай бұрын
Masha Allah sheikh wetu uyo ndacha ata silimu tu INSHALLAH
@samuelsamson-b8pАй бұрын
Mwalimu Ndacha nakupenda sana
@sebastiansalamba3133 ай бұрын
Mungu hataki shiriki sure mchawi
@AproniusMwinuka7 ай бұрын
Ubarikiwe Dr ndacha Mtumishi wa Bwana
@DAVIDMAGHANGA6 ай бұрын
Ndacha hongera
@FarhatIbrahim-zs3qh6 ай бұрын
Doctor sule ansema ki2 kwaushahidi mashallah someni quran mujuwe dini inasemaje
@africacoast68416 ай бұрын
Haya gani
@salimomar-n7s6 ай бұрын
Hongera sna dr sule kwa elimu nzuru waeleweshe hao makafiri wasiomjua Allah
@MinaniVincent6 ай бұрын
Sule wako hnakitu
@FridayMwassa2 ай бұрын
Allah hatumtaki tunaye Jehovah anatosha
@barackamosi41166 ай бұрын
Ndacha mtukubwa sana sule ye nikucheka cheka 2 haelewi kitu
@BinSwaleh6 ай бұрын
Achana na daawa Dr Tule
@ashuramuhammed32576 ай бұрын
Ndacha mbabe wake mazinge TU maana mkaidi vibaya
@SefuAlyy7 ай бұрын
Shekh Sule Nakukubalii sanaa
@DRSWALEHONLINETV6 ай бұрын
Hatanamipiya namukubal
@JuliusMakaya7 ай бұрын
Kikubwa Imani, Tuamini Kuwa MUNGU Ni Mmoja Na Tufanye Yaliyo Mema.
@chapchap-oz1ou7 ай бұрын
Kweli kikubwa ni imani...lakini imani ya mkristo na muislamu ni tofauti....MUNGU wao Si Mmoja kulingana na madai yako.
@MarkoWMichael6 ай бұрын
Mungu sio Mmoja miungu wapo wengi lakini Mungu wa kweli ni mmoja Mungu mwenye Mungu Mungu wa Biblia Takatifu
@SurprisedApron-uq7kg6 ай бұрын
W Wacha uongo kama ww sio mu Islam huwezi kukuwa Namungu Moja kukuwa Namungu Moja razima usirim
@FridayMwassa6 ай бұрын
Kumbuka hata Buddha na wahindu wanaamini Mungu mmoja kama wewe
@FridayMwassa2 ай бұрын
Kuamini kwamba Mungu ni mmoja haitoshi maana hata wabudha wanaamini Mungu ni mmoja lakini sisi wakristo na wayahudi tunaamini Mungu aliye abudiwa na Ibrahim, Isaka na Yakobo huyo ndiye Mungu 8:13 anayesitahili kuabudiwa maana yeye anaweza kusema na kuumba pamoja na kutenda miujiza ambayo allah au mungu wa wahindu hawezi kufanya
@EsterSabinus5 ай бұрын
Kikubwa amani
@BertinBahati-p5v3 ай бұрын
Maelezo na majadiliyano ni mazuri kwetu sisi wa kristo
@davidkamando96306 ай бұрын
Sule mbishi tu... Mch ndacha mbona anaeleweka sana tu
@AhmedAlharithiy-sg5cq7 ай бұрын
Dr.sule masala Yana khilafu hakuna alie kuwa hai katika manabii wa la mitume allah hakujaalia mtu yoyote kabla ya mtumie kuishi milele
@abdymaalim6376 ай бұрын
❤
@KhalidJuma-rn6ss7 ай бұрын
Ndacha upo mbioni kuingia kwenye uislam
@Dafetty7 ай бұрын
Inshaallah
@lulanjamd38867 ай бұрын
Pole sana Ndacha yupo sehemu salama hawezi kuwa wa muislam
@MarkoWMichael6 ай бұрын
Ndacha hataki Majini
@umdtv27496 ай бұрын
Waislamu ni ndugu na majini au shetani 😈
