Bro!, Mungu anakupenda Sana Sana shukuru Mungu nausirudie tena kwa usalama wako.
@user-dd8ii2wf9s7 ай бұрын
Mwenyezi Mungu Akulinde Katika mahisha yako yote kwangu ya Mungu wetu Aliye umba inchi nambingu Atakulinda dahima
@user-xx2oi5di2b6 ай бұрын
Maisha ya umaskin ni mabayasana na sheten ananguvu Sana kutuadaa binadam kwakweli mwenyezi mungu atutangulie ss waja wake 😢🙏🙏🙏
@edithawino1007 ай бұрын
This boy is something else. 😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅Very interesting story. If is true or lie, i enjoyed watching and laughing at comments.
@stephenmoi79906 ай бұрын
lord jehovah reigns may he help us to live faithful to him.nothing is impossible for him.
@JenifferNanjala10 күн бұрын
Mungu akubariki sana kwakutokahuko nakuweza kuokoa wengine
@user-sx7ty6gs8t7 ай бұрын
God to be with you ❤
@user-fn1vu6vl1x7 ай бұрын
Mungu azidi kukutembelea kaka Kwa Moto wako mgumu.Mungu na akuinue viwango naviwango.Amin.
@jennjaja15868 ай бұрын
Glory be to God in jesus name 🙏
@khanakwasarahlydia21907 ай бұрын
Amen
@user-yb9ff7bt8j8 ай бұрын
mungu akutetee kaka
@BakuramaJonas-kk8st4 ай бұрын
Asante MUNGUkukuokoa na kutoboasiriyashetani hapa kwetu uganda kunababammojaanajiita yeyenimungu na anasemakama yesu njoshetani nawatuwengiwanamuahudukama MUNGU duniaimefikamwisho bahuuwanamuitabisaka kikaoyakeni kapiemi uganda jekijanaunaelezaninijuuyake,?
@user-cf4pv9hu6j7 ай бұрын
Pole Kaka yangu mungu atakuokoa
@StephenMtei-mw3kz7 ай бұрын
Mungu azidi kukuonekania brother
@margaretmacharia73306 ай бұрын
the blessings of the Lord maketh rich and adds no sorrow to it. pray for Gods blessings
@moviesmaster94937 ай бұрын
Huyu dogo kaangalia sana movies za Nigeria 🇳🇬
@Mohamed-uz8id7 ай бұрын
hilonaloneno mana m mh*** kunasehemu nilimuamini kabisa
@edithawino1007 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@khalidngatigwa2556 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@JanetRemboАй бұрын
Vipi ukijifungua mtoto na MTU wa free mason itakuwaje
@swedigatogato51967 ай бұрын
Yesu akatokea mwamba uyo sasa daaa story inaaribika kweli 😂😅
@AmalieAkare-tx3qr7 ай бұрын
Yeah God is omnipresent
@khalidngatigwa2556 ай бұрын
Dgo mwongo
@laneyManu-vq9yi7 ай бұрын
I don't believe this types of stories wengi wao waongo
@khalidngatigwa2556 ай бұрын
Kabisa
@reachelchemtai26047 ай бұрын
Shatani ni mwzi tana muhuwaji hanahimba vitu ya mungu baba wa Dunia
@mwanyawameja22497 ай бұрын
Mungu hashindwi kwa lolote na akiamua atafanya hakuna pingamizi
@abdallahrashid11827 ай бұрын
Msingi wa Ukristo ni Uongo, Danganya kujenga Imani za wakristo, wakristo wa ulaya wameshaamka hawanunui tena huu uongo, siku moja na wakristo wa Africa wataamka
@davidcharlesi35708 ай бұрын
Mnaopinga hii story wote cjui mko fungu gan ukiona story ya kutunga si una achana nayo? kwa nin uendelee kumaliza bando lako kwa story ya kubumbw achen hizo story za kuvunja moyo wenzenu wanaotaka kusikiliza. Mwenye akil nadhan amenielewa spend kabsaaa hizo maneno...
