PART 3 ZAIYLISSA AFUNGUKA KUVUNJIKA KWA NDOA YAKE NA DULLAH MAKABILA MIEZI MIWILI NA WIKI MBILI

  Рет қаралды 30,275

LilOmmyTV

LilOmmyTV

Күн бұрын

Zaiylissah muigizaji anayefanya vizuri katika tamthilia ya Jua Kali kwa mara ya kwanza ameongea kila kitu kilichotoka katika Ndoa yake na Msanii Dullah Makabila mpaka kufikia kuvunjika!
Tazama Part 3 hapa, Part 1 na 2 zipo hapa
SUBSCRIBE, LIKE, SHARE

Пікірлер: 59
@salmasudi8901
@salmasudi8901 11 ай бұрын
Mungu akujalie upate ndoa nzuri mwanao apate Baba asiye badilika 😊as long as unajielewa say Alhamdullilah
@zayumar2955
@zayumar2955 11 ай бұрын
Pole sana Zay Mungu akujaalie upate mwenye kher na ww nakupenda sanaa unajielewa Sana Mungu akutunze mahii wanguuuuuuu ❤❤❤❤
@constanciapeter2497
@constanciapeter2497 11 ай бұрын
U will Never die because of Stress.. bse of ur Altitude ukiwa huna furaha.. EXPRESSION IS THE MEDICINE
@hadijagere
@hadijagere 11 ай бұрын
Ma shaa Allah mungu atakupa wakukufaa unabusara sana
@farijala1
@farijala1 9 ай бұрын
Changamoto Ni kwamba Ukijiona mzuri sana , Hasa Huwezi pita siku bila kutongozwa , ni sababu ya kuto kudumu kwa Ndoa
@hamisijumanne4137
@hamisijumanne4137 9 ай бұрын
MVP ww nijumba bovu sana kwenye intaviu broooo I love my bradha🙏🙏🙏🙏
@MsAggie5
@MsAggie5 11 ай бұрын
Pole sana lakini ningekushauri usikimbilie kuwa na uhusiano, take your time! Tafalali na upime na ujitathimi ni wapi unakosea au kwa nini mahusiano yamekuwa changamoto kwako. Ukikurupuka au ukitaka uonekane wewe ni mzuri huwezi kuwa single kwa muda mrefu utakuwa una date na kuolewa kila siku. Nakutakia kila la kheri
@hildalekule241
@hildalekule241 10 ай бұрын
Nimependa kanaongea vizuri
@VictorMumo-ng2hi
@VictorMumo-ng2hi 11 ай бұрын
Lil ommy you're a good interviewer Shida yako ni consistency much love from Kenya though
@LilOmmyTV
@LilOmmyTV 11 ай бұрын
Been cooking Some, usijali tutakua back to back saii! 🤙
@daytonantwale8175
@daytonantwale8175 10 ай бұрын
Lil omy uko vizuri mdogo wangu BIG up bro
@mwanashagladys4581
@mwanashagladys4581 11 ай бұрын
dullah sio mwanaume mubaya nimu cute pia nivile hajakomaa.
@hassanbakari4525
@hassanbakari4525 11 ай бұрын
MSHAJUA TUNAVIEW BASI MNATUWEKEA EPSOD KWENYE INTERVIEW ILIYOTAKIWA IONEKANE MARA 1.
@AgnatarAmad
@AgnatarAmad 11 ай бұрын
Man to man kamaansha mtu na mtu au vpi waswahili wenzangu
@IbrahDeDonny-lv2lo
@IbrahDeDonny-lv2lo 9 ай бұрын
Tulia 😂😂😂😅
@nahidwaalhaji8341
@nahidwaalhaji8341 8 ай бұрын
Uzuri usikubabaisheni guys mke kutulia ngumu ukipta rizika mastaa Malaya tu
@AminaYassin-kf9gg
@AminaYassin-kf9gg 11 ай бұрын
Nimejifunza kitu nakupenda mdogoangu
@jaharaoman6478
@jaharaoman6478 11 ай бұрын
Big up LilOmmy big interview
@cath-ef7wd
@cath-ef7wd 9 ай бұрын
Mnaziniii weee mkioana hamna mwenye ham na mwenzake
@OfficialA83640
@OfficialA83640 11 ай бұрын
Hapo kwenye mahusiano marefu hujakosea mtu mnadumu kuzini lkn ndoa hazidumu Miaka 7 Dida na Kumbi la 🔥 ndoa miezi 2 na nusu😂😂😂
@sarachawe8113
@sarachawe8113 11 ай бұрын
Even...,😂😂😂 Kashindwa kuendelezea kingeeee🙌🙌🙌
@MsAggie5
@MsAggie5 11 ай бұрын
Naona alitaka kutoa siri kuna mtu alikuwa nae hapo....
@alfredinafelix836
@alfredinafelix836 8 ай бұрын
