PART 3 - MELI yao yagonga MWAMBA, Yatoboka na Kuanza kuingiza MAJI, Ni kama TITANIC, Wapigania Uhai

  Рет қаралды 24,714

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Күн бұрын

Пікірлер: 79
@ukhutfatumah1154
@ukhutfatumah1154 Жыл бұрын
My friend My friend My friend
@jaffjeff6912
@jaffjeff6912 11 ай бұрын
😂😂😂😂gia yke
@mikeraphael957
@mikeraphael957 2 жыл бұрын
nakukubali sana baharia Mwega!! mimi traveller pia nipo Unyamwezini nakomaa nao!!naishi maisha ya ndoto zangu. maisha hakuna kupata tamaa . Mungu awatangulie mabaharia na travellers wote popote walipo
@hajimnubi4581
@hajimnubi4581 2 жыл бұрын
Uko state gani msafiri,tutafutane...nipo state
@ayshasaid1547
@ayshasaid1547 Жыл бұрын
Ameen
@AssumaniNahishakiye-vq9ft
@AssumaniNahishakiye-vq9ft 11 ай бұрын
Bonjour Monsieur mwenga from France apa bocha ochu 🇫🇷🇫🇷🇫🇷🇫🇷🇫🇷
@abelmange5430
@abelmange5430 2 жыл бұрын
Namkubali sana Mwega....! Kanyooka Sana hana pinda pinda...Roho safi sana
@abdallahmohamad6991
@abdallahmohamad6991 2 жыл бұрын
Pino boy... Mwega is the really hustle.... Nakukubal
@zulfikakalumba1977
@zulfikakalumba1977 2 жыл бұрын
Mwamba huyo hapo tena, long live Bro Mwega
@lenniefei6710
@lenniefei6710 2 жыл бұрын
Washenzi walimtumia vibaya mno kumpa kazi za hatari hatari sana sababu kubwa inaweza kua urangi ,kukosa kua na elimu ama kutokua na stakabadhi za ubaharia....Pole sana mwega !
@heritier5119
@heritier5119 2 жыл бұрын
Hakuwa na mikataba ya ajira, so akawa cheap labour. Kazi za hatari mtu mweupe bila pesa ndefu hawezi kubali sema waafrika hatujui haki zetu
@ethanjames4274
@ethanjames4274 2 жыл бұрын
Jamaa muuni sana msela sana akili nyingi sana big up broo nakubali mzeiya
@Derevamkongwe6864
@Derevamkongwe6864 2 жыл бұрын
Huyu mwana anajua sana kuelezea
@kilogreek4050
@kilogreek4050 2 жыл бұрын
Semanae baharia mwenzangu mwega maboss wako wanakulizia perama😁🇹🇿🇬🇷
@hossianamgalula6996
@hossianamgalula6996 2 жыл бұрын
Hujambo Mwega? Mi mama yako Mama Mgalula Arusha nakusalimia na Hongera kwa hatua
@ashuraabby9544
@ashuraabby9544 2 жыл бұрын
Safi
@ukhutfatumah1154
@ukhutfatumah1154 Жыл бұрын
Mama hapa mwega awez soma comments coz ana Sim ya smartphone
@ashakassanga1
@ashakassanga1 2 жыл бұрын
Huyu dogo narudia rudia sanaa kumsikiliza hanichoshi yaani Bravo 👏 👏 👏
@Dj_anaetumia_kanda_AloyceG
@Dj_anaetumia_kanda_AloyceG Жыл бұрын
Yani kila siku naludia
@mayaally2512
@mayaally2512 Жыл бұрын
Dogo tena ? Ha ha ha huyo miaka 50 plus
@abrahamfelix95
@abrahamfelix95 10 ай бұрын
dogo😅
@rasjamal9854
@rasjamal9854 2 жыл бұрын
Hiyo Una nikumbusha mwaka 97 ndani ya port Abijani kuna Jazi la kiaAgentina lilifunga pale ni shachukua kz ya kutoa oil fafu kutoa Ktk visima tullipitia kutoka balance ntaki,Hila yote Mwana Respect
@khalefsaleh617
@khalefsaleh617 2 жыл бұрын
Salute kaka
@ShaibuRamadhani-g9r
@ShaibuRamadhani-g9r Ай бұрын
Kaka nakubari mgogo wako swaibu boy south africa apa big up family 👪
@heritier5119
@heritier5119 2 жыл бұрын
Nenda kihalali utainjoi nenda chuo piga shule, tafuta pasipoti nenda dubai au italy Kazi tele kachukue Kazi.
