Said bin Barghash wa Zanzibar sultan mwenye zaidi ya maajabu duniani.

  Рет қаралды 5,470

ITV Tanzania

ITV Tanzania

3 жыл бұрын

Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ;
Subscribe to our KZbin Channel : bit.ly/itvtanzania
Facebook : bit.ly/2KeQNl3
Twitter : bit.ly/2XG7aii
Instagram : bit.ly/34KItmg

Пікірлер: 21
@ZANAMBER12
@ZANAMBER12 4 ай бұрын
Munatunga uwongo waongo wakubwa munatunga historia ya uwongo mashetani wakubwa
@yahayab4u614
@yahayab4u614 3 жыл бұрын
Dah
@ZANAMBER12
@ZANAMBER12 4 ай бұрын
Muongo muongo muongo sanasan
@khatibal-zinjibari6956
@khatibal-zinjibari6956 8 ай бұрын
UKOLONI NA UTALII ZANZIBAR Ukoloni wa Tanganyika hutumia Wazanzibara kupotosha nchi ya Zanzibar kwa faida ya Ukiristo na Ukoloni wa Tanganyika.
@TheTarabist
@TheTarabist Ай бұрын
❤mzee Mbaraka unatagaza uongo. Umepata wapi tarifa hizo? Historia si uongo.
@alhabsi6430
@alhabsi6430 Жыл бұрын
Huyu mbaraka alikua kazaliwa wskati huoo??au anatunga tuu?
@califgoban9086
@califgoban9086 Жыл бұрын
You can never rewrite the golden history of Zanzibar by assumptions and personal desire for specific satanic alterations
@user-sw6wu7rp6h
@user-sw6wu7rp6h Жыл бұрын
Si dani kama yanauhakika hayo
@africaonechannel1289
@africaonechannel1289 2 ай бұрын
Mimi nimestaajabu kwa MUANDISHI WA CHOMBO KIKUBWA HIVI KTK TASINIA YA HABARI And hana Maarifa hata Kidogo ya SOMO LA HISTORIA. Maelezo ni kwamba BARGHASHI Ni Mtoto wa SULTAN Said; Then How come aitwe "SAID BARGHASH" NA UZUSHI WA HABARII YA KUFANYA MACHAFU NDANI YA PALACE; That Is Just SIASA CHAFU!. Na Sababu zake Tunazifahamu, THE REST OF THIS VIDEO CLIP IS VERY INFORMATIVE●
@nassorali8040
@nassorali8040 2 жыл бұрын
Wazushi wa kubwa wapotoshaji wa taarikh yetu hamuezi kuichafua taarikh yetu na sisi tukaa kimya Hata jina lake hamlifahamu Zanzibar hakukua na mfalme alieitwa Said bin Barghash. Wahenzi wakubwa nyie
@helpers10
@helpers10 Жыл бұрын
Acha tu ukweli uwaingie.
@fatmasaid9765
@fatmasaid9765 Ай бұрын
Astaghafiru Allah ww unasema uongo utakwenda jibu siku kiyama
@user-gf2qo9ly8k
@user-gf2qo9ly8k 24 күн бұрын
Sultanate Zanziba Is Somalis Djibouti Eritrea
@husseinkonz5192
@husseinkonz5192 3 ай бұрын
Mateja na walev ndio waongoza utalii swaga nying
@sleyumalgheithy3268
@sleyumalgheithy3268 2 ай бұрын
Waongo wakubwa mnaharibu historia ya zanzibar Sayyed barghash ndo Aloondoa utumwa,akitoa Meli kila mwaka kwa mahujaji tena bure,alimentary nyumba mecca ya mahujaji wa zanzibar wakae bure ,uongo wenu ndo mana mmeiharibu zanzibar
@TheTarabist
@TheTarabist Ай бұрын
Huyo Temba ni mtu kutoka Bara. Na huyo kijana wa spice anatoka Kenya. Wote wanashindwa kutamka Kiswahili sawa sawa. Wanataka "Saidi Bargashi". Wanashindwa kusema: "Seyyid Barghash bin Said".
@TheTarabist
@TheTarabist Ай бұрын
Wake 99 walihitaji nafasi kubwa kiasi gani itoshe.
@moomsuya1852
@moomsuya1852 2 жыл бұрын
KIKULACHO AMETISHA SANA
@ALIKHAMIS-un4fv
@ALIKHAMIS-un4fv 6 ай бұрын
Eti watu wajinga walevi ndo wanatoa history ya zanzibar inastaajabisha sana
@TheTarabist
@TheTarabist Ай бұрын
M. Kikulacho hujui kiswahili. M-chai chai. Herufi m- hapo sio kama usemavyo. Mti wo wote unaanza na m- katika kiswahili. Mfano: m-paipai, m-popoo, m-nazi, m-komamanga, m-gomba n.k. Vipi weweee?
@alhabsi6430
@alhabsi6430 Жыл бұрын
Jamani haya maneno ya kwelii??au ni uzushiii?subuhana Allah mtakuja kuulizwa nyiee
A clash of kindness and indifference #shorts
00:17
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 126 МЛН
Useful gadget for styling hair 🤩💖 #gadgets #hairstyle
00:20
FLIP FLOP Hacks
Рет қаралды 7 МЛН
A teacher captured the cutest moment at the nursery #shorts
00:33
Fabiosa Stories
Рет қаралды 31 МЛН
Maajabu Ndani ya Kasri la Sultani Sayyid Said (1856-1870) wa Zanzibar!
15:18
Kijiti
7:00
Siti Muharam - Topic
Рет қаралды 7 М.
Petr Kulhánek: Verlindeho gravitace (Pátečníci 25.11.2022)
2:22:59
Maisha ya ukwasi ya Sultan wa kwanza Zanzibar
38:51
ITV Tanzania
Рет қаралды 5 М.
A clash of kindness and indifference #shorts
00:17
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 126 МЛН