Pole sana dada mungu atakuwa pamoja na wewe kwakua ulikuwa utaki kufanyia starehee bali ulitaka kuokoa maisha ya mama yako mungu atakufanyia wepesi
@queenlovenessgodfrey91174 жыл бұрын
Naandika nafuta I swear to GOD Allah akufanyie wepes ulud akuna mzazi anapenda mwanae apate shida tofauti ni ukiwa na tulio jaliwa neema utatoka utatoka
@neemamahusho61934 жыл бұрын
pole Sana dada usikateee tamaaa kwani maisha ya mwanadamu anayajua Mungu wetu Basi utamaliza nautaludi nyumbni salama muamini Mungu habali yakufa ondoa kabisa Bali mtumaini Mungu 🙏🙏🙏
@mussamc6414 жыл бұрын
Da ccta pole sana..natamn mungu aonyeshe miujiza hutoke huko na uwehuru ..yaan sipati picha vip utakavokujakua balozi wa wanaosafirisha madawa ..maan najua jinsi gan unajuta na kuteseka huko uliko ...ckujui ila ww n mtazanzia mwenzangu ...lazma iniume tuu...ila usikate tamaa nitasimama usiku kwa ajili ya allah kwakua umejutia kosa ..bas hakuna nilishindikalo kwake ....utatoka tuu dada .from zanzibar
@msolopagunz83146 ай бұрын
Pole sana Lilian Mollah akufanyie wepesi wakutoka
@rayaalhabsi17254 жыл бұрын
Tamaa mbele mauti nyuma. Mwenye enzi Mungu atustiri Yaarab. Mwenye enzi Mungu amsaidie apate kurudi kwao salama
@swaumuabdallah45474 жыл бұрын
😭😭😭Asant sana mama kwa kuchana tiket na kunifungia ndan sik safar mung wangu huwenda ningepotea mama mama nakuita mamaangu hii kaz ningeach mtoto wangu mm😭😭😭
@samirakiango9572 жыл бұрын
Ilikuaje sasa na ww naulitaka kwenda wapi kwakaz gani
@glorybrayankessi70026 ай бұрын
@@samirakiango957tiketi yagari au?
@nessa48994 жыл бұрын
Yesu anakupenda mkimbilie Yesu atakukumbatia utapata uhuru na Amani ya kweli.
@saudajuma44094 жыл бұрын
Mungu mfanyie wepesi Kwa njiaa zake
@sadamissa56874 жыл бұрын
Pole sana , mchongo umekua mchongoma , ungetiki huo daah Komaa tu kubali matokeo muombe Mungu mshukuru Mungu utaishi humo kwa amani
@gadhabuabuu44434 жыл бұрын
Muongo sana huyo mbona maelezo yanapishana sana
@mangoimangoi59394 жыл бұрын
Tatizo moja la huyo dada c mkweli mana glbl ksema mpenz na mld ayo asema rafiki tuelewe lipi shida ni tamaa ya pesa ila pole mrudie mungu fanya toba ya kweli mungu anasamehe poleee maa
@ShaimaaHamza-v6cАй бұрын
Pole sana lili yani nmehadithiwa na mtu t nkaamua ntafute hii story mwenyw
@tumainiellyimo4657Ай бұрын
Inauma sana aisee dah!
@rosemaryaloyce42314 жыл бұрын
Mungu akutie nguvu Lilian huo Ni mtihani wako lakini utashinda .Ukiamini Mungu anaweza
@Justinacharleskayug6 ай бұрын
Pole sana Lilian mungu akufanye wepes utoke getezan pole sana
@aishakaijage72684 жыл бұрын
Pole kwake aisee sijui kama atakuja kutoka uyu binti maana kwa nchi za watu mtu mweusi kupata msaada aisee n miujiza mno.
@bernardmallya29674 жыл бұрын
Avune alichopanda angefanikiwa angerudi na dharau...