@ziyandamhlana8776
@ziyandamhlana8776 2 жыл бұрын
Jama mkwel sana mwambie cape tonw water flont anajuwa sana big up
@aminmohammed4249
@aminmohammed4249 2 жыл бұрын
Oyaa upo waterfront??? Nicheki
@bakari-si1pw
@bakari-si1pw 2 жыл бұрын
Noma sana sema uchoki kupambana brother
@hassanbakari4525
@hassanbakari4525 2 жыл бұрын
Jamaa muuni,,hustle yani
@ziyandamhlana8776
@ziyandamhlana8776 2 жыл бұрын
Tanzania please musipoteze jembe huyuuu mpe Kazi kwenye melly Bakhalesa mpe Kazi huyuuu
@tahirnephessalum3678
@tahirnephessalum3678 2 жыл бұрын
jamaa hata angesema akomae na shule bado angefaulu vzur, ana akili sana na ana kichwa chepesi
@heritier5119
@heritier5119 2 жыл бұрын
Angepiga chuo cha marine USA au Ulaya apate cheti angetoboa, bongo karudi fata nini. Aongee na jamaa yake amfadhili then amuajiri akate pesa yake.
@ukhutfatumah1154
@ukhutfatumah1154 Жыл бұрын
YAAAAN AISHI HAM KUSIKILIZA COZ HISTORIA YAKE INA FUNZA MWEGA AU BAYA MWEGAMIO❤
@abelmirwatu544
@abelmirwatu544 2 жыл бұрын
MWEGAAA MZEE WA DRY DOC👍
@parma786
@parma786 Жыл бұрын
The great people most of the time make job don ubarikiwe MR MWEGA mbele kwa mbele
@SalumuSalehe-om8zh
@SalumuSalehe-om8zh 8 ай бұрын
Safi sana mwega
@cristinasofla5090
@cristinasofla5090 2 жыл бұрын
Mwega love you mwambie😄😄😄😘😍💕💓
@rajabmatusi9583
@rajabmatusi9583 7 ай бұрын
Mwega nakukubali sana kaka mkubwa
@josemitimingi8048
@josemitimingi8048 2 жыл бұрын
Jamaa karudi Tena part 3
@stellah3844
@stellah3844 2 жыл бұрын
Wangempa kaz kwenye Meli za hapa Tz huyu Mwamba
@saidimponda9037
@saidimponda9037 Жыл бұрын
Mwega nakukubali sana kaka
@heritier5119
@heritier5119 2 жыл бұрын
Awatosi siku hizi sababu ya satellite.
@jaffjeff6912
@jaffjeff6912 11 ай бұрын
Kweli mzazi
@ziyandamhlana8776
@ziyandamhlana8776 2 жыл бұрын
Bateliman is big plec for jeshii
@Laizer3
@Laizer3 7 ай бұрын
SAILOR
@bosslilyg4390
@bosslilyg4390 2 жыл бұрын
Huyu anavyoongea huwezi kuchoka kumsikiliza, Esco anacheka tu 😀
@ukhutfatumah1154
@ukhutfatumah1154 Жыл бұрын
Kwa kweli yaaan huyu kama brother KINGO KUNA INTERVIEW MOJA IPO MAALIM SELF MAISHA YA UGHAIBUN UYO UTACHEKA UFEEE😅
@Josh_1194
@Josh_1194 2 жыл бұрын
Mabaharia tuliokon UK tujuane
@ziyandamhlana8776
@ziyandamhlana8776 2 жыл бұрын
Mwega unjani tudubely big up sana sema ww unabahatii sana unanyumba????home kwel????