@hezekiamhapa73958 ай бұрын
Hii story Ni ya kweli kabisa ila hao wanaopinga Ni wale wanachama ambao wanaona Siri zao zinafichuliwa
@hezekiamhapa73958 ай бұрын
Tunaosali tuendelee kusali Tena kwa moyo wote Tena nimeona tofauti Kati ya Mungu Jehovah na shetani yaani kwa shetani ukikosea hakuna msamaha wakati kwa Mungu Jehovah unakosea unaomba msamaha tunapokelewa Asante Sana Yesu wetu Asante Sana Mungu wetu
@zainabkazige73887 ай бұрын
Kweli kabisa, sisi tunajifunza hata ikiwa ni story ya uongo tunajifunza kitu
@lilianeerica33186 ай бұрын
Mimi mwenyewe nilioyapitia uwarabuni siku nitayasema watasema ni uongo aki Mungu ni mwema wakati wote🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
Jehovah's name and Jesus's name is more powerful on this earth!!!
@CharlesMagnus-nv2pn10 күн бұрын
Mutasoma luka 19:1-9 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@husseinbugima36187 ай бұрын
ivi jameni mnatambuwa vizuri freemason??? Tusichanganye vitu, Yani tofauti na utajiri kwenye freemason hakuna kinachofikiriwa
@user-yn4st9wv9v7 ай бұрын
Kumjua yesu na kumtuma ni siraha kali ya kumshinda shetani. Hongera Sana kijana Immanuel kwa kumshinda joka.
@oscarkalihamwe16218 ай бұрын
Vp hujaokoka? Kumjua huyo ambaye jina lake halitakiwii kutajwa na shetaniii jina lipitalo majina yote ,,YESU MWOKOZI WETUUU
@comedy95108 ай бұрын
😊😊
@DenisCasey-kh8ub8 ай бұрын
Uyo ndie mshindi wa washindi yo duniani ata mbinguni, mkimbilie yesu Kristo atakuokowa
@PetroAweda-cm6xq8 ай бұрын
Bado
@user-eb2jt6de9n7 ай бұрын
😊@@comedy9510
@AmalieAkare-tx3qr7 ай бұрын
Yesu ndie njia na ukweli na uzima,,yyote amtegemea hatapotea Bali atapTa uzima was mille
@NatureRamson7 ай бұрын
aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaah WEWe JAMAA NI MUONGO SANAÀA 😮
@user-gc8zr5ye1f6 ай бұрын
Pole kaka mungu akubariki
@MichaelWilliamsNyirenda6 күн бұрын
Sasa Mtumishi nina Swali mimi naokotaga Hera njiani mara kwa mara hivi Atazire ni Shetani anazitupa au ,Na mama Angu alishawai kuniambia Kwamba tangu nilipokua mdogo nilikua na hio bahati yakuokota Pesa Sasa nisiokote au nifanyeje nikiziona
@agnessnasimiyu94217 ай бұрын
Mungu ni mwema kila wakati, kweli ainuliwe
@cybergeek-vdi76 ай бұрын
I rebuke Satanic in the name of the lord Jesus
@briannyabuku517 ай бұрын
I guess this is a cooked story. Freemason is a group of business not about sacrifices of worshipping the devil. Freemason is a society
@peninauae23097 ай бұрын
There's God heaven here our prayer
@esteramos7 ай бұрын
Mungu aendelee kukutangulia
@user-vp9yk7cf6t7 ай бұрын
Dg Yesu ulimuona wapi wew sungekua umekufa
@amanimargaret.15767 ай бұрын
Jesus most powerful came in everything changed
@kilalamuhumba46127 ай бұрын
Mtangazaji anauliza maswali gani sasa, tafuteni watangazaji wanaoijua fani yao bwana
@SifengiLi6 ай бұрын
jamani tumtafute Mungu kwa kiu kubwa
@user-bx3np9fm8p6 ай бұрын
Mungu anakupenda sana
@user-kf7nf6jh2u6 ай бұрын
Shetani hana kitu kazi yake ni kuharibu na kuimba God akuonekanie na akuride in Jesus name
@joshuamumo66596 ай бұрын
Story za Jamba watching from nairobi Kenya
@DanielMakokha-ek5te8 ай бұрын
Waaa una moyo kweli bro
@miriammusyoki42806 ай бұрын
Hakuna anayezidi jehova
@foodcook36267 ай бұрын
Wakristu mna shida ya kuona uepesi kusema uongo!!!! Kwa nini yesu akutoe huko tena ukifika juu ukutane lusifa nyumbani kwako eti akubembeleze kumrejeshea mali zake kweli!!!!!!! Hamna cha kufanya ila utapeli tu 😅😅😅😅😅😅😅usio na maana! Mnapotezea waskilizaji wakati wao nyiye watangazaji watapeli!!