@audifasmassera12894 жыл бұрын
Dah! Pole sana mummy! Tunakuombea tu! Ila kwa upande wa mamlaka za nchi kulingana na kesi yako aisee sidhani!
@monabangaseka10644 жыл бұрын
Pole Lillian nimeumia sanah daaah mwenyezi mungu Akufanyie wepesi inshaallah wasichana tujifunze sanah
@rajabumalupu41844 жыл бұрын
Pole ya nn bhana muache akomae hukohuko
@medydati48144 жыл бұрын
Pole sana dada mwenyezimungu atakufanyia wepesi inshallah
@johnmmbaga39034 жыл бұрын
Daaah inauma sana sana jaman Nmejaribu kuvaa viatu vya huyu dada nmeshindwa 😭😭😭
@HerbertAsante-u5q6 ай бұрын
Nivya moto sana😢😢
@gracemacha93572 ай бұрын
Tamaa mbaya sana jamani turizike na maisha yetu
@brightonkihwili54994 жыл бұрын
Yupo ktk wakati mgumu sana tumuombee mungu haweke wepesi na huko aliko ni mbali sana
@tatoorashedi17873 жыл бұрын
Pole sana mtoto wangu mungu yuko naww
@tumainiellyimo4657Ай бұрын
Wengine Hadi Leo 2024 hawaelewi
@bennymochiwa48004 жыл бұрын
yote ni katka kutafuta dadangu don't give up, only God can judge, pole sana
@reenyaysher76394 жыл бұрын
Mungu akusaidie
@jocety44264 жыл бұрын
Asante bro Millard niliisubiri Sana part 3
@bellacaramella21964 жыл бұрын
Hata mimi
@jamillahshabani25004 жыл бұрын
Pole sana mdogo wangu ningekua na uwezo ningekusaidia lkn mimi ntakuombea Kwa Mwenyezi Mungu
@missionarymallyachannel15314 жыл бұрын
I wish vijana wengi wangepitia hii clip pengine wanaweza kujifunza. Nilichokuponza Lilian ni tamaa ni maisha ya vijana wengi. Kwa kuwa umejuta huko kanisani okoka kabisa ukifa ukamwone Mungu
@saidaahmed3644 жыл бұрын
Mbona anasema maneno tofauti Mara kalazimishwa kumeza Mara rafiki yake kamfundisha...nyoosha maelezo ...Allah atakusaidia
@joshuaerinesty73814 жыл бұрын
Pole sana binti hiyo misukosuko yautaftaji. Usikate tamaa utatoka tu na hata iyo miaka hautaimalizia gerezani
@piusdeusmtotowayesu79134 жыл бұрын
Asante Sana kwa watanzaniA wenzangu wanaojiandaa kumsaidia huyu dada mbarikiwe sana
@annasanga71704 жыл бұрын
Daaah pole sana my najua ulikua unapambana kutafuta ugar lkn bahat baya umepita njia sio sahihi my pole sana my hakika rais atakua ameaikia utasaidiwa my usikate tamaaa
@sarahogama95404 жыл бұрын
Am feeling very sorry to this young lady my age mate indeed...but she's strong enough may God hear her prayers
@latifahjanja66794 жыл бұрын
Maisha ya shortkat yanaghalimu sana maisha ya watu tena maskini kwa kuamini utapata utajir wa haraka dah!!! Pole sana lilian wengine hatuna uwezo wa kukusaidia lkn tunakuombea dua naamini utatoka kwa uwezo wa mungu usikate tamaa 🙏🏻
@mwajumayusuph80024 жыл бұрын
Daaaaaah😭😭😭😭😭 pole san
@FrolahThamson-ww6cu Жыл бұрын
Oooh my God Mungu mtetee huyu binti🙏🙏😭😭😭😭😭😭😭
@betrecmkwasa98914 жыл бұрын
Daaah naumiaga sana nikikusikiliza lakini ndo hakuna jinsi ya kukusaidia jamani mt mwenzetu pole sana omba mungu usichoke ipo cku atajibu maombi yako hakuna linalomshinda