@saidrakwe87277 ай бұрын
dr sule allah kampa elimu sana
@ameirfaki92777 ай бұрын
Real battle
@sophiaesmarcharo97756 ай бұрын
❤❤❤🌷🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@kijitamfyomi55987 ай бұрын
Dr Sule anajichanganya Anasema Allah alipomwambia mtume Muhammad kua atakufa ni future lakini baadae mtume Muhammad alikufa sasa kuna tofauti gani na Mtume Issa na aliambiwa nitakufisha hii pia ni future kwa hiyo baadae na Alikufa hawezekani mtu aishi milele ni ibilisi pekee aliepewa ofa ya kuishi hadi siku ya mwisho
@HemedSerious7 ай бұрын
Ni ww hujaelew
@tsumamartin68787 ай бұрын
Dr Sule majini yamekupagawa
@BonfaceWawire-k6p6 ай бұрын
mkuu wamajini Dr sule
@jacksonngusi41227 ай бұрын
Part2 tahadhali ni habar nzuri hivi
@NathanielNathan-m4o6 ай бұрын
Sule amekubali anamajini..... waislam mpo kweli?
@threebrothers..7 ай бұрын
Dr sulle is a funny happy islam,atabatizwa na ndacha na ataingia choir
@joycekaphevemba72156 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@ramadhaniyahaya728626 күн бұрын
Ndacha wapeleke hao sio kitu hawana lolote ipo siku wataabudu tu
@donaldfrancissassa83606 ай бұрын
Mtangazaji unatukosea heshima , "biingereza vya ninini?'
@IamLoe7 ай бұрын
I think you serve what / whom you use.....
@YohanaemchomvuMchomvu7 ай бұрын
Mchungaji usibishane na watu wamataifa kama huyo dr sule mtu mbaya sana shetani
@judithminja7706 ай бұрын
Ndg mtangazaji hilo neno la speak about umejifunza jipya?😢😢kha
@joycekaphevemba72156 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂
@dukeosoro3229Ай бұрын
Kwan uslam uko na faida gani
@MwalimuTulaybu7 ай бұрын
Hii kauli : "Maombi peke yake hayawezi kumaliza matatizo ya wanadamu" Aliyeielewa vizuri anifahamishe na mimi
@RamadanPaul7 ай бұрын
Huyu mtangazaji anajifanya anajua kingereza, mara " speak about:" Kwa nini usitumie kiswahili lugha yetu.
@stephen-S7n6 ай бұрын
Dr. Sulle majini
@SurprisedApron-uq7kg6 ай бұрын
Ndacha kafiri mjinga ngoja kaburi ndio utatamani kurudishwa duniani namda wako unauhaributu
@salumhamed50746 ай бұрын
Nice
@SefuAlyy7 ай бұрын
Dokta Sole no mapepo
@MinaniVincent6 ай бұрын
Sule kwanza namushauli kufanya mazowezi anakitambi kibaya sana
@africacoast68416 ай бұрын
Sule unapoteza watu.. Yohana 6:70 [70]Yesu akawajibu, Je! Mimi sikuwachagua ninyi Thenashara, na mmoja wenu ni shetani?
@sebastiansalamba3133 ай бұрын
Sule mchawi
@Dafetty7 ай бұрын
😂😂😂😂 Allah ndacha ana muita araa subhannallah
@ZoroSharifu6 ай бұрын
Hakika ndacha ingia wi islamu mbio❤
@bobnthia7 ай бұрын
Dacha...kemea hizo majini Dr Sulle anazitumia uone akiokoka.