@themessengerinternationalt33417 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣lusifa na kubembeleleza wapi na wapi
@user-gc1kt5qi9v7 ай бұрын
Pole sana usijaribu tena
@joelaminajoel4 ай бұрын
aaah na yesu umemuona na anaongea kiswahil kmbh😂😂😂
@anjelikakiwia46918 ай бұрын
Umbea tu wewe mwenyewe unaonekana umechaaaakaaa huna lolote Mungu mwema akusamehe na akufundishe kumjuwa Mungu wa kweli na wa haki na kumwamini Yesu Kristu mwanaye
@trophywilson72117 ай бұрын
Leta ukweli wewe maana nawe ni mwanachama
@user-vy6hz5ri6t7 ай бұрын
mungu wetu hafananishwi please bro mungu akusamehe sana
@HalenBahati7 ай бұрын
Ni Mungu sio mungu
@mrrevolutiontz6 ай бұрын
Ni makosa makubwa kuandika mungu ni Mungu
@CharlesMagnus-nv2pn10 күн бұрын
Mungu anabakia mungu tu
@MakeyHoza8 ай бұрын
Stori ya kutunga sio ya kweli
@MarcoEmmanuel-ek9iy6 ай бұрын
Mungu mkubwa kwa kweli
@AlexanderNelson-t3f25 күн бұрын
Mmh! Mbona Kuna kitu sijakielewa Kwan unavyo sema lusifer alikuwa busy busy na mbona inasemekana lusifer yupo kifungoni anatumia wafuasi wake kumfanyia kazi inakuaje apo?
@EliaMvungi4 ай бұрын
Na mm ninawito gani maan niliokokea Kwa mwampoxa Na namwamin atar
@user-qp7mm3gv2r7 ай бұрын
Mungu n mkubwa ila ujitahidi Kuxali xana na kumuomba Kila muda.
@mbilicharter5 күн бұрын
Sikuamini nyie waongo sana😂😢
@user-bn3gr1nc6t7 ай бұрын
The story is a pure lie watching from Kenya
@user-xe4vr3ko3m7 ай бұрын
Ohoooo ndo uliamini kua mungu ananguvu et
@thereziaaloyce34308 ай бұрын
Vijana acheni wehu fanyeni kazi
@blessslight55854 ай бұрын
Ddd mim naitaj pesa san ila naa mini niapat kwanguv za mngu🙏🙏🙏
@denischarles88647 ай бұрын
Toka nimeanza kusikiliza hawa wasanii sijaona anaeongea ukweli wa juu ya freemason kabisa kajamaa kaongo sana
@dansonmuthusi204 ай бұрын
Bona basi hata hukutia bidii kwenda kumuona babako hata kumzika? Hata uliwaambia ukichelewa wazike Tu. Baadaye kwenda baadaye ukaja bado na mwanachama na ukachinja ngombe na kuwapa jamaa yenu hela. Hizo ni sheria na kanuni za wafreemason
@puddoadeze77287 ай бұрын
You need to confess the blood of Jesus. Unahitaji kulitaja jina la Yesu na damu ya Yesu inayokomboa.
@user-xe4vr3ko3m7 ай бұрын
Wewe emu naonba hiyo nafasi uliyo poteza we ujui kuishi duniani tupe iyo nafas
@user-py8hk3fl2m7 ай бұрын
Duh? kweli kijana acha ujinga wa kutupanga tafuta wa kuwapelekea ujinga wako lusifa siyo nyoka peleka upumbavu wako huko tunakujua vizur saaaaana tu
@eddybrowntz29516 ай бұрын
Wewe nae acha sifa za uongo uongo tafuteni pesa acheni uongo maubwa nyie
😅😅😅😅😅😅😅😅writen story.. 😂😂😂😂wasted you bando for free..