@saumuissa44294 жыл бұрын
Mungu atakisaidia raisi atasikia ombi lako atakusaidia pia ila na ss tunajifunza kupitia ww pole sana
@aishashaibu56414 жыл бұрын
Daah pole mdogo wangu mungu atakujalia utatoka tu japo ningumu sana kuhesabu hy miaka namshukur mungu pia nakomaa na waarabu nifuzo tosha kwetu mungu akutia nguvu na usikate tamaa
@dotosalim50904 жыл бұрын
Bora nisugue sinki kwa warabu miaka na mikaka
@aishashaibu56414 жыл бұрын
@@dotosalim5090 nikweli maana angesugua hamam kwaarabu miaka4 kashamjengea mamaake nyumba lkn akataka shotcat imempoza ndomajuto mjukuu
@delekalxon72214 жыл бұрын
Lilian yupo sehem gan apo Indonesia..coz me nipo East Jakarta 🇮🇩 naweza toa msaada kwake kama ikiwezekana
@allykutenga28624 жыл бұрын
Ni kweli inatiya huruma hii story 2natamani atoke coz ni ndg ye2 hata iwe vp ila tatz kumbuka huko sio segerea au keko hakuna ubabaishaji.
@OmarAli-wr1ti4 жыл бұрын
fanyeni mumsaidie ndugu
@OmarAli-wr1ti4 жыл бұрын
@@estajoan1285 vzr sana ndugu zng sote ni wa Tanzania tue Kitu kimoja Hakuna Binadamu Mkamilifu kila mmoja anakosea Mungu akutieni moyo na nguvu mshinde
@chiefmahucha68474 жыл бұрын
@@estajoan1285 naanza kuona mwanga Wa ushindi wake. Mungu awatie nguvu mpate kibali machoni pake na kumsaidia. Amejutia kosa lake kutoka MOYONI hivo tumekwisha msamehe. Cha kwanza muanze na yule mwanasheria aliemtapeli $5,000 kwanza
@chiefmahucha68474 жыл бұрын
Mungu awatangulie.....! Tuliobaki tuanze maombi jamani... Kila ukiomba kwa ajili yako mkumbuke na LILIANI ili Mwenyezi Mungu awafanyie wepesi hawa ndugu zetu waliojitoa kumsaidia waweze kufanikisha hilo zoezi. Amina..
@noelchambo62894 жыл бұрын
Eti watu wanamuombea Mungu amsaidie kwa hiyo angepenya na hayo madawa Ni kwamba alikua anakuja kusababisha vijana kuharibikiwa,, hakujua Kama Ni kazi haramu,😎😎
@shamsiahussein38326 ай бұрын
Pole sana huu umaskini unatutesa sana
@mevicemwasuku8464 жыл бұрын
Nimesubiri kwa hamu sana Asante Milard🙏
@hadijasalimu18084 жыл бұрын
Pole dada yangu usije ukajiua allah atakuhofu 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭wallah inauma haki
@fainajaffary40704 жыл бұрын
Pole kipenz
@joselinejoseph96324 жыл бұрын
Duh! Mungu hamtupi mja wake mwenyez Mungu akusimamie katika hili 🙏
@antoonatson8754 жыл бұрын
Pole san dada mungu atakusaidia
@fetreashasalumu90384 жыл бұрын
Hakuna aliye kamilika jamani Pole mdogo wangu
@abdulbongekapunye4 жыл бұрын
sema mungu akujarie uludi uku mama utashindwa mama
@lizzybahati98334 жыл бұрын
Mungu amtete atamtoa Salama maana ilikuwa sio yeye alilazimishwa
@nadrahassan52414 жыл бұрын
Mungu akuwekee wepsi
@irenemwakalinga43504 жыл бұрын
Polee
@ablanaturalbeauty51664 жыл бұрын
Mungu amfanyie wepesi katika kipindi kigumu Mungu afanye miujiza yake aweze kutoka 2030 ni mbali sana
@geraldmakalala60914 жыл бұрын
Atatoka 2035
@queenlovenessgodfrey91174 жыл бұрын