Hapana anaogopa kumchonganisha Ex wake anayewasiliana naye kwa mwanamke aliyemaye…akili kubwa huyu binti…atakuwa kajiuliza what if huyu mtu hajamwambia demu wake kama bado tunachat?
@faidhacute
@faidhacute 11 ай бұрын
Huyu anampenda sana dullah huyu nlichogundua 😂😂
@jaharaoman6478
@jaharaoman6478 11 ай бұрын
Pile Zai kiukweli wanaume sometimes wanamaudhi sana
@MARIAMMWAMSEMA
@MARIAMMWAMSEMA 9 ай бұрын
Huyu dulla itakua alikua yuwakamilisha mashart ya kishetani
@mwanaidyibrahim1913
@mwanaidyibrahim1913 11 ай бұрын
Man to man join 😊
@MsAggie5
@MsAggie5 11 ай бұрын
Kwani wewe ni mwingereza
@poshsmith4268
@poshsmith4268 11 ай бұрын
Hivi kwa nini Ommy hakummuuliza juu ya ile ishu ya kupigwa hadi mimba kuharibika
@elibarikidavidlaizer8126
@elibarikidavidlaizer8126 11 ай бұрын
tupe number tukupigie sasa tukudekeze
@LindaMbilinyi-p8s
@LindaMbilinyi-p8s 11 ай бұрын
Jmn me sikusoma,hv man to man ndo nini sasa???😂😂😂😂😂
@MsAggie5
@MsAggie5 11 ай бұрын
Kwa vile wewe ni mwingereza au
@ibumajaamillah3195
@ibumajaamillah3195 11 ай бұрын
Eti man to man 😂😂😂badala ya face to face 😂😂😂
@ashuraally5057
@ashuraally5057 11 ай бұрын
😂😂😂😂
@MsAggie5
@MsAggie5 11 ай бұрын
Jamani hii sio lugha si yetu tunaweka Kiswahili ndo tunakigeuza kizungu so ndo kama hivyo. Na hii ni Sisi wabongo Tu ndo tunapenda kurekebisha watu wazungu wenyewe hata hawafanyi hivyo.......
@veronicalufingo3513
@veronicalufingo3513 11 ай бұрын
Man to man tena 😀😀😀😀
@josephlorri431
@josephlorri431 8 ай бұрын
Ujumbe umefika!! Wapo wanaokosea kiswahili, lakini tunawatia moyo..
@mwanatumusalim1558
@mwanatumusalim1558 11 ай бұрын
Man to man 😂😂😂
@guyndikumana4065
@guyndikumana4065 10 ай бұрын
Man to man : maana yake ni uso kwa uso…. Sasa mnamcheka nini kipindi ameongea vizuri??
@gladnessmboya803
@gladnessmboya803 11 ай бұрын
😂
@agriparose3942
@agriparose3942 11 ай бұрын
Man to man ndio nn
@magrethgeorge1368
@magrethgeorge1368 11 ай бұрын
Hahahahah man to man
@sarahmcharo1548
@sarahmcharo1548 11 ай бұрын
huyo labda awe rafiki yako ni nani kati ya hao dada!!!?
@faridamohamed8322
@faridamohamed8322 11 ай бұрын
Like man to man😂
@MsAggie5
@MsAggie5 11 ай бұрын
Kwani wewe ni mwingereza?
@BahatiLewis
@BahatiLewis 5 ай бұрын
Huyo Malaya TU inaonyesha hata ongea
@zenamwasekaga7460
@zenamwasekaga7460 11 ай бұрын
Zai nae angeacha tu kiingeza kuongea "man to man" ndo nn Sasa kujidhalilisha tu😀
@razoindeed8228
@razoindeed8228 11 ай бұрын
nmejiulza pia😂😂😂nljua atasm face to face
@LindaMbilinyi-p8s
@LindaMbilinyi-p8s 11 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@عايشهعايشة-ر1ب
@عايشهعايشة-ر1ب 11 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@razoindeed8228
@razoindeed8228 11 ай бұрын
Wasanii wetu kutk kutunia luga za watu tukafanya maajb ndo hyo ss
@MsAggie5
@MsAggie5 11 ай бұрын
Kwani nyie ni waingereza au!
@mazaramatucha
@mazaramatucha 11 ай бұрын
empty soul
ДЕНЬ УЧИТЕЛЯ В ШКОЛЕ
01:00
SIDELNIKOVVV
Рет қаралды 3,9 МЛН
Epic Reflex Game vs MrBeast Crew 🙈😱
00:32
Celine Dept
Рет қаралды 39 МЛН
This mother's baby is too unreliable.
00:13
FUNNY XIAOTING 666
Рет қаралды 37 МЛН
Mkasi - S02E01 with Dida Wa G
26:13
MkasiTV
Рет қаралды 372 М.
MANARA AFUNGUKA MAHUSIANO YAKE NA ZAYLISSA "TUNAPENDANA SANA"
11:01
ДЕНЬ УЧИТЕЛЯ В ШКОЛЕ
01:00
SIDELNIKOVVV
Рет қаралды 3,9 МЛН