@AyoubKalippessa6 ай бұрын
Haka kamsemo ka watu wa upande wa pili et Kuna majini wema na mabaya huwa sielewi
@KASSIMFUNDSIMU7 ай бұрын
SULE JITAHIDI KUTUMIA SHEREHE ZA QURAN AYA ZINAPINDISHWA BORA UACHE MJADALA KULIKO AYA ZIPONDWE PONDWE
@helenarhobi12506 ай бұрын
Sasa kwani unamwonea huyo kwamba awe mwisilamu sababu ya kutokujua kiswahili basi ongea kingereza tuone.
@BonfaceWawire-k6p6 ай бұрын
kwa kweli wewe ni mtaalamu wanajini yamekuharibu
@FahmyHassan-uf6hf6 ай бұрын
Mwezimungu ameishusha kurani kwamaneno ya kurani ndio tukatumia
@programminglanguagestutori91186 ай бұрын
Nani kaiwka kwa maadishi maana muhamad hakujua kusoma na kuandika?
@annymacher38296 ай бұрын
Kwanin Allah alisema" tukamuumba "kwan wangapi waliumba?
@ngwalesma36816 ай бұрын
Wewe mtangazaji achana na neno "speaking about"
@helenarhobi12506 ай бұрын
Kwani waislamu hamuendi hospitalini ninyi, acha uongo mzee mtu mzima!
@YohanaemchomvuMchomvu7 ай бұрын
Mandondocha wanamfuata dr sule kwenye comment wamesharogwa
@FarhatIbrahim-zs3qh6 ай бұрын
Acheni ubishi dini yakiislam nd dini yahaki achen ushamba
@MarkoWMichael6 ай бұрын
Unataka tufuge majini🥺🥺🥺🥺😊
@jeanninemunezero64697 ай бұрын
Sule na majini ndugu kabisa 😂😂😂😂😂
@kilogreek40506 ай бұрын
Nimemuona pastor kanyali kenya Anawaomba waumini katika tiktok huyo ni sawa ?????
@michaelthobias99677 ай бұрын
Mwandishi unaonesha upande hiyo ni tatizo
@peterAmiable77 ай бұрын
Eti sule anatoa andiko Yohana 6:70 eti mapepo yaliwatii wanafunzi wa Yesu. Huyu anabahatishaga tu maandiko
@Shomariamuri17 ай бұрын
Dr Sule unaanza kuelenewa kabla ya mada yenyewe. Majini yakusaidie 😂
@mariamwanjiku38667 ай бұрын
Mimi kama muislamu , haifai kutumia majini kutafuta mali
@Teenta7 ай бұрын
Mbona waislamu lazima watumie lugha ta kiarabu kwa saala zao kwani allah haelewi lugha ingine isipokuwa kiarabu
@mariamwanjiku38667 ай бұрын
Kuomba dua unaeza omba na lugha yoyote lakini kwenye swala tunaswali namna alivosali mtume Muhammad saw
@paschaljuma33127 ай бұрын
Ukifikiria hivyo ni uchache wa akili yako ndo unakutuma kufikiria hivyo, kama yeye mwenyew Mwenyezi mungu anasema, " Tumekumbeni mataifa na makabila mbali mbali ili mpate kutambuana" akili yako inakutuma kuwa kuna kikomo katika lugha, mwentezi mungu anaamua kitu hiki nataka kiwe hivi, mtu anayo machaguo mawili kufuata au kukaidi ni chaguo lako. Wala haipunguzi kitu kwa mwenyezi mungu, kwaiyo suala la kusali kwa lugha ya kiarabu moja ya sababu ni namna sala inavyofanyika na jinsi quran inavyotakikana kusomwa. Hii ni dini ambayo kila kitu kiko katika utaratibu wake wa kukamilika acha kufananisha na yenu ambayo kila mtu afanta anavyojua maana hamna muongozo nyie
@arafatali27967 ай бұрын
ndoa lugha yetu sote hata wew utake usitake hujiuliz kwanin adhana iwe yakiarabu sio lugha nyengn qur an kiarabu nyinyi hamuon tabu biblia kuwa lugha tofaut tofaut ukienda kwenye nci yawatu jee itafanyaje
@ramadhanyusuf24017 ай бұрын
Hii ni ishara ya umoja Mungu anapenda umoja
@wazirikipanga3257 ай бұрын
Ndivyo ilivyo swala imefundishwa kwa kiarab hata mtume amefundisha hvo so hairuhusiwi kutia maneno yyt isipokuw kiarab hata ukitaka kuomba dua ndn ya swala ni kiarab ukitia lugha yyt pasi na kiarab ndan ya swala!! Swala hyo ni baaatwil haipokelewi.