Jah bleees u lily utarud na mama utamkuta yote maisha dam yangu ishi better cz umejutia kosa lako inaniuma naumia piah pole mama pole sanaaaa kinacho niuma ali ya mamaako bas 😭😭
@salmawage72594 жыл бұрын
Pole sana mungu atakusaidia
@giftjulius20564 жыл бұрын
Pole mrembo mungu atakusaidia
@saidikhalifapha33854 жыл бұрын
Aliwaza karibu sana akaona maisha nirahisi tu akaona bora nifanye hakujuwa upande wapili inakuwa daah
@roseuwambe80894 жыл бұрын
Mungu atafanya njiapaspona njia
@africa74794 жыл бұрын
Kaaaa gerezani dada hakuna serekali hapa, wew ungepata hela ungeomba kulipa kodiii, ukifa basi kufa ni kufa tu
@salmawage72594 жыл бұрын
Kila mja ana mitihani yake muombe mungu sana yatapita pole sana inaumiza inasikitisha
@fextomaturo78154 жыл бұрын
Daaah kuna SAA unawaza kuandika kituu unashindwa aise mungu amsaidie tyu jaman yan maumivu hayo unayopitia nimagumu Sanaa's alafuu ukicheki ww ndo mumy anakutegemea ila Daaah mungu akupe nguvu jaman
@kimarohuba74414 жыл бұрын
Mmh pesa wew 😨 Binti unaongea kiujasiri mno na upo ktk wakati mgumu
@husnaothuman16094 жыл бұрын
Bora niteseke kwa Warabu mm...😭😭
@lm63734 жыл бұрын
Wewe warabu wanakutesa nini sikazi unalipwa unakula kila unacho taka na 24 h uko ku telephone ndo mateso ?
@ElimikaTz4 жыл бұрын
Mungu amsaidie afanikiwe kurudi nyumbani salama 🙏🏽
Fikisha taarifa kunakohusika anakutegemea sana huyu binti na mwenzie tunaomba MWENYEZI MUNGU awasamehe na awatetee mbele ya viongozi wahusika wa nchi warudishe Tz kazi kwako Millard Yao.
@mohmmadalsiyab.hunituuhilo35904 жыл бұрын
Pole sana mdogo wangu mungu atakusaidia
@samjuba58824 жыл бұрын
Pole Dada. Mungu atakusaidia
@husnaefraim29834 жыл бұрын
Daaah polee sanaa my allah atakufanyia wepesii
@beccakhalfa56364 жыл бұрын
Hbr
@esternzumbi18884 жыл бұрын
Duuuh😥😥 Mungu akutangulie.
@edwinkamasho15433 жыл бұрын
Daaah....
@lizzybahati98334 жыл бұрын
Umaskini huu jamani inauma sana😭😭😭😭
@geladjuma68972 жыл бұрын
mirad uko vizur sana unajua sana kuoji mtu
@aizackdidas97924 жыл бұрын
Daaaah kila nikiandk nafuta Mungu amsaidie tu huyu bint 😭😭😭
@SWEZYJEAN4 жыл бұрын
Bora kujifunza mwenyewe kabla huja funzwa na dunia!!!
@swaggagamingtv68414 жыл бұрын
RAPA JEAN kabisa
@neemammary47434 жыл бұрын
pole sana liliani
@annamrima55074 жыл бұрын
Sorry lily, what l can tell u it's that repent from the point u fell into that temptation and God will take action from there l assure u, everything that happens has a reason, bye
@aminayusufu68234 жыл бұрын
Pole sana jamani
@floraathanas54114 жыл бұрын
Mungu akutie nguvu hope itawafikia serekal upate msaada pole sana
@rajabumalupu41844 жыл бұрын
Ungefanikiwa usingejutia Bali dhalau zingekuwa nyingi Kwanza mshukuru mungu ww dada ungekuwa Teja ww tulia hukohuko Tanzania usije huku Baki huko mama hata mm xikuombei kabisa
@sabrinarashid79904 жыл бұрын
mungu atakusaidia
@fidelmbai36424 жыл бұрын
Ina simanzi sana😭😭😭😭Loooh!!!!