@norycakes1308
@norycakes1308 2 жыл бұрын
anayo tayri angalia part 2
@ukhutfatumah1154
@ukhutfatumah1154 Жыл бұрын
Aya mwega SIO KAMA MABARIA WENGINE WANAISHIA KULA UNGA TU KAMA MR KINGO N.K AWAKUMBUKI KUJENGA HUYU MJANJA MAANA NIMESIKILIZA MBAKA MWISHO SIJAMSIKIA NIKIKUWA NA MWANAMKE MWANZO MWISHO
@manwoka4078
@manwoka4078 2 жыл бұрын
Nakusikilza Mwega nikiwa Leipzig.Salute sana
@mossesrashid1552
@mossesrashid1552 Жыл бұрын
Mkuu vp uko
@manwoka4078
@manwoka4078 Жыл бұрын
@@mossesrashid1552 huku Poa sana
@mossesrashid1552
@mossesrashid1552 Жыл бұрын
Daah mabaharia nasi tufnyaj tuchomoke mbinu sku hz tunajiandaa na pesa connectn changamoto
@mossesrashid1552
@mossesrashid1552 Жыл бұрын
Nipe namba zako bro nkucheki whatsap
@mossesrashid1552
@mossesrashid1552 Жыл бұрын
Nipe namba zako bro nkucheki whatsap
@jannethcharles9658
@jannethcharles9658 2 жыл бұрын
P 1
@lowasalaizer2750
@lowasalaizer2750 Жыл бұрын
Hustling broo
@rasjamal9854
@rasjamal9854 2 жыл бұрын
Mwenga utakuwa na nyota ya Simba
@ziyandamhlana8776
@ziyandamhlana8776 2 жыл бұрын
Sema😂nakwelewa mwamba umevaaa sana kutoka kwa Putine
@ramaosman8060
@ramaosman8060 2 жыл бұрын
♥️ ! #Ljaystunner #LuckyHavana #LjayKitchens #NyamaChoma
@mbwanakiting7180
@mbwanakiting7180 2 жыл бұрын
Majaliwa mwingine yani unakwenda katika tobo kwa kutambaa na presha ya maji unawezaje kubeba mfuko wa cement peke yako?
@rayboy7148
@rayboy7148 2 жыл бұрын
Tuko pamoja
@abuukhamis4412
@abuukhamis4412 2 жыл бұрын
Nakukubali sana kamanda bariya
@James-xf9yk
@James-xf9yk 2 жыл бұрын
Point nyingi sana ameongea mwisho hapo
@saidpatrick6232
@saidpatrick6232 2 жыл бұрын
1
@najmaahmed3840
@najmaahmed3840 2 жыл бұрын
Namba ya sim ipo wapi
@mwegamfaume2818
@mwegamfaume2818 2 жыл бұрын
Mwambie Esco atakupa
@Laizer3
@Laizer3 7 ай бұрын
Video chafuuuu
@johnngowi8334
@johnngowi8334 2 жыл бұрын
Naomba namba ya mwega faza ,
@abrahamfelix95
@abrahamfelix95 10 ай бұрын
iko kiglasi alichokunywa ni maji😅
@mwegamfaume2818
@mwegamfaume2818 9 ай бұрын
Kazi na dawa ndugu
@Dj_anaetumia_kanda_AloyceG
@Dj_anaetumia_kanda_AloyceG Жыл бұрын
Mwega unaweza kumisikiliza ata mala 100 na bado usichoke
@kipigapasilisungu2581
@kipigapasilisungu2581 2 жыл бұрын
.
@saidpatrick6232
@saidpatrick6232 2 жыл бұрын
Like for me
@officialaftab8760
@officialaftab8760 2 жыл бұрын
poa poa
@rosemaryismaily001
@rosemaryismaily001 2 жыл бұрын
Kwaiyo uchafu wa choo unamwagwa nje kweny bahari au🤮🤢🤢
@mayaally2512
@mayaally2512 Жыл бұрын
Kwani hujui hata mabomba ya maji dar yanamwaga mavi baharini
Почему Катар богатый? #shorts
0:45
Послезавтра
Рет қаралды 2 МЛН
Bishop Ngonyani- HISTORIA YA TAIFA LA ISRAEL EPISODE 1
34:21
Ngonyani Tv
Рет қаралды 36 М.