@MwanakomboChakwe7 ай бұрын
Mwanzo si wengi wanasema freemason hawaowi itakuwaje huyu alikuwa na mke na watoto
@user-ko7bv8du8e7 ай бұрын
Wanaowaam a witness
@abdallahrashid11827 ай бұрын
Mungu anahitaji mchungaji kumchunguza mtu?!
@mariamally85488 ай бұрын
Ukisoma yohana 8:40 lakini sasa munatafuta kuniuwa mimi mtu niiyewaambia iliyokweli niliyoisikia kutoka kwa mungu .ukisoma hilo andiko tu utajua kama ni uongo yes ni mtu umuone wapi
@Kasweety67867 ай бұрын
Siumesema alikua baba alikua analima😂 sasa mara ni mgojwa 😅
@ahmedpera42317 ай бұрын
Mungu ni Allah tuh acha kutudanganya ety mungu kashuka hahahahahaha gonjwaaaa we
@user-li4uo1sk8q6 ай бұрын
Utoa testimony za huongo ili kuakikisha kua yesu ndo mungu tena ukisikiliza testimony zao nyingi uponda uislamu nakusema eti uislamu unaungana na mashetak....subhanallah,,mola atuongoze Mana sai wengi tunapotoshwa
@Carmelikizakubuntu-uy8cc7 ай бұрын
mungu mukubwasana kabisa
@EunnyeunnyRobi-bl9ci7 ай бұрын
Samahani ulifaulu aje kutoka bro
@hillarynalisi18907 ай бұрын
Huyu niko sure hajatoka
@khanakwasarahlydia21907 ай бұрын
Hmmm how did you join
@user-qk8ey4xm1f8 ай бұрын
Dah kwanini upende vya bule😂😂😂
@user-ev8po4jh1v4 ай бұрын
Hapo mi naswali bana kwako mmesema mkienda huko amtoki kwann ww utoke
@Patrickpajeromarco7 ай бұрын
Pole kaka lakin usijali utaponywa kwa jina la mungu
@abuhdizu-vi6mo8 ай бұрын
nani aliku connect na uliezaje kutoka juu ni vigumu kutoka lbda ufe
@josephmagongwe21817 ай бұрын
Glory be to God
@user-vy6st5ki2v5 ай бұрын
Mtu mwenyewe huwataji wezio unafumba mashetani
@user-np1ee6zv6l7 ай бұрын
UMETUPIGA isee nirudishie MB zangu mbona umri wa rafikiyko unapanda gafra na ulisema umemzid umri mbona wew mwenyew unaonekana mdg
@rd-worldtv15008 ай бұрын
Part 1
@user-rl6vl9oj3p6 ай бұрын
mungu nimkubwa
@user-mp8tk1gj1w6 ай бұрын
Mungu anaweza yoteee😅😅
@user-dq8uq1mx6w7 ай бұрын
Mungu ni mkubwa kaka usiwai muacha mungu😊😅
@AmalieAkare-tx3qr7 ай бұрын
Mtumukie mungu brooo
@lilianeerica33186 ай бұрын
Mungu sio mungu tumieni herufi kubwa
@user-it8vf2jw8c7 ай бұрын
Polesana mung hsmekusaidia kaka hang mh
@MudyKing-ub6he7 ай бұрын
Hii story nilijuwa ni kwel lkn uliposema km umetokewa na yesu tu ndo nikajuw kuwa unadanganya kwnza lusifa hana sura ya ya nyoka unataswira ya mbuzi mtu..
@khalidngatigwa2556 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@BeatriceWasonga-ip9nd6 ай бұрын
Wewe ulimuona wapi akiwa mbuzi mtu
@user-dt9gr8lg5n6 ай бұрын
Ulienda uko Kama shuhud ili 2sio amini 2amini ungekuwa hujakusudiwa Basi usingerud kamwe