@agapenkya41484 жыл бұрын
😭😭😭😭😭🙆🙆🙆uwiiii mungu msaidie huyu binti naomba mungu afanye jumbo juu yako
@linuslivingstone99134 жыл бұрын
Asante sana kaka
@aminamollel57254 жыл бұрын
Wanawake huwa tunapitia wakati mgumu sana kwenye maisha, tusimlaumu kuwa ni tamaa ya pesa sababu hatujui, nilishawahi kuishi maisha magumu sana hivyo najua, naweza kuhc ni kwa nini alifanya hayo. Kikubwa tumwombee tu. Day,?? Nashindwa kuzuia machozi
@zennakailo81064 жыл бұрын
Mungu wangu Marafiki wengine jaman syo kabisa Tamaa ya pesa syo mzuri funzo kwa wanawake wote
@kurwpaul11344 жыл бұрын
Msidanganyike mabinti kwatamaa za vitu vidogo
@veevictorius51164 жыл бұрын
Simulizi nzuri. Je, Kuna usaidizi? Ama nimastori
@officialibra45284 жыл бұрын
Dah, Mh. Magufuli ni vyema kuihurumia dam ya mtanzania mwenzetu ili tukadumisha amani na upendo
@Amneamne-qi2du4 жыл бұрын
Jaman mungu amsaidie huyu mtoto apate kuru dishwa nyumbani maisha ya Indonesia magumu sana
@abdallahkhalid18954 жыл бұрын
Madam wanataka utajiri wa haraka haraka wacha ya wakute
@laymashabani8323 жыл бұрын
Mbona anabadilisha story? Mara mpenzi wake ndo alomponza. Uku anasema lafiki ndo alomponza mbona sielewi. Ila mungu akusaidie tu mdogo wangu uwe huru🙏♥️
@careenmsuva56482 жыл бұрын
liongo ili mara bwana mnaijeria mara rafiki
@laymashabani8322 жыл бұрын
@@careenmsuva5648 Kabisa yani maana anachanganya maelezo bila kujijua kama tunamfatilia maelezo yake yote. NIMUONGO KWELI UYU .
@carenmihayo79914 жыл бұрын
Yaan akamuamin mkenya kabisa wale kenge sio wakuwaamini wakanya sio watu ukipata shida mkenya anakuangalia kama kinyesi, pole mpendwa mungu atakutoa kwenye hilo tatizo,
@kelvin254-x9k4 жыл бұрын
I feel sorry for Lilian and her kenyan friend should be arrested but what I don't understand is Kenya has a population of 50 million tumekufanyia nini to deserve matusi kutoka kwako???......
@carenmihayo79914 жыл бұрын
@@kelvin254-x9k samahan sana Kelvin sikumaanisha ubaya unajua wanawake wengi wa Kenya uwa sio watu wa kujal wenzao nimekaa Kenya kwaiyo nawajua Tabia zao, saman kama nimekukwaza Kelvin please,
@kelvin254-x9k4 жыл бұрын
@@carenmihayo7991am okay but sio wote wabaya be nice darling.