@KabebeMazambi-o6b7 ай бұрын
Sule wepeke sio muisilam ww ni mswaili, ww unatumia majini kwenye matatizo yako 😂😂😂, ndacha na yeye wote niwamoja
@KASSIMFUNDSIMU7 ай бұрын
Kijan ndacha anachekesha kwel
@michaelthobias99677 ай бұрын
Ndacha anaongea fact sio tatizo
@SteveMilinga7 ай бұрын
Labda kwamajin so maandiko nyiwenyew mwamngoja yesu sasa atabadili kwalip nyoo
@ahmedimakope7 ай бұрын
We Kuma nn mkundu wa bibi Yako kipapa wew
@aasatt787 ай бұрын
@@ahmedimakope sasa matusi ya nini jamani tumuogope Allah zungunmza maneno yalio sawa au unyamaze kimya kwa mujibu wa mafundisho ya Mtume wetu
@piusnkwale7 ай бұрын
Jitaidi unapoulizwa maswali acha kutamka"speak about"unarudia sana hadi inaboa
@lordenoughforme44177 ай бұрын
Sule mchawi.ajificha chini ya uislamu
@yusuframadhan89277 ай бұрын
Useless media with poor knowlegde of framing your headline
@SaidWaKonde7 ай бұрын
Ndacha mara hii utasilimu tu ukirudi kenya 🇰🇪 uwailumishe wafuasi wako
@Sandra398237 ай бұрын
Imagine naisi Mwenyezi Mungu ndio usukuma ndacha kujua haki, hata mimi nilikuwa naupiga uislamu lakini ckuacha kudiscuse uislamu
@michaelthobias99677 ай бұрын
Hakuna mwislm wa kusimama na ndacha hapo
@annymacher38296 ай бұрын
😂😂😂ndacha hawez kua muislam jishikilie😅
@IbrahimKadabla-h2e7 ай бұрын
wote makafiri
@ramadhanyusuf24017 ай бұрын
😂😂😂😂wote kafiri
@ramadhanimtetu36566 ай бұрын
Wajinga Huyu Anaeutwa Mganga Sule Hakusoma Uislam Na Huyu ndacha Namshauri Akasome Kwanza Uislam kwa kujifunza lugha ya asili iliyobeba kitabu cha imani ya Waislam Quran kisha aje kufanya Mijadala
@KhamisOmar-kt4kz7 ай бұрын
Mpaka wakiristo wanakudhihaki kwa tamaa zako
@mbukumagiubukumagu4067 ай бұрын
Mie ninachompendea Ndacha ikiwa wakiristo wamekosea anasema kama mzee upako wakiristo wengi hawasomi Bible lakini kuna mwengine anapinga tu hata kwenye ukweli Mfano kama Mw Daniël mkatoliki
@kiulajoseph91947 ай бұрын
Hawa wa jamaa mbona Kama ni marafiki poa tu ilamitandao ndio inaongea vitu vingi
@SefuAlyy7 ай бұрын
Mafuta ya nazii
@jeilanikhamisi7 ай бұрын
😂😂😂
@MussaHaji-zu4en7 ай бұрын
Gufu 😂 au nguvu?
@thelonewolf44297 ай бұрын
Sio adi atamke kama wewe ya muhimu nikumwelewa. Ata kingereza watu wanatamka tofauti sasa usijifanye yakwako ndio sahihi.