@nganahesandra22934 жыл бұрын
Pole sana dada rakini tuache tama ya pesa 😭😭😭😭😭😭
@ablanaturalbeauty51664 жыл бұрын
Ila wadada tuache tamaa tunaharimu maisha yetu bure naamni angekuwa yuko mbali za ana
@alexkileo79204 жыл бұрын
Nikijaribu kutafakari mtu kuka maabusu siku mbili tu unavo wza naku teseka.mungu akupe wepe dada angu
@husnaiyasulesh46874 жыл бұрын
Kakaangu usiomb nilitup sild post nikakamatw nikapelekwa sentro broooh nililia mpak kuanzia saa kum nambil mpak saa 6 sit uck sinarah nikikumbuk nyumbn tuu ndug zangu nalia mpak macho nilivimb
@husnaiyasulesh46874 жыл бұрын
Watu tuu wanasem jer ukiend kul bure kulal bure fresh tuu lakin mtu siku akiingizwa japo kuon tuu lilivyo sidhan kam angekuw anaongea ivyo
@abbyadams86914 жыл бұрын
Magu ninaemfahamu sizani km atakua na huo mda wa kukusaidia.Yupo Bize na SGR,Stiglers,Flyover na kujenga mabarabara. Mbaya zaidi alisema watanzania wakikamatwa na madawa ya kulevya ughaibuni wanyongwe tu!!We endelea kumuomba Mungu tu atende miujiza.😓😓😓
@rahmakishiwa15284 жыл бұрын
Nikweli magu hapendi madawa yaan hapo kachemka sana kwakweli Allah amfanyiee wepesi
@eddydben4 жыл бұрын
Sidhani kama tanzania na Indonesia wanabadilishana Wafungwa
@umranim58544 жыл бұрын
Hiyo ni tamaa sasa ndio umejua umefanya makosa na kila leo watu wanaongelea madhara ya madawa ya kulevya kwanza apo umeisha sababisha vifo vya watu bado unataka kusaidiwa atakae kusaidia wewe atamkufurisha mungu uliyo yataka umeyapata
@joharinaz50074 жыл бұрын
Milioni ku11 akija kujifanyiya kazi warabuni mwaka1 unazipata tena jasho yako Allah akutiliye wepesi
@dorcaskidoti2494 жыл бұрын
Dada zinalipwa wapi izo pesa namie nijeee, Naomba uniungisheee
@joharinaz50074 жыл бұрын
@@dorcaskidoti249 gaibuni ndugu unasuguwa gaga tu utaipata
@dorcaskidoti2494 жыл бұрын
@@joharinaz5007 jmn nina mwaka sasa hiyo pesa sijaipata na mshahara ni k 4 tu, Nielekeze apo wanapolipa milioni 11 kwa mwaka nikafanye
@joharinaz50074 жыл бұрын
@@dorcaskidoti249 kama unamajukum mengi uwezi ihona bali itakumaliziya majukumu yako tu
@dorcaskidoti2494 жыл бұрын
@@joharinaz5007 lk 4 ndani ya mwaka nishng ngapi?
@salmasaidi45664 жыл бұрын
Pole sana lilian
@hadijahmwajombe95884 жыл бұрын
polec sana mdogo wangu
@damariszuckschwert94894 жыл бұрын
Imagine dili lingetick akapata hiyo pesa, wala hatungemsikia angekuwa anarushia watu vumbi mjini tu, kama hao rafiki zake waliomu introduce kwenye hayo madawa. Hakuna mtu huacha biashara hiyo hata pesa iwe nyingi vipi.
@mercyesendi2943 жыл бұрын
Kuna kaukweli apo🤔
@mustafaabdulhafidh32572 ай бұрын
2024 bado naifatilia hii hadi nijue mwisho wake huyu dada
@damasmahega55974 жыл бұрын
Mungu mwema usiache kumwomba ipo siku utatoka ukiwa hai
@msalikemedia4 жыл бұрын
Huyu Ana changanya maelezo kuna sehem kwenye chombo cha habari kajieleza vingine na huku kwa mirad kajieleza vingine. Ushauri wangu kwake ukweli humu weka mtu huru ni bora aseme ukweli kuliko kusema uwongo nilicho ona hapo anaogopa kutaja aliempa madawa Tanzania sasa kama anaficha jina afiche ila mengine aseme ukweli asante